Ali Ismail Amsomea Aisha qasida safi sana

  Рет қаралды 2,469,775

G VIDEO PRODUCTION CHANAL

G VIDEO PRODUCTION CHANAL

Күн бұрын

Angalia vionjo vya Qadiria hawa jamaa duh

Пікірлер: 447
@FatnaBakari-b2g
@FatnaBakari-b2g Жыл бұрын
Qaswida nzuriii sana mashallah ndo Maan mwanadam anashereh tatu
@FaudhiaRamazn
@FaudhiaRamazn Жыл бұрын
Hongera kaka yangu kaswida kali sana jamani💞💞💞
@shaabanjao530
@shaabanjao530 2 жыл бұрын
Subhanallah!!!! ndugu zangu hii sio Sheria ya dini,rudini Kwa (ALLAH)huko nikupotea
@salamaabdullah2007
@salamaabdullah2007 2 жыл бұрын
Sasa ww kma unayajua hayo kwanini unaangalia
@bakarikhalfani3779
@bakarikhalfani3779 11 ай бұрын
​@@salamaabdullah2007e4 w w gp
@Nailaty564
@Nailaty564 10 ай бұрын
Wenzio wanapambana na ushoga we unapambana na qaswida
@zamirhassan81
@zamirhassan81 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅​@@Nailaty564
@anderemustafa2842
@anderemustafa2842 5 ай бұрын
😂😂😂​@@Nailaty564
@Nanahshubayra
@Nanahshubayra Жыл бұрын
Imekaa Bomba San Allah akup uvumiliv wakautockiliz manen ya watu wanaokatish tamaa🤲🤲
@SammirYussuf
@SammirYussuf 7 ай бұрын
Z, ❤️ u
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah nakuhitaji siku ya harusi yangu bro
@masuudmasud8058
@masuudmasud8058 4 жыл бұрын
Hizo ni nyimbo tena mchanganyiko kati ya wanawake na wanaume mungu hapendi hivo.nifikishien mtume anasema japo aya moja.lkn saivi hasa zanzibar tunaona kitu cha kawaida.ittaq llah
@edysimba5220
@edysimba5220 3 жыл бұрын
Swadakta
@issajuma7152
@issajuma7152 3 жыл бұрын
@@edysimba5220 kabsaaa hkuna kingine ni mijimbo tu
@ibnnjoka4808
@ibnnjoka4808 2 жыл бұрын
Kwani kaswida nini
@allymasha915
@allymasha915 Жыл бұрын
Kweli tena kabsaaa inalilah wainailahirajiun msiba huu
@allyissa2744
@allyissa2744 Жыл бұрын
Jaman mimi nina swala Kwani mungu hapendi iloo tuu au ndo Mt lake haoni maan kwa makosa na dhamb tunfanya meng ya sir n dhahr
@Ulu-j7p
@Ulu-j7p Жыл бұрын
Mashallah MUNGU akuzidishie kakangu
@AyubuKatundu
@AyubuKatundu 4 ай бұрын
Qaswid nzuri sana hongera shakh
@nurucinemax
@nurucinemax Жыл бұрын
Maashallah 🥰🥰 napenda mlivyo vyaaa nyinyi makaka
@aishamayungu6736
@aishamayungu6736 11 ай бұрын
Masha Allah ❤❤🎉🎉
@rehemajimbos9646
@rehemajimbos9646 3 жыл бұрын
Kaswida nzuri sanaaaa,nimeipenda,naomba no zake
@lukmanyusuph9345
@lukmanyusuph9345 2 жыл бұрын
Nakupenda kwaajili ya allah jamani uwiiii!hiyo qaswida jamani allah ndio anajua huwa nafrahi kiasi gani,hongera kaka mzuri ⚘
@hadijahabdallah5980
@hadijahabdallah5980 Жыл бұрын
Mashaallah
@hadijahabdallah5980
@hadijahabdallah5980 Жыл бұрын
Mashaallah
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 6 ай бұрын
