ALFRED ALLY NA DIANA JOSEPH | "NAPENDA SANA TONE YA HUYO KIJANA" |

  Рет қаралды 266,836

BongoStarSearch

BongoStarSearch

Күн бұрын

Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 356
@youngflyisco5242
@youngflyisco5242 4 жыл бұрын
Wangapi wanaona Alfred mshindi 💪🏿💪🏿
@Miriamosward
@Miriamosward 4 жыл бұрын
Weeeeeh kaka weeeeeeh yani umeimba kuzidi hata hawa masuper star u know bro
@azormachibya484
@azormachibya484 4 жыл бұрын
Wako poa xn
@estersteven1720
@estersteven1720 4 жыл бұрын
Nilijuwa wamemtoa niliumia kumbe bado yupo
@leylamohamed9939
@leylamohamed9939 4 жыл бұрын
Huyuu mdada Ana Sautii Nzurii Sanaaa
@0656840872
@0656840872 4 жыл бұрын
Kajitahidi ila sio nzuri sana😒
@jahpeoplebadguy4226
@jahpeoplebadguy4226 4 жыл бұрын
Chalii Ya R Wewe Ndiye Champion 👑
@dativamtayoka7067
@dativamtayoka7067 4 жыл бұрын
Anaimba uyo mtoto lazma awe mshindi
@jesyjohn1200
@jesyjohn1200 3 жыл бұрын
😜
@brysonmeena1086
@brysonmeena1086 4 жыл бұрын
Chuga boy ni nyoko na nusu.!! You kill it bud 🙌
@royaltv6420
@royaltv6420 4 жыл бұрын
Chugastanianism
@believeinyourself9576
@believeinyourself9576 4 жыл бұрын
Ha,ha,ha, nimependa comment yako , chalii wa r ni fundi sana
@teddyklex6618
@teddyklex6618 4 жыл бұрын
You kill it maaaan Chuga Boy yuko vizuri Atafika top three
@mwanaidytaifa3329
@mwanaidytaifa3329 4 жыл бұрын
Yani huyu kaka nataman awe mshindi, yani ana sauti ya kumtoa nyoka pangon.😁
@saifuddinmadan5146
@saifuddinmadan5146 4 жыл бұрын
Mungu amsaidie huyo awe mshindi
@allyhabibu3746
@allyhabibu3746 4 жыл бұрын
Mh we
@habarimpya5732
@habarimpya5732 4 жыл бұрын
Wachuga Arushaaa wapi like zenuuu
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 жыл бұрын
Wamelalaaa
@princessringo2879
@princessringo2879 4 жыл бұрын
Ayiiii
@soniaamulichannel6055
@soniaamulichannel6055 4 жыл бұрын
Alfred please win🥰 watching from Australia
@albinnkuru1699
@albinnkuru1699 4 жыл бұрын
From Australia too
@soniaamulichannel6055
@soniaamulichannel6055 4 жыл бұрын
@@albinnkuru1699 ohh really
@albinnkuru1699
@albinnkuru1699 4 жыл бұрын
@@soniaamulichannel6055 Brisbane
@BMT2023
@BMT2023 4 жыл бұрын
Where in Australia I’m in Australia too?
@albinnkuru1699
@albinnkuru1699 4 жыл бұрын
@@BMT2023 ForestLake
@zablonloyshow34
@zablonloyshow34 4 жыл бұрын
Chuga tunakupenda sana alfred keep up broo
@President-seed
@President-seed 4 жыл бұрын
Fundi wangu uyoooo kumbe anaitwa ALFRED
@peterrobert8905
@peterrobert8905 4 жыл бұрын
Ila huyu dogo mwenye rasi ni msanii mnajisumbua tyu. Ana talent
@um_185
@um_185 4 жыл бұрын
The guys are good. More appreciation goes to the instrumentalists.
