Every time you like my comment, I come here to watch again. The King of Glory is HERE. 😭😭😭😭😭😭😭
@jamesmbale635 ай бұрын
Great piece of work. Glory to God
@alicemukuingui58049 ай бұрын
Nikimwona nitamwambia amponye mchezaji Ezekiel Otuoma🙌...in Jesus name.
@EuniceMurai-kn1qq9 ай бұрын
Amina
@judyabukuse14589 ай бұрын
Amen
@peninahsayo16059 ай бұрын
Amen
@shantalyvone40439 ай бұрын
Amen
@VioletKinanu9 ай бұрын
Aki😭
@upendojulius68089 ай бұрын
Nikimuona nitamuomba amponye my baby girl Mirabel mwenye shida ya Autism, I wish siku moja nimsikie mwanangu akizungumza. Naamini hiyo siku itafika.
@nsajimoses67819 ай бұрын
Mungu yupo na wewe hapo endelea kumuomba yeye ni msikivu atamponya mtoto
@charitymwangi93439 ай бұрын
So shall it be, AMEN.
@blessedone97169 ай бұрын
Amen,you will testify to His goodness
@jamesmuiruri27279 ай бұрын
Amen.
@beattysangurah38909 ай бұрын
Keep laying your hands on her daily as u speak that dearest. It is well sister
@ChristineKodiaАй бұрын
If you have seen 2025 and you know he is still the same God who allowed you to enter 2025 just say thank you God 🙏😭😭😭😭😭😭
@Catherine-ne4zdКүн бұрын
Asante mungu we dnt u for granted for ur work n our lives
@karenmuinde51219 ай бұрын
I love this song, ❤❤❤❤❤❤ when someone likes my comment I will always come back n listen to this song. more grace servants of the most high God.
@ellie756778 ай бұрын
@@wigglesworthkemei5768how are they reflecting themselves??? Me naskia tu wakipraise God...
@karenmuinde51218 ай бұрын
@@ellie75677that's his opinion. everybody is at liberty to think, see or hear whatever it is they hear.
@davidmikango48228 ай бұрын
God sees the heart
@RebeccaOmondi7 ай бұрын
I'll milk pop😊😊9😊 Leo me l lo Mmm l itl L L L Pp is pp my pc@@davidmikango4822
@promessepassi69146 ай бұрын
English I want to the meaning of this song
@lilianmwamto62759 ай бұрын
Who has noticed Sarah K signature in this song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I can't wait for Tuesday worships moments when she will redo this song.
@angelaeunny82989 ай бұрын
Yes she did can't wait🎉
@ryanmask25479 ай бұрын
A friend said the same,Sarah K all over
@joycembutu92559 ай бұрын
Can't wait too
@liliankariuki77089 ай бұрын
It will be🔥🔥🔥
@mcback43849 ай бұрын
Which signature? Stop planting divisions in the glory of God, learn to not see human pride in God's praise
@victorinngatha62529 ай бұрын
Kwa Kweli Mungu ni Mmoja tu 🙏. Kenyans wapi likes za our very Own Evelyn Wanjiru ❤️. Such a great song with Bella Combo 😚
@nancykemunto494325 күн бұрын
Nani ako hapa 2025?piga like tukisonga...mungu atufungulie njia huu mwaka
@ClarisShiaka4 күн бұрын
Am here
@imbwagachristine55643 күн бұрын
Am here 🙏🙏🙏🙏tubarikiwe tukisonga mbele
@Catherine-ne4zdКүн бұрын
Amen naamini aki huu mwaka n wa rising up❤
@JeannetteManirambona-o6m6 ай бұрын
Nikimuona nitamwambia anipe maisha marefu nilee watoto wangu 😢😢
@wanjiruwanjuguna40026 ай бұрын
😢😢 me too
@naetweedwin27176 ай бұрын
Me too
@GakiiRyReMutegi6 ай бұрын
Amen..Me too
@lucywachuka16216 ай бұрын
Amen 🙏
@SimonLoter-f2y6 ай бұрын
Same to me 😢
@NancyM73508 ай бұрын
Nikimwona nitamwambia aniondolee utasa ata mie niitwe mama 🤰🤱❤
@sheilahmamisi37288 ай бұрын
Amen may he answer your prayers
@Mercymuriuki418 ай бұрын
God will do it for His own glory
@rhiswanjiru79938 ай бұрын
Mambo yako yashafika mbeleni zake huyu Mungu huyu mmoja, wakati wako ushafika
@priscillawilliam14688 ай бұрын
Mungu na akupe haja ya moyo wako
@sallywilson58108 ай бұрын
Huu Uwe ukiri wako kila siku, Kutoka 23:26 “ Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala Aliye tasa katika nchi yako. Na hesabu ya siku zako nitaitimiza”. Wewe ni uzao wa Ibrahim kwa imani, hii ahadi ni yako pia. Kiri huu mstari kwa imani na Mungu wetu Aliye Mkuu Akutendee kwa Utukufu Wake 🙏🏾
@jerubetjoan208 ай бұрын
Nitamwambia Asante kwa kunitumia kama chombo ya kutoa familia yangu kutoka umaskini. Kenyans wapi likes zenu
@otachjeridine36298 ай бұрын
Amen!
