BINTI WA MIAKA 19 ANAYEMLEA MAMA NA MDOGOAKE KWA MATESO |MAMA HAJUI KAMA ANA MTOTO MDOGO |NAWALEA

  Рет қаралды 5,083

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Пікірлер: 52
@aminaramadhan3815
@aminaramadhan3815 27 күн бұрын
Mwenyezi mungu hatakupa moyo wa subra hiyo ni pepo usichoke mwanangu
@gloryr9497
@gloryr9497 27 күн бұрын
Mungu amfanyie wepesi, Naomba kujia nyumba wamepanga au ni kwao
@nurusaid-fg3sb
@nurusaid-fg3sb 27 күн бұрын
Kiukwel inaumiz San nmejikuta nalia 😢😢😢 Allah atakuafu inshallah utapon na mdog ang usikate tamaa iyo ndo mitihan
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 22 күн бұрын
Pole Sana mwanangu binti yng mtt WA mwanamke mwezangu Mungu akujazze subra Mungu akupe nguvu Mungu akufanyie wepesi WA kila Hali Mungu amponye huyu mama
@ummySheikh72
@ummySheikh72 27 күн бұрын
Huyu mtt Ana maumivumakubwa Sana, Mungo ampe subra ampe radhi ya mamayake na ampe nguvu, ni mtt mdogo Sana. Ana majukumu makubwa Sana Mungo amsaidie😢
@yusrajuma5316
@yusrajuma5316 22 күн бұрын
Pole mwanangu nashidwa kujizuia machozi yanabubujika kwa hayo unayo pitia
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 26 күн бұрын
Mungu amsaidie apone hyo Mama na pole cn ashura pole najua haitoshi pekee ila tutajitahid tuwe pamoja mm Kwa ss np mbali na pia nimekuja pia kuuguza nikirudi inshaallah mungu atufikishe uhai ntakutafuta n mm
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 25 күн бұрын
Pole sana mwanangu mungu hakutie nguvu uweze kumuhudumia mama yako
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 25 күн бұрын
😢Pole sana aisha mwenyezi Mungu akupe subla na afya uweze kuwahudumia familia yko ina sikitisha sana
@NuruSalum-x2t
@NuruSalum-x2t 26 күн бұрын
Kwaiyo Allah atamjaliya atakwenda usikate tamaa mdogo wangu
@shamilashabani4288
@shamilashabani4288 26 күн бұрын
Subhanallah,Mungu akupe subra binti yetu,au mama kapigwa na jini
@Maryam-yt8lw
@Maryam-yt8lw 27 күн бұрын
Pole.sana.mwanangu.Allah.atampa.shifaa.atapona.na.wwe.Allah.atakupa.nguvu.mwanangu
@Kinyangulishabani
@Kinyangulishabani 12 күн бұрын
Yan mpaka nalia kwahuluma mungu ampe nguvu mama apone mdogo angu mungu akupe nguvu
@TatuLimangwe
@TatuLimangwe 24 күн бұрын
Pole sana mwanangu hiyo ndiyo Pepo yako
@SalmaSamiry
@SalmaSamiry 27 күн бұрын
Pole sana mungu atamuafu atapona mama tumuombee tu 😢
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 24 күн бұрын
Dah pole saana mdogo wangu
@SaidyFaranda
@SaidyFaranda 26 күн бұрын
Mungu akupe moyo wa subra mwanangu
@asmamjema8539
@asmamjema8539 26 күн бұрын
Hiki kiatu hakivalik walah Ya Allah, tunakuomba kwa huruma zako hakuna wakuabudiwa ila ni wewe, yarabi ijalie hii familia iwe ni miongoni mwa familia yenye furaha, tunakuomba kwa kudra zako tazama watoto hawa pamoja na mama yao uwafe shifaa apone maradhi haya aweze kutambua watoto wake, sijalala kabisa usiku huuu naiombea dua kwa Allah iwe miongoni kwa familia yenye furah
@ZaitunSaid-o2v
@ZaitunSaid-o2v 23 күн бұрын
Pole sana
@edsonedwix4408
@edsonedwix4408 26 күн бұрын
Maskini mungu awaponye na huyo mtt mdogo anatakiwa kufanyiwa chekap kabsa
@pilijoseph4400
@pilijoseph4400 20 күн бұрын
Eeee mungu naomba umsaidia huyu mama apone
@VionaMuthoni289