@paulinemwanzi6168
@paulinemwanzi6168 4 жыл бұрын
The guy is so amazing. Mob love from Kenya
@royaltv6420
@royaltv6420 4 жыл бұрын
Saaana
@nahnaally7442
@nahnaally7442 4 жыл бұрын
Chuga mtu mbadi namkubali toka mwanzo, blessed
@eliakassim9298
@eliakassim9298 4 жыл бұрын
Bruce na Alfred wote wanatoka chuga ushindi hauendi mahali
@aliciakerubo2620
@aliciakerubo2620 4 жыл бұрын
Much love Alfred,,, toka mwanzo😍😍❤️
@jacquelinejohn5415
@jacquelinejohn5415 4 жыл бұрын
Alfred bro I ❤️ you xana unaweza na ninajua kwamba ww ni mxhind I pray 4 you all the best bro
@lorysarafina9275
@lorysarafina9275 4 жыл бұрын
Bigg up broo,,congratulation I love the way you sing💃💃💃❤
@adofugasper4060
@adofugasper4060 4 жыл бұрын
Blessed ma blood changu we mshindi dingiii god bless you blood
@ms_mollel5413
@ms_mollel5413 4 жыл бұрын
I can hear home town tone... keep up bro👍🏾
@hidayakassim5996
@hidayakassim5996 4 жыл бұрын
FULL LOVE KWA ALFRED
@marymamntine1909
@marymamntine1909 4 жыл бұрын
Ommy umependeza Sana una furaha na umekuwa uko vzr pia
@nainaiblack6736
@nainaiblack6736 4 жыл бұрын
Ommy yuko vzr
@RandyMwanaKin
@RandyMwanaKin 4 жыл бұрын
Wa Congo tunapenda Bss... watching from USA 🇺🇸 #randykinamber
@Suzylovette
@Suzylovette 4 жыл бұрын
Kwani wa congo wanajua kiswahili
@RandyMwanaKin
@RandyMwanaKin 4 жыл бұрын
@@Suzylovette yes ila sio wote
@aiyammshoka1096
@aiyammshoka1096 4 жыл бұрын
@@Suzylovette ndio tunajua kiswahili mbna
@RandyMwanaKin
@RandyMwanaKin 4 жыл бұрын
@DJ MACK MOVIES KISWAHILI ok 👍🏽 tutazi check bags Mungu atakusaidia
@eunycreson3349
@eunycreson3349 4 жыл бұрын
Jamani uyo kaka mi ananimaliza sauti yake hatariii alafu anajua kupangilia tone watching from 254🇰🇪🇰🇪 wap likes za wakenya jamanii
@nainaiblack6736
@nainaiblack6736 4 жыл бұрын
Yni km Mimi namprnda Alfred
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 жыл бұрын
Wakenya covid imewavuruga
@sabraabdalla5563
@sabraabdalla5563 4 жыл бұрын
Chalii yuko vizuri sana god bless you brother💪👍
@zuushitobe2644
@zuushitobe2644 4 жыл бұрын
Anajuwa adi anajuwaa tenaaaaa🔥🔥🔥
@risperladee5718
@risperladee5718 4 жыл бұрын
The lady is forcing but the guy knows what he's doing.. 😂🔥🔥🔥👍❤️🇰🇪
@hiarimussa5046
@hiarimussa5046 4 жыл бұрын
Determination
@allyjzayumba7657
@allyjzayumba7657 4 жыл бұрын
Nnavyopenda mademu vibonge najikuta namtazama tu huyu mdada hadi naenjoy ukizingatia na ujumbe wa nyimbo yao
@pendomacha3253
@pendomacha3253 4 жыл бұрын
Mmmmh
@nasrafadhili8941
@nasrafadhili8941 4 жыл бұрын
😋😋
@estersteven1720
@estersteven1720 4 жыл бұрын
Hahahhahahahahaha
@jazzjeff8431
@jazzjeff8431 4 жыл бұрын
mwaka huu hii talent ya ukweli yyaaani itakuwa shida mbeleni mana huu ubunifu mwaka huu ni kutokana na hawa majaji wa mwaka huu ni noma wanajua wote hongereni sana waandaaj
@seciliamwakyusa7676
@seciliamwakyusa7676 4 жыл бұрын
I really love this guy Alfred
@nisyedward9662
@nisyedward9662 4 жыл бұрын
Lovely
@amirlehao8945
@amirlehao8945 4 жыл бұрын
Huyu chalii ako na sauti balaaa
@dannydannizo8099
@dannydannizo8099 4 жыл бұрын
Alfred is my bss winner 2020💪💪💪
@elijahkitonga3915
@elijahkitonga3915 4 жыл бұрын
King Alfred BSS n yko bro🔥🔥🔥💯💯💯