@perismuriuki22748 ай бұрын
Wooi this is emotional 😭..May God answer your prayers
@cpaannwanjau60448 ай бұрын
We give God all thge glory
@Blessedgirl008 ай бұрын
🎉🎉🎉
@rachaelkiilu3228 ай бұрын
i need this testimony one day.
@collinobuya7775 күн бұрын
I feel like I am worshiping at the pearly gates.i can sing along this song 57 times.There is only one God❤
@linahsylivester00548 ай бұрын
Mimi sina cha kuzungumza ila moyo wangu unalia kwa furaha kila nikimuona mume wangu namshukuru Mungu kwa kunipa mume bora,kanipa watoto,kanipa kibali kazini ooooh nasujudu kwa Mungu wangu kama ulivonibariki wabariki na wengine YEHOVA.AMINA
@faridaamenye84058 ай бұрын
Ameen napokea baraka hizi
@RosemaryMafie8 ай бұрын
Amina
@emmyomary96408 ай бұрын
Hallelujah
@MacrlinKiraya8 ай бұрын
Amen 🙏
@cristinajoseph66648 ай бұрын
Ameen napokea na nami 🙌♥️
@RahabSylvano7 ай бұрын
Nikimuona nitamwambia afungue tumbo la dadangu na wamama wote wenye hawajapata watoto na pia abadilishe maisha ya familià yangu in Jesus name
@obedynasary33167 ай бұрын
Mungu ajawai kushindwa atampa uzao
@lucycatherinewawira13086 ай бұрын
It is done in Jesus name
@ReginaJumah-jb6ok6 ай бұрын
May God answer this prayer
@jjay30256 ай бұрын
Amen and amen
@vickiechege_12346 ай бұрын
Asante bwana kwa ajili ya huyu dada namweka mikononi mwako nikisema ni asante bwana tazama ameweka Imani kwa ajili ya dada yake na Mimi nakuomba siku ya Leo umfungue MAHALI popote alipo ukampanguze machozi na kumbariki na watoto wa kimiujiza katika jina la Yesu kristo nimeomba.Amina.
@petermabiki77989 ай бұрын
40 years from today I will be 72 years and I know by the grace of GOD I will still be alive to listen to this song. Lets comment Amen and give the likes so that whenever i see your comment and likes i keep praising the Lord because iam alive.
@glorymassawe73699 ай бұрын
Amen
@AfricaKonnect9 ай бұрын
Amen. Same case here
@AgnesKalinga-ku5se9 ай бұрын
Amen 🙏
@paulineisiaho17659 ай бұрын
Amen🙏🙏
@FelistusPhiri-y6x9 ай бұрын
Amen
@millicentmukoya12929 күн бұрын
i will tell him to bless me,show me his favour and his hand be upon my head always to walk with him#mungunimojatu.thank u jesus christ
@KapiraNelson5 ай бұрын
Nikimwona nitamshukuru kwa kunipa mke mwema mwenye hekima na busara.amenipa mke amenipa mtoto na amenipa kazi na pia amempa mke wangu kaz nasema asante mungu kwakuonekana ktk familia yangu na wape wote wenye maitaji kadili watakavyo kwny maisha yao
@johnndoros43044 ай бұрын
Amen
@SunshineDaycare-zy9ex4 ай бұрын
Ameen
@Evaline-b6y4 ай бұрын
Amen 🙏
@rosengiloi93814 ай бұрын
Amen
@rosengiloi93814 ай бұрын
Amen
@celinengonna4278 ай бұрын
nikimuina nitamwambia afungue tumbo langu nipate watoto nizae. Munguabadilishe maisha yangu niitwe mama
@Victorious_Achivers8 ай бұрын
Receive in Jesus name
@joshuamatemba76448 ай бұрын
Mungu akupe haja ya moyo wako
@regnaldmunuo8 ай бұрын
Kwa Jina La Yesu Funguka
@devothaassenga83388 ай бұрын
Amen
@emmyomary96408 ай бұрын
Mungu akupe kwa jina la Yesu
@janetwanza35389 ай бұрын
Nikimwona nitamwambia amponye dadangu yangu ambaye ameugua kwa miaka kumi na moja...we have really cried and struggled for her to get healed😢😢😢Na kwanzia leo na akapate instant healing in Jesus Name
@wacekeemma19319 ай бұрын
Amen
@Pendezabylydia9 ай бұрын
Amen
@MosmiSangar9 ай бұрын
Amen na iwe kwake❤
@uriodavid68829 ай бұрын
Amen, Mungu amponye
@gracejoseph25249 ай бұрын
Amen
@edwinurio4212 сағат бұрын
Mungu ni mwema❤
@chisomobasikolo8875 ай бұрын
Everytime someone likes my comment I will come back to watch😭❤ The King of Glory is here😭😭😭😭 Mungu ni mmoja translates to Mulungu ndi mmodzi in chichewa🇲🇼 God is truly one❤
@vivianakinyi18588 ай бұрын
Wenye wako hapa kumuinua Mungu ambae ni mmoja tuu bila kujali niwa nchi gani piga like tukisonga... The king of Kings is here
@nimomwas38379 ай бұрын
Kenyan tuko wapi💃🇰🇪🇿🇦🎤🎷🎹🎶🔥💯🙏Slogan#Mungu ni Moja tu.
