MZEE MAGOMA AACHIWA POLISI, “YANGA TUKUTANE MAHAKAMANI” KWENDA FIFA

  Рет қаралды 38,197

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 166
@RahimShaban-lz7cb
@RahimShaban-lz7cb 2 ай бұрын
Oya uyu magoma mtata
@sahraabdallah7242
@sahraabdallah7242 2 ай бұрын
Mzee mwenyewe anatia uruma yani ajiurumii kabisa akaachana na hayo mambo
@DesertTears
@DesertTears 2 ай бұрын
Hili lifungwe tu😂😂😂😂
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 ай бұрын
Nimemuonea huruma sijui kwa nn😢
@enockabumba7513
@enockabumba7513 2 ай бұрын
Balikiwa kwa uluma ako kwake Hata mimi namuonea uluma wamwache mzee wa watu jmn ni baba wa famiria
@checkchannel3876
@checkchannel3876 2 ай бұрын
Yaani Yanga wamfanye huyu kama walivyofanya kwa Feisal... Yaani mpaka Mama aingilie tena kati (na ninajua hana huo muda)! Asipoingilia kati, Yanga watembee na hicho kichwa!!!
@NelsonElias-h1p
@NelsonElias-h1p 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂💚💛🌷💛💚💛💚
@RichardAmosi-hz3nm
@RichardAmosi-hz3nm 2 ай бұрын
Tatizo ww mzee akiri huna ww unachukuria poa sana utaumia uwezo wenyewe huna
@zahiruhamisi4162
@zahiruhamisi4162 2 ай бұрын
Amejutaaa...😅😅😅
@kulwastima3993
@kulwastima3993 2 ай бұрын
Hii nchi nahic uhuru umezidi Sasa Magoma huyu hkn mwanayanga anayemsapoti kinachofuata ni kuomba huruma na sura yake ilivyo ulichezea ujana xaxa uzeen huna pensheni unataka utrend kpitia yanga.
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 ай бұрын
Jamani wana familia mshaurini huyu mzee aachene na hili jambo... ameanza kupauka anaanza kukosa raha yaani anajikaza tuu....😢😢😢 Atakondeana soon... mtihani kwa kweli...... Hataweza kushinda
@NelsonElias-h1p
@NelsonElias-h1p 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@eliashagai7920
@eliashagai7920 2 ай бұрын
Mmmh la kweli Kuna moto na peponi kazi tunayo binadam
@NelsonElias-h1p
@NelsonElias-h1p 2 ай бұрын
Magoma kesi Bado hazijaisha zipo nyingi xana ukidhaminiwa hiyo tunaleta zingine 5 Hadi useme poo😂😂😂😂😂😂
@jonasamos555
@jonasamos555 2 ай бұрын
Mwanasheria inaonesha kabisa yupo upande wa polis, magoma tafuta pesa acha ubabaishaji
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 2 ай бұрын
Mzee huyu pesa anazitafutia wapi?
@IreneMacha-d5q
@IreneMacha-d5q 2 ай бұрын
Magoma achana na haya mambo ..mwisho wa cku uje kuuza kibanda watoto walale njee
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 ай бұрын
"Tukutane Mahakamani hapo"😂😂😂
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 2 ай бұрын
Duhhhh asa ya nini na uzee huo jaman tulia ufe kwa heshima wewe Duhhh ona sasa umechokaaaa😂
@SaidiKimenya-fs6di
@SaidiKimenya-fs6di 2 ай бұрын
Waandishi wapunguze uchochezi sasa anauliza kuhusu FIFA ili iweje?
@edwardmwaliko9078
@edwardmwaliko9078 2 ай бұрын
Mzee tafuta kazi ya kufanya
@ezekielmwakyagi9330
@ezekielmwakyagi9330 2 ай бұрын
jamani tumchangie mzee magoma amlipe wakili mama aangalie haki ya magomq
@UmmyHamisi-ru2rw
@UmmyHamisi-ru2rw 2 ай бұрын
Mama anakaz nyingi za kufanya 😂mchangie wew ela zako si hazina kazi 😂😂
@sarahsaimon4095
@sarahsaimon4095 2 ай бұрын
Uyu mzee tatizo pesa jamani njaa mbaya sana. Mzee km huyu sio wakuzunguka kila ck na kesi mahakamani alitakuwa awe na family yake ametulia. Pesa yenyewe yashida km yangu kesi za nn? Huu pira sio wako pekeyako? Km anawatu wa karibu bhas wangemshauli aache tamaa. Adi sshv amebabaika, ayupo sawa kiakili. Tulia mzee maisha tuliyonayo nihaya haya, unatengeneza vitu ambavyo at ukipata shida ayupo ambaye atakuwa karibu yako zaidi ya wanao na ndugu.
