Nandy feat Alikiba - Dah! (Official Music Video)

  Рет қаралды 19,355,121

Nandy - The African Princess

Nandy - The African Princess

Күн бұрын

Пікірлер
@alvii7822
@alvii7822 10 ай бұрын
Tanzania don't know how much we love your music from kenya
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
💥💥
@mohammedbashir2942
@mohammedbashir2942 10 ай бұрын
we do appreciate ur love and support neighbors 🙏🏾❤️
@alvii7822
@alvii7822 10 ай бұрын
@@mohammedbashir2942 🙏🙏🙏
@MuharamiKaposo-qt9cy
@MuharamiKaposo-qt9cy 10 ай бұрын
Tunajua mna love mob na good music, ndo kitu mnamis😂
@alvii7822
@alvii7822 10 ай бұрын
@@MuharamiKaposo-qt9cy exactly
@andersonmberi7672
@andersonmberi7672 10 ай бұрын
Msanii anayependwa na wakenya especially mombasa we love you king
@Flynetfilms
@Flynetfilms 10 ай бұрын
Ndo hiyo sasa
@Nasbkiu832
@Nasbkiu832 10 ай бұрын
💥💥💥
@ShariffCharlesSangabo
@ShariffCharlesSangabo 10 ай бұрын
Allihmullihah bado No1 on trending bila hata kulipoa sponsored. Wapi Yule jamaa aliyejitapa atashika namba moja Hadi July 2024
@zainabchalamila9824
@zainabchalamila9824 10 ай бұрын
Amerara mbere na matikiti yake
@bakarimayegeya9526
@bakarimayegeya9526 10 ай бұрын
Hatariii
@marwaibrahim8656
@marwaibrahim8656 3 ай бұрын
😅​@@zainabchalamila9824
@kevinrajabamulo8336
@kevinrajabamulo8336 7 ай бұрын
Swahili is the sweetest language in Africa kama unaniunga mkono gonga like 💪💪💪
@abdillahiomar5961
@abdillahiomar5961 7 ай бұрын
100% naipenda kiswahili
@Charity4Chokora
@Charity4Chokora 6 ай бұрын
The language of the African woman in your bed is the sweetest in existence. The one upset with you for having the other in your bed is the most dangerous.
@Charity4Chokora
@Charity4Chokora 6 ай бұрын
The language of the African woman in your bed is the sweetest. The most bitter language is from the one who is no longer in your bed.
@BabanaiSalum
@BabanaiSalum 5 ай бұрын
❤❤❤❤
@CliveGachugi-uu3px
@CliveGachugi-uu3px 13 күн бұрын
Kweli kabisa, huku Kenya twakipenda sana Kiswahili!
@globaltv_online
@globaltv_online 10 ай бұрын
Nimerudi kusikiliza tena kwa mara ya 270...hii kolabo ni hatari sana...DAH!
@dicksonmichael5793
@dicksonmichael5793 10 ай бұрын
Global wambea kinoma
@dicksonmichael5793
@dicksonmichael5793 10 ай бұрын
😂😂😂
@EdwinFrancis-jq5br
@EdwinFrancis-jq5br 10 ай бұрын
Day!
@Albert-un8eg
@Albert-un8eg 10 ай бұрын
Umbea
@mrsinia3064
@mrsinia3064 10 ай бұрын
hatari
@JacintarMungasia
@JacintarMungasia 10 ай бұрын
Nandy the queen of bongo,Alikiba the goat. Much love from Kenya.
@annyleycoyney7622
@annyleycoyney7622 10 ай бұрын
Mwanzo wa hii ngoma ulitiliwa maakini sana maanake upo thabiti kabisa,,,my best Artist from Tz Ali k and Nandy natural beauty gal bila mambo mengi,much love to u guys u nailed it Wallai❤
@DaliaTshikomb-t8p
@DaliaTshikomb-t8p 8 ай бұрын
J'aime les chanson en swahili Bora c'est doux aux oreilles🎉 qui partage le même avis avec moi?
@aliciamngur
@aliciamngur 2 ай бұрын
Moi❤❤
@lydia6048
@lydia6048 10 ай бұрын
Hizi ndo nyimbo sasa zenye mafunzo na maadili❤❤❤love it 👌
@rashidhassan6899
@rashidhassan6899 10 ай бұрын
Kwa kizazi Dunia Zima
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 10 ай бұрын
Sasa Kuna mafunzo na maadili Gani hapo mpuuzi wew 😮😮😮
@graysontogo4251
@graysontogo4251 10 ай бұрын
Umejifunza nin mama.??
