No video

Ali Kiba kajibu kwanini huwa haendi kwenye Tuzo

  Рет қаралды 162,788

Millard Ayo

Millard Ayo

8 жыл бұрын

Ali Kiba ambaye ni staa wa bongofleva alipita kwenye studio za Mtangazaji Millard Ayo na kuelezea mipango yake anapokwenda Marekani November 4 2015, kwanini huwa haudhurii matukio ya utolewaji wa tuzo mbalimbali anazowania, single mpya na Christian Bella na mengine.

Пікірлер: 113
@wamshenry1413
@wamshenry1413 8 жыл бұрын
asanti mtu wangu wa nguvu ayo... king kiba hatariii
@anwarmohaa6904
@anwarmohaa6904 8 жыл бұрын
+ king kiba big up sana bro kila LA kheri....
@francesidd7057
@francesidd7057 8 жыл бұрын
Nice kiba!
@mankaraphael2860
@mankaraphael2860 8 жыл бұрын
Niceeee...He is cool..Thanks Millard
@shulejisn3012
@shulejisn3012 8 жыл бұрын
Alikiba ni noma sana mtu wangu wa nguvu
@shulejisn3012
@shulejisn3012 8 жыл бұрын
Marekani daaah nikimuona alikiba napata raha sana apa nilipo nina furaha sana
@eddoernest8457
@eddoernest8457 6 жыл бұрын
Unaweza kiba
@lilyplatnumzlilyplatnamz7526
@lilyplatnumzlilyplatnamz7526 8 жыл бұрын
kiba bila tuzo your still the best ....P1 Millard
@jamalizahoro4679
@jamalizahoro4679 8 жыл бұрын
king Kiba ur always on top pop it in
@abiolakennedy6346
@abiolakennedy6346 6 жыл бұрын
Nichogundua chemistry ya ali na milad iko vzur maan ally anakuwa muwaz san...tofaut na interview zak na prznta wengne
@najmaadam9331
@najmaadam9331 8 жыл бұрын
love ali kiba so gentleman so genuine and so respectful guy. love from canada
@onestepmediatz
@onestepmediatz 8 жыл бұрын
Tisha xnaaa kiba...kingkiba
@meredouble9897
@meredouble9897 8 жыл бұрын
U so humble king keep it like that
@najmaadam9331
@najmaadam9331 8 жыл бұрын
thankx milard
@emilydominick3123
@emilydominick3123 4 жыл бұрын
Huna jipya wewe
@rahmamwinyi167
@rahmamwinyi167 8 жыл бұрын
nice kiba
@emmanuelmoses6112
@emmanuelmoses6112 6 жыл бұрын
good baba nakutakia maisha mema
@amisindeu1307
@amisindeu1307 6 жыл бұрын
Nakukubali miaka mia na akuna kiza kinacho zuia jua yani namahanixha akuna anae kuzuhia
@gadielelisa8084
@gadielelisa8084 8 жыл бұрын
sikuzote huwa nape da san kuangalia interview za Alikiba jamaa yupo smart san ktk kujibu maswali hat kuzungumzia kaz zek big up Mirladayo &Alikiba show imeeleweka sana
@janewanjiru6393
@janewanjiru6393 8 жыл бұрын
wau I like the way he was there just himself hakuna cha miwani mieusi or etc
@abdiwachelsea9429
@abdiwachelsea9429 8 жыл бұрын
Ali uko juu penda sana kaka
@emaeve3945
@emaeve3945 6 жыл бұрын
Abdi wachelsea sijui kiswahil ila nmekusoma
@SiscaB9
@SiscaB9 8 жыл бұрын
my best artist...kip going
@abdrabyahaya7433
@abdrabyahaya7433 6 жыл бұрын
pamoja sana buroo. king
@alicenice1711
@alicenice1711 3 жыл бұрын
Na ulivyo kua handsome Sasa ndo kabisa😘
@uncleatvonlinenew29
@uncleatvonlinenew29 6 жыл бұрын
poa sana
@MohamedAhmed-yn1lx
@MohamedAhmed-yn1lx 8 жыл бұрын
Hajui kujieleza kabisaaa
@janewanjikuwanjau7811
@janewanjikuwanjau7811 8 жыл бұрын
Iwa!!!! Kiba congrats
@emmanuelbongo6404
@emmanuelbongo6404 8 жыл бұрын
Mashabiki wa kiba kweli hamjielewi kama msanii wenu, jitu halijui thamani ya tuzo, hahaha jamani, hongera Millard kwa kuhoji machizi
@samirfarid8959
@samirfarid8959 8 жыл бұрын
thanks millard
@alankimaro4464
@alankimaro4464 4 жыл бұрын