@celinedioniz8972
@celinedioniz8972 4 жыл бұрын
I love this too,the vibe was hot😍😘❤❤❤❤
@barrykhan1097
@barrykhan1097 4 жыл бұрын
Alfred mshindi this season believe me
@mrchainz9974
@mrchainz9974 4 жыл бұрын
No long talk he z winner
@nashonmsigara5424
@nashonmsigara5424 4 жыл бұрын
kuna chuga mwingne bluce tukutane final
@mrchainz9974
@mrchainz9974 4 жыл бұрын
@@nashonmsigara5424 chuga ndio atareeee tupuu aaan final angekutana bruce,chuga,gidion na yule dada ingekuwa 🔥🔥
@ahmedhassannoor9645
@ahmedhassannoor9645 4 жыл бұрын
Barry khan nakuunga mkono huyu dogo balaa
@ahmedhassannoor9645
@ahmedhassannoor9645 4 жыл бұрын
Exactly
@veeckycharels1991
@veeckycharels1991 4 жыл бұрын
Gud napenda huo wimbo
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 4 жыл бұрын
Sijajua kama ndio kuchagua nyimbo ama vipi ila hakika dogo anajua sana,, kila anacho chagua dogo anatoka nacho dah,, sister yupo powa mno ila mimi tangu awali dogo ndio chaguo langu 10,000,000%
@annafortunatus3056
@annafortunatus3056 4 жыл бұрын
Kumbe unamkubali dogo big up xana chuga boy
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 4 жыл бұрын
Dogo anajua sana,, mimi ndie mshindi wangu tangu siku ya kwanza kule mkoani,, hata kama wajumbe wata muangusha ila kweli itabaki kua kweli yakua dogo anajua
@praxedadominic5193
@praxedadominic5193 4 жыл бұрын
Nampenda sana Alfred ❤️❤️❤️❤️❤️
@arynxbaba9091
@arynxbaba9091 4 жыл бұрын
Zidooooo all the way from Burundi tuko pamoja Mzeee🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@allyahahmed1091
@allyahahmed1091 4 жыл бұрын
kaka alivyoshikwa shati alitamani kukimbia 😂😂😂😂😂😂😂😂yarabi chugaaaaa 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@sabrinasabrinafj4238
@sabrinasabrinafj4238 4 жыл бұрын
Naic chuga ndio winner😂
@heavenlightukwai89
@heavenlightukwai89 4 жыл бұрын
Big up chaliiiiiii
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 4 жыл бұрын
Wameimba safi sana Ila big up kwa wapiga mega mix huko nyuma maana wanachanganya vyombo hatari
@divadaqueen6558
@divadaqueen6558 4 жыл бұрын
Nakubari kbx wameweza 👋👏👏👏👏
@zuushitobe2644
@zuushitobe2644 4 жыл бұрын
Mshindiii ni uyo Alfred 🔥🔥🔥
@radi902
@radi902 4 жыл бұрын
Alfred is tha best ,, love from Kenya
@rosedaud8376
@rosedaud8376 4 жыл бұрын
Watu jaman vote for alfred to be the winner he is a star💥💥💥💥
@barakannko6815
@barakannko6815 4 жыл бұрын
Kaka umetisha sana nakukubali aiaeeh chaliii
@winfridaminaa6765
@winfridaminaa6765 4 жыл бұрын
My chugaa😘
@rebeccayonah3263
@rebeccayonah3263 4 жыл бұрын
Alfred jamaniii anajuaa ❤️🚀❤️
@abdulsimba7052
@abdulsimba7052 4 жыл бұрын
Dogo fundi sana kwanza unaimba huna papara mana unajua unachofanya
@khadisaudi9502
@khadisaudi9502 4 жыл бұрын
Uyo kijana tunzo nizake 💰💰💰💰
@aishal1953
@aishal1953 4 жыл бұрын
Ni🔥🔥jamani Alfredy mungu akubariki
@priscamedadi1108
@priscamedadi1108 4 жыл бұрын
Uko vizuri Aflde iko njema
@jestinakanji8168
@jestinakanji8168 4 жыл бұрын
Mbeya 🔥🔥🔥🔥♥️👌
@silvercronix706
@silvercronix706 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana ,napenda kazi yenu 👍👍👍
@hellenzele5355
@hellenzele5355 4 жыл бұрын
