Mkakubali.kupigwa maneno ya maslahi binafsi mkaacha hoja muhimu za kitaifa. Mkumbuke kuna Mungu. Watu wanamwomba mungu sana na hayo ni majibu ya maombi yao. Yanayofanyika nyuma ya pazia yanafichuka. Kumbe hasira zote hizi ni matokeo ya kupingwa chini. Mmegundua hakuna kupewa uteuzi wa ubunge wala uwazuri. Poleni sana. Mungu hakupendezwa na hizo janja zenu za kujinufaisha binafsi kwa kutumia migongo ya watu wa Mungu. Jitafakarini sana.
@zawadichisunga610710 күн бұрын
Mnatuambia tuombee uchaguzi je ipo sababu ya kuombea? Mm navona wasimamizi wa uchaguzi hawataki upinzani basi hakuna haja ya uchaguzi
@adelinelyaruu303610 күн бұрын
Siyo wasimamizi. Ni mfumo mzima😢😢😢
@marieconnect63898 күн бұрын
Umenza vizuri sana kuelimisha lakini unimalizie vibaya kwa kutoa siri ya kwanini mliamua kukaa kimya. Mngeshughulikia haya mapema tusingekuwa tunazungumzia hayo saa hizi. Mngeyamaliza kabla ya kuingia kwenye uchaguzi.
@marieconnect63898 күн бұрын
Asante mungu na nyie mumechuuzwa hamkupewa vyeo juu kwa juu. Mlitaka kutuchuuza wananchi sasa yamewarudia. Mlifumbia macho mambo ya msingi kwa ahadi fake sasa yamewarudi na nyie. Dhambi mliyotenda amewaumbua vibaya na bado. Dhamira yenu haikuwa safi ndiyo maana saa hizi tunahangsika na mambo ambayo mlipaswa kuyamaliza bado mapema kabla ya uchaguzi. Mnatuvuruga tu aliko zetu
@najimsuleiman36909 күн бұрын
Waoo walishaziba Masikio wala hawaelewi na wataendelea na Uchaguzi bila kujali haya Malalamiko. Wanaipenda Dunia na Wanaiacha bure...
@marieconnect63898 күн бұрын
Kama mliyajua hayo makosa ya 2019 hayajarekebishwa kwanini mkakubali kuingia kwanye uchaguzi? Mnatusumbua bure na kutuvunja nguvu. Acheni michezo hiyo viongozi wa upinzani mnatuvuruga.
@MasungaNekwa10 күн бұрын
Huu ni ushetani kabisa hakuna tena hofu ya Mungu halafu washenzi hawa waendelee kuitawala nchi hii tumekwisha.
@Longinojohanes10 күн бұрын
Jamani viongozi wetu huku mwanza watu wamekatwa ote majina yao mwanza kisesa kata ya bujora sasa tunawaomba viongozi wetu lisu na mbowe wapibgieni kabisa ccm walundishe majina ya wangombea jamani nini hiki sasa tunawaomba mje mbowe kata ya bujora kisesa mwanza tunaonewa san huku
@RestitutaNjau-k8x9 күн бұрын
Wanasema eti wamekosea.najiuliza ni wao tu ndio wanaokosea.Ccm wao hawakosei?hii dhambi itawatafuna.Mungu yupo
@marieconnect63899 күн бұрын
Kwa hiyo mliingia kwenye uchaguzi mkijua hakuna uhalali? Mkijua kabisa kuwa mtashindwa? Kumbe ilikuwa kwa faida zenu binafsi za kupewa vyeo. Asante mungu nia yenu haikuwezekana
@lwelenjalferdinand67110 күн бұрын
Mungu ni Mwema. Tuendelee kumweleza maana anasikia.
@adelinelyaruu303610 күн бұрын
Indeed. Let's pray unceasingly because God listens
@marieconnect63898 күн бұрын
Kwani hamkujua hayo hatatokea? Kwanini hamkujihadhari? Sasa mnatulilia sisi tufanyeje? Mnatuchanganya akili tu. Na sisi tunachoka. Mngejiyoa kwenye uchaguzi. Au kwa sababu nyie wachache mliahidiwa vyeo vikubwa? Msitukoroge bwana
@marieconnect63898 күн бұрын
Wanaengua wapinzani kwa sababu wanajua wapinzani hawana hoja za maana. Viongozi wao Wakipata nusu mkate wanakuwa tayari kuwauza wanachama wao. Nyie nanjaa zenu ndio mnawapa kikiuri hao.