@PaulEbby-n4r
@PaulEbby-n4r 10 ай бұрын
Hivi kule ni MATITI ya zuchu Kudondoka au Pua ya Baba levo ndo Iko kama Matikiti Kudondoka?!
@najmqhamisi5637
@najmqhamisi5637 10 ай бұрын
Aki kabisa❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ngoma yamadhili sana
@paulnalami6
@paulnalami6 10 ай бұрын
This is pure Bongo flavour . Let's not forget our music. I love this song. Represent 254 Massive
@marcusolivierbahati7600
@marcusolivierbahati7600 10 ай бұрын
J kiff le chanson , courage alikiba depuis 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@margaretkiarie6463
@margaretkiarie6463 5 ай бұрын
Thats why hes called KING KIBA......big love..nguvu sinaaaa❤❤❤❤❤❤
@sergigermain9507
@sergigermain9507 10 ай бұрын
nyashiski nandy na alikiba kwa set mmoja wadauu mnaonaje
@piusmureri4811
@piusmureri4811 10 ай бұрын
Mfalme na Bintiye...Dah kiukweli imetanda hii Nairobi Kenya
@nunnyissah7027
@nunnyissah7027 8 ай бұрын
Nyimbo zetu tamu bwana ❤
@juliusnyambo4325
@juliusnyambo4325 10 ай бұрын
Dah!! kweli hii ngoma ni kali mpaka leo haitaki kushuka chini🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@RoseNtandu
@RoseNtandu Ай бұрын
Wametixha👏👏👏👏👏👏👏The African princess and Alikiba❤❤❤❤❤👏👏👏
@DevidPeter
@DevidPeter 10 ай бұрын
Umetisha 1trending mpaka now na ngoma zote ziliz toka atar Aya nipen lk zang
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
pmj sn
@luckydavesimba9548
@luckydavesimba9548 10 ай бұрын
#Nandy hiki kibao kinakubalika sana hapa kwetu KENYA 🇰🇪👏👏👏💞💞Mitaani kote kibao kinapepeta midhili ya upepo🇰🇪👏👏👏👏🙏🙏🙏💞💞💞💞
@MLINGI_MLINGI
@MLINGI_MLINGI 10 ай бұрын
Kwahiyo Nandy kawa dada wa Taifa daah kweli daah yani bado yupo no1
@SimonMwai-qn6nj
@SimonMwai-qn6nj 5 ай бұрын
Alikiba na nandi mziki uzimwe sasa ..maana..nyinyi..ndo king na queen 👑..kenya tuna wakubalìa
@Faines-qj1nt
@Faines-qj1nt 10 ай бұрын
Hongeer sana mumy kwa kipaji ulichojaliwaa na molaa pambanaa haswaa mama kenay
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
💥💥
@Nasbkiu832
@Nasbkiu832 10 ай бұрын
💥💥💥💥
@salimbayaali1236
@salimbayaali1236 10 ай бұрын
wow whats a sweet and lovely song is this ...wagwan Nandy & Bro Alikiba Kazi njema nimeiona
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
kali sn
@squadsports2020
@squadsports2020 10 ай бұрын
African princess umetisha ddaa angu
@wanjala254
@wanjala254 21 күн бұрын
Utamu wakibantu lazima uwe mbantu ndio utaelewa asee 🇰🇪🇺🇬🇹🇿 💯
@RamsRamazanisalumu
@RamsRamazanisalumu 10 ай бұрын
Dah kumbe kaimba @nandy. Mke wangu ameupenda sana sina budi na mimi kuipenda piya.