alfred woooh amazing umeimba vizur ile mbaya
@stivenmgonja5908
@stivenmgonja5908 4 жыл бұрын
Mwakahuuu kila mtu ni moo fire
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 4 жыл бұрын
Nimewapigia salute😍😍😍😘😍😘😗😗
@officialpangaboymtotowamam8014
@officialpangaboymtotowamam8014 4 жыл бұрын
Nakubali show anaweza wakiume hyo
@ukhutymamuu7470
@ukhutymamuu7470 4 жыл бұрын
Mpaka nimecheza na rahaaa🔥🔥🥰
@egideniyonkuru9705
@egideniyonkuru9705 4 жыл бұрын
Nimefurahi sana sababu wameimba wimbo wakidumu muburundi kwetu penda sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@febyisaya2997
@febyisaya2997 4 жыл бұрын
Nomaaa
@africanpowermusic
@africanpowermusic 4 жыл бұрын
Huyu kijana namkubali sana
@gloryjackob5578
@gloryjackob5578 4 жыл бұрын
Alfred anastahili kwa kweli,anajua kila hatua anayopita n yuko passionate na kitu anachofanya.He will win
@twalibuchilumbe7751
@twalibuchilumbe7751 4 жыл бұрын
Nasomaga comment tu ila wewe dogo umenifanya niandike leo you are number one
@magrethkawa4841
@magrethkawa4841 4 жыл бұрын
Woyooooo 🔥🔥🔥 kaskazini hamnaga kurembaaaa 🔥🔥🔥👋👋
@aminasaid7657
@aminasaid7657 4 жыл бұрын
Jamaa hko juuu
@kulwasimeonrocky8217
@kulwasimeonrocky8217 4 жыл бұрын
Chuga boy nakukubali sanaaa,,,, 💪✌🙏
@furahasarakikya5676
@furahasarakikya5676 4 жыл бұрын
Wuuuuuuu.... Chalii ni motooooo
@chuchuman8292
@chuchuman8292 4 жыл бұрын
Bro upo juuu zaidii
@simonpeterson3879
@simonpeterson3879 4 жыл бұрын
Hiyo Chaliiii yenye virasta n msalaaaa🔥 Yan Mchiz anajua kinoma
@annafortunatus3056
@annafortunatus3056 4 жыл бұрын
Jamani namkubali xna huyu wajina wa baba angu 😘😘😘
@latifamohammed6292
@latifamohammed6292 4 жыл бұрын
Anajua jmn🔥🔥🔥
@latifaamurhamissabd6610
@latifaamurhamissabd6610 4 жыл бұрын
This mush up is crazy❤️❤️❤️❤️
@albertlasway4863
@albertlasway4863 4 жыл бұрын
Hongera mwambaa
@nunniznurcky9724
@nunniznurcky9724 4 жыл бұрын
So nice
@lilianwilliam5455
@lilianwilliam5455 4 жыл бұрын
Moto
@henrickchambilo3119
@henrickchambilo3119 4 жыл бұрын
Kazi imeanza sasa
@OneFa2526
@OneFa2526 4 жыл бұрын
Nasema tena kwenye hiii group kuko mshindi
@latifamohammed61
@latifamohammed61 4 жыл бұрын
Jaman huyu kaka daah noma sana
@luqmansultan983
@luqmansultan983 4 жыл бұрын
Huyu dogo ndo mshindi
@hildercelestin1412
@hildercelestin1412 4 жыл бұрын
😍😍😍
@innocentjohn8632
@innocentjohn8632 4 жыл бұрын
Ziddo you kill it bro
@neemapaskali7155
@neemapaskali7155 4 жыл бұрын
lv u alfrdy my bro your winer bss
@officialdcky3314
@officialdcky3314 4 жыл бұрын
Uyu mchizi ana vocal sana🔥 wengine wanaimba punch ndongo wa na bebwa na guiter ila uyu jamaa vocal na punch iko✊
@SaidSaid-bq6mk
@SaidSaid-bq6mk 4 жыл бұрын
Huyu ndo mshindi wangu bss ya mwaka huu huyu jamaa ana sauti kali sana
@heavenlightukwai89
@heavenlightukwai89 4 жыл бұрын
Hata usiposhinda ww ni star aiseee nakukubal Sana chalii wa chuga unajua mpaka baasi
@imaculatadominic7005
@imaculatadominic7005 4 жыл бұрын
mwaka huu majaji mtapata kazi ngumu washiriki wote wako bomba wachaa
@vengomiggo6838
@vengomiggo6838 4 жыл бұрын
kiukweli wameimba vizuri kulikoooo😍😍😍
@warrenrwbgw8173
@warrenrwbgw8173 4 жыл бұрын
Bruhh you the best!!!