@marieconnect63899 күн бұрын
Asante sana Samia kwa kuwalaghai sababu walitaka kuwasaliti wananchi wanaowaamini. Bora wamejichanganya wenyewe
@palisa-m2k8 күн бұрын
Mjinga tu ww
@marieconnect63898 күн бұрын
@@palisa-m2k wewe mjanja? Fanya analysis tumia kichwa
@marieconnect63899 күн бұрын
Umesema "Tukaacha kuzungumza hoja za msingi" kwaahadi za nusu mkate....why Lissu why?
@marieconnect63899 күн бұрын
Kumbe mliacha kuzungumza kwa nguvu kuhusu mambo ya katiba mpya, mfumo wa demokrasia, mfumo wa mzuri uchaguzi mkijua kabisa tunaelekea kwenye uchaguzi....hamkuona kama mnawasaliti wananchi wenu wanaowaamini.na.kuwafuata nyuma? Hamkuona umuhimu wa kuwasemea? Sasa kama huo siyo usaliti ni nini? Mmewakosea sana wananchi wa taifa hili waliowaaaminj na kuwategemea kumbe mnajipigania matumbo yenu wenyewe? What a shame!! Ukweli huu unaumiza sana. Tena kwa kunywa chako mwenyewe siyo kusingiziwa na mtu. So painful
@HamimMbango10 күн бұрын
Watendaji watume ya uchaguzi tumiani busara nnchi mutaipeleka kwenye matatizo iyo saiz kwa kutetea maslai ya mafisadi nanyi mukinufaika kwa maslai machache sana
@marieconnect63898 күн бұрын
Wabaya zaidi ni hao hao viongozi wetu wa upinzani wanaotuuza wananchi kwa ahadi za nusu mkate. Wao ndio waliosababisha yote haya. Wangesimama imara kwa maslahi ya taifa Leo hii tusingekuwa na haya maugomvi...wangeyamaliza mapema sana kama wangetaka. Wao ndio wametuuza kwa bei ya nusu mkate.
@tumlakimwaitumule9 күн бұрын
Hii hatari sasa
@peterjosephat668510 күн бұрын
Ccm hawawezi kushinda hata kata moja kwa haki hawakubaliki tena wamebaki tu na ujinga wa kupita bila kupingwa
@adelinelyaruu303610 күн бұрын
Hii ni laana kwao
@RobertSanga-l8e9 күн бұрын
CCM haiwez shindana nachadema kwahaki
@marieconnect63899 күн бұрын
Mungu anaona yote yanayofanyika gizani. Anaona hila zote. Namungu bado anatupenda sana. Angalia wakati umefika wa kuyaanika ya gizani hadharani. Kumbe ukimya nautulivu wenu wa kuacha kupigania mambo ya msingi kwa wananchi wenu kama katiba na mfumo mzuri wa uchaguzi ulisababishwa na maridhiano ya kuahidiwa vyeo kama ubunge na uwaziri nk. Siri zinafichuka sasa. Mungu hatawaacha muendelee mtumie watu wake kwa manufaa binafsi. Safisheni nafsi zenu mtende yaliyo haki na kweli yanayompebdeza Mungu, hapo mtashinda bila kutumia nguvu kubwa.
@raymondnlelwa4279 күн бұрын
Kiukweli ka maelezo haya nitashagaa kama huu uchaguzi utafanyika, maana hii si HAKI!!
@WilliamKyando-u3z10 күн бұрын
Sasa tuna chagua nn
@dominicksangu89347 күн бұрын
Hayo maneno ya mwisho ndio ya kusimamia tu.