Mungu akubariki wewe na wako, mungu akukusanye katika wema, mungu akujalie uzao na tumbo zuri. Mungu afungue milango ya riziki, fadhili, baraka na rehema, Amina, Mola wa walimwengu❤🎉☝🤲☝
@davidvallerian2357
@davidvallerian2357 3 жыл бұрын
Mmetisha sana aisee bg up
@Fatma-g3o
@Fatma-g3o 2 ай бұрын
mashallah Allah akulinde na husda za ulimwengu ❤❤❤
@zubaidaalsalhi3242
@zubaidaalsalhi3242 4 жыл бұрын
Yuhuuuu kujimwaga kama koteeee😁😁😁😁😁Raha km zotee na midundo hiyoooo wenyeweeee😜😜😜 Hongereni mambo waaaaa😘😘😘😘😘💞💞💞💞💞💗💗💗💗💗💯 Hahahahahaha nacheka maana namimi uko kuolewa nataka 😆😆😆lkn mambo hayajawaaa😪😪😪 Yarrabiy tujalie nasisi ambao mambo bado YAWE kwa njia ya kheir Inshallah 🤲
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
sali sana Allah hatokuacha atakupa mume mwema hilo ndo kubwa mana wengi wanaolewa lkn waume mmmh mitihani ama wake mitihani
@salummohd579
@salummohd579 4 жыл бұрын
Kiukwel Qaswid iko vizur xn nimeitizama ikovema xn
@yusrahamza3208
@yusrahamza3208 3 жыл бұрын
Ameen kwa sote
@assfzainab912
@assfzainab912 Жыл бұрын
Nitawaita kenya muje kwenye harus ya mwanangu nyimbo imeenda na majina wallah mi fatuma mwanangu aisha
@latifajuma8402
@latifajuma8402 2 жыл бұрын
Mashallh allh akuzidishie kipaj kak aisha
@suleimanroba5896
@suleimanroba5896 12 күн бұрын
Ustadh asalamualehkum tupe tupe angalau tutoe moyo stress ya ulimwengu pia na ww allah akubariki
@suleimanroba5896
@suleimanroba5896 12 күн бұрын
ustadh kisha binti arusi ni yupi!! Maashalah ni tamu sana
@ayurekituz736
@ayurekituz736 Жыл бұрын
Marhaba kwa kweli ajab hata mjomba Diamond hatoshi .mm nimefurahi
@IkramuAlly-rh7rp
@IkramuAlly-rh7rp Жыл бұрын
Mashaala nikisikia kasida zako najihc Niko Jana walahi
@FatumaMwangu-s9p
@FatumaMwangu-s9p 2 ай бұрын
0:00 0:00 11111111111😂😂😂😂😂
@khadijaakidakhadijaakida5193
@khadijaakidakhadijaakida5193 3 жыл бұрын
Hongera Sn Ally❤qawidaa Iko vizur sn Mashaalah Nimeipendaaa
@malengawadini
@malengawadini 29 күн бұрын
Mashallah Qasida njema yenye haiba
@MdaturuBoy
@MdaturuBoy 6 ай бұрын
Mashaalah nimeipenda kaka usisikilize maneno ya watu ya kukukatisha tamaa❤❤❤
@MikwayaKasim
@MikwayaKasim 3 ай бұрын
Mungu akubaliki kaka
@othmaniibnyusuph1602
@othmaniibnyusuph1602 5 ай бұрын
Mnajitahidi Sana mungu awlipe 🎉🎉🎉
@zanmedia5225
@zanmedia5225 4 жыл бұрын
Master master master master master nakuona vitu vyako baba hongera sana 👏👏👏👏👊
@GVIDEOPRODUCTIONCHANAL
@GVIDEOPRODUCTIONCHANAL 4 жыл бұрын
Huonekani masta upo wpi
@ulufatybeka6731
@ulufatybeka6731 4 жыл бұрын
Ulufaty beka
@ulufatybeka6731
@ulufatybeka6731 4 жыл бұрын
Mshauwa
@ulufatybeka6731
@ulufatybeka6731 4 жыл бұрын