@EmmaDrizeJuice
@EmmaDrizeJuice 10 ай бұрын
Awwwwww nyieeeee hii ngomaaaa balaaaa itaback hapo number one treading mpk itakapo achiwa Daah ft usher remix team Princess and King tujuane hapa
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
kwel kabs
@EmmaDrizeJuice
@EmmaDrizeJuice 10 ай бұрын
@@hamid-m2i1y nakubali damu yangu
@MohdThani-x3z
@MohdThani-x3z 2 күн бұрын
✅✅✅✅✅✅✅💯
@razakilipwelele5518
@razakilipwelele5518 10 ай бұрын
This Song Non-Stop 🔥🔥🔥. Itakaa Trending mpaka Mmoja wao atoe Goma Lingine 😂😂😂
@ismailsalim8395
@ismailsalim8395 10 ай бұрын
Umeona mbali
@razakilipwelele5518
@razakilipwelele5518 10 ай бұрын
​@@ismailsalim8395kabisaaa
@goliamagaribovu
@goliamagaribovu 10 ай бұрын
Kabisa ❤
@HadijaMagundu
@HadijaMagundu Ай бұрын
Mmh! Realy
@Ousby281
@Ousby281 8 ай бұрын
Although,I don't understand any word about this song but it touches me a lot and in the deepest in myself Heart. I appreciate all the Nandy's songs and love all the Tanzania people. From in Mali.
@AishaMussa-bo9tl
@AishaMussa-bo9tl 7 ай бұрын
Love you too ❤
@ANKOeTV
@ANKOeTV 10 ай бұрын
Kenyans in Canada have always maintained that Alikiba is the Goat of Bongo. Love from Montréal
@kevinryt4963
@kevinryt4963 10 ай бұрын
Great stuff
@ANKOeTV
@ANKOeTV 10 ай бұрын
thanks @@kevinryt4963
@VannicsStannics
@VannicsStannics 6 ай бұрын
exactly i second you
@muhammedkhamis2566
@muhammedkhamis2566 10 ай бұрын
Kwa nyimbo za mapenzi Simba atasubiri sana, king Kiba anajua sana🔥🔥🔥🙌
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
kwel kabs
@DanielChaula
@DanielChaula 10 ай бұрын
Simba kukaa jangwani angari nyikani Kuna msosi siajabu hiyo
@amalyjuma438
@amalyjuma438 10 ай бұрын
Upo sahihi king ni habari nyingine
@abdallahhusseinabdallahh-xm9jf
@abdallahhusseinabdallahh-xm9jf 10 ай бұрын
Makini kk
@KarisBaya
@KarisBaya 10 ай бұрын
Mwambieni simba marara King ni mmoja tu kingkiba
@bevyntonmwasighwa6685
@bevyntonmwasighwa6685 10 ай бұрын
Yani Kwa siku lazima nirudi hapa mara kadhaa... Naipenda hii KAZI.... Melody tamu sana
@AmbroseMarwa-j3n
@AmbroseMarwa-j3n Ай бұрын
Mika mi
@LulonkeMtshali-c3m
@LulonkeMtshali-c3m 20 күн бұрын
Love this song from South Africa 🇿🇦
@RayaRidhwanShehe-xx9cq
@RayaRidhwanShehe-xx9cq 10 ай бұрын
Oyaaaa team kiba apa no 1 hatuondokiii waaache waumize vichwa half wale matikiti yaooo yalodondokaa
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
😂😂
@felisterwilson9259
@felisterwilson9259 10 ай бұрын
Matikiti yamefunikwa na Nazi 25🤣🤣
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
chalii domo 😂
@ZakaliaMichael
@ZakaliaMichael 10 ай бұрын
Hatutoki kwer
@KarisBaya
@KarisBaya 10 ай бұрын
Chali kabisa, promo zimezidi na hayaendi bado
@JacklineenCharless
@JacklineenCharless 10 ай бұрын
❣️❣️nampenda sana alikiba from my heart anajua hajawah kubaatisha jmn ❣️❣️love much kiba and nandy
@mohamedtsuma9902
@mohamedtsuma9902 10 ай бұрын
Apo Kwa turn taking mumeweza aki 😁 song for generations 😁❤️💯💯
@KarisBaya
@KarisBaya 10 ай бұрын
Umeona eeeeeh, hawa ni watu na mziki wao
@mohamedtsuma9902
@mohamedtsuma9902 10 ай бұрын
​@@KarisBayabanaa😂
@sadiabdulmalickmakoligo2513
@sadiabdulmalickmakoligo2513 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@benshark3212
@benshark3212 9 ай бұрын
Tuliokuja baada ya kuona remix tulike hapa
@santosmwakomo755
@santosmwakomo755 7 ай бұрын
Nipo hapa
@njetiipaul5904
@njetiipaul5904 10 ай бұрын
Alikiba mungu akujalie maisha marefu, you are talented man
@berryxmsanii
@berryxmsanii 10 ай бұрын
Mziki mzuri Sana huwezi kuchoka kuusikiliza na unayempenda vile vile mafunze kwa Wingi,mniruhusu niwavishe Mandy na Alikiba taji👑👑👑 kwa wimbo huu mzuri🎉🎉
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
kali sn
@berrybenito1124
@berrybenito1124 10 ай бұрын
Ngoma kali sana❤ congratulations Nandy and ALIKIBA.