@matrida-w3o9 күн бұрын
heeee makubwa mungu tusaidie tinateseka sisi wahali zachini
@PatrickNyaonge-h3r8 күн бұрын
Ila wanaofanya unyama huu watambue c.c.m ilianza na itaisha na unyama huu watabeba garama yake siku moja Mungu ni wa wote. Yeremia 9:23
@marieconnect63899 күн бұрын
Mkadanganyika kwa ahadi za vyeo mkakubali mkaacha hoja za,msingi kama kupigania katiba mpya na mfumo bora wa uchaguzi. Mmeingizwa mkenge sasa mnalalamika nini? Hizi siasa ndiyo maana zinatushinda hatujui tumwamini nani sasa. Maridhiamo kumbe yalikuwa ya maslahi binafsi? Sasa mnaweka mambo hadharani. Tuwasaidiaje? Mnatuchanganya tu kwa kweli.
@maase20239 күн бұрын
Mmmhhhhh ovyooooooo huyu! Kila mwaka anaibiwa yy tu mmmmhhhhh
@marieconnect63898 күн бұрын
Ajabu. Kwanini asizuie kuibiwa? Amepokea ahadi feki za vyeo aladanganyika sasa anamlilia nani?
@ibrahimbaila776410 күн бұрын
Hivi kama watu hawataki changamoto kwann mnaitisha uchaguzi? Kama watu hawataki wapinzani wawepo kwanini uchaguzi huwepo? Kwann tuwe nauchaguzi wakati watu wanataka wawe wenyewe .
@ChugaYechu10 күн бұрын
Hakuna mapinduzi ya amani tena
@JAFARILilenga8 күн бұрын
Ni kwer kaka
@marieconnect63899 күн бұрын
Mwanzo wa speach ulikuwa mzuri unafafanua japo kilikuwa na maswali mengi kwamba kwanini mliamua kushiriki. Mwishoni imeeleweka kwanini mliamua kwa makusudi kufumbiia macho mapungufu hayo. Ilikuwa kwa faida zenu binafsi bahati mbaya mambo yameenda vibaya mnatoa siri hadharani. Mungu mkubwa. Na bado mtasrma siri zote watu watajua mbivu na mbichi ni zipi. Watu wana akili zao.
@marieconnect63898 күн бұрын
Kwanini mliacha kutetea maslahi ya taifa kwa ahadi za kupewa madaraka ya bure? Mmetuangusha vibaya sana. Hamuaminiki tena
@hamadrashid51408 күн бұрын
Mchinjita alisema sana hilo ACT WENZENU WALIFUNGIWA KESI MAHAKAMANI na umelikiri hilo wenzenu mulitakiwa muwaunge mkono tangu mwanzo.
@tibbsminja257510 күн бұрын
Hata hivyo mlijitahidi sana kwenda maandamano, Mahakamani na kulaani haya Marengo ila CCM wanalitumia Bunge mahakama na polisi!
@adelinelyaruu303610 күн бұрын
Sasa kisheria hii imekaaje kuhusu yanayoendelea 😢😢😢
@Kwelihukuwekahuru9 күн бұрын
@@adelinelyaruu3036 ni wananchi tu wenye uwezo wa kusema basi yatosha bila kuharibu chochote wala kufanya fujo kukataa kwa amani kwa hili siyo vyama tena kwani vyama vinakutana na nguvu ya walinda sheria ambao wamekuwa wavunja sheria mahakama siyo wananchi tena bali ulinzi wa serikali bunge ndiyo hata usiseme siyo mwakilishi tena wa wananchi amebaki Mpina pekee ataweza?? Polisi ndiyo kabisa wakisikia CDM wanapanga maandamano tena ya amani wao wanaandamana kwa silaha kwa shari Wamasai wa Ngorongoro ni mfano mzuri ingawa hawakufanyiwa fujo si kwa sababu watawala walipenda bali unyeti wa eneo linalotembelewa na dunia nzima vinginevyo wangekiona cha mtema kuni mwenye sikio na asikie Roho wa Mungu akiliimbia taifa letu Mungu turehenu Mungu tutetee Mungu