@godfreyelibarikilaizer6178
@godfreyelibarikilaizer6178 2 ай бұрын
Mzee magoma uenda Yuko sawa au pengine hayuko sawa amefwata ushawishi na wanaomshawishi wako chonjo likitokea kubwa wamtelekeze kwakua wao CV zao zimepanda mzee ajitathimini binafsi sioni Kama anachofanya kikimnufaisha Bali kumdhalilisha
@kwilasacharles1747
@kwilasacharles1747 2 ай бұрын
Kuna mawakili wengine kama madalali wanajua kabisa hapa hakuna kitu lakini wanakudanyanya tu
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka 2 ай бұрын
Hawaachi pesa watamla mpaka wahakikishe wajukuu awaache wakisaidiwa kwa misaada.
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 2 ай бұрын
Mdomo utamponzaa
@ZainabuHassani-fe8ur
@ZainabuHassani-fe8ur 2 ай бұрын
Kichwa kama boga😅😅😅
@NelsonElias-h1p
@NelsonElias-h1p 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 2 ай бұрын
😅😅
@yugemasanza1008
@yugemasanza1008 2 ай бұрын
Kichwa cha baba yako kinafananaa na nini?
@Farajabaraka-f7e
@Farajabaraka-f7e 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅 uso kama pono😅😅😅😅
@AllyAthuman-z9b
@AllyAthuman-z9b 2 ай бұрын
Mzee utajiumiza sana kaka
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 ай бұрын
Nyie mawakili mnamdanganya huyo mzee. Atafungwa kwa kutaka kwenu umaarufu.
@nyenza
@nyenza 2 ай бұрын
Waache mawakili wale Hela za muse
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 ай бұрын
Ikumbukwe aliyemshtaki Magoma kwenye hiyo jinai ni Yanga, kwahyo ulitaka mshtakiwa asipewe dhamana? Au asijitetee?
@IbrahDeDonny-lv2lo
@IbrahDeDonny-lv2lo 2 ай бұрын
Lakini mbona mm kila nkimtazama Mzee Magoma nkama huyu Mzee akili zake hazipo sawa!
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 ай бұрын
ipo siku Tanzania itafungiwa mpira ,ni mambo ya hovyo sana haya
@philiminamlosa
@philiminamlosa 2 ай бұрын
Huyu ni chiz kama machiz wengne2 😂 na afungwe hata miaka 1000
@GabrielSky64
@GabrielSky64 2 ай бұрын
😂😂mzee kautaka. Lakini tuanzie kwa walio mdhamini huyu Mzee atakua anakundi.kubwa nyuma sio bure
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 ай бұрын
Ni ahmedy ally na group lake
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga 2 ай бұрын
Huyu mzee anawatu nyuma yake tena wenyeakiri wasiyopenda ujinga
@charlestobby6031
@charlestobby6031 2 ай бұрын
​@@SylivesterKilungaeti wenye akili wasiopenda ujinga akili hizo si wakapeleke kwenye familia zao huko😅
@DennisFandi
@DennisFandi 2 ай бұрын
Mbona Yanga nyuma Wana Mwiko😂😂😂😂
@ntegrity277
@ntegrity277 2 ай бұрын
Huyu mzee ni mbumbavu sana
@moshizle173
@moshizle173 2 ай бұрын
Mungu akujahalie,, uzee mwema😢🟢🟡
@Mmenga_junior
@Mmenga_junior 2 ай бұрын
Huyu mzee anajitia nuksi hajui tu
@PaulTango-he8qo
@PaulTango-he8qo 2 ай бұрын
Wakili hana kosa ila uyu mzee katafuta mwnyw afu anajitia mtoto wa mjn asipoenda jela ajiandae kulipa fain ani mtu mzm hajui kuomba msamaha
@IreneMacha-d5q
@IreneMacha-d5q 2 ай бұрын
Mwisho aje kuuza kibanda cha familia😅😅😅😅
@shabanimbega40
@shabanimbega40 2 ай бұрын
Huyu mzee lazima ashughulikiwe kienyeji ili awe mfano kwa wengine
@desolz3809
@desolz3809 2 ай бұрын
Kurujuani inakuhusu
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 2 ай бұрын
Atakushushia kurjuan uhangaike nayo
@ezekielmwakyagi9330
@ezekielmwakyagi9330 2 ай бұрын
wewe ikanyage peke yako
@MuhamedHassan-l5u
@MuhamedHassan-l5u 2 ай бұрын
Jamani kesi juu ya kesi
@songombingo108
@songombingo108 2 ай бұрын
Kukosa kazi mjini ni tatizo kwa wengi. Mmoja wapo ni Magoma. Huyu mnamwita Mzee lakini ni shida tu za kimaisha.