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
kali sn
@KarisBaya
@KarisBaya 10 ай бұрын
Ushasema, Wale wauza matikiti wabaki huko
@abdinasirMohamed-h3r
@abdinasirMohamed-h3r 4 ай бұрын
Huwezi compare Ali Kiba na vitakataka zingine he's is the King Of East Africa nothing but ❤ from Kenya
@BahanuziPaulin-gb2fp
@BahanuziPaulin-gb2fp 10 ай бұрын
Nawa kubali Sana king kiba na Nandy song zawatu wazima kweli.
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
Hawa ndio mafundi sio yule anaeimba sukari 😂😂
@Nasbkiu832
@Nasbkiu832 10 ай бұрын
😂
@kelvinohdaprince
@kelvinohdaprince 10 ай бұрын
Guys you are really talented,,,I love this,,,, track kali sana nawapenda sana wasanii wangu wa jadi❤❤❤
@KarisBaya
@KarisBaya 10 ай бұрын
Yaani unaweza kuskiliza na watoto wako bila hata kupunguza sauti
@Msanii_wa_makuyu
@Msanii_wa_makuyu 10 ай бұрын
Fundi wa mziki Tamu from 254 tushakubali🔥🔥🔥
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
fundi hswa
@JAZZISEVERYWHERE6
@JAZZISEVERYWHERE6 4 ай бұрын
Asa hizo like huwa mnapataje asee basi hata moja tu
@BornfreyKweya
@BornfreyKweya 10 ай бұрын
When Princess and King meet its always wonders.......nice music. Dah........balaa hii. Kenya tumekubali
@habarileoleo
@habarileoleo 10 ай бұрын
Kweli kabisa
@salomecaroly5534
@salomecaroly5534 10 ай бұрын
Haswaaa
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
nomaaa
@imeldachenga9792
@imeldachenga9792 10 ай бұрын
Ali Kiba ❤..akiyumba nayumba..such voice..wewe ni noma sana....WIMBO MZURI
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
Motooo
@agnesssillo
@agnesssillo 10 ай бұрын
Ata hakujui ila unayumba yey akiyumba😂😂😂😂
@FrancisKNgigi
@FrancisKNgigi 10 ай бұрын
Finally! Pure Bongo flavor minus amapiano here it is. Loving it from Kenya🇰🇪❤️🇹🇿
@hassanamani2131
@hassanamani2131 10 ай бұрын
You shouldn't love it because is not in English
@felisterwilson9259
@felisterwilson9259 10 ай бұрын
@@hassanamani2131 What!?
@felisterwilson9259
@felisterwilson9259 10 ай бұрын
@@hassanamani2131 You ain't serious!!
@habarileoleo
@habarileoleo 10 ай бұрын
Hakika
@mariomhenzi3451
@mariomhenzi3451 10 ай бұрын
🎉
@PatientUseni
@PatientUseni 7 ай бұрын
Naku kubali king courage je suis congolais
@brianmakwata8023
@brianmakwata8023 10 ай бұрын
My favourite Tz artists coming together, amazing...