@arbunusmutuamulinge9619 ай бұрын
Wow! The king of glory is here .... Wimbo tamu
@Lilianmwanda3 ай бұрын
@@arbunusmutuamulinge961😢😢
@DorcasKathure-qt7roАй бұрын
Who is here in December to praise his name for the love he as shown us
@sillohomutesh40936 ай бұрын
Those crying for a baby may God above here your cries and grant you the precious gift in Jesus name
@lilianakinyi52736 ай бұрын
Amen
@LeletiWanj95845 ай бұрын
Amen
@annwaithera28065 ай бұрын
Amen
@lizngwasi61535 ай бұрын
Amen
@ndetamarisolebure63015 ай бұрын
Amen🤲
@janesaru61029 ай бұрын
For real He is here ❤️ I will be coming back to listen once someone likes my comment >>>
@SarahChagu9 ай бұрын
❤❤❤
@sinaidasaru53519 ай бұрын
The king of glory is here
@LinnayJoo7 ай бұрын
Hakika sikiliza tenah na tenah na tenah...inatia moyo mno
@EvansMudaki7 ай бұрын
Tafadhali sikiliza tena
@VeronikaUrasa4 ай бұрын
Glory to God kwa ufunuo mzuri wa wimbo
@nickmoshi82439 ай бұрын
Mko wapi mliobarikiwa na combination ya Evelyn na Bella ilivyoshusha upako mnibariki na likes zenu
@logonjiedith662919 күн бұрын
I am in tears😭😭😭,got rejected with my father since i was born that am not his child refused to pay my sch fees now am graduate and working indeed Mungu ni mmoja
@annewatiri466412 күн бұрын
Amen Amen Glory to God Almighty Jehovah 🙏🏽
@VeronicaChibula-e8mКүн бұрын
Aki shuka nama tendo na balaka Zake mama
@VeronicaChibula-e8mКүн бұрын
Don't worry mama God is the father to the fatherless never lose you will be successful and they will look for you I also lost my father at a very young age I don't even know his face we have been abandoned but one thing I know is that God will never leave us
@attomwanga9438Күн бұрын
Amen, what a testimony. May God bless and lift you even higher!
@ElizabethMutuku-c8h7 ай бұрын
Namwambia arejeshe ndoa yangu. Amwondoe huyu aliyeingilia ndoa yangu. Someone to pray with me. Nothing is impossible with God.
@susanlangat65336 ай бұрын
Take heart,but sometimes God. Does it for his Glory
@ElizabethMutuku-c8h6 ай бұрын
@@susanlangat6533 sure. Mention me and the kids in your prayers
@joycenjiri94566 ай бұрын
Read 1john 3:8 may God fulfil the desire of heart believe dont fight with flesh you will get tired tell your father in heaven He is waiting
@sheexndirangu6 ай бұрын
Every dry bone in your life shall come alive again in Jesus 🙏
@ndamgobadenis29366 ай бұрын
Amen Mungu akufanyie
@elizabethtibenda73249 ай бұрын
Cancer imeanguka kwa jina la Yesu mama yangu uwe mzima sasa, imetosha.
@Ironicworld-dh6nw9 ай бұрын
Amen
@Suzsusana9 ай бұрын
Amen
@janethpallangyo38558 ай бұрын
Amen
@consolatablasi62128 ай бұрын
Amen
@ngolinda8 ай бұрын
By the Authority vested unto the Name of Jesus, I declare that your mom is free of cancer right Now in the Mighty Name of Yahusha the Christ.