tupe hofu yako Mungu usihukumu taifa letu kwa dhambi ya mtu mmoja bali tunakuomba ushughulike na wale wanaotenda maovu wawe CCM au wapinzani na hata viongozi wa dini wanaopokea rushwa na kushindwa kukemea maovu Tuhurumie na ughairi hasira kwa watu wako kwani umesema haki huinua taifa na sasa haki tumeifisha tunasubiri aibu ya kuangamia lakini wewe ni mwenye huruma umesema akiwepo mmoja tu mwenye haki hutaangamiza naamini huko serikalini bungeni mahakamani na polisi na viongozi wa dini yupo mmoja tu mwenye haki mbele zako watumie hawa ee Mungu kuinusuru tunu ya taifa letu Mwenye haki aseme AMEN
@Kwelihukuwekahuru9 күн бұрын
Mwenye kupenda dhuluma anaruhusiwa pia kusema hapana na kupinga yanayolitakia taifa letu amani ya kweli kwani Watanzania siwashangai kwa kuwa tumelishwa matango pori tuna macho hayaoni tuna masikio hayasikii tunasifu wanadamu kuliko Mungu kama si huruma ya Mungu tungeangamia siku nyingi
@marieconnect63898 күн бұрын
Pia wanawatumia wapinzani wanaojali maslahi binafsi kwa kuwaahidi vyeo na nusu mkate. Nao pia ni wasaliti. Wanatumika kuangamiza vyama vya upinzani na kuharibu uchaguzi. Leo ndiyo tumeyajua
@marieconnect63895 күн бұрын
Yes wanatumia hivyo vyombo ulivyotaja lakini pia wanawatumia viongozi dhaifu wa upinzani kwa ahadi za nusu mkate ili kutimiza malengo yao. Nao wanadanganyika wanawageuka wafuasi wao. Kazi iko tena kubwa sana
@marieconnect63899 күн бұрын
Siri imefichuka sasa. Hicho kipande cha mwisho kimenishtua sana. Kumbe ilikuwa ahadi za chinichini za kupewa vyeo vikubwa kisirisiri? kuteuliwa ubunge, uwaziri nk? Watu tungejuaje hayo? Maana hayakuwejwa hadharani. Asante mungu.
@Kwelihukuwekahuru8 күн бұрын
@@marieconnect6389 usishtuke bali tafakari maridhiano ni mapana hata kushirikiana kuongoza au kutawala ni kitu kizuri kama kitaondoa uhasama na kuleta maendeleo hata nchi kubwa za Magharibi ambazo ndiyo tumeiga demokrasi kuna wakati wanaunda serikali ya pamoja uingereza ilishafanya hivyo mara nyingi America haina mipaka ya kuwatumia wanachama wao tu katika kuleta ufanizi kwenye vikao vya senate hawaungi hoja zitolewazo na chama chao ikiwa kinakiuka maslahi ya nchi unakumbuka democrat na republican waliungana kumtoa Nixon madarakani kwa kashfa ya Watergate au swala la umalaya ofisini la Clinton huo ndiyo uzalendo vyama vingi siyo uhasama bali kuijenga nchi sioni shida mimi Rais Samia akamtumia yeyote Manzania kwa ajili ya kuleta tija kwani nchi ni yetu sote na tu Watanzania vyama vitakoma lakini utanzania ni udugu wa milele
@PatrickNyaonge-h3r8 күн бұрын
Hi inadhibitisha kuwa nchi za kiafrika hususan Tanzania hazikupokea mfumo huu kwa dhati tulizoea utemi basi ni aibu
@JOHNLUCAS-i2n10 күн бұрын
Nimekukumbali sana hapo
@marieconnect63898 күн бұрын
Aliyeuza chenji kauza CHENI bandia na aliyenunua cheni katoa pesa bandia. Mungu amewaumbua sababu mlitaka kujinufaisha wenyewe nyuma ya mgongo wa wananchi.
