Huyu Bibi kama mpaka Sasa unapendaga nyimbo zake achia like. Na hiyo nyimbo ina watazamaji weng sana
@jumajumacharles7975 жыл бұрын
Edwin Gwesso
@loycemdachi94075 жыл бұрын
We jamaa una sauti nzuri na unajuwa kuelezea story vinzur.kama una mkupal huyu like kwake plz
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Kama ilivyotokea na wasanii wengi bi Kidude ameifarajisha Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Mungu ailaze pema roho yake peponi amin.
@eyereen56725 жыл бұрын
Awww napenda nyimbo za bi kidude..zenye fumbo na mafunzo tele..Gonga like ikiwa wapenda Taarab...Bigup to the storyteller so amaizing
@amiboy17355 жыл бұрын
Irene Njeri So
@musamwapinga3615 жыл бұрын
Uwongoooo mbaya The story book ni Tamuuuuu nawakubali sana
@meckykyerux9685 жыл бұрын
Anaye kubar wasaf na the story book usipite bira kogonga like👍👍👍
@kipengeletvkipengeletv57885 жыл бұрын
weka like yako kama unamkubali huyu fatma bin... Mubarak
@johnnykallaghe7705 жыл бұрын
Daah Nimekuwa Nikiisubiri Hii Kitu Tangu J/mos Mzee Wangu Shukran Ila Umechelewa Sana'a Mkuu Mtiga
@samwelyaman80665 жыл бұрын
nimependa san hyo mungu amlaze mahali pema peponi bibi etu amen.
@victormkovizuliilamavaziye90144 жыл бұрын
Maajabv yadunia
@marigu58045 жыл бұрын
Kama unamkubali mtangazaji ana kipaji cha hali ya juu wacha like yako hapo
@onlinetzmedia5 жыл бұрын
Wee jamaa hio sauti yako ukitumia Vizuri unaweza fanya kazi BBC na penginepo what a Talented man .MTIGA
@salumyasin90295 жыл бұрын
BROOOO NAOMBA UNICHEKI KWA CM 0763181282 NAOMBAAAAA
@marumbojames72185 жыл бұрын
Mmh Ila kweli but Millard yuko pale hajawai kwenda kaka au kila mtu na nyota yake au Millard haujawai kumsikiliza saut yake Vzur?
@hamiskasara86725 жыл бұрын
Zaidi ya uyu kuna mtu anaitwa Ananias Edgar
@allyderossi97425 жыл бұрын
Hamis Kasara;;Hapa umetaja kiumbe umenifanya mpk nikupe like yng bereee mana hili jina ulolitaja sasa ni hatr sana mpk CM yng imepata vibration nilijuwa inapigwa kumbe ni hilo jina ulilolitajaaaaa WW UNAJUWAA.
@wisperfect84135 жыл бұрын
Ananias edger na uyu mtiga vipaji vipo yaan mm saut zao tu
@alhajikipingu16615 жыл бұрын
Kama umekubali story ya bi kidude gonga like
@harishidayat90585 жыл бұрын
Sing Bi Kudude same with music melayu from Indonesia,that song same with song musik Melayu Aceh Indonesia..... Bravo Bi Kudude...succes for you
@mashauzabdallah60205 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehem bikidude pema peponi amin amin amin.
@ritamrembo33515 жыл бұрын
Mtangazaji..hogora si sauti tu ata mpangilio wako uko sawa,big love from Kenya msa
@amnahleilahaliloh67465 жыл бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuieka roho yake mahali pema peponi bi kidude was a legend
@mosendababumansigiria86215 жыл бұрын
Asante Nashukuru 👌 Sana Wasafi zidi kutuletea waafrika wenzetu ,,,kina Fella kuti, Lucky Dube,,, Franco,,, Miriam Makeba,,,,na wengine wote
@Manjalino5 жыл бұрын
katika story zoteebii nimeipenda saaana @mtiga hongera sana mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
@smartboysajuse905 жыл бұрын
Km umechoka km mm baada ya bi kudude kujkojolea gonga like
@emmanuelmichael64855 жыл бұрын
Congratulations to guy for giving Bikidude's background clearly and well understood . it's so amazing!!!
@rosechild50215 жыл бұрын
I will never stop listening to her music .May god rest your soul in peace 🇬🇧
@directorsuntana49224 жыл бұрын
F. D your soul not ours 🥵🥵🥵🤬
@anthonynyaga9275 Жыл бұрын
Kwaheri
@alexexperius73142 жыл бұрын
Achilia mbali story... Jinsi unavonakishi lugha inafanya kipindi kipendeze... Asante kwa Kukizungumza Kiswahili kwa ufasaha
@yusufnalanda41865 жыл бұрын
haipite siku kama sijasikiya nyimbo zake yalaiti na Muhogo wa j,angombe ,Allah akuwekeyee Nuru katika kaburi lako ,najisikiya kufarijika napozisikiya nyimbo zako.
