AKIMBIA NDOA SIKU YA HARUSI YAKE KISA VITISHO VYA WAKE WENZA WATATU |ZILIBAKI SIKU 3 WANGENIMALIZA

  Рет қаралды 12,487

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 126
@neemajames5137
@neemajames5137 6 ай бұрын
Sikiliza dada usilie huwezi kujua ni Mungu anakuepusha.
@ManaseMoleli
@ManaseMoleli 6 ай бұрын
Pole mpendwa mtegemee Mungu pia uwe na subira kwa swala la ndoa usiwe na haraka alie wako atakuja.
@fatumamwenda5132
@fatumamwenda5132 6 ай бұрын
Nimefatilia Sana interviews za huyu dada tangu anaeleza kuhusu mwanane kubakwa na kulawitiwa. Nilichogindua uyu dada ameshaingiliwa na uvivu wa kutafuta kwa nguvu zake. Acha dada kusubri huruma za watanzania maisha ni magumu kwa kila mtu kwasasa. Inuka, pambana ulee wanao ili uepuke manyanyaso
@أمطارقالبحرية
@أمطارقالبحرية 6 ай бұрын
Allah atakujaaliya mume mwema mwenye huruma na watoto na mwenye kheri na weye Jitahidi na ibada usimuasi Mola wako
@husna34562
@husna34562 6 ай бұрын
Mashallah dada mzur fanya subra mwenyezimungu atakupa mume sahihi
@muhammadiabassi656
@muhammadiabassi656 6 ай бұрын
Allah akusaidie Kwa uwezo wake ameni رب سعدك بحفظه يارب العالمين
@najatramadhani6300
@najatramadhani6300 6 ай бұрын
Tafuta kazi ulee watoto acha kulia lia unaenda mke wa nne kwa maisha yapi jamani dadaake hebu pambana kutafuta hela
@josephineokama2200
@josephineokama2200 6 ай бұрын
hakutumia akili kwani lazima kuolewa eboo
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp 6 ай бұрын
Banaweeeh
@fatmamuhammad4772
@fatmamuhammad4772 6 ай бұрын
Kuolewa ni sheria na kulingana bado ni mdogo sana. Wanaume wazuri bado wako utapata InshaAllah
@SuzanIkwabe
@SuzanIkwabe 5 ай бұрын
Yaan mie nikisikia mwanaume ana mke siwezi thubutu kujiingiza huko huwa najipa upofu na ukiziwi sithubutu ht kdg.
@aminamzuri9933
@aminamzuri9933 2 ай бұрын
Hahahahaha yaan atulie tu
@neemajames5137
@neemajames5137 6 ай бұрын
Dada hakuna mwanaume wa kukutunzia watoto fanya biashara ulee watoto wako pia muombe Mungu sana achana na wanaume utatesa watoto.
@skjjsj1889
@skjjsj1889 6 ай бұрын
Pole sn mdd Mwachie mungu atakulipia utapata mume mwema Machozi hayo uliyoyatoa mungu atakulipia
@salmanassor8732
@salmanassor8732 6 ай бұрын
Pole sana dada utapata alokuwa riski yako ishallah zidi kuwa na subra
@AshuraMaumba
@AshuraMaumba 6 ай бұрын
Asante
@aminamareta9297
@aminamareta9297 6 ай бұрын
Mama wajina wangu pore sana irikuwa siyo riziki yako ariekuwandikia mwenyezi mungu yupo atajitokeza na utaorewa tu anaeripanga mungu akuna binadamu yoyote anaewenza kuripanguwa swari sana muombe mungu
@AshuraMaumba
@AshuraMaumba 6 ай бұрын
Aamin
@aminajuma1156
@aminajuma1156 6 ай бұрын
Sio mungu ni Mungu
@HamisiYusuph-i3z
@HamisiYusuph-i3z 6 ай бұрын
pole sana. allah atafungua hii ni mitihani ya dunia. simama na allah naamini utashinda.
