JUSTIN KESSY:TUACHE KUKOMOANA,WASEMAJI WANAHARIBU UTANI WA JADI?ALIKAMWE NA AHMED NI MARAFIKI KABISA

  Рет қаралды 2,668

BENTV MEDIA

BENTV MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@DarajaniZanzibr
@DarajaniZanzibr 13 сағат бұрын
Kesy absolutely
@reonadihumbi
@reonadihumbi 14 сағат бұрын
mmi nakukubari kwayo maneno umesema ukweri mungu akubariki
@LeonardMkoela
@LeonardMkoela 13 сағат бұрын
Mm ni mmojawapo ambae nakufutilia sana nakubali kiukweli mungu akutunze
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 14 сағат бұрын
kweli kabisa kesy
@GeraldKweba
@GeraldKweba 4 сағат бұрын
Kak umeongea jambo la msingi san
@GodwiniFwelo
@GodwiniFwelo 6 сағат бұрын
Justn unaakili sana bro . Natamani nikuone wasafi.
@Samweli331
@Samweli331 13 сағат бұрын
Justin Kessy hakika wewe unajitambua kuna mengi sana ambayo kila mtu akiamua kwenda Mahakamani patajaa lakini pia jamani tupunguze maneno.
@HidayaOmare-hj6cp
@HidayaOmare-hj6cp 6 сағат бұрын
Team kessy tujuane ❤
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki 4 сағат бұрын
Mzee uko vizuri sana lakini wengine sasa tunahisi utani wa jadi hakuna tena Kwa pahala ambapo tumefika mbali sana
@totimusmodest8241
@totimusmodest8241 4 сағат бұрын
Jastin wewe unacho kitu kikubwa keep it up
@DeoFelisian-vr8pv
@DeoFelisian-vr8pv 4 сағат бұрын
Kaka nakuelewa sana mungu akutunze unamadini yakutosha.
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 22 минут бұрын
Upo sahihi sana mchambuzi mana sahizi tunataka kuleta mambo ya hovyo sana tutaharibu ligi yetu
@AminaKissawaga
@AminaKissawaga 5 сағат бұрын
Nimekukubali upo vizuri kaka wamekosea mnooooo
@YohanaJohn-magesse
@YohanaJohn-magesse 2 сағат бұрын
Unaongea maneno ya maana kabisa Mzee wangu nakubali sana,, me kijana Wako YANGA BINGWA 💪💪💪
@chazzmgonja4077
@chazzmgonja4077 12 сағат бұрын
Hakika kaka
@LilianBitwale
@LilianBitwale 13 сағат бұрын
Hawa Simba na Yanga bwana saiv wanayofanya wanaona NI utan lkn wakiendelea Hvo watafikishana pabaya
@saidikabalain8923
@saidikabalain8923 7 сағат бұрын
Brother upo makini sana nakufuatilia ni mtu usiefungamana big up
@reonadihumbi
@reonadihumbi 14 сағат бұрын
wwe umesema ukweri jaciti keci
@MosesGahutu
@MosesGahutu 2 сағат бұрын
kaka ukoo vzr sana nakukumbari sana naitwa moses niko kigali rwanda
@errydeo8865
@errydeo8865 3 сағат бұрын
Naishi UK,na kipindi Samata anacheza Aston Villa,nilikua naishi karibu na club in Birmingham! Aisee, watanzania ndo tulimfanya Samata auzwe! Yaani tulivyo malimbukeni kwenye mitandao,wakajifanya wao ndo wanajua mpira watu tuliacha kuvaa jezi ya Tanzania! Mashabiki wa Villa wakikujua we mtanzani,si matusi hayo! Nimesaha ,kuna jina walitupa 🤣🤣🤣 Same na haya ya sindano! Wabongo wanafikiri,inaishia hapo! Tunaenda kuaandaa AFCON 2027,hayo mambo yatafatiliwa! Linakua sio saula la yanga tena! WABONGO TUMEKUA NA UHURU SANA KWA KUONGEA UPUUZI MITANDAONI! serikali ianze kufatilia!
@majormajomjohn3775
@majormajomjohn3775 24 минут бұрын
Makolo wameshazidiwa , sasa wanatafuta pa kufia
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 29 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 16 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 25 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 19 МЛН
MFAHAMU MCHAWI KWA SIFA HIZI | SHEIKH MSABAHA (UISILAMU KWA HOJA)
16:09
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
PART 2 : NILIMSUSIA RAY C GARI,NIKASHUKA RUVU
28:41
Dr. Lucas Masungwa
Рет қаралды 55 М.
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 29 МЛН