Рет қаралды 125,760
UPEO TALENT AGENCY PRESENTS YESU AMEFANYA BY ALI MUKHWANA
Stream/Download: distrokid.com/...
Skiza Code: 69312491
Bookings: alimukhwana@gmail.com or call +254722654339
Subscribe for more official content from Ali Mukhwana www.youtube.co...
PROJECT CREDITS
Songwriter: Ali Mukhwana / mukhwanaa
Performer: Ali Mukhwana / alimukhwana
Audio producer: EsyNet Records [+254727742280]
Video Director: Jijo Drumbeats / jijodrumbeats
Project Manager: Mike Mutenyo / mikemutenyo
Special Appearance: Celestine Gachuhi, Actor, Mentor & GBV Advocate / celestinegachuhi
Locations:
Location 1. Komarock Modern Healthcare / komarockmodern
UTAWALA BRANCH (+254730963000)
Ndege View Estate, Utawala
Special Thanks to Jeffa Flexx For The Location / jeffaflexx_
Location 2. Naiposha Gardens, Limuru
Follow Ali Mukhwana:
Website: alimukhwana.com/
Instagram: / alimukhwana
Facebook: / mukhwanaa
Twitter: / alimukhwana
Thank you for your support by helping me create more music for God's Kingdom: LIPA NA MPESA (BUY GOODS) - TILL NUMBER 9222473
Playlist Best of Ali Mukhwana:
• Ali Mukhwana Songs
YESU AMEFANYA LYRICS
{ee bwana, usikie kuomba kwangu, kilio changu kikufikie, usifiche uso wako kwangu bwana, nina imani na wewe}
Amefanya njia,
Amefanya,
{lililo onekana}
Lililo onekana ni ngumu, {bwana amefanya}
Bwana amefanya,
{amefanyaaa}
Amefanya njia
{amefanyaa bwana wa majeshi}
Amefanya
{lililo onekana ni ngumu}
Lililo onekana ni ngumu
{simba wa yuda}
Bwana amefanya,
{ooh jehovaa}
Ee bwana jinsi yalivyo matendo yako, {ndio…} kwa hekima umefanya vyote pia,
Dunia imejawa mali,zako bahari yakusikia,
Baba ni lipi usiloliweza, ni lipi linakushinda,
Ulifanya njia pasipo na njia baba…baba nakuelewa,
Umefanya njia…
Amefanya njia {amefanya njia}
Amefanya
{lililo onekana ni ngumu}
lililo onekana ni ngumu
{yesu amefanya}
Bwana amefanya
{ameefanya }
Amefanya njia {amefaanya njia}
Amefanya .
{linalo onekana ni ngumu}
Lililo onekana ni ngumu
{yesu amefanya}
Bwana amefanya.
…oh...aha …
{asante jehovah..asante mfalme}
aha…ooh…
Unasema yakwamba wewe ni njia ya uzima
Tena mtu haji kwa baba ili kupitia kwako
Lililo onekana ni ngumu, bwana umeefanya
Ni lipi linalokushinda wewe, ni lipi limeshinda mawazo yako
Lililo onekana ni ngumu,, amefanya
Amefanya
Amefanya njia,{amefanya}
Amefanya,
{linalo onekana ni ngumu}
Lililo onekana ni ngumu,{oh jehovah}
Bwana amefanya,
{nimekuja kukutia moyo wewe}
Amefanya njia
{nimekuja kusema na wewe}
Amefanya
{linalo onekana ni ngumu}
Lililo onekana ni ngumu
Bwana amefanya{asante mfalme, asante}
Amefanya njia, {amefanya ye}
Amefanya
{linalo onekana}
Lililo onekana ni ngumu, {jehovah}
Bwana amefanya,
{yesu ameefanya}
Amefanya njia
{amefanyaa }
Amefanya
{linalo onekana}
Lililo onekana ni ngumu
{rado shelevaa}
Bwana amefanya,
{ni yeye aliyetembea juu ya maji}
{rado shelevaa , rado savaa}
Kama alitembea juu ya maji, anaweza tembea juu ya maisha yako
Ah jehovah
{lililo onekana}
Lililo onekana ni ngumu {yesu}
Bwana amefanya{wewe ni simba wa yuda}
Lililo onekana ni ngumu {unayo tenda bwana}
Bwana amefanya {bahari inakufahamu}
Lililo onekana ni{viwete wanamfahamu} ngumu
Bwana amefanya.
{linalo onekana ,linalo onekana ni ngumu}
Ah jehovah
Ulitengeneza njia pasipo na njia…
kweli umefanya…
#AliMukhwana #YesuAmefanya #NyimboZaKuabudu #NyimboZaMaombi #NonStop