@theelyon
@theelyon 10 ай бұрын
Nandy hii imetumaliza nayo dahh alikiba umepeperusha bendera juu
@Chiunda-eh8lt
@Chiunda-eh8lt 8 ай бұрын
Mzima
@maxlopezlopez220
@maxlopezlopez220 10 ай бұрын
Hebu tujuane tuliorudia hii video mara nyingi ❤❤❤
@WastaraWastaraMohamedkihing
@WastaraWastaraMohamedkihing 9 ай бұрын
Kwakweli Nandy ujawah kukoxea yan me nkuaminy weeh yn umetixh ktk h nyimbo bye me asha❤💞💕🧡👍✌️👩‍💼
@WastaraWastaraMohamedkihing
@WastaraWastaraMohamedkihing 9 ай бұрын
💕💞 Ajaih kukoxea au umnasemaj wenzangu hp kwenye song kal la nandy ft alikib
@astridamufwata124
@astridamufwata124 10 ай бұрын
This song is fire..Amma play it till King kiba tells me to stop🛑 Zambia,🇿🇲 representing
@annewashuka5972
@annewashuka5972 10 ай бұрын
So dope alikiba en nandy always got the vibes super can' not get enough of the vibes
@yohanapedomusic1110
@yohanapedomusic1110 10 ай бұрын
❤ The African princess ndo msanii wangu bora Bonga Land ...watching from Turkana County,Kenya 🇰🇪
@NELSONMusemak
@NELSONMusemak 8 ай бұрын
King kiba wewe ninamba moja katika moyowangu kweli nakupenda. Christophe thomas kutoka Congo RDC
@caterinaw1
@caterinaw1 10 ай бұрын
Nandy is glowing 😍. Mix ya Nandy na King Kiba toooop yaani Daaaah 🔥🔥. Much love from +254 ❤❤
@Bwanamkubwa25493
@Bwanamkubwa25493 2 ай бұрын
saana 🔥
@vivianipyana
@vivianipyana 10 ай бұрын
Wimbo wangu pendwaaaa
@Tellingjad17
@Tellingjad17 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@VeejayShaqs
@VeejayShaqs 10 ай бұрын
Nandi ft Ali Kiba is always a bombshell much love from Kenya
@christinetaabu5027
@christinetaabu5027 9 ай бұрын
Wow so so nice, I love it much, inauhalisia wake unatibu hisia. Nawapenda wote.
@em_vee_josh
@em_vee_josh 10 ай бұрын
Wangapi wamefunga like button hata kabla ya kuutazana wimbo kuskia verse ha Ali Kiba ❤❤❤❤
@mansouraltamim
@mansouraltamim 10 ай бұрын
One Billion Dollar Song from Tanzanian Legends. Alikiba & Nandy❤
@KarisBaya
@KarisBaya 10 ай бұрын
Ni mmoja tu kingkiba
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
kwel kabs
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 6 ай бұрын
Yes❤
@wankurumasanja4764
@wankurumasanja4764 10 ай бұрын
King kib ft Nandy never disappoint much love from kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@felisterwilson9259
@felisterwilson9259 10 ай бұрын
Thanks from TZ
@philimonmwakapimba5280
@philimonmwakapimba5280 6 күн бұрын
king na african princess bonge la mziki
@rgcbambacdc
@rgcbambacdc 10 ай бұрын
Kiba's piece is my favorite of all time from him.I will always choose Ali Kiba as the best of the best in East Africa. Hao watu wa kusuka nywele na kuweka vipuli nimewaachia nyie.❤Commenting from Kilifi.
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
💥💥
@hadramlyasweyedomtown6114
@hadramlyasweyedomtown6114 10 ай бұрын
🔥🔥
@ZacharyMangara
@ZacharyMangara 10 ай бұрын
My two favourite musicians from TANZANIA+255,king kiba and Nandi the African princess
@DanielChaula
@DanielChaula 10 ай бұрын
USISAHAU lizer na s2kizzzy ndio walio zalisha dah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@CalvinmbiseMbiseCalvin
@CalvinmbiseMbiseCalvin 3 ай бұрын
Nandy upon vizur nakupongeza Kwa wimb huu wa daha. Hongera sana by Calvin
@oscarvalence5080
@oscarvalence5080 10 ай бұрын
King 👑 NI mmoja tyuh Na African princess tunamjua m1 tyuh
@FungoMwalimu
@FungoMwalimu 10 ай бұрын
Dah !! Super song,good work Nandy and Kiba
@JosephIsanzu-g1r
@JosephIsanzu-g1r 10 ай бұрын
King and queen of bongo Flava expect nothing more than unexplainable gud music melodies, nawapenda Sana wanangu ,big five wanyamwezi!
@lynnmwangi1923
@lynnmwangi1923 10 ай бұрын
❤️❤️❤️ 🥂
@eliaikimmatayan632
@eliaikimmatayan632 10 ай бұрын
🎉
@sahilrajaking7265
@sahilrajaking7265 9 ай бұрын
Naukubali sana huo wimbo naurudia kila mara yaani nimeukubali kwa 100% asante sana nandy na king kiba
@mvinjethomas4292
@mvinjethomas4292 10 ай бұрын
Nasikiliza nikiwa Kayole Nairobi. Repeat this song 100*
@piusmureri4811
@piusmureri4811 10 ай бұрын
Kayole na Allsops..Nairobi
@jacklinemugo1642
@jacklinemugo1642 10 ай бұрын
Alikiba will always and forever be my favourite... ngoma zake weeeeh kali!