@AhmedAhmed-z6m7t
@AhmedAhmed-z6m7t 2 ай бұрын
Hahahaaaa
@elgringo8592
@elgringo8592 2 ай бұрын
Lakini hajakuomba chakula kwako😂😂
@charlestobby6031
@charlestobby6031 2 ай бұрын
​@@elgringo8592ndo anafosi kukipata yanga atachunda
@maryfides591
@maryfides591 2 ай бұрын
Uyu mzee hana hakili anashindana na yanga wakati selikali iko hapo muone bichwa lake
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 2 ай бұрын
Hizo pua sasa 😂😂
@IreneMacha-d5q
@IreneMacha-d5q 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅nmecheka Kama fala
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 2 ай бұрын
Wakili yupo kimaslahi zaidi,ila kama mzee ana ndugu wamshauri atulie,japo huyu mzee anaonekana kuwa mjuaji mjuaji sana bila shaka inawezekana kisha shauliwa ila ujuaji ndio unamburuza.
@jameskivelege6721
@jameskivelege6721 2 ай бұрын
Nyie mnampa promotion huyu mzee bila sababu, anachochea migogoro ili club zia nguke
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 2 ай бұрын
Hapa duniani bana noma sana mwenye haki ameshindwa
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 2 ай бұрын
Uyu mwana sheria anazdi kumla era😂 Mzee usipo kuwa makn utafilisk
@IsihakaOG
@IsihakaOG 2 ай бұрын
HUYU MZEE KWANI ANA NDUGU WAMSHAURY AACHE MBONA ANAZEEKA VIBAYA NA HUYU WAKILI VIPI.
@gregory6165
@gregory6165 2 ай бұрын
Hawa ndiyo wanakuwaga wale ndugu ambao hawashauriki au walishaga achwa kushauriwa au kuambiwa kwasababu wanakuwaga watata sana, unakuta wamesha gombana sana na ndugu kwenye mamb meng 😂
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 2 ай бұрын
Oya bilion 1 unashangaa nini? Huyu mzee aburuzwe ajibu vzr leo tunaendeshwa na katiba ya mwaka gani? Katiba ni swala la muda so huyu mzee na alie nyuma yake wanyoooshwe
@MethodkifokaMethodkifoka
@MethodkifokaMethodkifoka 2 ай бұрын
Mzee mwenyewe anaonekana njaa sana,, rakini anataka kujikaza kisabun
@ELIYAMAGEMBE
@ELIYAMAGEMBE 2 ай бұрын
Kuna wat wasio zijua hizi timu mbili za siasa,nakumuona huyu mzee ni boya,ila ipo siku mtayakumbuka haya ya mzee magoma.
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d 2 ай бұрын
Hana hela angekua boss 2 mambo yangeenda mrama
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 2 ай бұрын
Tukutane mahakamani 😂😂😂😂
@RizikiMbembela-b6h
@RizikiMbembela-b6h 2 ай бұрын
Hiv huyu mtu anaujasir gan kushindana nawenye hera?
@BabMuniwe-pg7el
@BabMuniwe-pg7el 2 ай бұрын
Huyu mwanasheria wa magoma Kwa Nini asishikwe maana ndo anashauli magoma na atamumalizia Hera magoma huyu mwana Sheria ni njaa tu
@kolosii4351
@kolosii4351 2 ай бұрын
Ajira ngumu. Kila mtu atafuta mkono uende mdomoni.