@MeaganMagdalene9 ай бұрын
This songs comes when I'm breaking generation alters... 'zimeanguka, zimevunjika... MUNGU YUKO MMOJA TU....i can't get enough of this song
@serahmuthoni77359 ай бұрын
Yess yaaasss
@pendothomas72589 ай бұрын
Exactly like me. I can't get enough of this song since it was released on Sunday Kila muda Niko hapa ❤❤❤😊
@vata_studios9 ай бұрын
Amen, God is working on His people, God broke those curses a while ago for me. He is faithful, powerful and all knowing. Make sure you create an alter in your house through worship and praying consistently
@cynthiambesa43509 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN
@comfortfocus56938 ай бұрын
@@vata_studiosPowerful Ameeen🙏
@CharityMutunda3 күн бұрын
Nina mengi ya kukuambia nikikuona Mungu wangu..neema zako ziwe nami
@nickyamani74029 ай бұрын
Guys I am a living testimony for this song ....I played it the whole night at my our plot my neighbor was paralyzed 😢for more than 4yrs now She came at my house singing this song saying that she was healed after I played that song around 10 times 😢😢😢God is faithful guys let's believe on him🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@bellakombo9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@tinahstans9 ай бұрын
Amen
@dorianangonga62289 ай бұрын
Oh Glory to the most high God 🙌🙌🙌🙌🙌
@selphineonyango25919 ай бұрын
Amen
@lenahkarambu24659 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@victorwambua43415 ай бұрын
Nikimuona nitamwambia anifungulie milango ya kazi , financial breakthrough, alinde my family and mostly my kids, I will worship him
@salvationwithlyn8385 ай бұрын
Ukimwona, you will be filled with so much Joy. You will only worship and praise him. Huo wakati you won't desire to ask for wordly things... Just worship. Shalom
@leahkarimi65766 күн бұрын
Amen
@EvelynWanjiru9 ай бұрын
Tunainama Tunasujudu Mungu Ni Mmoja Tuu…
@maotobouchermercy52749 ай бұрын
Love u saaaana mama
@ChristineNaske-nm9db9 ай бұрын
Hallelujah..🙌
@kevinjuma57399 ай бұрын
Amina mtumishi
@rozienas62779 ай бұрын
Amen,Mungu ni mmoja tu. Love u mama mshindi❤
@aliceblessings45679 ай бұрын
Amen
@davidomuse_93Ай бұрын
Ooh God heal my family out of poverty, we struggle alot😢😢
@christinekavutha5524Ай бұрын
🙏
@christinekavutha5524Ай бұрын
Amen
@RuthHalako9 ай бұрын
Nimwona nitamwambia anibariki na Mimi niweze kuitwa mama
@HaronMwacharo9 ай бұрын
Itwa mama kwa utukufu wa Mungu
@fridahlydia9 ай бұрын
Mungu ni mwema. Amekuonekania Sasa. Utanyonyesha na anakupa Wana ambao watakukumbusha kwamba miaka ilitoliwa na nzige yamerudishwa. Pokea katika jina la Yesu.
@lizlefic9109 ай бұрын
Your womb is blessed mamah🥰🥰you will hold your bundle of joy in due time bcoz The God of Sarah has showered you with His blessings❤❤❤
@elizanjihia8519 ай бұрын
Hugs dear...
@ResurrectionPower-v4x9 ай бұрын
Next year this time, you'll be a mother of Twins.
@janevictoria865 ай бұрын
Nikimuona nitamwambia atoe vijana wote wa kenya kutoka kwa pombe na mihadarathi na awape hope and a future in his good plans he has for them according to Jeremiah 29 :11 Amen 🙏
@teresanew97194 ай бұрын
Hakuna njiai ngine ya kumuona isipokua kunena nae kwenye maombi na kutafakari.so just Pray for them ok❤
@susanneokwaro5114 ай бұрын
Well said . I will be so happy.
@catherinewafula88404 ай бұрын
Amen
@Bangala7734 ай бұрын
❤❤❤i Will hug him and beg him for his mercies and love
@MercyWanjau-uu2mm3 ай бұрын
Amen
@ROSEMARYANSELMI18 күн бұрын
wimbo wangu bora wa 2025 nimetazama mara 100 na bado siuchoki. Mungu awabariki sana
@jesusislord50459 ай бұрын
Wakenya mnajua sana kusupport waimbaji wa Tanzania, hebu ni mie nipeni like hata 10 tu!
@laurahmwende36469 ай бұрын
Ju Mungu ni mmoja🙏
@jesusislord50459 ай бұрын
Hakika guyz. Tuna Mungu mmoja tuendelee kupendana
@gloriousnp9 ай бұрын
@@laurahmwende3646amen , na sote tunakwenda mbingu moja❤🙏🏿🇹🇿🇰🇪
@monique25499 ай бұрын
Wow the King of glory is here
@steveprostem53339 ай бұрын
Nimerusha yangu❤
@MorningCoffeeJazz8 ай бұрын
I put this comment here, so that when anyone likes it, it will remind me how God restored me, turned my shame into fame and replaced my tears with joy. I never want to forget for one moment how good God has been to me, how this song has touched my soul
@margaretkimani61678 ай бұрын
Hallelujah somebody 💯💯👌❤️🎁🎁Amen
@awindamukamimukami54198 ай бұрын
Glory to God🙏
@MorningCoffeeJazz8 ай бұрын
@@margaretkimani6167 God always protects you and your family. amen
@MorningCoffeeJazz8 ай бұрын
@@margaretkimani6167 Chúa luôn bảo vệ bạn và gia đình bạn. amen 🙏🙏🙏
@MorningCoffeeJazz8 ай бұрын
@@awindamukamimukami5419 Chúa luôn bảo vệ bạn và gia đình bạn. amen
@VenerandaHussein-w1p6 ай бұрын
Nikimuona nitamwambia aifungue familia yangu kutoka kwenye kifungo cha shetani amani upendo na furaha ikatawale🙏🙏🙏🙏
Mimi nikimuona Nita mwambia asanti Kwa kulipia dhambi zangu nitainama ni mshkru huyu YESU Mwema the king of my soul the king who have never fail me the healer who healed my mum cancer stage 4 and He is still keeping my mum a live for his own glory dagon Baal Ashera miungu ya kigeni kwetu wameanguka wenye husuilia watu wakijiji yetu waokoke wameanguka na kufujika
@gracenimrah98979 ай бұрын
I thank God for the healing of your mom, May His name be glorified.