@edmondgoddy
@edmondgoddy 10 ай бұрын
Nandy and Alikiba's chemistry is fire in "Dah!" Their voices complement each other perfectly, and the whole vibe is just irresistible
@simbafc16
@simbafc16 Ай бұрын
King kiba ulivyo anza OOOOOOH HOOOO Asante ❤
@habarileoleo
@habarileoleo 10 ай бұрын
Nandy ni msanii bora, na Kiba ni msanii bora wa wakati wote. Ngoma nzuri sana hii. Haitakuja kuchuja kamwe.
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
Mkali sn
@EmmanulYoram
@EmmanulYoram 10 ай бұрын
Hapa mpaka tuzo wachukue hapo tuzo zote kolabo bora na nymbo bora ya mwaka😂😂
@habarileoleo
@habarileoleo 10 ай бұрын
Kabisaaaa​@@EmmanulYoram
@bakarimayegeya9526
@bakarimayegeya9526 10 ай бұрын
Miaka million
@jumaamtenganya-8680
@jumaamtenganya-8680 10 ай бұрын
Kipande cha kiba niplay mara 22 daaa uyu jmaaaa nomaaaaaa
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 10 ай бұрын
❤🎉❤❤
@felisterwilson9259
@felisterwilson9259 10 ай бұрын
Sana
@SalminMzee
@SalminMzee 10 ай бұрын
Kwanza alivoingia yahni kma sharukhan😂❤
@Nasbkiu832
@Nasbkiu832 10 ай бұрын
Hatariii
@saidbora5392
@saidbora5392 10 ай бұрын
I have been watching this video from day 1 and I can't get enough of it. Mziki mtamu. Hongereni King Kiba na African Princes.🎉
@EmmanuelKalenga-k3h
@EmmanuelKalenga-k3h 9 ай бұрын
The second #Nibakishiye#🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥
@POGMESSITV
@POGMESSITV 10 ай бұрын
Number #1 on Trending : Overall & Music tabs 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 King Kiba & Princess Nandy. Congratulations 🎉🔥👏
@piusmureri4811
@piusmureri4811 10 ай бұрын
Tumeipanda sana hapa Kenya Habari ishafika
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
htarii
@Nasbkiu832
@Nasbkiu832 10 ай бұрын
Hii kafanya hasira ujue😂
@benardchege365
@benardchege365 10 ай бұрын
Nandy never disappoints 🥰😍🥰😍😋 African princess ❤❤mob love from Kenya.....
@winny358
@winny358 10 ай бұрын
The King has done it again. Kenya loves u
@leonardkisingilie1130
@leonardkisingilie1130 15 сағат бұрын
Daaaaaah!!! Kitu moto 2 saannna walai
@lucydeche07
@lucydeche07 10 ай бұрын
Nimekesha nikiskiza nyimbo hii moja TU love you Kiba milele Nandy nakupe sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MalickElias-nv1sp
@MalickElias-nv1sp 10 ай бұрын
Big shout-out for Them.. sending love from Canada 🇨🇦..
