Wanaovumisha Gamondi kufukuzwa ni wale waliofingwa na Yanga mfululizo.Watulie tu
@matrida.lunyilija51963 күн бұрын
Hatuna wasiwasi na Viongozi wetu maana mpo imara,hizo ni propaganda tu za madunduka wanaomba gamond aondoke na haondoki ng'o tabu ipo palepale DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
@jairatu6883 күн бұрын
Kabisaaa
@DICKSONLUCAS-i6l3 күн бұрын
simba wanajitekenya alafu wanajicheka wenyewe tumeashawazoea makolobwambwa na wachambuz zao wamchongo
@DoryGeorge3 күн бұрын
Naomba mungu iwe hivo
@rehemarehema74752 күн бұрын
Gamondi asiondoke chanzo ni amisa mapet amemdanganya anzizi k awe mum wake kumbe anamvunja nguvu zake la kini yanga juu sana❤❤❤🎉🎉 yanga yangu
@MkomboziMtaula2 күн бұрын
Hayo,ndiyo majbu ya kiongozi imala
@NdevuKamdini2 күн бұрын
Nice🎉🎉🎉
@AminoKhalif3 күн бұрын
Yanga oyeeeeeeeee bingwa tena na tena inshallah daima mbele ilove yanga yangu ❤❤❤💚💚💚
@DicksonKobe2 күн бұрын
Kiongozi imara sna daima mbele nyuma mwiko
@RechoBornphas2 күн бұрын
Tujifunze kupitia walioshinda walioshindw Wana maneno mengi simba wafanye Yao ss tutazid kufanya vzuri
@KapeLoBoY2 күн бұрын
fact kiongozi wetu tupo na viongozi wanajua mpira na na nini mpira unataka nini
@robertzamani56123 күн бұрын
Yanga haipitii kipindi kigumu,kufungwa ni sehemu ya mchezo shida waandishi wa habari wanakuza mambo
@muddymuzungu43572 күн бұрын
Hasa JEMEDARI 😂😂😂😂
@hamisamajoka32842 күн бұрын
💛💚💛💛👏
@SantinaChale2 күн бұрын
Hongera sana mtendaji wetu.tupo pamoja sana.Yanga yetu Daima mbele nyuma mwikoooooo.Yangaaaaaa bingwaaaaaaaaa
@CharzMasonda-c2d2 күн бұрын
Gooooood more than naipenda sana yanga yetu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@innocentmmandago30292 күн бұрын
Kipindi gani kigumu....waandishi msitusemee!
@ZaliyaSaid2 күн бұрын
Asnte kingozi wangu kwaneno mazuri yabusara
@majaliwamussa92682 күн бұрын
Waandishi na wachambuzi wana fosi taarifa
@MakuoeJafary2 күн бұрын
Dirisha dogo mabeki tupo Kama man cyt
@proisolution7166Күн бұрын
TATIZO HIVI VIANDISHI VYA TANZANIA KUJIFANYA ETI VINA TENGENEZA STORY NA MJUE KWENYE HUU UMASKINI,SASA WEWE UNAULIZA UNAJIBIWA HALAFU HUSIKILIZI UMEJIBIWA NINI?UMEAMBIWA FOOTBALL CIRCUMSTANCES NA UANARUDIA KUONGEA AS IF KUNA CRISIS ,TATIZO SHIDA KWA WATANZANIA TUNAPENDA KUONGELEA SHIDA ZA WATU,.
@linuslusian-d5w2 күн бұрын
yahani watanzania kufungwa mechi mbili clabu inapitia hali ngumu point bado wanapishana 1 Na simba ubingwa palepale
@seciliamchalo56272 күн бұрын
Yaani wanapiga kelele hadi kero
@seciliamchalo56272 күн бұрын
Yaani wanapiga kelele hadi kero
@linuslusian-d5w2 күн бұрын
sioni sababu ya kumfukuza Gamondi kwenye ili jambo.
@ramadhanilessosaidi96912 күн бұрын
❤❤❤ Afadhali ya channel hii kutoa uhakika😮😮😮
@candidamuhanika83283 күн бұрын
Yanga haina tabia ya kufukuza ma kocha ovyo. Wala wananchi hatuna tabia ya kutoka mapovu eti timu imepoteza mchezo. Yanga ni wastaarabu jamani we acha tu…
@oscarmwailubi50783 күн бұрын
Tusivurugane na matokeo ya machine 2 tu, sisi ni imara tena imara sana cha msingi viongozi na wapenzi wetu tuwaombe tusiwanyoshee vidole wala kutoa lawama kwa mtu mmoja bali tukae Chini tujue wapi tulipo tunaelekea wap na MIPANGO YETU IPOJE
@jumannemwakalinga25863 күн бұрын
Hongera sana kiongozi wetu, umetulia na unaongea kwa hekima na busara. ❤❤❤
@WilfredChomo3 күн бұрын
Asante sana Miraji kwa majibu ambayo yamesheheni hekima na busara. Tutaendelea kuisapoti Yanga Afrika.Bravo gentleman.