@wafabian81169 ай бұрын
@@gracenimrah9897 Amen Amen
@LauraNafula-nw6dn9 ай бұрын
All glory to King of Kings for healing your Mum
@muchinasheilah33639 ай бұрын
God😭😭😭😭 king of glory
@summamwandisi70939 ай бұрын
Ameen Nina haki ya kuinama na kumshujudu Mungu wangu
@FaithMutunga-dn2hn7 ай бұрын
Nikimwona ntamwambia anitumie kaa chombo cha kutoa familia yangu kutoka kwa umaskini, awape wazazi wangu maisha marefu waone nikibarikiwa na wao wabarikiwe kupitia kwangu
@JCMNAKURU7 ай бұрын
As your desires
@melanialeonard40317 ай бұрын
Amina ndio maombi yangu hayo kwa mungu namwambia mungu kila siku
@glorylyimo60377 ай бұрын
Amina
@linnahbellotollo26697 ай бұрын
Amen
@ga2revocatus917 ай бұрын
Koment Yako imenigusa mno daaah niliondokewa na baba alikuwa hajashuhudia kidogo nilicho balikiwaa
@mercyurio16329 ай бұрын
Wapi like za Tanzania 🇹🇿 na Kenya 🇰🇪 tu watoto wa baba mmoja
@danielmutinda14929 ай бұрын
It hit so better than this..
@helenachieng79788 ай бұрын
Kabisaa
@salomewandya72578 ай бұрын
❤❤❤
@jacquelinejeff12498 ай бұрын
Amen
@happinesskaiza18678 ай бұрын
P cc@@danielmutinda1492
@JasonMureke-u6oКүн бұрын
A nice song, but only One thing, Mko Uchi.Oooh Hallelujah Hallelujah, Amen 🙏
@WitnessSanga-c3g8 ай бұрын
Nikimuona ntamwambia aiondoe familia yangu katika umasikini tufanikiwe zaidi ya kufanikiwa ameen
@josephkeya9958 ай бұрын
God will bless you more than you can think or even imagine. He owns the world
@regnaldmunuo8 ай бұрын
Bwana asikie maombi Yako leo
@AnnLove-jl4uy8 ай бұрын
Yuko hapo nawe mwambie anasikia
@chelestiabenedict75564 ай бұрын
Nikimwona nitamwambia Asante kwa zawadi ya watoto mapacha wakike na wakiume ambayo tuliwasubiri kwa miaka 28. Mungu ni mmoja tu anayetoa watoto.
@HyasintaNgira-ey2fr4 ай бұрын
Ooh God ❤
@SarafinaKisapi4 ай бұрын
Amina
@StellaKavishe-ny2ff4 ай бұрын
Mungu ni mwema sana
@SunshineDaycare-zy9ex4 ай бұрын
Ameen
@conniesio0694 ай бұрын
Amen Amen
@annamariabaisi32315 ай бұрын
My husband was undergoing a liver transplant na huu wimbo aliupenda sana na kunitumia a few days before operation siku anaingia theater nilimwambia nitakuwa nauimba on his behalf hadi atoke... sang it with hope after 13hrs nikaambiwa Mungu katenda na ametoka salama🙏🙏🙏 GOD this is my testimony to the world that you do live and a miracle worker
@hannahkamau854 ай бұрын
Praise God
@CatherineNaftal-ew3bg4 ай бұрын
Amen
@CatherineNaftal-ew3bg4 ай бұрын
Eeh Mwenyezi Mungu nifanyie wepesi kwenye maisha yangu ninayo pitia yote unayaona naamini unaniadalia kitu kizuri mbeleni,ohh God huu wakati ninao pita naomba unisaidie 🙏 🙏
@eliusruto9824 ай бұрын
amen
@lemmyajabu83482 ай бұрын
And if you're listening this song in December May God's blessings be upon you in Jesus's name
@dorrisnimoo3803Ай бұрын
Amen
@marymelvinnjenga2249Ай бұрын
AMEN
@agnesnjogu7820Ай бұрын
Amen
@neemantundu4681Ай бұрын
IM HERE LISTERNING
@WincateMukami-yx2iqАй бұрын
🙏 🙏 Amen
@WanjaMbuba3 ай бұрын
Like za wenye wanasema mungu ni mmoja tu
@YasintaRobert-q9v8 ай бұрын
Nikimuona nitamuomba anisamehe nlipomkosea pia abadilishe maisha yang na familia yangu atuondolee umaskin anipe na mume mwema🙏🙏
@regnaldmunuo8 ай бұрын
Nimekupenda Bure so innocent
@justinamumbi8 ай бұрын
Its well my sister.....Mungu ako na masikio amesikia
@BeatriceMabruk9 ай бұрын
Nikimwona nitamuomba aitoe familia yangu kwenye umaskini 😢fedha dhahabu vyote ni vyake anijalie hekima na maarifa kwenye dunia hii 😢
@paulinaalbert24759 ай бұрын
Oohh pole naomba nikualike uje Kwa kuhani Mussa yupo kimara temboni hakika utafanikiwa kufikua hatma yako
@MkisiStylish8 ай бұрын
Amina
@WinnieChore-kz9tk26 күн бұрын
Ntamwambia anipew mume ambae watoto wangu wawili ambao waliachwa na Baba na mpaka Leo sijui aliko😢😢😢😢😢😢.Mungu this year must be my year please 🙏🙏🙏.