@zuleyvendor65775 жыл бұрын
We will miss you forever bi kidude me nilikuwa napenda tu kalivyokuwa kanavuta sigara kumbe na kichapo kalikuwa kanawatembezea wanaume😂😂😂 watu wa zamani walikuwa strong .... Wasafi tunaomba historia ya mahatma gandhi
@avocadotz29465 жыл бұрын
Hekima itumike kama akuna sehemu inayoitwa jina la bi kidude pasi serikali iliangalie hilo.
@humayunahmed9644 жыл бұрын
Imo nmbr cunhu mongoae hang guuu
@praphulasing6944 Жыл бұрын
Ll
@miyushirogane44624 жыл бұрын
Im from indonezia ... I like this artist 👍👍👍👌
@amoudiafif2005 Жыл бұрын
من الجزائر الله يرحمها 😍😍😍😍😍صوت جميل وجميلة
@queenkikoti495 жыл бұрын
Nawaelewa sana wasafi
@goldenboy83855 жыл бұрын
Listerning from kenya i love this presenter men we need you in Kenya
@subrynerysegerow13235 жыл бұрын
Golden Boy weeeee kwenda huko kwan sisi hatumtak?
@Yegon2545 жыл бұрын
sauti yake nzuri sana aisee
@yascoguidezanzibar5 жыл бұрын
atutaki labda tuwape hamo rapa
@dhakomodherooherokoko60374 жыл бұрын
@@yascoguidezanzibar 🤣🤣🤣
@happinesskabeya5 жыл бұрын
Ni kutembeza kipigo tuu 🤗🤗ndo maana alikua na nguvu sanaaa
@salmayusuf23765 жыл бұрын
Bi kidude weee👌 c kwa kivazi kile ujanani
@htx18735 жыл бұрын
This Guy is Great !! Everything is on point . I appreciate your work bro . Naunasoma story vizuri sana .
@rashedulislam90682 жыл бұрын
I also don't understand this language but this song is shocking my heart,,,, from Bangladesh
@masoudzanzibarali99945 жыл бұрын
Kinachouma alikufa akiwa masikini Serikali ya Mapinduzi haijaona umuhimu wake mbaka siku alivooga Dunia, Allah amlaze pema 🙏🏾🙏🏾
@abuushaukan98285 жыл бұрын
Allah huwalaza watu mahala pema kwa mziki
@georgegugi75655 жыл бұрын
Mungu aweke roho yake peponi
@ummialey63914 жыл бұрын
Kweli walikuwa. Wa namtumia tu pesa. Zake haikujulikana aliumwa. Wala hawakumjuwa
@idrissamussa65295 жыл бұрын
"...utahadhari na mwiko wakati wa kupakuwa,ukitaraji makoko chungu utakitobowa...." R.I.P Fatmah bint Mbaraqa muhibbu Bi Kidude..... 😢😢😢😢
@hamzarashid97055 жыл бұрын
Akimaanixha nn 😂😂😂
@christophermwashiga48065 жыл бұрын
Namis vitu vitamu kama hivyo hajitokeze bi kama huyo tena
@idrissamussa65295 жыл бұрын
@@hamzarashid9705 we ni mtu mzima bhana
@mussakuntu77025 жыл бұрын
idrissa mussa noma
@michaelngomeni36795 жыл бұрын
@@mussakuntu7702 wthfjdbxg vs hhkkf
@hamadharerimana81875 жыл бұрын
this make me tear up.....she was an amazing soul
@funnyvideos...8774 жыл бұрын
Pls translate this song in English...I can't understand dis language
@edwingwesso1295 жыл бұрын
Jaman kumbe ht nandy atakuaga mubaya siamin Kama Kuna mlembo mwenye sura nzur Kama Bibi kidude
@levocatusgatu42955 жыл бұрын
Vipaji vimezaliwa kigoma like zenuu kama unatoka kigomaaaaaa
@alikhamisog34225 жыл бұрын
Mm nachukia mnapo kata saut saut akhakh I love de talent from Zanzibar
@husenkwezy96575 жыл бұрын
oyooooo dah nyie story book mnajua kutumalizia Mb zetu
@chezengfaty67745 жыл бұрын
Dah nimewaelewa wazee
@nassirkidasi1205 жыл бұрын
😂😂😂
@meshackmgunda87895 жыл бұрын
Kaka uko vizuri nawwww saut ya story kabisa
@jumak.ismail25045 жыл бұрын
i have watch this and for sure tears came out from my eyes i really love the songs of Bi kidude
@elizamandaree87845 жыл бұрын
Watisa Leo naomben laki zen
@blackpanther48255 жыл бұрын
Mpaka nimesisimka na kutokwa na chozi 😥. Alikua legend kweli.