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 6 ай бұрын
Huyu dada mwehu kuamini kila mwanamme ni mkweli ana uroho wa ndoa njoo nikufanyie safari uende oman huko ufanye kazi upate mtaji ufanye biashara ulee watoto wako acha tamaa za maisha utaharibiwa wewe na watoto allah akulinde
@everwilliumameeen7344
@everwilliumameeen7344 6 ай бұрын
naomba namba yako kunakitu tuongee
@Haleema-xz7oz
@Haleema-xz7oz 6 ай бұрын
He pole sana dd mungu akupe wepesi inshallah ila nakushauli fanya biashara mungu atakusaidia ukiwa na nia ya kusaidia watoto wako ndoa zingine sio ndoa
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 6 ай бұрын
Pole mwaya mungu atakupa mume
@skjjsj1889
@skjjsj1889 6 ай бұрын
Mama amina bado mdg Subiri utampata mume mwema
@husna34562
@husna34562 6 ай бұрын
Swadqta
@mtumwamalikmtumwamalik1304
@mtumwamalikmtumwamalik1304 6 ай бұрын
Pole sana dada m.mungu akufanyie wepes kwan mitiani wengi wanapitia ila muhimu subra tu
@luckyrayyan0013
@luckyrayyan0013 5 ай бұрын
We dada pambana una nguvu zako kabisa mm Niko singel Naishi na nasomesha wanangu na pia napigaaa magumu mengi lakini simuiti zahir tumuache zahir asaidie wagonjwa na maskin ww unataka Jodi tu huna lolote kama unataka mcha mungu nenda Markaz vingunguti utapata mume
@MariamOmary-t7w
@MariamOmary-t7w 6 ай бұрын
Hao wanawake hawana imani ya ALLAH wanataka maaswiy yaendelee ndo maan maisha yamekuwa magumu kwa sababu ya madhambi meng mulikuwa mnataka mwenzeni akazini kuwen na imani chukulia hilo jambo ndo ungekuwa wewe mtaani huna mume
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 6 ай бұрын
Dada mzur t mashallah ni mitihan t
@rahma6189
@rahma6189 6 ай бұрын
Tqfuta pesa fanya maishaa na watoto wako kuolewa sioishu achaujinga
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 6 ай бұрын
Sasa mtu asiolew akazini??
@SaidLusaba-xg6zo
@SaidLusaba-xg6zo 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅9oooookllllll I'llkkkkkkkkkooú9okkokk(kkkoookooooooo9okookookoookooookokkkkkkkkokkkkkokkkokoo(ok((k((((kkkkkkkk(kkkkkkk((k(kllkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkiiiiiii8k((kk(kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk(kkkkkkkkkkk(kkkkkkkkkkkkkkkk lol lol l) I'll((((kkkkk)kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk(k I'll kkk(kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk(kkkkkkkkkkkkkkkk(kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk(klkkkkkkkkkkk​@@SuleimanKhdija
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 6 ай бұрын
@@SuleimanKhdijahata wasioolewa wapo wazinzi wazur tu
@Bashitetako
@Bashitetako 6 ай бұрын
Jishughulishe km kuolewa ulishaolewa na mungu kakupa watoto sasa sijui unalia nini tema mate chini kuna watu wana shida
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 6 ай бұрын
Pole saana mi hua nashangaa watu wanao mlaumu huyu mama je wanatak akazini???dini yetu inaruhusu nikutazama upande wa huyo mume kama yupo imara hakuna kizuwizi na ukizingitia huyu mama hawezi kupata kijana ambae hajaowa so Mungu ajaalie mwanaume sahihi zinaa haina nafasi katika maisha yetu
@ablashaffy2860
@ablashaffy2860 6 ай бұрын
Hata wenye ndoa wazinz wapo bhan
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 6 ай бұрын
We dada mzuri Ivo unahangaika namwanaume wawanawake watatu fanya kaz wewe utapata mwanaume mzuri tu
@hajramakwiro2830
@hajramakwiro2830 3 ай бұрын
we nae unapenda kujiliza si utulie ufanye biashara ulee wanao? acha uvivu dear mbn huna ulemavu wowote na una nguvu zako tu mwaya? kwan kuolewa ni nini hata maisha yalivyo magumu hv hata nyege zinatoka wapi jmn mpk ujangaike hvy? pambana ulee wanao yule mwanaume aliyebaka wanao ilibidi liwe funzo kwako na sikutarajia km utawashwa tena na tamaa ya kupata mwanaume. Amka pambana maisha magumu kwa kila mtu dear.