@mirriammasika76264 ай бұрын
If you're seeing this in Octomber 2024 leave alike so it can remind me how God is faithful to us
@helleneceline15603 ай бұрын
Our God is faithful❤
@IreneKim-j2u3 ай бұрын
October
@maureenmuia53293 ай бұрын
i am
@viviannjoki98343 ай бұрын
Me and you same group....october 🥰
@JaneKangoro-iq9gl3 ай бұрын
@@maureenmuia5329Am here for my healing
@kipkiruigillie43329 ай бұрын
Waaaawaaaaaa this is music on another level wakuu wa injili waja pamoja Evelyn wanjiru, Bella kombo & NGC This is big and bigger mungu awazidisheee..gonga likes za wakenya ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@bellakombo9 ай бұрын
🔥🇹🇿🇰🇪🙌🏼
@jacquelineamke50129 ай бұрын
Wow.... Mungu awabariki sana dada Bella pamoja na Evelyn. I can't have enough of this song. Such an awesome worship. ❤ 🇰🇪
@ruthkemmie8869 ай бұрын
Sounds Nigeria very powerful 🎉
@Warigia829 ай бұрын
True vessels of God
@shetalks30999 ай бұрын
What do you mean wakuu wa injili?
@kabuchijunior51449 ай бұрын
Am praying for my wedding this year and kwa kweli Mungu ni mmoja tu and i shall be a testimony in 2024 🙏
@seremaghema47429 ай бұрын
Amen
@anjelambasha79089 ай бұрын
Amen,Ameen,Ameen
@LydiaMollel9 ай бұрын
Same to me ntakuwa na ushuhuda mkubwa sana huu mwaka kabla kuisha kwanzia kuolewa kwa harusi
@valentinewanga87109 ай бұрын
Trust The King of glory never fails,, it will happen Amen to that.
@margaretkimani61678 ай бұрын
You and I both 🎉🎉🎉🎉Arusi tunayo 🎉🎉🎉🎉 Pilau too😅
@HELLENOMONDI-er7wl9 күн бұрын
I am passing through a lot in my marriage so everyday I play this song even ten times it gives me hope 🙏🙏🙏
@RisperWairimu-gk9co6 ай бұрын
Nikimuona ntamuambia anibariki na pesa nyingi ili niwezee kupea my mom and family a good life God hear my prayer plzzzz😢😢
@faithnathan76859 ай бұрын
Am giving my life to God now. Pliz like me🙏🙏😭
@sarahngugi39519 ай бұрын
The best decision you've ever made. May God be with you in this journey 🙏
@EDEL1219 ай бұрын
The best decision ever Welcome to salvation🧡🧡🧡
@Jesus880579 ай бұрын
Congratulations
@rabielkaaya37649 ай бұрын
Amen na iwe kweli
@loiceoloo61189 ай бұрын
Hey ,Fay! Don't look back. Move on with this fine decision. Kwanza yale maombi ya saa Tisa asubuhi😭😭 unahisi ni kama mbingu zimefunguka tu😭💯 it's good to know God in truth dear ones❤❤
@faithjoy496010 күн бұрын
Today I was Listening to this song endlessly And in the Spirit of God I was Led to Pray for Minister Evelyn and Minister Bella I later saw in Instagram that Minister Bella Kombo Had an Accident but God Preserved them Kwa kwelii Mungu Ni Mmoja Na Anatupenda sote Wapendwa
@angelbajunanaki7 ай бұрын
Nikimwona nitamwambia anilindie watoto wangu na watoto wotee Dunia, Awaepushe na tamaa,ulevi na uzinzi AMINA
@SarahMeela-og6li7 ай бұрын
Amen
@Salome-bt7gt7 ай бұрын
Amina
@felistamwashibanda77647 ай бұрын
Amina
@MarthaGabriel-s6b7 ай бұрын
Ubarikiwe ww na uzao wako
@sheilaluvita-cx2wg7 ай бұрын
Amen
@sheilaluvita-cx2wg7 ай бұрын
Nikimuona ntamwambie anibariki na kazi niweze kulipa madeni,anilindie watoto wangu na Kenya tupate Amani
@EsterUpendo7 ай бұрын
Amenities atatenda kwajIna la yesu
@BornGiven6 ай бұрын
Amesikia, amina
@AshaMbaraka-pv3zf6 ай бұрын
Pokea kazi kwa Jina la Yesu
@nancynjeri16616 ай бұрын
Nikimuona nitamwambia aniponye na anibariki na kazi, not only a job but a well paying job
@McBhoke6 ай бұрын
Nikimwona nitamwambia na kumuomba amkumbuke Binti anahangaika kutafuta kazi na maisha kwa ujumla amsaidie
@annemashiku-xf9fz6 ай бұрын
Amina,waganga tuko wengi,siku moja tutapata
@everlyneambani70556 ай бұрын
Amen I receive 😭😭😭
@JacklineAwonda6 ай бұрын
Amen
@lovenessmjaka97546 ай бұрын
Amen
@adelaidabugaye65085 ай бұрын
Amen
@josephinegacheri15952 ай бұрын
I will tell him to restore my business that went down with during COVID-19 (2020)
@pauh80809 ай бұрын
Wapi likes za our own everlyn wanjiru🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@cate79429 ай бұрын
Her ministration is on another level.