@zubinalappad11173 жыл бұрын
Iam from Kerala India.. very like songs 👌👌🌹
@k2t4103 жыл бұрын
ശരിയാണ്
@radjmanofficiel10625 жыл бұрын
Rimetaka history kama hi rikumbuke wazazi wetru wa africa riwave sehemu zawo asante wassafi media from comoros
@rajhesetharayath71912 жыл бұрын
I dont understand the language but i like this legend music.
@HUSSEINALLY-b7f6 ай бұрын
Don't worry.it is ok
@yuusufnuur57525 жыл бұрын
Namkubali sana bikidude mana ngomazake zlifika kote na naheshim wakirungwa hoyeee
😥😥😥jmn bib hukpata mtoto du rip tutakutana hukohuko
@wakudatamjanja5 жыл бұрын
Kwenye maisha yangu nafurahii Sana bi kidude
@sylvanosilver38985 жыл бұрын
kama nawe unakubali kigoma ni mkoa wa vipaji Gonga like hapaaaa tujuane
@gloryavelin25835 жыл бұрын
Sylvano Silver 🙄🙄
@alitunu30862 жыл бұрын
Allah akurehem Fatma bint baraka
@deebrown79085 жыл бұрын
Nani anafatilia the story book kamamim weka likes nyingi tujuwane
@jacobzawadi7355 жыл бұрын
Huruma saaana “iwapo bi kidude hakupata raha katika mapenzi yake, ila hakukatishwa tamaa kuwa imbia watu mapenzi matamu” ni sawa na utumishi wa Mungu (kutoleta mambo yako ya kibinafsi kipao mbele, ila yale umeagizwa kufanya)
@mohdnyambura68595 жыл бұрын
From Zanzibar bigup sanaaaa bikidudeee💪💪💪
@khaldreezytza13835 жыл бұрын
Kigoma
@ibrahimkhatibu45615 жыл бұрын
Res in peace bibi yetu mpendwa🙏🙏🙏🙏🙏
@mukeshkumarverma45512 жыл бұрын
What she song doesn't understand but listening sincerely from many years..
@shabanshinji64495 жыл бұрын
noma xan bi kidude nilikupenda xan bib xaut yoko haina kifan dunia nzima
@kingally78165 жыл бұрын
Mungu ailaze pema roho yake
@abdallahamad46825 жыл бұрын
Kamanda umsimulizi mkali sannaa salute
@munashabani13765 жыл бұрын
Shukrani kwako mtiga abdalaa
@vitthalraodeshpande62635 жыл бұрын
Don't understand the language. But I love Mom Be Kidude very much & like song Jua toka sung by her.
@abdul-rashidally18385 жыл бұрын
Wakwanz leo naomb like zenu
@zuleyvendor65775 жыл бұрын
Ww ni mtoto wa kiume acha tabia za umama za kuomba like.... Ukipewa hzo like unaingiza pesa😁😁😁au unashiba
@abdul-rashidally18385 жыл бұрын
@@zuleyvendor6577 ww kwan unaumia nin ach useng bas
@zuleyvendor65775 жыл бұрын
@@abdul-rashidally1838 😂😂
@abdul-rashidally18385 жыл бұрын
@@zuleyvendor6577 unazngua
@zuleyvendor65775 жыл бұрын
@@abdul-rashidally1838 nisamehe ndugu yangu nilikuwa nasema tu... Usinune sasa
@emmanuelyjoseph29575 жыл бұрын
Waooo wanikosha rohoo
@hamzachonya51295 жыл бұрын
Kaka una sauti nzuri ubarikiwe sana
@abuuzainab14895 жыл бұрын
I prove this after meeting my friend Egyptian singing Bi kidude songs
@magibomwita81345 жыл бұрын
Mungu hamlaze mahara pema peponi bi kidude
@ruqiyaruq51425 жыл бұрын
Allahumma amiyn amiyn Allah amlaze mahali pema peponi amuondolee adhabu ya kabuli
@wendyferuzears4 жыл бұрын
Res in peace bibi Kidude from fans indonesia
@neelimabrahma55113 жыл бұрын
Bi kidude love you🙏🙏🙏
@xaverysunday18865 жыл бұрын
TOKA TEAM MEDIA MAKAMBAKO TOWN NA RESPECT SANA THE STORY BOOK
@خسنموس5 жыл бұрын
Wale wa Wifi tunainjoi sana story book noma Sana tujuane hapa..👇
@zainabomar55125 жыл бұрын
Tupo
@bobomsafi74505 жыл бұрын
Im hapq.