@PatrickNyaonge-h3r8 күн бұрын
Wapi watu walionyuma yenu kwa dhati lakn kinachonishangaza sisi watanzania mnaotupigania hauoni faida yenu baya zaidi watu hawaoni faida ya upinzani na wanafurahia udikteta was c.c.m wakati mnahatarisha maisha yenu kwa ajili ya wengi, bas mtuache tu tuteseke
@JamadaHabibu7 күн бұрын
WEW UNA UWEZO SANA ILA TATIZO LAKO NI KUSHABIKIA USHOGA! CKU UKIKANUSHA HILO KUWA HUSHABIKII USHOGA NITAKUUNGA MKONO KWANI CCM C WATAKI
@maase20238 күн бұрын
Hawa washazidiana maarifa huko chadema juu ya mgao sasa vurugu wanalo kisha eti tuwape kura hawa si mtihani utakuwa
@MUHAJIMTONOYA9 күн бұрын
Huyo lisu ajajiandikisha, kumbe wao wanawategemea wapigiwe kura na Wana CCM
@marieconnect63899 күн бұрын
Afadhali Magufuli alikuwa na nia njema na nchi yetu kutokana na uchapakazi wake na alikuwa na malengo ya kuinua taifa hili kiuchumi na kila mtu mwema alikumbali. Tuseme ukweli kazi za Magu xilimgusa kila raia na zilidhihirika zenyewe kwa vitendo. Ukuaji wa uchumi, miundombinu ya barabara imara, huduma bora maofisini, mahospitalini nk. Wanyonge waliweza kupata haki zao na ule usemi wa "unanijua mimi nani" ulitoweka kabisa. Ufisadi ulipungua sana na nidhamu ilionekana. Hiyo pekee ilisababisha watu kumkubali sana yeye na wateule wake bila kulazimishwa au kuhongwa. Hilo halipingiki wala haliwezi kufutwa kwenye akili zetu kirahisi.
@Kwelihukuwekahuru8 күн бұрын
@@marieconnect6389 nakubaliana na wewe kuwa kuna kazi zinazoonekana lakini mahali tunapokwama wanadamu wote ni kujua nini maana ya mafanikio na furaha ya kweli maendeleo vitu hayaleti furaha wala amani kama hakuna upendo wa kweli kuna familia na ndoa zenye utajiri lakini maogomvi hayaishi hakuna kitu kibaya na akichukiacho Mungu kama dhuluma kunyima haki kutoa uhai wa mtu kumwaga damu ya mtu mmoja tu ndiyo maana Kaini alikuwa na mali alipomuua Habili Mungu alimwadhibu wote walikuwa na mali lakini kukosa upendo kuliwaletea vifo wote aliyevunja upendo na aliyevunjiwa upendo Kama JPM angetuachia katiba mpya na alikuwa na huo uwezo nchi ingepaa sana na hiyo legacy isingefutika lakini angalia sasa alilinda rasilimali lakini hakuweka katiba ya kuzuia yeyote awe Rais au mwananchi kushtakiwa je bandari si rasilimali misitu nk je ile sheria isiyo na katiba imara imeweza kuzuia kuzitoa kwa wageni Watanzania tuingie ndani kwenye mambo ya nchi yetu tuwe na sera ya kitaifa siyo sera ya kila Rais na slogan zake akiondoka tunaanza moja
@marieconnect63898 күн бұрын
HII HABARI YA MARIDHISNO BANDIA yaliyofanyika NYUMA YA PAZIA kwa ahadi BANDIA za vyeo, INAFANANA sana NA habari ya ALIYEUZA CHENI KAUZA CHENI BANDIA NA ALIYETOA PESA KATOA PESA BANDIA. NGOMA DROO. Mlitaka kupumbaza wananchi sasa mmepumbazika nyie....poleni sana
@dominicksangu89347 күн бұрын
Hilo ndilo lililobaki tu.
@Isaya-j4x10 күн бұрын
Mi naona sasa serikali imeishiwa plan ,na mamboyao ya ajabu ajabu wanayofanya
@workmantiktok8 күн бұрын
chadema wana hoja za hovyo kweli akili zao zipo matakoni
@MshacyAwadh9 күн бұрын
Mimi sitapiga Kura nasijisubuitu nauchaguz ira taifahiri wanaripereka kwenye Vita mbaya naivyovita muguataigiriya kat
@marieconnect63898 күн бұрын
Matatizo yote haya mmetusababishia nyie. Mngeyamaliza mapema kabla ya kuingia kwenye uchaguzi. Mmetuingiza mkenge sababu ya ahadi mlizopewa za kupewa vyeo. Mnatusumbua sana akili. Acheni michezo hiyo haitawafikisha popote.
