From the very first day i saw this boy in Auditions,... i knew he was a winner his vocal is something else 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chesantonio94223 жыл бұрын
Alitoka😭
@carloswekesa2543 жыл бұрын
@@chesantonio9422 Serious??
@cynthiaomondi61253 жыл бұрын
One of my favorite contestants, much love from Kenya!
@lilpaff-noma85733 жыл бұрын
Eeeeeh jama anaimba mpaka nasikia wivu kinyama.eeeh Love from BURUNDI.🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮team SAT-B
@loisengige52473 жыл бұрын
Winner detected love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chesantonio94223 жыл бұрын
Aliaga mashindano
@johnsonchonja40323 жыл бұрын
Km umemuona ommy dimpoz anachezesha kichwa kwa wimbo wa inama weka like
@tumamkate11133 жыл бұрын
Alifred Ndo mshind Wa BSS 2020 Wanang Wa Chuga like zenu
@gka91473 жыл бұрын
Alishatoka Ndugu yang
@tumamkate11133 жыл бұрын
@@gka9147 Bad haja tok
@gka91473 жыл бұрын
@@tumamkate1113 waliobaki Ni Hawa 1___Yuzzo 2__Magaritha 3__Elisha 4__PETRO HAO NDIO WALIOBAKI WENGINE WAMETOKA
@abdultandala96003 жыл бұрын
@@gka9147 we
@gka91473 жыл бұрын
@@abdultandala9600 yaap
@mosesmwafwenga30123 жыл бұрын
Ww jamaaa unajua sana wcb mpo wap this guys is so talented
@rehemamkungile37493 жыл бұрын
Umeonaaaa eeeh hatareee
@ireneshayo14473 жыл бұрын
@@rehemamkungile3749 for real yaan
@zachariamrimi81003 жыл бұрын
Amna kituuuu,,,,,,,wamrudishe bruceee wetu
@barakakanda92373 жыл бұрын
Nakubali chali wangu
@45Recordstz3 жыл бұрын
Nimependa Arrangements 🔥🔥🔥
@getrudazakayo32373 жыл бұрын
Unaimba vizuri asee pambana 💪ata Kama wamekutoa
@mikelmwaniki73813 жыл бұрын
Hi am mike mwaniki from Kenya.👍 the song is great that boy surely deserves the best
@atukyando62463 жыл бұрын
fundi alie fundika love u
@nassorsaid24163 жыл бұрын
Big up brother alfred
@40kstore3 жыл бұрын
Performance kali,nalipa kabisa kiingilio 🔥🔥🔥
@kareemmngeza4783 жыл бұрын
King of Bss 2021
@zuushitobe26443 жыл бұрын
Alfredy ni moto
@mtokambali23203 жыл бұрын
My Star, Give them Hell my ninja. A City stand Up.
@zainabidarusi44883 жыл бұрын
Jamani haki itendeke, Alfred juuu juu zaidi, hana mpinzani.
@ilhamswaleh34283 жыл бұрын
Kashatoka
@esmahnguzo84483 жыл бұрын
Love mingi
@rankingreaction94733 жыл бұрын
The Winner
@musirrashid46498 ай бұрын
Una jua sana mwanangu
@rosewatson22853 жыл бұрын
Nampenda huyu mkaka jmn
@sudysalym43653 жыл бұрын
Broo on firee..
@mauchungurepublic68843 жыл бұрын
Like kwa kuwa wa kwanz
@shaggydrizzy5353 жыл бұрын
Unaweza broo@ushindi wako
@isackmichael15713 жыл бұрын
Aseeee uyu chaliii apeweee kombe lakeee bhan
@winniekadzo97883 жыл бұрын
Umeweza
@suleymanwazir65243 жыл бұрын
Wengine tumeshindwa kupakua application ya star times ila tunahitaji Alfred Ally arudishwe.