@susansusanne61579 ай бұрын
Yes the ministration may be on another level but these women need to get fully dressed in garments of Salvation. Not these worldly clothes. May the LORD Jesus Christ help them seek the truth, Amen.
@remmyokello96969 ай бұрын
Thank you for saying my mind😢😢@@susansusanne6157
@LilianKhatenje9 ай бұрын
Ooh Jesus son of God
@alextheguzman62359 ай бұрын
Amen..mungu ni mmoja tu
@maryadhiambo2938 ай бұрын
Nitamwambia wabariki wanawake wote wasio na watoto wapate kibali Cha kuitwa 🙏🏼🙏🏼🙏🏼oooh Mighty father wipe their tears 🙏🏼🙏🏼🙏🏼.
@mercymara8 ай бұрын
AMEN🤰🤱❤🙏🙏
@rosejulius77568 ай бұрын
Amen 🙏
@rosejulius77568 ай бұрын
Mimi ni mmoja wapo napokea amen
@DorisSamwel-hv2uk8 ай бұрын
Amina
@everlynwanjiku63208 ай бұрын
Amen
@HerFathersDaughter19448 ай бұрын
If you're seeing this in July 2024 kindly leave a like so it can remind me how God has been faithful in my life. How He has changed my story How He has vindicated me It has been God all along. I remain Grateful
@IreneOlesi8 ай бұрын
Amen
@felistuskyuvi33668 ай бұрын
Amen
@racheldadaye60788 ай бұрын
Amen
@loycecarolonyango8 ай бұрын
26th May
@lilianmwanga40168 ай бұрын
Amen
@EvalineThuoАй бұрын
I will come back here with a testimony that my children and I a time like this next year 2025 ,we will have settled in the UK...amen and thank you lord
@KabatesiMaureen-uj6thАй бұрын
Receive it in Jesus's name
@walenisi9278Ай бұрын
Amen.I hope to join you in one of the european countries
@leahkarimi65766 күн бұрын
Amen
@leonardrodman-nc6cx8 ай бұрын
Nikumuona nitamuomba ampe mke wangu miaka mingi zaidi ya kuishi hapa duniani
@KylianGiven7 ай бұрын
Huu Wimbo ni wa uponyaji aki sijui nianzie wapi kutoa ushuhuda wangu😢😢😢God did it for me aki
@prudencemwansa99804 ай бұрын
Got married at 50yrs believing God for a child help me pray this song & believe 🙏🙏😭😭😭
@dorothynyambura18604 ай бұрын
The God who remembered Sarah he is the same God...he is I am who i am..in the name of Jesus receive your request amen
@alicem5173 ай бұрын
As you received the gift of marriage so have you received your children. Amen
@phoebetaylor79113 ай бұрын
Amen 🙏
@meshackochieng11913 ай бұрын
Nothing is impossible with God....
@jeriothwanjiku-mr6fu2 ай бұрын
You will get a child in Jesus Name
@CatherineKamau-m6m8 күн бұрын
Nikimwona nitamwambia anifungulie njia ya ndoa mwaka huu (2025)🙏🙏
@FRIDAHMUNANIE-li2eu6 ай бұрын
Nikimwona tu nitamwambia anipe watoto mapacha to repay the 6 years of childlessness.
@janemuturi60466 ай бұрын
Na hiwe hivyo...king of Glory please listen to her heart desires
@hildajohn27496 ай бұрын
Ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kumuambia ahsante kwa baraka ya watoto kwasababu umeshaomba tayari,halafu wewe endelea kumuamini Mungu alivyo mzuri
@damik376 ай бұрын
Madam Fridah go test for pregnancy...God has already done it
@dishondashon6 ай бұрын
Ei very nice 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@rizikishemsaga79376 ай бұрын
nyimbo nzuri sana nimeipenda by mwinji Riziki Shemsanga nisaidie namba yako ya simu samahani mpendwa wangu
@hellenongachi68124 ай бұрын
Ayaee...ayaeee,The King of glory is here...🎉🎉somebody help me celebrate Jesus with a like✅🙏🔥
@maureennyayiemi49368 ай бұрын
Nikimwona nitamwambia anipe favour and grace ya kuingia Mahali sifai kuingia,nipate kazi,wazazi wangu waishi maisha mazuri babangu apumzike asikie vizuri kama wanaume wengine awache kufanya kazi ngumu😢😥😥
@justinamumbi8 ай бұрын
Ur wish is granted in Jesus name...just believe and have faith and pray hard..and it is given to you in Jesus name
@wilkisterkazira76508 ай бұрын
From your mouth to Gods ear 🙌🙌🙏
@HEPISIBAKERUBO8 ай бұрын
God open doors for my children to get Jobs
@doricekadushi39248 ай бұрын
❤
@wakamwemaari8 ай бұрын
May favour locate you in Jesus name
@MargaretNyambura-zm5emАй бұрын
Nitamwambia anipee kipawa Cha uponyanji watu wengi wanateseka sana,(2)baada ya maisha haya nipate kuingia Kwa ufalume wako
@rotichkipchumba5 ай бұрын
I'm leaving a Comment Here so that after a month or a year when someone likes it, I get reminded of the song
@teddyemmanuel30586 ай бұрын
Oooh Baba nikikuona nitakukumbusha lile ombi langu mimi na Familia yangu tukutumikie wewe hasa Lile angano langu nawewe nilikuomba unipe Watoto Mapacha nikachagua mpaka njinsia baada ya mateso Mungu ulie mwema ukatenda vile vile kama nilivyoomba oooh MUNGU yupo jmn nikasema ukinipa Mapacha hao ni wako nakukumbusha Mungu wangu kuna Watu wako nyumbani kwangu natamani sanaa waanze kukutumikia hata wakiwa na miaka 3 naandika lkn namuogopa MUNGU jmn Mungu yupo mwenye Imani aombe chochote aone Muujiza utavyopiga hodi nyumbani kwake Asante Yesu kwa kila kitu.