@kinkybanjukome21710 күн бұрын
Huu ni uonevu sana yaani kama hamta wakata miguu hao wagombea wa ccm wataendelea kukuchezeeni hii sio sawa
@Kwelihukuwekahuru9 күн бұрын
@@kinkybanjukome217 wewe unawaambia wawakate miguu halafu sheria iwahukumu wakati wewe utakuwa umetulia nyumbani kwako nenda wewe ukawakate miguu hiyo siyo njia nzuri ya kutatua tatizo bali kuongeza tatizo na kusababisha chama kufutwa ndiyo maana nasema ni Watanzania wote kukataa kwa amani siyo kumdhuru mtu ambaye pengine kaelekezwa tu ataumia mwenye haki na kumwacha mhalifu tusichochee machafuko bali tukatae kwani haya yanayofanyika tayari ni machafuko tukijibu kwa machafuko tutaangamia wote kuna njia nzuri kama tungekuwa wamoja kwa mfano migomo ya polisi mahakama bunge na wananchi makazini wafanyabiashara kwap siku moja tu bila hata maandamano watawala wangeruhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ambayo haya mawili ndiyo yanayoliangusha taifa letu na bila suluhu ya haya lazima tutaangamia Mungu siyo mjinga aliposema kura huondoa mabishano na hukomesha watawala
@MUHAJIMTONOYA9 күн бұрын
Lakini zile fomu zilijazwa kwa umakini?
@PaulMsema10 күн бұрын
Swali kwa wadau,kati ya ccm na chadema chama kipi kimepoteza dira na mvutonkwa wananchi?
@mballaJR2510 күн бұрын
Mvuto ni nini kwani?
@PaulMsema10 күн бұрын
@mballaJR25 mvuto ni ushawishi
@PaulMsema10 күн бұрын
Mr mballa umenielewa mvuto ni ushawishi kwa tafasiri fupi
@mballaJR2510 күн бұрын
@@PaulMsema ccm haina ushawishi kwa sasa mana ushawishi asilia haufosiwi
@PaulMsema10 күн бұрын
@@mballaJR25 unaweza kuwa sahihi sana maana Ccm haiwaamini tena wananchi kwenye sanduku la kula
@Sultani-f7u10 күн бұрын
Mze wanatuzoeya hawa
@Kwelihukuwekahuru10 күн бұрын
Magufuli ameacha legacy mbaya sana
@marieconnect63899 күн бұрын
Sio kweli. Kama hawa viongozi wa sasa hawawezi kutelekeza makubaliano yao wenyewe hayo ni makosa yao siyo ya Magufuli. Wakichemka msitafute wa kumtupia lawama wakati nyie mpo hai na yeye hayupo hai, wanashindwa nini? Hayo ni madhaifu yao wao siyo ya Magu. Kurekebisha makosa kama yaliwahi kuwepo ni wajibu wa waliobaki hai siyo marehemu. Leave mugu alone
@marieconnect63899 күн бұрын
Not true. You don't know him and his work. Ameacha record ambayo itakuwa ngumu sana kuvunja iwe ccm au hata chadema. Ni ngumu. Hawataweza kufukia record ya utendaji wake. Hilo halipingiki
@Kwelihukuwekahuru8 күн бұрын
@@marieconnect6389 I mean hii ya uchaguzi wa uchaguzi maendeleo ya vitu ni temporary lakini kuishi kwa upendo ni tunda la amani ingekuwa maendeleo vitu ni muhimu tusingeshuhudia majengo mazuri na mindombinu ikiharibiwa Ukraine na middle east
@Kwelihukuwekahuru8 күн бұрын
Uchafuzi wa uchaguzi
@Kwelihukuwekahuru8 күн бұрын
Kuuana na kutekana ni dhambi mimi natazama kwa jinsi ya rohoni ikiwa ni uhusiano wetu na Mungu kuwa usiyotaka kutendewa usimtendee mwenzako kuengua wapinzani ilianzishwa na JPM tena kwa wazi ndiyo maana hata SSH ameliona hilo na ameshtuka kuwa haimpendezi Mungu na ameagiza Tamisemi isiwaengue wapinzani
@marieconnect63899 күн бұрын
"Tunaingia laini tukaacha kuwa wakali" Kwanini? Kwa faida ya nani sasa? Mbona wananchi hawakuyajua hayo ili nao waridhie huo utaratibu? Au ilikuwa mambo ya gizani? Bora yamefichuka watu tumejua.