@zariamutesiwase23713 жыл бұрын
Kabisa kama mimi
@simondogtrainer74983 жыл бұрын
Fred alikuwa mkali sanaaaaa
@esmahnguzo84483 жыл бұрын
Kwani hayupo
@makungufakii82983 жыл бұрын
Huyu chalii anajua Sana namuon mbali
@shebydebely17513 жыл бұрын
jamaa fundi sana huyu ndo winner gonga like hpo om unamkubali mwamba
@gka91473 жыл бұрын
Alishatemwa
@suzyjohnas42593 жыл бұрын
Upo vizuri mdog wangu kaza sana
@wazirilyapwile22553 жыл бұрын
Master j, mimi simuelewi kabisa, bcoz sioni mchango wke katika vijana wanoshiriki bss, yeye anachokifanya zaidi ni kuwakatisha tamaa tu. Aimbe basi na yeye tumsikie kama mjuzi kiasi cha kuwakebehi washiriki kiasi kile!!!. Anatumia karipiooo tuuu badala ya busara. Dogo Alfred yuko poa lakini kampooondaa!!!!!. Nammaind sana Master J.
@muddymatunda99523 жыл бұрын
Unaweza afred ally
@sadiqmase643 жыл бұрын
Fundi kabisa🔝
@mutoninella68253 жыл бұрын
Hll naishi Rwanda pls anajua sana arudishwe pls
@jesyjohn12003 жыл бұрын
Nakupenda alfredy ni find bc😂😂😂😂😂
@pendogeorge18133 жыл бұрын
🧚
@anorderastonyondo37263 жыл бұрын
Huyo anamtu wake na tumezaliwa wawili tu kwa mama eti Nimebaki mm mdogo wake naweza kareplace nafasi yake😂😂😂
@pendogeorge18133 жыл бұрын
@@anorderastonyondo3726 😂😂😂fursa
@jesyjohn12003 жыл бұрын
Aku sikutk ww
@raashidibrahim8513 жыл бұрын
Tafadhalini Alfred Ali mrudisheni.. Leo nijumaa pili tarehe 24 Alfred hakupaswa kutoka. Alafu mm nilijuwa tu. Kama Watamtoa sababu yahuyo trainer wao aliyeletwa. Alfred anafaa aimbe nyimbo zenye hisia. Sio zakuburudisha
@luzskin2543 жыл бұрын
Always in love with your everything, your born for this
@ervinlihawa3 жыл бұрын
Dadeq sijui y katika Mana yangu siku ya Kwanza nilimuona mshind
@johnjean26523 жыл бұрын
Ushindi ni wake jamani 💪💪💪💪☝️
@marcellysumaye28593 жыл бұрын
Huyo dogo akiingia wcb tayari axhakuwa star
@salmamwanyiro83483 жыл бұрын
Huyo ni moto
@salmahussein80763 жыл бұрын
Yaani chuga unaniliza kabisa kuna watu wameimba vibaya wamebaki,,, yule demu anabana sauti duh,, mwingine sauti ya kwaya
@jichomtandaoni82813 жыл бұрын
😂😂kwani kwaya sio mziki
@anoldykamugisha99933 жыл бұрын
Aliimba ovyo kwa wake wanaojua key za mziki
@neemahamisi85883 жыл бұрын
Alfred naomba arudishwe jamani yuko sawa ana jua kuimba
@wazirilyapwile22553 жыл бұрын
Alfred is very talented. I like him to be back.
@giftfilemon30273 жыл бұрын
Jmn mkaka anakipaji sana big up
@rehemamkungile37493 жыл бұрын
My mind is made up❤❤
@chrisroby84063 жыл бұрын
Bella katabasam hahaha
@straton-shayo75510 ай бұрын
Ni fire 🔥
@moussababanla3993 жыл бұрын
Nakubali bruh wewe ruhsa kurudi bruh
@abdulkheri73223 жыл бұрын
Alfred mwaka huu wako uko vyema ila tatizo vocal bdo bro
@sarahhenry71003 жыл бұрын
Ni kweli
@pachothebrand28243 жыл бұрын
Umeliona hilo man
@kelvinpeter37683 жыл бұрын
Yuko poa vocal tatizo iyo key ipo juuu kias flan
@barikimbago96343 жыл бұрын
Hutu dogo alizingua melody ya nyimbo
@chesterbrand67233 жыл бұрын
Mungu amekupa kipaji brooo
@adamsdaud92683 жыл бұрын
Wazee hiii ni nyota ✅
@christinaramadhani95023 жыл бұрын
Noma Sana
@anacletponyo30593 жыл бұрын
😍🇨🇩 Champion
@ceciliabahati99783 жыл бұрын
Uko juu bro
@degreededon97543 жыл бұрын
Winner
@gka91473 жыл бұрын
Alishatemwa
@jadeideus63893 жыл бұрын
Fundi mmoja
@safinamdingi23383 жыл бұрын
Nice
@patkenAgri3 жыл бұрын
your number one winer
@glorymbasha51213 жыл бұрын
Alfredi ni fire
@chesterbrand67233 жыл бұрын
Oyooo Alfred ndani ya house
@aminayusuphuyusuphu57943 жыл бұрын
Wa pili gonga like zang hapa
@Martin-lv1xw3 жыл бұрын
angekua anaimba nyimbo zake angetoboa...