Mambo
@GVIDEOPRODUCTIONCHANAL
@GVIDEOPRODUCTIONCHANAL 4 жыл бұрын
@@ulufatybeka6731 POA
@leylahbillah4876
@leylahbillah4876 4 жыл бұрын
Subhanallah saaa hii ni taarab au kaswida jmn mtihan mmh🙄🙄
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 4 жыл бұрын
Mwezangu
@allyvuai1207
@allyvuai1207 3 жыл бұрын
Maashaallah mungu akuzdxhie kila la kheri Kaka angu Ally Ismail
@salimuMGWIAMOYO-xl1cn
@salimuMGWIAMOYO-xl1cn Жыл бұрын
Maneno swadaqta imba 😎😎👍👍👍
@KimboNyirenda
@KimboNyirenda 6 ай бұрын
Mashallh hii kawaida naikubal jmn
@AZIZAKILONGO-j1k
@AZIZAKILONGO-j1k 14 күн бұрын
Hizi ni nyimbo kama taarabu sio kawaida kawaida Gani hata jina la mungu Wala mtume Wala swahaba hawataji hizi ni taarab
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 3 жыл бұрын
Ahsant san kwa kasida nzr hongera umeweza san🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤲🤲👍👍
@salmamussa5601
@salmamussa5601 3 жыл бұрын
Jamani wanapatikana wapi hawa nimeipenda hii kaswida ...kma kuna mtu anajua wapi wanapatikana jamani ..nnaharusi ya mdogo wangu..
@nicholauschupa5906
@nicholauschupa5906 3 жыл бұрын
Hongera kaka kwa kaswaidahii
@aishamagesa1766
@aishamagesa1766 2 жыл бұрын
Mashallah mwenyezi mung akuzidishie Barak
@Bintinurumwaliphonzo-qd8zt
@Bintinurumwaliphonzo-qd8zt Жыл бұрын
Mashaallah brother mungu akibariki kipaji chako ❤❤❤
@KARIMUMTALI
@KARIMUMTALI Ай бұрын
Nawapa pongezi his ni kali jitahidi utakuwa kwanza nakupa nguvu pambana
@KARIMUMTALI
@KARIMUMTALI Ай бұрын
❤❤🎉🎉🎉jitahidi kutoa nyingine 🎉🎉🎉🎉❤❤
@allyvuai1207
@allyvuai1207 3 жыл бұрын
Maashaallah mungu akuzdxhie kila la kher ktk maisha yk yak y kuxoma kaswida
@nakshinaksh9594
@nakshinaksh9594 2 жыл бұрын
Mashaallah mungu akujaalie kipaji chako kizid nawiri inshaallah
@adilhabib8988
@adilhabib8988 3 жыл бұрын
Hongera kwa kufuta mahadh ya hafidh mtu atakiwa kua ivo
@jamndembo8677
@jamndembo8677 2 жыл бұрын
Hii ni taarabu,allah atusamehe..
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 4 жыл бұрын
Hongera kaka ukojuu mungu akubarki kaka nakuona mbal sana 💯🔥👍💕😁
@IbrahmJuma-y6q
@IbrahmJuma-y6q 14 күн бұрын
Hiz Sito Nymbo hy nifuraha ndiyo imewafanya wafurah hvo
@zainabhussein6603
@zainabhussein6603 Жыл бұрын
Allah atuongoze inshaalah,Allah akupe afya njema inshaalah
@khadijaahmed2331
@khadijaahmed2331 8 ай бұрын
Allah awazindue murudi sawa huu mujtamaa sio sawa
@JasmineMohamed-f8p
@JasmineMohamed-f8p 2 ай бұрын
Kwasida nzuri sana🎉
@salimomar3186
@salimomar3186 2 жыл бұрын
Mashallah kaka unaweza
@manansamosir6095
@manansamosir6095 2 жыл бұрын
Lanjut saudaraku semoga dirahmati dan dilapangkan rizki.amin dari Indonesia.