@chiefmajai93459 күн бұрын
Ufumbuzi wa malalamiko yako ndani ya chama chenu futa maandamano haya saidii jipangeni kuanzia matawini
@joscamwoshezi29869 күн бұрын
Unabwabwaja nini wakati hata kujiandikisha hukujiandikisha
@victorrobert779710 күн бұрын
Hawa CCM wanachotafuta watakipata ,hata huyo mkuu wao Mungu ameisha makataa,ukombozi unakuja
@tibbsminja257510 күн бұрын
Viongozi wa dining nadhani mnayaona yanayoendelea. Mnapofanya ibada na kuweka maneno "Tumwombee Rais wa nchi na viongozi wa Serikali yetu" tuwaombeni haya maneno mkayafute kwenye hiyzo vitabu zenu kiukweli! Nanyi mjitokeze kwenye kadamnasi kulaani hayankama.alivyotenda Pd. Kitine anajali maslahi ya waTanzania.
@kinkybanjukome21710 күн бұрын
Huyu mama na gengi lake la wahuni wamuogope mungu
@iddyekanda64569 күн бұрын
Hawa wanachama wa CCM Mimi nawashangaa,kwasababu wapinzani ni watanzania kama wao wapinzani pia wanatoa ushuru wa nchi tena zaidi Yao kwanini hawataki wengine wawe viongozi wa nchi wanataka wao ndio waongoze milele kwanini wanakuwa na hofu ya kushindwa au kwasababu ya dhulma zap kwa wananchi wanadhani kuwa watawajibishwa kwa maovu yao
@NiazonBukoke10 күн бұрын
Hapo lissu umeharibu, sema hiv hakuna kuweka vituo bila kurudishwa wagombea wetu.....yaan vurugu vurugu tu hivyo
@gelamuyombo678310 күн бұрын
Mnaweza kufanya vurugu
@vincentmpupua583910 күн бұрын
@@gelamuyombo6783nani afanye vurugu? Ili iwe nini? Unataka watu wapotezwe,wavunje miguu,wafe, huna uzalendo wewe
@OmariChanja10 күн бұрын
Maneno tu! We uoga umekujaa kama mwanamke shame on you!
@mathayomwashambwa123810 күн бұрын
Waliwaambia lakini kuwa wameshashughukia tayari kila mtaa, kijijini, mmesahau yule wa Rongido? Ex Dc,
@TonyTrans-xw3bb10 күн бұрын
wewe unayesema ccm chama kubwa mbona wanaogopa uchaguzi
@ezekielsabiyumva804810 күн бұрын
Wewe ni kaka yake na Kamala Harris 😂😂😂😂
@lembricesaravo354310 күн бұрын
😢😢
@matanokitwana324910 күн бұрын
Utabakia na sisa za kinafiki huna jipya hata kujiandikisha haujaenda unaongea nini
@SkyConnect-z6x10 күн бұрын
Bado tuna watu wa aina yako tz?daah
@asiliyetuonlinetv50639 күн бұрын
Ni huzuni kwakweli@@SkyConnect-z6x
@SilaaaMafoo9 күн бұрын
.
@kinkybanjukome21710 күн бұрын
Washenzi wakubwa hao ccm kwani hao wagombea wa ccm Wana kazi ya kufanya Zaid ya ukulima ? Mbwa sana hao
@gowekogoweko580310 күн бұрын
NA NI KWANINI UPEWE UWAZIRI WA BURE?
@ezekielsabiyumva804810 күн бұрын
CCM iendelee kuiongoza Tanzania vinginevyo Tanzania 🇹🇿 itaingia vita vyawenyewe kwa wenyewe maana dundu nimutiifu wa kibebelu
@FrankJuma-i8m9 күн бұрын
@@ezekielsabiyumva8048 bebelu ndo nn. Wamekupididia e!!!!
@CleverNkota8 күн бұрын
Hawa wajinga wanaona inchi niyao kumbuka xiku yaja
@peterjohnson16710 күн бұрын
Hahahahahahahahahahahaha duh hata kama! Tundu Lissu wewe na familia yako hamja jiandikisha kwenye daftari ya wapiga kura... Sawa hata kama si uchafuzi kama mwaka 2020 Tundu Lissu mwenyekiti gani utampigia kura?