@SakinaS-dz8ef
@SakinaS-dz8ef 6 ай бұрын
Kiukweli mimi ngoja nipambanie watoto wangu wanaume hawapo kwenye kichwa changu kabisa maana unaweza kufa ck si zako
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda 6 ай бұрын
Wanaume waliowengi niwalaghai Mungu anawaona mtajibu
@deboranicoraus4866
@deboranicoraus4866 6 ай бұрын
Huyu nae akili hana hao hao unaowaamin haraka ndo wanakubakia wanao bdo kutwa kumuamin mwanaume haraka hvo ni uvivu kufany kaz ujikim kimaish or nini akili yko mbn haielewek
@aishatest4451
@aishatest4451 6 ай бұрын
pole sana
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 6 ай бұрын
Tafuta kazi ufanye ulee watoto wako waume hawana ishu mama pambana upate pesa sio mume
@Njeriii536
@Njeriii536 6 ай бұрын
Mimi ningekua huyu dada ningepambana kutafuta pesa kulea watoto wangu nisingesubutu kuingia kwny penzi
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 6 ай бұрын
Au huyo kaka alitaka tu kukuchezea kafanya mchongo hakua na nia ya kukuoa
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp 6 ай бұрын
Aisee
@geez5076
@geez5076 6 ай бұрын
Correction “ unapokuwa na pesa una heshimika” mume ni optional, toa ndoa akilini mana ita kustress…ishi maisha ikija ndoa ije yenye heri ikukute na furaha na amani…usi kamie ndoa
@Abbychibu
@Abbychibu 6 ай бұрын
Uko na mitihan hujaimaliza unajiingiza ktk mtihan wandoa acha mambo ya wanaume jipange kwanza mwanamke mwenzangu
@mwanas2
@mwanas2 6 ай бұрын
Mi yenyewe nimeshangaa alikua na makubwa hadwa huyu mbona kama katataka mengine mapema siangelea wanawe uyu nae anapenda tamm sana lol
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 6 ай бұрын
Hivyo ni vitisho tu ww ungeolewa ukajionee huko huko kwa mume, ungesimama imara tatizo mama Amina ww mpole sana. Hakuna mume wa peke yao
@marymanoni5536
@marymanoni5536 6 ай бұрын
Mmmmmm Bora alee watoto wake kuolewa co dili tafuta biashara dada ulee watoto wako ndio ndugu zako ushauli tuuu
@Njeriii536
@Njeriii536 6 ай бұрын
We huujui uke wenza tulia bora kakataa
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 6 ай бұрын
@@Njeriii536 Ndugu yangu nijue mara ngapi , mimi ni bi mkubwa tunakaa nyumba moja na Bi mdogo. Mimi ndiyo niliamlu tukae nyumba moja kutokana na kipato cha mume. Watoto wetu wanaixhi Bila kubaguana. Mimi nilisimama imara Nikamwambia umeingia kwenye nyumba yangu kikubwa naomba heshima, busara uchonganishi siitaji, Sema wanawake wengi huwa tunakimbilia kudhuliana kwangu mimi kumdhulu mwanamke mwenzangu sioni faida na Mungu aninusuru. Wallah maisha tunayoixhi watu hawaaminini
@ummuwawili
@ummuwawili 6 ай бұрын
Dada pole lkn kwa hvo ulivo sahau kuhusu uke wenza .....una roho nyepesi sana uke wenza hautak hvo kuwa jasiri kama hv ukitoa machoz hao wake wenzio wakiona ndo wanafurahia looh jikaze usiruhusu kulia hakuna mwanamke atakupa maneno mazur aksikia unaolewa na mume wao.....walikutishia tu ukiwa mpole ukubani tu kuish peke yako hapa duniani maana utaonewa sana mimi nawajua vzur baadh ya wake wakubwa wanajionaga kama wao ndo wamewazaa
@AminaAhmad-m8t
@AminaAhmad-m8t 6 ай бұрын
Safi sana dada unaakili sana Mimi nimke mdogo mke mkubwa alikua ananipa vitisho kweli mara viichambo Mimi nilikua namuonyesha upole akijiona kashinda kumbe nilikua namchoratu nijue udhaifu wake ulipo namimi mungu amenijaalia nimepata mtoto nakumbuka Kuna siku nimemuwashia moto naona hato sahau kwanzia siku hiyo heshima kwaadabu
@AmiriHumudi-hn6pt
@AmiriHumudi-hn6pt 5 ай бұрын
Jamani huyu mama biashara atafanya lkn na uyo mume ni muhimu wakati anakula anashiba. Lazma atatamani kutiwa mcheche. Ss msimlawmu. Mtaji tumpe na mume mungu atampa mwenye kheri. Mana njaa ya tumbo ni chakula lkn njaa ya kuma ni mboo wadaw wenzangu.
@KhadijaMohamedy
@KhadijaMohamedy Ай бұрын
Yan wewe
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
HILO LA URAHISI WA MSISHA NDO LINATUPONZA. MPAKA TUNATAKA KUINGIA HATA PASIPOINGILIKA. POLE YETU WANAWAKE. HATA KAMA DINI INARUHUSU, MMKE WA NNE JAMAANII. HUO NI UVIVU WA KUJISHUGULISHA NA KUJITUMA.