@WilfredChomo3 күн бұрын
Sorry.Not Miraji but Alex Ngai. I salute your wisdom as well as your vision.
@perepetuajohn3 күн бұрын
We kolo SISI YANGA siyo Simba mnaofukuza makocha ovyo kama karanga za kutafuna ,siye Yanga tunatafuta chanzo Cha kupoteza ni nn na wapi tumefeli, viongozi wetu wana akili nyingi wanapanga vita upya na kutafuta siraha za maangamizi Kwa Kila tutakaekutana naye!!
@ShuuSwalehe-vd7it3 күн бұрын
Makolo wanajifariji sana yanga ni lidude likubwa
@SharifuLubuva3 күн бұрын
Nyee wadishi do munasema yanga inapitiya kipidi kigumu sisi hatupitii kipidi kigumu
@JuhudiKasanga-yq5ks3 күн бұрын
Tafadhari viongozi msije dhubutu kumuondoa gamond hiyo ni vita ya maadui wetu achana na kuwasikiliza hao mapandikizi huyu jamaa anawaumiza watu kweli
@iddimngazija19573 күн бұрын
Kabisa viongozi wampe ushirikiano kocha gamond ktk kipindi hiki naamini tutarudi tukiwa imara zaid
@perepetuajohn3 күн бұрын
Ondoa hofu Yanga Iko IMARA!!💚💚💛💛🎉🎉. DAIMA MBELE NYUMA KUNA WENYWEWE NANI MAKOLO NA WAUZA UKWAJU NA ASALI😂😂😂😂
@HappyBarnOwl-ug5kt3 күн бұрын
Yanga yangu mm wanachiii oyeee
@AyoubGeorge-n6o3 күн бұрын
Nikwer kaka mungu ni mwema tutalud tukiwa imala zaid ,daima mbele nyuma mwiko
@WakiliHaule3 күн бұрын
Yanga watu wa mpira sana....angekuwa kiongozi wa simba apo ndo timu yao ingekuwa wanapitia kipindi kama iki ungesisikia GSM anatuhujumu..
MR ALEX TUNAOMBA HAO WACHEZAJI WAKO HURU MNO HAWABANWI HIYO SIYO HALI YA KAWAIDA KUKOSEKANA KWA WACHEZAJI SIYO SABABU YA KUFUNGWA WACHEZAJI MUMEWAACHA HURU MNO
@BenezethEmily3 күн бұрын
Heshima Yako ndo salamu gan hyo?
@GodwinMailos3 күн бұрын
Yanga bingwa tena; Wanayoibeza wote walishafungwa na Yanga
@abuunayfatu87013 күн бұрын
Viongozi wa yanga wako vizuri sana haswa katika hili la kujitokeza na kulizungumzia sakata hili
@JosephChrisant3 күн бұрын
Simba mawakala wao wana propaganda za kishamba sana tena wana mambo ya kizamani sana. Ingekuwa Simba ndiyo timu kubwa peke yake Tanzania basi ligi yetu isingekuwa ligi namba 5 kwa ubora Afrika maana Simba mpira wao ni ule wa kizamani wa kwenye kahawa.
@daviceshau64473 күн бұрын
Kipindi kigumu kipi mwandishi😂 Nyie wachochezi ndio mnakipindi kigumu
@muddymuzungu43572 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 daaah Kweli alooo
@enriqueben56663 күн бұрын
Fact kiongozi wetu❤
@gervaslukaya3 күн бұрын
Wananchi Awana baya matokeo ni moja ya michezo akuna timu usiofungwa duniani
@allykeys59393 күн бұрын
😢waambye hawo waamdi wote madunduka wanataka kutuondowa mbyo za ubinwa 😂
@ameirzapy13183 күн бұрын
😂😂 Nani kakwambieni tunapitia kipindi kigumu? Muwe na adabu, Hali ya mpira😂 kushinda na kufungwa
@remigiusyustinian20603 күн бұрын
Kwani nani kafa
@OsmaniSiame3 күн бұрын
Ubingwa tena
@janejoel24653 күн бұрын
Hatuna shaka kabisa
@oscarmwailubi50783 күн бұрын
Sisi tupo nyuma yenu na YANGA yetu ni imara
@romimwalu3 күн бұрын
Yanga haipitii kipindi kigumu hata kidogo
@hafidhnzota21423 күн бұрын
Wewe KIONGOZI hujuwi Media TIMU kubwa yenye kikosi kipana WACHEZAJI watatu utalia labda CHAMPIONS LEAGUE AU daby Tabora AU singida, Dodoma jiji mbona.khalid anasimama na Mwamnyeto fullback kibwana kibabage midfielders mnao WENGI ila TIMU yenu ujanja MWINGI TU WA SWAHILI
@SalhaSewandoКүн бұрын
Kolo chakavu unaumia nn
@costamasuba10993 күн бұрын
Shida ilianzia Kwa aragija ,aliingia na matokeo Azam ishinde, safi sana we ni kiongozi kweli, uko sawa,
@witnesskagirigiri37633 күн бұрын
Wewe ni Th .unasema Timu iko vizuri wakati mechi 5 mfululizo goli 1 na Gamond Bado yupo kwenye ukocha.