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 2 ай бұрын
Duuu, kweli magoma
@FestoJoseph-i8i
@FestoJoseph-i8i 2 ай бұрын
Watu wanakoswa kaz am wanataka kik am kujulikana am wanataka kùihalibu yang axhindwe
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 2 ай бұрын
Mpo hapo kibiashara tu,mumpige noti mzee huyo wakati mnafahamu wazi hatoboi,mshaurini kadri anavyo jifanya kukaza utawatia hasira Yanga bure,mwambieni zama hubadirika Yanga hii sio ileee🎉🎉🎉🎉
@KassmMussa
@KassmMussa 2 ай бұрын
Ungeenda kuomba era t yakula basi ila umeingia kwenye ayo mambo umefeli naalio kushauli amekupnza
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 2 ай бұрын
Mpaka atakonda,skio la kufa halisikii dawa,Yanga ameikuta na ataicha watakuja wengine
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 2 ай бұрын
😂😂😂😂wajinga ndio waliwao wakili kwenda tu polisi ni ghrama Mzee Bado anasematukutane mahakamani atauxa nn maskini
@absm8084
@absm8084 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mzee ametengeneza jina😂😂 kwa muda mfupi
@Dantata9
@Dantata9 2 ай бұрын
Magoma vp kurijuani,,
@laithalfairuz1189
@laithalfairuz1189 2 ай бұрын
Hawana akili afu mtu mzima hovyo kwani akiachana na hizo habari itakuwaje
@StevenKapugi
@StevenKapugi 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂huyu jama ananikera sana
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 ай бұрын
Mzee umejichanganya unamariza pesa kuwalipa mawakili wakati ungemalizia uzee wako ukimuomba mungu akuepushe nayote uliyo yafanya ukiwa kijana sasa ulicho kitafuta ukiwa kijana polis mawakili yanga wanachukua du hakili ni nywele
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 2 ай бұрын
Mm naomba huyu mzee apimwe afya ya akili na kingine wafanye kipimo cha HTCL kugundua ameathirika kiasi gani na matumizi ya bangi maana sio akili zake.
@mussastephano4938
@mussastephano4938 2 ай бұрын
Masikini, mzee jeuri itamponza.
@RashidRajab-oz5ec
@RashidRajab-oz5ec 2 ай бұрын
Magoma bado kijana mdogo pambania haki yako hatakama ni kwa kurujuan
@MikidadiChande
@MikidadiChande 2 ай бұрын
Mzee mbishi huyu
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 2 ай бұрын
Mtu mzimahovyoooo ujingaukubwani
@frbm1729
@frbm1729 2 ай бұрын
Magoma komaaaaaa mpaka kieleweke Yanga mjanja ni wewe tu
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 ай бұрын
Ee mpe ujinga hafu mwisho mchangie kulipa. Kolo mkubwa!!
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 2 ай бұрын
😂😂😂😂 mdanganye
@ShabaniAlly-oz9te
@ShabaniAlly-oz9te 2 ай бұрын
chula kawa samaki😂​@@nicodemuswidambe5132
@philiminamlosa
@philiminamlosa 2 ай бұрын
Mpe mama ako amfile kama ni mjanja
@stevenchristian6738
@stevenchristian6738 2 ай бұрын
Asipovaas kocka sasa😂😂😂😂😂😂
@stevenchristian6738
@stevenchristian6738 2 ай бұрын
Asipovaa kofia sasaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
@mohamedleonard760
@mohamedleonard760 2 ай бұрын
😂😂magoma amekonda
@emmanuelmrope7819
@emmanuelmrope7819 2 ай бұрын
Huyu mzee anapoelekea pabaya hivi hana mshauri kbs🤔
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 2 ай бұрын
Mzee hii misukosuko unaitaka ya nini?
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 2 ай бұрын
Ww heris unaanza kulaanika unatesa wzz wa watu kw hanasa kumamayo heris leo umenikera mm ynga ila heshimu wzz wa watu kumamayo mpira uhuni c ibada kumamayo ameacha manji hy ynga na xx yuko kabrin
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 2 ай бұрын
Acha usenge malaya wewe, hersi amekukosea nini au ulimsikia akisema nini juu ya hili hadi umtukane mbwa mweusi uliyeshindikana wewe Hebu peleka ukolo wako huko, kafie mbele mwanaharamu.