@zenjibar64
@zenjibar64 6 ай бұрын
Kawaida mke wa 1 haelewani wa 2 na akiingia wa 3 hufurahi maana huona wa 2 ataumia km alivyomuumiza yeye na akiingia wa 4 huumia huyu wa 3 na huwa faraja kwa wa 2 na ndio huwa pamoja .
@NuruJara
@NuruJara 6 ай бұрын
Jamani mume anauma jamani si rahisi labda upate mjane ama kijana aliye kaa na anaumri wa kukoma usikubali kuolewa bila kumujuwa mume
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
TAFUTA SHUGULI YA KUFANYA UFANYE. MAISHA SIYO NDOWA TUU. TENA MKE WANNE , SASA KUNAFURAHA GANI?. MWENYEWE MZURI BADO KIJANAA. JAMAANI.
@aminamzuri9933
@aminamzuri9933 2 ай бұрын
Yaan ww kila siku vilio ukui tu kwann usitulie tuli ufanye biashara ulee watoto
@remiomar7154
@remiomar7154 6 ай бұрын
Zahir tumemiss yule mama mapacha ambaye mmoja anaulemavu dadaake alidhulumiwa n mumewake tukamchangia akajengewa anafanya biashara tunahitaji kujuwa maendeleo yake mstaarabu sana 😢
@maximumtvonline
@maximumtvonline 6 ай бұрын
Anaitwa nan bado sijamjua unayemzungumzia
@remiomar7154
@remiomar7154 6 ай бұрын
@@maximumtvonline Jina lake nimelisahau bro ila chanzo cha kuachana n a mumewako n mdogo wake alipodhulumiwa
@remiomar7154
@remiomar7154 6 ай бұрын
Najaribu pia kusearch siiyoni video zake I think 3yrs know
@Juliana-fx8tr
@Juliana-fx8tr 6 ай бұрын
Labda mama wawili mwenye mtoto mlemavu
@KasaraSeleman
@KasaraSeleman 6 ай бұрын
Kaka zahiri vipi mama mpakistani vipi mbona hujamposti tena ? je nyumba yake imemaliza?
@AmiriHumudi-hn6pt
@AmiriHumudi-hn6pt 5 ай бұрын
Kutombwa muhim tena kukosa ni kutia au kutiwa ni mtihani.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 6 ай бұрын
Labda wamejua mwanao alibakwa na lile mumeo,lakini c ulisema hawara lako lilikuwa na ukimwi???
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 6 ай бұрын
Sisi wenzako tumetulia na ujane wetu hapa tunapambana na maisha tuenzi watoto wetu waume wa nini karne hii
@FASSALEHALIB
@FASSALEHALIB 6 ай бұрын
NDOA NI STARA NA NI SUNNAH NA NI NUSU YA DINI.
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 6 ай бұрын
Hivi huyu dada siyo yule ambaye mtoto wake alibakwa na mpenzi wake jamani?
@TatoOman-s5t
@TatoOman-s5t 6 ай бұрын
Fait kweny kutafuta hela kwanza uweke mazingir.ya watt wako
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 6 ай бұрын
Hii hali ilivokua ngum hata nyege sina
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 6 ай бұрын
Kabisa asilimia zote💯
@alhamod5597
@alhamod5597 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@huss668
@huss668 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rehema7180
@rehema7180 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂umekata kabisa mishipa
@evakabete2944
@evakabete2944 6 ай бұрын
Mimi pia ziliisha zamani sana
@omanoman2044
@omanoman2044 6 ай бұрын
Hivo ni vitisho barid mie ningeingia ndo nikajuw hukohuko
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂 fiatu kweli wewe
@omanoman2044
@omanoman2044 6 ай бұрын
@@upendoeliya9329 ww lbda ndo kiyatu cha choon saw
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 6 ай бұрын
😅😅😅wewe ni mshari kama nakuona😂😂😂
@omanoman2044
@omanoman2044 6 ай бұрын
@@SuleimanKhdija kwa hiyo tusiolew kisa wake wakwanza wanatoa vitisho mtume alikuw na wake wa ngap ? Namie ni mshar kweli siyo kidog huku niliko naishi kam niko kwangu na kati sii NCHI YANGU NDO UJUW HAPO
@ummuwawili
@ummuwawili 6 ай бұрын
wewe ndo una akili mwaya ....hakuna mume wa mtu ila kuna mke wa mtu tu
@ashamwinyi1814
@ashamwinyi1814 6 ай бұрын
Tatizo wewe kualikiaa kabla Jambo halijafanyikaa Jambo hilo ungelifanya kimya kimya
@josephineokama2200
@josephineokama2200 6 ай бұрын
hiv watoto watatu na bado Mume wake alimfanyia ukatili kwa mtoto wake unatafuta Mume mwingine wa nini? jamani