@VionaMuthoni289 26 күн бұрын
😢😢😢😢pole sana, nimemkumbuka Mama Heppy na mama Leilat vile wzlivyokuwa wanauguza mama zao,huyu mtoto anaumia pamoja na mamake
@mgenimoosa5252
@mgenimoosa5252 27 күн бұрын
Pole sana mwangu Allah akufanyie wepesi
@JamilaMohammed-n8n
@JamilaMohammed-n8n 27 күн бұрын
Pore mwanangu mungu atakufanyia wepesi
@pilijoseph4400
@pilijoseph4400 20 күн бұрын
hadi machozi yamenitoka mungu msaidie
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 26 күн бұрын
Mungu atamjalia atapona
@hpmobilephone9951
@hpmobilephone9951 27 күн бұрын
Masikini pole sana mtoto mzuri
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db 25 күн бұрын
😢😢😢 dah jaman kwel kabla hujafa hujaumbika maskin uyu mtoto hadi huruma
@angle3600
@angle3600 26 күн бұрын
Mungu amponye
@aishajuma7813
@aishajuma7813 27 күн бұрын
Mungu akupe nguvu jamani
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 25 күн бұрын
Jina linakuja aisha lkn baba mwengine
@MaryamShabani-n2u
@MaryamShabani-n2u 26 күн бұрын
Poli sana Binti
@aishatest4451
@aishatest4451 27 күн бұрын
pole sana
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 25 күн бұрын
Hatu jajua baba mtoto Yuko wapi una takiwa uhoji tujue jaman
@MwantumT
@MwantumT 27 күн бұрын
Atapona ishaallah
@KHABISIBRAH
@KHABISIBRAH 27 күн бұрын
kama na yeye mjamzito yarab mponye mama
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 25 күн бұрын
Naninmjamzito
@WahidaMussa-m8y
@WahidaMussa-m8y 22 күн бұрын
Jaman baba wawatt hao wakowapi?
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 27 күн бұрын
Pole mwangu ndiyo mitihani yarabi mimi nipo nishapitiya hizo shida za maradhi ya mama alikuwa na sukar baba mpaka leo ni mngonjwa wa essdent ya baiskeli ni mtihani yarabi mungu afanyiwe wepesi ishaalah
@MwasitiShonasho
@MwasitiShonasho 27 күн бұрын
ALlah amponye
@NuruSalum-x2t
@NuruSalum-x2t 26 күн бұрын
Assalamualaikum mdogoangu pole kwa mitihan na mm pia nina mtt ana mwaka na miezi 4 na mpaka saiv hajaenda
@shamilashabani4288
@shamilashabani4288 26 күн бұрын
Baba wa watoto yupo wapi?
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 25 күн бұрын
Mamaak han ndug naon huja muhoj tuka jua stor yake yote sas
@omanoman2044
@omanoman2044 27 күн бұрын
Atatembea tuy watuy wanatembea hata mwaka na nusu
@SamKissay
@SamKissay 26 күн бұрын
Pole dada
@LatifaRajabu-l3n
@LatifaRajabu-l3n 26 күн бұрын
Baba yao yuwapi
@FATUMASALIM-w9q
@FATUMASALIM-w9q 27 күн бұрын
Hakuna namba ya M-pesa?
@maximumtvonline
@maximumtvonline 26 күн бұрын
Siku hizi pesa unatuma mitandao yote yote
@NuruSalum-x2t
@NuruSalum-x2t 26 күн бұрын
Kwaiyo Allah atamjaliya atakwenda usikate tamaa mdogo wangu
@wahabiahamadichongera6361
@wahabiahamadichongera6361 26 күн бұрын
Pole sana
@NuruSalum-x2t
@NuruSalum-x2t 26 күн бұрын
Kwaiyo Allah atamjaliya atakwenda usikate tamaa mdogo wangu
MAMA MKWE AMEVUNJA NDOA YANGU
1:04:02
ZamaradiTV
Рет қаралды 22 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 11 МЛН
I LOVE MY TEACHER | 1 |
18:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 275 М.
"TENDO LA NDOA NI UBUNIFU NA BAILOJIA" -ZAWADI MSIGALA
1:14:08
Makutano TV
Рет қаралды 10 М.
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20