@pgal402
@pgal402 10 ай бұрын
@bakarimayegeya9526
@bakarimayegeya9526 10 ай бұрын
@MLINGI_MLINGI
@MLINGI_MLINGI 10 ай бұрын
Hii ngoma apongezwe Nandy pia ashukurukuriwe Mungu halafu heshima za dhati ziende kwa Mtukufu mfalme wa Bongo fleva King Kiba
@eddymjoi
@eddymjoi 10 ай бұрын
Nyimbo ya kiutuuzima 🔥
@Nasbkiu832
@Nasbkiu832 10 ай бұрын
👍👍👍
@fonxpat
@fonxpat 8 ай бұрын
2.53 That's my G right there 🤣💪. Waonyeshe mwanaume straight anafaa kula ndizi aje😅
@OnesphoreMpawenimana-md5mm
@OnesphoreMpawenimana-md5mm 10 ай бұрын
Nikisema Alikiba mfalme wew usipingi kiukwl Hiyi nyimbo ni bora tanzania nzima hdi east africa hadi africa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@rickybor
@rickybor 10 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/qp-kXpqnpZiCd9Esi=QXp7s4I0yNIQKyqm
@shimiyeclassicsa.k.awhozga7362
@shimiyeclassicsa.k.awhozga7362 10 ай бұрын
🎉🎉❤❤❤❤❤
@martinepetro
@martinepetro 10 ай бұрын
Nyimbo kali sana, imagine me huyu naiangalia had naangalia Tena, so 🔥🔥🔥🔥🔥
@ndayizeyeemmanuel211
@ndayizeyeemmanuel211 10 ай бұрын
Alikiba anaing'alisha sana Bongo fleva anauwezo wakubadiri sauti,mpeni likes
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
nomaaa
@ChemaKalembo-nx7xb
@ChemaKalembo-nx7xb 10 ай бұрын
Namkubali sana nandy na kiba wamenikumbusha mbaliiisana
@saidimiarage
@saidimiarage 10 ай бұрын
Hatareeee 🔥🔥💯
@KarisBaya
@KarisBaya 10 ай бұрын
Huyu ni mwamba
@AsiaDenge
@AsiaDenge 10 ай бұрын
❤❤
@hinzanohinzano3117
@hinzanohinzano3117 3 ай бұрын
Nandy ndio mwanamke mwenye Sauti nzuri zaidi east Africa
@iamskylahtessy
@iamskylahtessy 10 ай бұрын
Kiba's voice 😍😍😍😍😍,watching from watamu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪kenya
@iddke.2779
@iddke.2779 10 ай бұрын
Ña mm nipo apa Santana 😂😂 naskiiza hili goma❤❤❤
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd 10 ай бұрын
No 1 trending tutatoka tukiamua wenyewe
@kamanafikiri9954
@kamanafikiri9954 10 ай бұрын
Wambie tena awajakusikia bado 😂😂😂
@halidhemed7524
@halidhemed7524 10 ай бұрын
😂
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 10 ай бұрын
Hamna mda mrufu simba anawashusha
@MussaFurniture
@MussaFurniture 10 ай бұрын
Sawa mrembo​@@Shokolokobango9385
@kicksonenzo9154
@kicksonenzo9154 10 ай бұрын
😂😂😂
@derekshira2943
@derekshira2943 10 ай бұрын
hizi lyrics ni noma sana alaf the flow is just amazing much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@tendaiboti3157
@tendaiboti3157 17 күн бұрын
I don't understand a single word but I applaud, ❤from Zambia
@kijaboy
@kijaboy 10 ай бұрын
this song kiukweli aichoshi Kuna melody ya tofauti kabisa na wao, like nyingi Kwa kiba ameuwa
@KhashimShabani-zy7im
@KhashimShabani-zy7im 10 ай бұрын
King ni mmoja siku zote
@hamid-m2i1y
@hamid-m2i1y 10 ай бұрын
kwel kabs
@JosephPaulo-t7i
@JosephPaulo-t7i 10 ай бұрын
Jamani naombeni tena like 2 team kings😢❤😂🎉
@margaretkiarie6463
@margaretkiarie6463 21 күн бұрын
Ali kiba forever....so much love for both...I watch this clip more than 100 times in a day..🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯...King kiba the one only ❤️❤️❤❤
Alikiba - UTU (Official Music Video)
4:06
Alikiba
Рет қаралды 30 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Nandy feat Billnass - Totorimi (Visualiser)
3:52
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 4,7 МЛН
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 7 МЛН
Yammi - Tiririka (Official Music Video)
3:52
Yammi
Рет қаралды 12 МЛН
Chege feat Alikiba - Kipofu (Official Music Video)
3:59
Chege Chigunda
Рет қаралды 3,6 МЛН
Mbosso - Nadekezwa (Official Music Video)
3:58
Mbosso
Рет қаралды 37 МЛН
Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)
2:52
Dully Sykes
Рет қаралды 1,2 МЛН
D Voice feat Zuchu - Nani (Official Music Video)
3:37
D Voice
Рет қаралды 7 МЛН
Jay Melody - Baridi (Official Video)
3:11
Jay Melody
Рет қаралды 11 МЛН
Harmonize - Nitaubeba (Official Video)
4:21
Harmonize
Рет қаралды 29 МЛН
Diamond Platnumz - Yatapita (Official Lyric Audio)
5:00
Diamond Platnumz
Рет қаралды 7 МЛН