Msemaji wa simba ni msemaji wa Club bingwa aki kamwe ni msemaji wa shirikisho. Ardhi na mbingu
@usiniguse Жыл бұрын
Super cup hamna uwezo wa kucheza bado sana. Kiwango chenu kidogo kucheza super cup. Mjipange miaka mitano ijayo
@zeddymourice4249 Жыл бұрын
Yule mchambuzi wajana naomba Ally kamwe ukakutane nae maana Kuna kauli aliitoa kwamba yanga akimfunga mazembe amekaa pale ukamwambia utamtafuta.
@michaelngowi34 Жыл бұрын
Hahaha jupita
@usiniguse Жыл бұрын
Mazembe wabovu wenzenu ndio maana mko shirikisho
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Babukubwa....sijamsikia yule mchambuzi uchwara Kazumari Toka Jana Yuko kimyaaaaaa....!..pumbaaaf hii ndio YANGA AFRIKA
@usiniguse Жыл бұрын
Standard ya kimataifa level ya Shirikisho Tambo nyingiiii. siku mkitoboa club bingwa level ya robo fainali sijui itakuwaje?. Simba na yanga ipi timu mbovu. Simba Yuko club bingwa yanga mko shirikisho. NANI MBOVU?
@nassermacatta4345 Жыл бұрын
Inzi kakanyaga mavi ya Tembo.Hao walitolewa na Vipers ambayo tunayo kwenye League ya waume.Kaeni mtulie washamba nyie.
@davidbahati3748 Жыл бұрын
Kwani kuwa mweusi Ni dhambi, mbona sisi weusi tunanyanyasika ivi,
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Dogo una akili sana
@mwanaharusiomar9773 Жыл бұрын
Yani wewe kamwee noma SI mropokaji
@tidysonkatema Жыл бұрын
Kuna mtu utoto mwingi, simlaumu.
@thomaschengena6369 Жыл бұрын
hatuvuki kwa wingi wa magoli,ila kwa point,tutaenda huko congo acha kumaliza maneno
@brightjosephat6910 Жыл бұрын
Tutashinda tu hakuna aliyeagana na Mungu coz hata leo hatukujua kama tutashinda, so kwa uwezo wa Mungu na juhudi za wachezaji na benchi la ufundi tutashinda no maraa whaàaaah💛💚 Hii ndo Yangaaaaaaa🥰
@donnyshule7432 Жыл бұрын
Kuwa na maarifa kijana wanaocheza shirikisho wore wabovu .wakubwa wako club bingwa vita ya Jana ulikuwa ya uSA na urusi ya Leo ni idd amini na Nyerere unaweza kulinfanisha vita ya wakubwa na under did ligi tenu inaitwa shirukisho ya Jana club bingwa was kubwa Africa giant.nyie nyote mlifeli mtiahani was standard 4 mkarudia wenzenu walifauru
@jamesgasper6764 Жыл бұрын
Poor facts!! Hivi unajua Kama Kuna baadhi ya timu zinashiliki ktk shilikisho lakini ni timu bora Ila kutokana tu na ratiba na nafasi zao ktk ligi yakwao! Mfano pyramid ya misry ilitakiwa awepo club bingwa Ila nafasi yake akapewa National Allhali
@EREVUKATV Жыл бұрын
Unawashwa upigwe dole
@zeddymourice4249 Жыл бұрын
Huna akili wewe na hujui mpira bali ni mropokaji tu,kakojoe ukalale.
@alicenice1711 Жыл бұрын
Dunduka lishaanza kucanganyikiwa tayari
@dorostafelician148 Жыл бұрын
Ally kamwe haacha kubweka kama mnajiamini muite kasabulanka awaonyeshe shoo