@samuelzachariah39843 күн бұрын
Mpira umejifunzia ukubwani??
@chiburendomi52672 күн бұрын
Hivi huu mpira mnaufanya kama kula kiporo cha ugali eeh
@witnesskagirigiri37633 күн бұрын
Mnasubiri tuwapige mawe ndio mjue tunauchungu na Timu yetu.Mhojiwa mwenyewe amevaa kihuni hataki kuonyesha hata sura .Anaakili kama za Gamond.
@janerouhassanjanerou79333 күн бұрын
Hebu kwenda zako uko kampoge mawe kocha wako wa makolo
@GraceMarine-vo9hu3 күн бұрын
Ulitaka avaeje ili ujue anaongea kwa uchungu? Avae gauni? Gunia? Dera au nini?
@majaliwabwitonde69003 күн бұрын
We vipi, una shida gani?
@majaliwabwitonde69003 күн бұрын
We vipi, una shida gani?
@chiburendomi52672 күн бұрын
Cheki PIMBI huyu yaani ulitaka avaaje sasa
@abdallahmesso77323 күн бұрын
Nijuzi.sana wa kuchanga karata hata noninvasive zipo
@christophermbuga96233 күн бұрын
Ninyi watu ni wapuuzi kabisaaa!!
@hancyplatinumz523 күн бұрын
Kwa mtu anae jua kumsoma mtu saicologia kocha ana nafasi ndogo sana ya kuwepo yanga inshont kua gamond hatunae TENA trust me! GUYS
@EdinaLaulent3 күн бұрын
Utakuwa taira wewe
@aminasogo57803 күн бұрын
Jamani gamond asiondoke ndo mpira ila.yote haya alajiga ila kama ipo ipo tu
@andrewmpakasi39343 күн бұрын
Je tunashukuru sana kwa kusogeza mechi ya tarehe 21 je vipi mechi ya tarehe 30 pia ni vizuri ipelekwe mbele
@oscarmwailubi50783 күн бұрын
Sisi kama wapenzi na washabiki wa mpira YANGA yetu bado imara na viongozi wetu msiwe na wasiwasi bado tupo pamoja nanyi
@aronabadji97803 күн бұрын
Tunawaamini san viongozi wetu
@doricepulling80513 күн бұрын
Yanga bingwa
@christianjohnmwalugaja80903 күн бұрын
No no no mnatutesa sana haiwezekani Nkane achezeshwe kama beki wakati Hana msuli na kumudu mikikimikiki Musonda anaanzishwa wakati hayupo kwenye fomu kabisa. Aisee!!
Kiongozi wachezaji waache kubweteka wasicheze kwa mazoea halafu kwa nini hawapo pamoja kambini kila mmoja anapotoka kwake ndiyo maana hata kufika kwenye mechi mpaka inapelekea kupewa adhabu
@christinataimu3 күн бұрын
Ni kweli gamondi anawaumiza watu hivyo msimuondoe ni kocha mzuri sana huo ni ulozi ndio maana tinapoteza msimkasilikie kocha wapendwa viongozi wa yanga.
@ShangweKiulamagulu3 күн бұрын
Yaan ubaya ubwela hadi mseme huu mwaka yanga ni 🔥🔥🔥🔥
Safi sana sio hawo madunduka golitano mpaka leo Haishi hayupo
@AbuuAlly-fg5df3 күн бұрын
Haitwi haishi nenda shule kwanza .
@matrida.lunyilija51963 күн бұрын
@@AbuuAlly-fg5dfuzuri umemuelewa
@muddymuzungu43572 күн бұрын
5 na ameeelewekaaaaa nenda shule wewe😂😂😂😂😂
@terrence94773 күн бұрын
Ila msiwape uhuru hao wachezaji, huku sio ulaya
@mohamedhamisi41073 күн бұрын
Daaah kuna waandish maandaz sana 😂😂😂
@MichaelMlija3 күн бұрын
Uzembe.kwa.uongozi
@SalvatoryMtunga3 күн бұрын
Sycologia gani wewe, gamond yupo sana yanga.
@Mumlion26243 күн бұрын
Gamond aache hasira nawachezaji pia awapamoj nao
@dottomatola59053 күн бұрын
Unaushaidi
@Mumlion26243 күн бұрын
@dottomatola5905 ndy we hukuon new amn alivyomsukum koch wa Singida kitambi mpk akaanguka chin napia kasikilize interview za wachambuz ndo utajua kocha anakiburi hata mech ya juz alipaswa ampange kibwana lkn chuki zake anamuwk benchi
@Mumlion26243 күн бұрын
@dottomatola5905 kocha gamond anakibur sana kila mechi lazima apewe kadi