@aminamrope97855 жыл бұрын
Mimi mgeni😃😃😃
@xmom24775 жыл бұрын
Kutoka Kenya wifi ya bure
@خسنموس5 жыл бұрын
@@zainabomar5512 saf
@mecymwile90693 жыл бұрын
Mpka hpa nimekumis saana b kidude wanguu
@mafazmawoon69423 жыл бұрын
One of my favourite singer.
@howardally41165 жыл бұрын
Hongera mtiga Abdallah Mungu kakubariki sauti mashaallah
@ebrahimngera9174 ай бұрын
Taarifa nyingi Zina jipinga... Na hata maelezo ya marehemu ni tofauti
@mohammedkhalil4036 Жыл бұрын
Love you Beautiful voice Thanks
@mwansasu5 жыл бұрын
Ahsante...wasafi media kwakutosegezea History ya Bi-kidude
@alaudindarji71472 жыл бұрын
اللہ آپکوجنت اتاکرےآآمین فاطےما
@zabibunduwimana46125 жыл бұрын
Mutangazaji uko vizuri sana kwa sauti
@mahijaramadhani51375 жыл бұрын
Mungu amrehemu bi kidude
@abdulmohd68805 жыл бұрын
Oh! My goodness, she was so cute when she was young kidude... Rest in peace Tuma..
@datiusleonard-hm6eb Жыл бұрын
Nakukubaligi Sana mtiga abdalla
@solomonadams63375 жыл бұрын
watu wote wanaozaliwa katika Zinjibar Archipelego lazi wanakuwa maarufu sana duni aniani Tip Tip mzanzibar maarufu sana kulikoni wote kwa kuwauza watu wajinga,kafanya kazi nzuri sana huyo tankx ma brova Tip Tip,Frieddy Mrque,populer singer wa Queen band,Kidude binty baraka populer singer kwa muziki waarabu asili ya twarabu ni wapi?na wengi sana wako sawa?hio ndio Zinjibar sawa?
@sousmyuno64294 жыл бұрын
we love your voice from rwanda....
@reginamhagama24215 жыл бұрын
Pamoja sana. Nakukubali sana mtangazaji:
@jumaadizill67813 жыл бұрын
Allah amuhifadhi bibiyetuuu
@michaelkessy57405 жыл бұрын
Siku zote anayejua kushauri mapenz na watu kuguswa ni kwamba ni mapito na mazito aliopitia hadi watu kuguswa ndio maana Bi kidude alikuwa anajua kuimba mapenzi ila kiuwalisia yalimshinda
@fugjdn9008 Жыл бұрын
الله يغفر لها ويرحمها ويسكنها فسيح جناته
@exaudim49685 жыл бұрын
Like zenu jaman
@tarikhassan87505 жыл бұрын
Ndio mwanamuzi pekee ndani ya tz aloweza kupiga mziki live ndani ya belgium kwenye ukumbi wa lotto ereana Antwerpen ukumbi ambao wanapiga mastaa dunian...
@ibrahimjonh72565 жыл бұрын
Tarik Hassan atali xanaa
@blackpanther48255 жыл бұрын
Tarik Hassan kumbeeee. Allah amsitiri kaburini mja wake
@jumahamis2275 жыл бұрын
Hiyo mbona rekodi ya kawaida, bi kidude ndo msanii pekee wa Tanzania aliyemuimbia malkia wa uingereza live.
@emmanuelgabagendi31695 жыл бұрын
Hongera sana broo
@fikirijames57655 жыл бұрын
Good presenter
@hawa49685 жыл бұрын
Allah subuhanah waatallah ! Akusameh mazambi yako ya sir na dhaghiri
@amadouanne51893 жыл бұрын
d et
@kelvinlerisi27845 жыл бұрын
Wanakubali sana bro
@bernardlumori82415 жыл бұрын
Nakubali
@husseinbally17365 жыл бұрын
*_Lala Salama Bi kidude 😢_*
@yasmenoozm80945 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
@yusrasalum6045 жыл бұрын
Namkubali sana kidude ni mzuri wa mashair
@ahmeidyoung24105 жыл бұрын
asili ya mzik wa mwaambao ni Kule Zanzibar na Mombasa