@christopherwakiza44263 жыл бұрын
Nakubali bro
@josephatbwamo26093 жыл бұрын
Kwel so lahisi kwenye bss kwamto
@athumaninurdini43663 жыл бұрын
Alfred ally arudii🔥🔥🔥
@lightnesstippe90063 жыл бұрын
We ndo mshindi🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@joanitaalbert11293 жыл бұрын
Kwaiyo magarita anaimba kuliko uyu
@jichomtandaoni82813 жыл бұрын
😃😃 yaani
@jacklineshine72403 жыл бұрын
Bora tuulize maana majaji siwaelew
@noelsiay60623 жыл бұрын
Ni team Master J
@neemaemanuel10583 жыл бұрын
Mrudisheni Alfred
@ansifridmkongoja33373 жыл бұрын
Uyu ndo alikuwa star wa team ya madam rita
@StarTimesOfficial3 жыл бұрын
Thanks for your like, we try to bring you the best
@allywenga14453 жыл бұрын
Mikula yangu ipo kwake
@ruthmbithemunyao44443 жыл бұрын
Wow
@collinsmakanta68983 жыл бұрын
Dah Huyu Fundi Nyie
@faygal90993 жыл бұрын
I love this
@noelsiay60623 жыл бұрын
Unajua, master J asingeforce we kutoka team yake ingepunguza watu tunajua
@marcellysumaye28593 жыл бұрын
Ila dogo nyimbo ulizochagua siyo
@zaitunikweka9793 жыл бұрын
Alfred arudishwe eeeemungu eeeemungu
@marthamramba63053 жыл бұрын
Plz mrudisheni
@raashidibrahim8513 жыл бұрын
Huyu jamaa the first time nilipo muona the song aliimba ilikuwa ni yenye hisia. Ndo maana kapita. Tafadhali huyu trainer wao mtoeni. Mm nilikuwa nakaa kuangaliya bongo star search sababu ya Alfred nawengine. Ila wote wametolewa siku yaleo tarehe 24 nachukiya kuangaliya Bongo star search
@innocentjohn86323 жыл бұрын
Kwa hyu doho kutolewa ni uonevu kabisa kwan anakura nyingi za mashabiki na anajua kuimba ila kwakuw anajua uwez wake bhas mungu yu mwema atatoboa tu
@dmack2553 жыл бұрын
Katixha
@naimuhamisi53673 жыл бұрын
Adi raha jaman
@johamheluka25023 жыл бұрын
Unajua kka
@mingajohn65183 жыл бұрын
Meshack akasome kwa huyu mwamba
@jjtheactorir.44473 жыл бұрын
Wale ambao wanajua na kuutambua mziki vizuri, jamaa sauti yake bado Sana na sio kwa ubaya.ni vile tu vyombo vinamsaidia ila chenga chenga nyingi kwenye sauti yake.
@isackjulius18323 жыл бұрын
Kabisa Mkuu nakubali
@kilindobrand57293 жыл бұрын
Ata uwe mzuli vipi huwez pendwa na ote
@lakudede3 жыл бұрын
nimemuona meshak hapo
@georgegeorge15003 жыл бұрын
Unajua janja
@abelbest49843 жыл бұрын
Nyimbo aliyoanza nayo inaiywa fire nn?
@jafariomary753 жыл бұрын
Adekunle gold - before you wake up
@kleofacejerome90253 жыл бұрын
Winer
@dicksonmwenyembegu25233 жыл бұрын
show imenivutia sàna
@irenengaile19043 жыл бұрын
Rudiii tu jamanii
@bk1793 жыл бұрын
Alfredy anajua sana ila Nafikiri Elisha ako na kitu ya ziada