@gerrarddanken5168
@gerrarddanken5168 4 жыл бұрын
Chuga sio poa kabs htr lanaaa
@bk179
@bk179 4 жыл бұрын
Kuna Alfred, Bruce (M chugaa wa blackii)Trillion thaman yule mzee wa Jeneza, mmoja wao lazima awe Ndio mshindi
@gloryjackob5578
@gloryjackob5578 4 жыл бұрын
Sure
@wasasyjr8657
@wasasyjr8657 4 жыл бұрын
Alfredy namuona final if not a champion 💪💪
@richardr7037
@richardr7037 4 жыл бұрын
Dianaaaa hatariiiiii..... Kwa wasanii wakike bongo hamna anayeimba kama yy...... Ni hatariii... Ni level kama za kina Adele, beyonce hukolevel za juuuu
@angelmalaika2607
@angelmalaika2607 4 жыл бұрын
😂 beyonce adele😂😂😂😂
@richardr7037
@richardr7037 4 жыл бұрын
@@angelmalaika2607 hasa si kweli kwani😂😂😂😂😂😂
@expert5898
@expert5898 4 жыл бұрын
Usinisahau Jide wewe...
@expert5898
@expert5898 4 жыл бұрын
@DJ MACK MOVIES KISWAHILI Usiwaze DJ Mack, ww n mtu mkubwa sana, familia yangu inaangalia sana movie zako... nabonyeza hiyo kama ifuatavyo
@expert5898
@expert5898 4 жыл бұрын
@DJ MACK MOVIES KISWAHILI Na nimeshasubscribe
@florencegideon1467
@florencegideon1467 4 жыл бұрын
Dah! Hatareeeee chuga boy na bi dada saut tuuu
@abigailjoctan4830
@abigailjoctan4830 4 жыл бұрын
Wapo vzr
@husseinshariphhussein7673
@husseinshariphhussein7673 4 жыл бұрын
Daaah Mama eee chuga ni nomaaaaa
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq 4 жыл бұрын
IDRISS Ana vituko😅😅😅😅
@evelynechristopher6258
@evelynechristopher6258 4 жыл бұрын
Jamanii ally akiimba mm hoiii
@saidndimbwa4976
@saidndimbwa4976 4 жыл бұрын
Wacha wee
@samirasaidi8496
@samirasaidi8496 4 жыл бұрын
Wow hawa watu noma
BONGO STAR SEARCH SEASON 15 - ARUSHA Part 01 #BeyondBorders
20:52
BongoStarSearch
Рет қаралды 31 М.
Duet Ya Margaritha Patrick Na Yusuph Nizar
9:05
BongoStarSearch
Рет қаралды 807 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 19 МЛН
Wall Rebound Challenge 🙈😱
00:34
Celine Dept
Рет қаралды 22 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 42 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 21 МЛН
Tgun Tozzy - Atoa watu Machozi Live BSS, Madam Ritha, Huzuni
4:06
DUNIA (Ep 31)
23:34
ASMA FILMS
Рет қаралды 83 М.
MARYAM KAZIMIA MICHANO.
9:41
Hello Mr Right Tanzania
Рет қаралды 255 М.
Alfred anaimba wimbo ya mapenzi | Bongo Star Search 2020 Episode 11
3:40
StarTimes Official
Рет қаралды 170 М.
HAIKATAI NA ALFRED WA NGARENARO.
4:47
BongoStarSearch
Рет қаралды 19 М.
NYIMBO TATU ZILIZOMPATIA SARAFINA MILION 50 ZA BSS
9:50
Millard Ayo
Рет қаралды 628 М.
Tazama UFUNDI wa KUIMBA wa MSHIRIKI wa BSS kwenye FAINALI LEO.
5:50
Безумная лошадь  😳 🎠
0:47
Poznavalkin
Рет қаралды 796 М.
Can You Draw A PERFECT Star? 😱
1:00
Topper Guild
Рет қаралды 12 МЛН