Kiba una interview nzuri
@aliyaliykhamisi9105
@aliyaliykhamisi9105 6 жыл бұрын
Kiba is King
@isihakamtaalam2099
@isihakamtaalam2099 5 жыл бұрын
Safi kiba.
@allyramadhani5033
@allyramadhani5033 8 жыл бұрын
Hakuna kama wewe kiba kama yuko BC ndo wewe
@diamonblajckblajck6981
@diamonblajckblajck6981 8 жыл бұрын
ali nice story
@mamboshota6849
@mamboshota6849 8 жыл бұрын
Ali kiba Hella kiba
@simbapuya2710
@simbapuya2710 8 жыл бұрын
Iyo movies au nyimbo duuuu
@sophiamustafa4593
@sophiamustafa4593 8 жыл бұрын
ilove your kingkiba
@yasinimwinyi371
@yasinimwinyi371 8 жыл бұрын
al matambo kinoma
@jacobjomoda8856
@jacobjomoda8856 8 жыл бұрын
"Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na mziki wangu unathamani zaidi ya tuzo"nukuu.
@AbdulmutwalibSaggaf
@AbdulmutwalibSaggaf 8 жыл бұрын
+jacob jomoda ispokuwa tuzo za KILI
@barakamatobela2529
@barakamatobela2529 6 жыл бұрын
sanaa mkuuu 😴
@samuelclement4437
@samuelclement4437 8 жыл бұрын
wenimkali alikiba
@livinusmtakyawa6385
@livinusmtakyawa6385 8 жыл бұрын
Unajua kwa mtua liyesoma hawez kuniambia kuwa ally amekosea lolote katika interview hii ckia nawaambie ally amejarbu kuelezea kitu kilichopo kuhusiana na nyimbo hyo mpya ssa kam swali linahitaj maelezo kwa nn asieleze
@jescaramadhani2038
@jescaramadhani2038 7 жыл бұрын
kba manner bhana uko Na stck tena aaaaah unaniangusha
@noninmaduhu3476
@noninmaduhu3476 8 жыл бұрын
asili haipotei
@elbassaam6949
@elbassaam6949 8 жыл бұрын
mshamba tu
@paulswai1237
@paulswai1237 8 жыл бұрын
yan anavyosema milion 700 kirahis
@husenadamson975
@husenadamson975 7 жыл бұрын
nice
@nasraeidrayul4383
@nasraeidrayul4383 8 жыл бұрын
mi nampenda kibaa nina imanii anajuaaa hataa huyoo naseeb nadhani alivutiwa ki music kupitia wasanii kama kibaaaa kibaa anaimbaa buanaa hatarrr ila punguza pozzii kibaa wanguu unajiharibia bunaa
@emanuelmley8997
@emanuelmley8997 8 жыл бұрын
kweli apunguze pause kinyozi hajisifii kuwa anajua kunyoa walionyolewa ndio wanaona et ha focus kwenye tuzo sku zote instagram promo za kura xo tuache kumpigia k
@mohammedrashid7735
@mohammedrashid7735 8 жыл бұрын
you guys u choose to look at only bad side of him,the man got potential and really talented voice when it comes to song.how about it
@mwanahella9650
@mwanahella9650 8 жыл бұрын
Ally punguza majibu ambayo hayana haja ya kujibu.wakati mwingine si kila swali ujibu. ujue unapojibi mengine unayaharibu na si lazma ujibu ww mengine uongozi wako uwajibike kujibu maswali
@roserose7684
@roserose7684 8 жыл бұрын
Nice one
@angelmoris5090
@angelmoris5090 7 жыл бұрын
Thanks milard
@yusuphramadhani6530
@yusuphramadhani6530 7 жыл бұрын
anaejua anajua2,kiba anajua acha ajishauwe anahaki yakujishauwa pumbavu msiojitambua king kiba fundi bhana
@benjaminkusekwa708
@benjaminkusekwa708 5 жыл бұрын
huyu ni mtu huwa hapendi kijinadi
@abdallahsalum9494
@abdallahsalum9494 8 жыл бұрын
Ally ana kipaji kikubwa. Ila itamuwiya vigumu kufikia mafanikio yanayofanana na ukubwa wa kipaji chake. Kuna vitu arekibishe tena seriously. alafu enterview zake si nzuri sana .. unajiona mkubwa sana hata anavyojib anakakibri flani . alaf anaongea ongea hawez kupangia mazungumzo yake ..hawez kujib vizuri maswali... anaongea sn vitu ambavyo viko nje ya mstari.
@hawaabdully2061