@cdekhamc7087
@cdekhamc7087 3 жыл бұрын
Maaashaaaallah kwa kaz nzur allah akupe afya njema
@Khadija-hj6oh
@Khadija-hj6oh Жыл бұрын
Twatumia jina qaswida ili kuwasilisha nyimbo zenu ..ni bora mujieke wazi brothers
@rehemaissa5377
@rehemaissa5377 2 жыл бұрын
Nataka moja Ali popote ulipo
@zainaabdallamzee3560
@zainaabdallamzee3560 4 жыл бұрын
Mashaallah ulijua kutunogesha bin Ismail😘😘😘
@VictorLongole
@VictorLongole 8 ай бұрын
Daah hyo moto sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅
@fatumafadhil2807
@fatumafadhil2807 2 жыл бұрын
Mashallah mungu azidi kuwap Zaid ya hapa amin ishallah
@AminaMohamed-i4b
@AminaMohamed-i4b Жыл бұрын
MashaAllah Sauti imenikosha
@malaikajadeni9434
@malaikajadeni9434 Жыл бұрын
Hongeren San jmn mwenyeenzmung awajaalie
@fatumambaruku8921
@fatumambaruku8921 2 жыл бұрын
Mashaallah mpaka nimeitamani ndoa❤❤
@zanzibartraditionalcooking2567
@zanzibartraditionalcooking2567 Жыл бұрын
😊😊😊🙏🙏🤲🤲🤲
@FatumaHussein-b5o
@FatumaHussein-b5o 7 ай бұрын
Mashallah kk ali
@mwajumaramadhani5723
@mwajumaramadhani5723 4 жыл бұрын
Mashalla nawatakia Lila LA kheri mungu awajalie nimeipenda Sana hongereni
@allyvuai1207
@allyvuai1207 3 жыл бұрын
Maashaallah mungu akuzdxhie kila la kher xomo yng Ali Ismail
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah 🥰♥️💋hii.qaswida niliipemba sana
@rashidiathumani2300
@rashidiathumani2300 3 жыл бұрын
Mashallah kipaji vipaji vipo zanzibar tatizo mngano tu unawakwamisha
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 aisha umepatiya sana asante
@SalmaHabiru
@SalmaHabiru 7 ай бұрын
Jmn kak mashaalaah mashaalaah niki tak uje uimbe kweny harus yang shingap
@hidayarashidi2005
@hidayarashidi2005 3 жыл бұрын
Ni nzuri sana sichoki kuiangalia
@kendirajab691
@kendirajab691 3 жыл бұрын
MashaAllah 😍❤ umejaaliwa 😍kafara yangu it's my favourite❤💕
@husseinally301
@husseinally301 3 жыл бұрын
Masha allah imetrendy snaa
@YusuphJuma-li8wy
@YusuphJuma-li8wy Жыл бұрын
Nawapenda jmn mnaimba vzr
@fazilimngodo8535
@fazilimngodo8535 2 жыл бұрын
Hiii bongo freva alooo. Co qasda
@amourally5231
@amourally5231 4 жыл бұрын
Kaka nakubali
@shemmaster7swaleyuun228
@shemmaster7swaleyuun228 2 жыл бұрын
G. VIDEO PRODUCTION 😍😍😍💕UNAPASPORT WEWE. SHOOTING NIMEIELEWA PLEASE. NITAFUTE
@khadijaakidakhadijaakida5193
@khadijaakidakhadijaakida5193 3 жыл бұрын
I yo Message Nzur Sn Kwakweli 😍 Nikweli Kabcaa👌Point
@habibtysalum272
@habibtysalum272 4 жыл бұрын
Mashallh kasda pambee na mahzi mashallh
@abeidaj432
@abeidaj432 4 жыл бұрын
Hakika ni ya Moto🔥🔥🔥🔥🔥
@maryamasaid2983
@maryamasaid2983 3 жыл бұрын
Ila kun mwanaume nmemkubal kinoma hapo anacheka sana iv
@AminaAmina-xz9bt
@AminaAmina-xz9bt 4 жыл бұрын
Mashaallah nzur nimeipenda sanaaaaa Allah awape kila leny kher
@HajraIssa-jg9eu
@HajraIssa-jg9eu Жыл бұрын
Bidaaa kubwa sanaaa
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 4 жыл бұрын
Masha Allah nkiwa frm kenya
@kulthumthabit7036
@kulthumthabit7036 2 жыл бұрын
