Baarak Allah kwa historia ya al arham ustadh wangu Said Al aghar... Allah amuweke pema penye wema peponi 🤲🏽 Baadhi ya vipande vya mashairi baada ya kufa kwake, ni kama vifuatavyo Katueleza watoto, mimi nimeota ndoto...Nyoyo zitangia joto, mimi kiwasimuliya Siku hiyo masikini, hakutuwa asilani...Mara nje mara ndani, nasi tukimfuatiya