@StellahLivogah
@StellahLivogah 6 ай бұрын
​@@josephineokama2200yan ukiangalia kama vile anatafuta kitu mpya mana kama majanga ashayapitia sana ila bado anahangaika khaa
@husna34562
@husna34562 6 ай бұрын
Mie ndio maana nimeamua nibaki na amani yangu mpka pale mwenyezimungu anipe mume sahihi kukurupukia ndoa nilikoma😂
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 6 ай бұрын
😢😢😢
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 6 ай бұрын
Sasa nilazima uolewe jamani eti mke wa 4 jaman
@FadhirMagembe
@FadhirMagembe 6 ай бұрын
Izi tv bwan zinawalipa wa dada ili wpat watu wa kutizam tv zao
@DianaHyera
@DianaHyera 6 ай бұрын
Ningekwambia mapema ila niliogopa utayazagaza
@greenermichael2057
@greenermichael2057 6 ай бұрын
Kanalia kiuongo haka hata kilio hakishawishi
@kutailass6671
@kutailass6671 6 ай бұрын
Hao wamekutisha tu hakuna cha uchawi wala nini, nipe mimi huyo mume niwakomeshe washenz hao😂
@sissis5954
@sissis5954 6 ай бұрын
Zahir tumuone mama mpakistani
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 6 ай бұрын
Wanaume mmna nini jamani
@demarie7861
@demarie7861 6 ай бұрын
Huyu Dada kama nilimuona Tena kwenye video nyingine 🤔
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 6 ай бұрын
Watoto watatu unaolewa nn na wewe ebj tengeneza pasport nikutafutie kazi uman mm nipo huko ili utunze watoto wako dada achana na mapenzi my wezako tunaumia kazi nyungi lakini Mungu mkubwa my badilika
@zuhurakhasimu969
@zuhurakhasimu969 6 ай бұрын
Atakujaje huku wakati ana HV
@HildaMangire
@HildaMangire 6 ай бұрын
Ww dada achana na wanaume ww mafuta pesa we
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 6 ай бұрын
😂😂😂
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 6 ай бұрын
No zinaa sio nzri ni vyema akiolewa
@zenjibar64
@zenjibar64 6 ай бұрын
@@mamakenajma3257Na huyu bado mdogo mwili nao una mahitaji yake .
@JacquelineMahumbe
@JacquelineMahumbe 6 ай бұрын
Ila ww dada ngoja nonyamaze
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 6 ай бұрын
Bado mdogo tulia utapata mme
@fideschacky
@fideschacky 6 ай бұрын
Sasa wewe si ulee wanao?unataka mume wa watu wanini
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 6 ай бұрын
Washukulu hao wadada wewe acha ujinga
@Roqua-hs3qf
@Roqua-hs3qf 6 ай бұрын
Uyu sio yule mwenye ukimwi kwani
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 6 ай бұрын
Ndio yy
@aishajuma18
@aishajuma18 6 ай бұрын
​@@fathiyahmuzney7367doooh Kwan na huyo mume wameathirika🙄
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 6 ай бұрын
@@aishajuma18 Huyo mume sijui ila mwenyewe kasema alimwambia na akakubali kumuoa hvyo hvyo
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 6 ай бұрын
Hata Mimi najiuliza hivo pia huyu sindio yule mwenye maradhi?
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 6 ай бұрын
Mshauli aende ugaibuni jmn
@evakabete2944
@evakabete2944 6 ай бұрын
Akaribie sana
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 6 ай бұрын
Olewa dada! Achana na hao wajinga,mbona mke mkubwa lilikubali limke la 2 na la 3? Waondokeee wakupishe.
@janetchinga695
@janetchinga695 6 ай бұрын
Jifunze wewe mwenyewe
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 6 ай бұрын
Zahir muoe mtapendezana😅
@husna34562
@husna34562 6 ай бұрын
😂😂😂Kwan akuambia atk mathna 😅
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 6 ай бұрын
@@husna34562 😁😁😁😁
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,9 МЛН
JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA KIGAMBONI 0762505211
4:49
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 4,2 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,9 МЛН