@noellaalfred8371
@noellaalfred8371 2 ай бұрын
Ila magoma anatetemeka anatan muda urudi nyuma awe hajafanya hiyo kurujuan
@googleus4903
@googleus4903 2 ай бұрын
KAMFILENI SEGEREA
@JohnGoryo
@JohnGoryo 2 ай бұрын
Kamando magoma
@maryfides591
@maryfides591 2 ай бұрын
Mzee kishakongoroka
@franssmoses6791
@franssmoses6791 2 ай бұрын
Mzee kama mwehu
@byabatotv3283
@byabatotv3283 2 ай бұрын
Kubwa jinga utakoma na kichwa yako kama dafu
@shabanimbega40
@shabanimbega40 2 ай бұрын
Na wakili wake atakipata anakitafuta miba inamuhusu
@engineerismael2186
@engineerismael2186 2 ай бұрын
Kama mwend wa zimu huyu mzee ebu nend karime
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 ай бұрын
Upuuzi unaokera
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi 2 ай бұрын
Mzee magoma kaa nyumbani uree wajukuuu
@jumongjr5837
@jumongjr5837 2 ай бұрын
Makolo bhanaaa 😅😅😅 baada ya kumshangilia Mukwala Eeet wanamshangilia Magoma kweeel Kolo ni kolo tu 😂😂😂😂
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d 2 ай бұрын
🐸🐸🐸
@fakihassan9021
@fakihassan9021 2 ай бұрын
Anatia huruma
@KassmMussa
@KassmMussa 2 ай бұрын
Wemzee kuamakini utaingia asara
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka 2 ай бұрын
Huyu mzee hajionei huruma? Mawakili hawaachi pesa watakutia moyo mwisho umeisha utaona unafungwa huku ukiacha wanao,wajukuu na mkeo ktk maisha mabaaaya, kuchezea saini za waheshimiwa hautaweza kuachwa maana lazima watowe mfano wenzio ili wasicheze na moto,wewe umecheza na moto .
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 2 ай бұрын
Mzee wape karjuana
@AsifiwesamwelJonas
@AsifiwesamwelJonas 2 ай бұрын
Mkundu uyo
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 2 ай бұрын
Ndo mkafanye intaviu kituoni
@JoshuaMwanilwa
@JoshuaMwanilwa 2 ай бұрын
Kawa mdogo kudadadek
@ShukruMakoko
@ShukruMakoko 2 ай бұрын
Magoma huyu anawatu sio bure yanga mjipamge siokinyonge kutumia pesa munawezajikuta pasipo
@upgo6112
@upgo6112 2 ай бұрын
Mzee anatia huruma
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 2 ай бұрын
Fedha, fedheha.
@shukranikayange2275
@shukranikayange2275 2 ай бұрын
Mzee huyu bhn
@AsifiwesamwelJonas
@AsifiwesamwelJonas 2 ай бұрын
Kulujuani
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 ай бұрын
Mwamba huyooo...jeshi la mtu mmoja 😅😅
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 ай бұрын
Wamba wake upi? Suala limeshaisha, inawezekaje kura za watu wawili Magoma na Mwaipopo wakashinde kura za watu 2000.
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 2 ай бұрын
Mzee pambana upande wa haki huwa ni wachache hata kwa shetani ni wengi kuliko kwa Mungu
@UmmyHamisi-ru2rw
@UmmyHamisi-ru2rw 2 ай бұрын
Kamsaidie bhas 😂
@WilsonCharles-y4b
@WilsonCharles-y4b 2 ай бұрын
Unaacha kutafuta umaarufuvkupitia baba yako unaataka umaarufu kupitia wazazi wa wenzio.... kuna laana inakufuatilia weweee
@MgasaEmanoeli
@MgasaEmanoeli 2 ай бұрын
Ndio likome na Tim yetu pumbavu
@babiddi8620
@babiddi8620 2 ай бұрын
Hahahaha na yy pia yake
@IsihakaOG
@IsihakaOG 2 ай бұрын
Huyu mzee na muhurumia
@abdunasiriathumani9011
@abdunasiriathumani9011 2 ай бұрын
Du!!
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 54 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 13 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 54 МЛН