@hawaabdully2061 7 жыл бұрын
huko sawa
@madeeteapain7578
@madeeteapain7578 7 жыл бұрын
huyu kumbe mbululaa kwlkwl..kiburii....😆😆
@sadunimutabazi3017
@sadunimutabazi3017 6 жыл бұрын
weutabaki kua king mnyama
@jackbill9643
@jackbill9643 8 жыл бұрын
Oplez
@saidpazi1642
@saidpazi1642 8 жыл бұрын
Kiba mimi ni shabiki wako ila broo una maneno mengi mpaka unaongea vitu havikuhusu aiseee
@abdulendrew1595
@abdulendrew1595 7 жыл бұрын
Said Pazi we fala vitu gan kaviongelea kuma we
@othmanmathew9141
@othmanmathew9141 6 жыл бұрын
Said Pazi nimekuelewa bro
@Msonjo
@Msonjo 7 жыл бұрын
mbona dear god ya kala jeremiah ujaongelea ambayo haina coras kiba unazingua mwana pia video enyewe ilikuwa haikuwa serius demu hakueleweka mtu wake
@emmanuelbongo6404
@emmanuelbongo6404 8 жыл бұрын
Na hili ndo kubwa Lao LA wehu
@lindaowambo4941
@lindaowambo4941 8 жыл бұрын
that tooth pick is annoying waah Alikiba plizzzz,good job though .
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 8 жыл бұрын
owambo Linda nakuunga mkono kwa star kama Ali Kiba kwenda studio kwa ajili ya interview na tooth -pick mdomoni! !!!!!!Au Kiba hana uzoefu wa kukaa mbele ya kamera? Pull up your socks Kiba.
@Majosa3010
@Majosa3010 8 жыл бұрын
+Rosena Milia very true am annoyed as well
@aliali189
@aliali189 8 жыл бұрын
kiba namba moja tz hakuna mpzan jaman
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 8 жыл бұрын
Ali Ali No comment ali.
@lidyanzamukunda4807
@lidyanzamukunda4807 8 жыл бұрын
ni ukweli haki wewe ni musani bore tanzania.
@daudaburuan6428
@daudaburuan6428 8 жыл бұрын
Dah! kiba unatuangusha kak japo tunakkbal san
@twalibabdulkarim6463
@twalibabdulkarim6463 8 жыл бұрын
DIAMOND PLUTNUMZ NI HOMA YA JIJI
@rizdenpopitin2537
@rizdenpopitin2537 8 жыл бұрын
+Twalib Abdulkarim KINGKIBA anawauguza sana mpaka mnataman kujua kila anacho kifanya
@twalibabdulkarim6463
@twalibabdulkarim6463 8 жыл бұрын
+Rizden pop it in unachekesha...millardayo kapost habari na haki ya kujua yanayo jiri...sasa nakushangaa sana...kumpa sifa diamond roho imekuuma...nyambisi...
@rizdenpopitin2537
@rizdenpopitin2537 8 жыл бұрын
+Twalib Abdulkarim sasa siungetafuta post ya huyo unae msifia ili umusifie huko hko kwani umeona kaongelewa hapo ? mwanaume unaleta umbea kwenye kaz za watu nyie ndo mtatusumbua mkisha zeeka
@twalibabdulkarim6463
@twalibabdulkarim6463 8 жыл бұрын
Rizden pop it in kinacmhokuuma nini????coz kiba hamna kitu kaongea ndio maana nimempa sifa diamond
@twalibabdulkarim6463
@twalibabdulkarim6463 8 жыл бұрын
***** labda wewe ndio ulale chali kwa huo ujinga unaojikosha nao
@ambrosepuruh7874
@ambrosepuruh7874 8 жыл бұрын
kiba u r a guwd musician but a bad interviewee,punguza kujipa sifa tuko hapa kukusifu ukitoa vichupa vikali kama mwana na nagharamia, n if kip on lyk this u risk luzin your fans me being one of them.
@emanuelmley8997
@emanuelmley8997 8 жыл бұрын
the man has a good voice talented one but he fails always wen it coms to interview too much proud eti sijafocus kwenye tuzo daily mnapiga kelele nipigieni kura kumbe huw hamzihitaji bro u ve to refresh be4 u talk coz ur destroyin ur credibility msikilize mdogo wako Diamond always he gve back thanks to dre fan dt are the one who made him to be there sasa wwe unasma hutaki tuzo je suis sur que tu vas rester locale tourjour il faut se renseigner de motiver les fans