Ma sha allah e voice and Reaction during e singing Always mentain it bro 💯
@samiaomary5284
@samiaomary5284 4 жыл бұрын
Umetisha ipo vizur
@swedymaumba2844
@swedymaumba2844 3 жыл бұрын
Mashaallah mungu awape kheri
@seventytwodecome2342
@seventytwodecome2342 4 жыл бұрын
Uhakika ume tisha uko vizuri
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 3 жыл бұрын
nimependa aki
@nassoralmazrui..........8486
@nassoralmazrui..........8486 4 жыл бұрын
Safi Sanaa Kaka kasda nzr nawaona Wana wa afnaania pembeni
@barkesalim1801
@barkesalim1801 3 жыл бұрын
Masha Allah ALLAH awazidishiye Amin ya Rabi
@kaijealey5344
@kaijealey5344 2 жыл бұрын
of o0
@bahsan4905
@bahsan4905 Жыл бұрын
mashaaalah pambeee sana
@shakilamagina1617
@shakilamagina1617 4 жыл бұрын
Masha allah .Egypt tunawapata vizuri
@aishajuma260
@aishajuma260 3 жыл бұрын
Kaka🤲👍🤲😂😂😂😅🙏💖💓💗💙
@amina3838
@amina3838 2 жыл бұрын
👍👍
@sophiajumaa5434
@sophiajumaa5434 2 жыл бұрын
Mashallh nizr sn
@saumuhussein4399
@saumuhussein4399 2 жыл бұрын
@@amina3838 Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh
@fauziasalim9646
@fauziasalim9646 2 жыл бұрын
MashaAllah l need to meet these Luvly Ustadh in Future,l have arafat and eagle for them😍
@amina3838
@amina3838 2 жыл бұрын
Hoger yko kaka
@saumukhamissalum6375
@saumukhamissalum6375 4 жыл бұрын
Na mm nataka uje nikusomea qassida km hii inshaallah
@سعيدة-ت8ذ
@سعيدة-ت8ذ 8 ай бұрын
Allah awaogoze mnafanya kusud jamna
@bintmkareem2666
@bintmkareem2666 3 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah meipenda kwakweli
@bintmkareem2666
@bintmkareem2666 3 жыл бұрын
Allah akuzidishie💞🤲🙏
@hadiaissa6795
@hadiaissa6795 3 жыл бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️ naipenda sana
@AsmaaIssa-wz6by
@AsmaaIssa-wz6by 6 ай бұрын
Jmn tumche Allah huu c mziki kabisa
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 3 жыл бұрын
Jifunz quran kusom na kuandik gusa p
@jasminemchiwa949
@jasminemchiwa949 2 жыл бұрын
Mashaallah Kaz njema
@HalimaAdam-v7e
@HalimaAdam-v7e Жыл бұрын
Niharus hiyo siy msiba
@talibussi1605
@talibussi1605 3 жыл бұрын
Mh jamaa anasauti ma sha Allah
@AbdullyRubea
@AbdullyRubea 2 ай бұрын
Nashkul kwa taarab bora sna
@SaidiMohamedi-o2j
@SaidiMohamedi-o2j 5 ай бұрын
Vizur sana
@asia1124
@asia1124 4 жыл бұрын
Hatari na nusu Walahi qaswida nzur sana
ALLY ISMAIL - SAFARI (Video Qasida Performance)
10:29
ABUU SAID
Рет қаралды 29 М.
Video full bwana harusi na biharusi waimba live ukumbi wa majid store
11:01
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Ahlul-Makka Toba ya kweli ni Qasida ya toba,Qasida Safi sana
10:57
G VIDEO PRODUCTION CHANAL
Рет қаралды 4,8 М.
TRAORE KUTOKUJA TANZANIA KUMBE HII NDIYO SABABU MWAMBA ANASEMA WAAFRIKA MNISAMEHE
11:20
Ally Ismail kaswida mpya Dada Aisha.
8:39
ally ismail
Рет қаралды 95 М.
Qaswida.mahari
9:33
Dhul Khifli
Рет қаралды 3,9 МЛН
Aliy Ismail aja na Kijungu ndani Tumbe  Pemba
7:32
SHIRA HIGH QUALITY VIDEO
Рет қаралды 232 М.