@Kwelihukuwekahuru10 күн бұрын
Acha ujinga taifa linaangamia wewe unaongea upuuzi
@GodfreyMwamaso10 күн бұрын
Tatizo wabongo mnaishi kwa mazoea CCM wanaharibu nchi wanakoipeleka nchi siyo kuzuri ipo siku pamoja na CCM kulitegemea jeshi la polisi wanaharibu nchi wanalazimisha nchi kutawaliwa na CCM ipo siku watanzania watachoka tutakuja kuingia kwenye machafuko
@Kwelihukuwekahuru9 күн бұрын
@@GodfreyMwamaso hajui kuwa haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya wote aibu ni nini kwanza wizi wa aina yoyote ni dhambi na ni aibu kwani ni uovu hakuna aliyeruhusiwa iwe kidini au kipagani kuiba au kutokutenda haki yanayofanyika yatuaibisha ndani na nje ya nchi lakini zaidi kwa tunaomini kuna Mungu tunafahamu kuwa Mungu amekasirika sielewi wanaotenda haya ni wa aina gani kwani hata kama ni wapagani hawafanyi haya kwangu mimi huko mbele kuna kiza ambacho ni cha mchana na usiku Lisu ana sababu nzito zenye mashiko kwa nini hakujiandikisha kuna waliokuwa hapa kwa mamilioni hawajaandikisha ndiyo maana tumeshuhudia watoto wakiandikishwa watu kufuatwa vyuoni mpaka mwanafunzi mmoja kufungwa kwa kukemea wengine kufuatwa masokoni ambayo si taratibu yote haya nu angamizo kwa taifa mwenye sikio na asikie Roho wa Mungu analowaambia taifa hili tuchukie dhuluma na sio kuikumbatia ushabiki kwenye taifa kwa mlengo wa vyama ni mauti kwa wote
@peterjohnson1679 күн бұрын
@@GodfreyMwamaso Nendeni Chato kaburini kwa Magufuli mkamwambie hali ya siasa ni ile japo haupo kwenye mfumo wa uongozi... Na la mwisho mkaombe Magufuli msamaha...
@fredfuam838810 күн бұрын
Lisu akijisikiliza atajikataa hana hoja ya msingi kabisa
@SwamaduMtoima-q8r10 күн бұрын
Choko ww
@gangan461810 күн бұрын
Kweli hilo ni choko la Fisiem.
@gangan461810 күн бұрын
@@SwamaduMtoima-q8rKweli
@gangan461810 күн бұрын
Kenge wa kijani wewe
@Kwelihukuwekahuru10 күн бұрын
Wewe unaweza kujilinganisha na lisu au ni upumbavu tu na elimu ndogo uliyonayo
@rich-lr8tq9 күн бұрын
baada ya Lissu kuongea ndo akaja Nchimbi na swaga za kuongea na Samia kuwawagombea wa upinzani warudishwe, haya mambo tumlaum mwendazake
@marieconnect63899 күн бұрын
Tujilaumu tuliopo na tuwalaumu upinzani sababu walijua hayo yatatokea lakini wakaamua kuinaingia tu.
@twahashearer83029 күн бұрын
😂 Nyie mmeshapokea chenu acheni kudanganya wananchi... Ukiwa Mwanasheria nguli haya madhara ya Tamisemi kuwa msimamizi hukuyaona? Kama mahakama iliibariki tume kivipi nyie mkakubaliana na Tamisemi?
@iamwangdamin10 күн бұрын
CCM CHAMA KUBWA. NASHUKURU MHE. TUNDU LISSU UMEONA KUWA CHADEMA HAMUWEZI MAMBO , JIPANGENI UPYA. CCM OYEEEEE. CCM MBELE KWA MBELE. ENDELEENI KUONGEA KWENYE MITANDAO. CCM IMEJIPANGA . CHADEMA WASEMAJI WENU SIKU HIZI NI JAMII YA AKINA MDUDE . YOU GUYS ARE TOO LATE.
@JonathanMGAIWA-ow4py10 күн бұрын
Hujielewi
@IbraMputa10 күн бұрын
Wewe kuma kabisa wakingia kifua ccm mkundu wako wewe yaani mambo yanayo fanyika ya hovyo kabisa unashabiki fala mkumbwa ww hujielewi kabisa