@stevdougie3220
@stevdougie3220 8 жыл бұрын
Ali have to practice more about interviews, kwa haya majibu Na ni interview ya kiswahili.. anajing'ata.. anasema anaigiza.. mara directin,, haya umedirect movie gan.. anasema ndo ana practice.. smh.. wtf is he talkin?? Still wen it comes kwenye interview manner.. ameingia na toothpick.. ya nn?? Yan kama muimba visingelie
@brunofidelis2700
@brunofidelis2700 8 жыл бұрын
Ok uko
@musahmbughi6004
@musahmbughi6004 Жыл бұрын
Kkkkkkkk
@samsonmathew7562
@samsonmathew7562 8 жыл бұрын
Mimi ananiboa anaongea kama mtoto anayeota meno au mtu mwenye jipu mdomoni.......sasa tooth stick ya nini mdomoni.........kama sio pozi za kishamba......halafu ana mbwembwe utadhani mtu aliyeingiziwa Dollar billion 50 kwenye account.......hebu ajifunze public speaking skills........hayupo vizuri kujipresent......
@bartinkahenga1196
@bartinkahenga1196 6 жыл бұрын
wewe ndio una matatizo mkuu
@Pembaboytz
@Pembaboytz 8 жыл бұрын
anasema mziki wke ni mkubwa zaidi ya 2nzo ss mbna alipokosa 2nzo nigeria mbna aliongea sn, si angekaa kmya 2 km 2nzo sio dili sn kwake hana lolote, sio km hazitaki 2nzo bc kiwango bdo cha kubeba 2nzo nje ya nchi labda abebe za hapa hapa TZ za kili
@Pembaboytz
@Pembaboytz 8 жыл бұрын
+Jossy Mjuba,,kwan mi nilikwambia anasoma au
@Pembaboytz
@Pembaboytz 8 жыл бұрын
Huna jipya ww na huyo kiba wko
@Pembaboytz
@Pembaboytz 8 жыл бұрын
Fala labda ww boya weee
@Pembaboytz
@Pembaboytz 8 жыл бұрын
Mi mfiraji shauri zako nizoee 2
@Pembaboytz
@Pembaboytz 8 жыл бұрын
Vp na ww kwani unataka au
@rehemasimon1769
@rehemasimon1769 8 жыл бұрын
inakera kiukwel hujui kujib maswal ...yaaan unaongeaongea tu...no point...umekunywa nn
@emaeve3945
@emaeve3945 6 жыл бұрын
rehema simon we kolo kwel
@mwajumamapunda624
@mwajumamapunda624 8 жыл бұрын
uyu naye kiba anajishaugwa akiojia anajiuma uma tu kujieleza sijiwi ajui maana mtt wa kiume unajishauwa
@stevdougie3220
@stevdougie3220 8 жыл бұрын
Saaana Na ataendelea kukanyagwa na naseeb
@sadamosses9763
@sadamosses9763 8 жыл бұрын
nasib hawezi kumkanyaga kiba , anaweza kumkanyaga mama yake nasib
@stevdougie3220
@stevdougie3220 8 жыл бұрын
sada mosses ndio nn saasa sada
@barakacharamba6833
@barakacharamba6833 7 жыл бұрын
kwa mdomo ni rahisi
@trendingvideos6651
@trendingvideos6651 8 жыл бұрын
Yani cjaelewa Ali umeongea nini kwanza umetumia dk 6 kujisifia na hiyo video yenu na bela dah u need interview lessons rafkiangu hujiamini tuache tukusifie 😡 hebu ongea km profession artist mtu umesha safiri Sana umekutana na wasanii mbalimbali lkn unaongea km underground punguza presha fanya Kazi acha mashindano action speak louder bro
@aldanaudana2633
@aldanaudana2633 6 жыл бұрын
Tracy Mike kweli huyu ana penda masifa lakini hanaga inayowasaidia ni izo nguvu za ki friimans tu wote hawa waimbaji waleo
@samuelclement4437
@samuelclement4437 8 жыл бұрын
wenimkali alikiba
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 4,5 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 30 МЛН
Dkt. Hussen Mwinyi. ona jinsi alivyo ondoka bada ya swala ya Ijumaa Mkwajuni
1:50
Maahadishifaa Kivunge Tv
Рет қаралды 34 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 4,5 МЛН