@ShillaNjaaga6 ай бұрын
Every one trusting God for a child bearing... don't lose hope...soon you'll have a tearful testimony of God's doing....am a living testimony... write down in your diary when you want your baby or babies....it's done in Jesus mighty name Amen 🙏🙏
@happyvalence53526 ай бұрын
Acha nikushukuru Mungu wangu.
@emmakulata9 ай бұрын
Wapi like za🇹🇿 Na 🇰🇪 Maana MUNGU Wetu Ni Mmoja Sote Wapendwa❤❤❤
@paswelmphande1908 ай бұрын
kk
@paswelmphande1908 ай бұрын
ks
@SilvioLobuin2 ай бұрын
Going through alot right now...holding on to God because He is the only one that I have always had😢
@HandersonMwanyalo8 ай бұрын
Wale wànatakà kua na yeye daima tukimwonà , let's gather here
@CarlaBouckoutou7 ай бұрын
Explique en français les paroles svp
@jacintamwangangi-so8ch5 ай бұрын
Si mtu alike tu hii comment yangu nirudi kuskiza huu wimbo😢❤❤
@gloryfredy22185 ай бұрын
😊ff😊
@ThisIsBett5 ай бұрын
Najua ulikuwa hapa juzi lakini rudi.
@justermukiri-d2y5 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@blandinavenance98345 ай бұрын
Amen
@wanguimuthike20385 ай бұрын
Rudi tu ❤
@carolynwambua94228 ай бұрын
Nimeskia uu wimbo nikatamani tu nimrudie Mungu na moyo wangu wote.😢😢mniombee Mungu anikubali napenda uyu Mungu
@theclambande46958 ай бұрын
Neema ya Mungu iwe pamoja nawe
@beautytoshaa76588 ай бұрын
May His grace find you wherever you are through our Lord Jesus Christ 🙏
@carolynwambua94228 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 Kwa kuni karibisha katika uwepo wa Mungu
@pillykinabo87228 ай бұрын
Mungu anakupenda zaidi
@Bigsizz_Fridah8 ай бұрын
Grace to abound in His love, His mercies are new everyday
@MulemwaTandabala2 ай бұрын
Some time in July as i was listening to this song God showed himself to me and I was delivered from difficulty in breathing since then im free by the grace of God
@nanababy9948 ай бұрын
Nikimuona ntamuomba huu ujauzito wangu nijifungue salama na awape baraka wamama wengine wenye haja ya kupata watoto 🙏🙏🙏🙏🙏
@jacksonmbuchi12047 ай бұрын
Amen
@AdelaideMuhonjiah7 ай бұрын
Amen
@juddybarasa18567 ай бұрын
Amen
@VivianOwuor-l2w7 ай бұрын
Amen
@joycelinderholm18297 ай бұрын
Amen
@EustineJepchirchir4 ай бұрын
Nitamwambia anipe kazi I buy land and build for my dad who is over 70 and leaving in rentals here me Lord
@minamakwaia-ze8dd6 ай бұрын
Nitamwambia Asante kwa kunifungua uzazi. Naomba umlinde mwanangu Uzao wangu na lango langu. Vita zangu na zake zote pigana kwa ajili yetu Mungu wangu.. Ondoa mikosi na laana kwenye familia ya Baba na Mama yangu .fungua vifungo vya umaskini. Shusha baraka na uponyaji
@merriestephie74022 ай бұрын
Ooh God, just do it for me and my family because you are already here
@lucylaizer-dv5yc9 ай бұрын
Nikimuona nitamwomba atusaidie kutuondolea magenge ya ushoga na ulawiti,. Aibariki nchi zetu atuindolee maafa ya mafuriko, kwa maana Mungu wetu ni mmoja tu!!
@fransiscarwillaasin89279 ай бұрын
In Jesus name🙏
@djmjema5 ай бұрын
Na ikawe hivi in Jesus Name
@newsreporttv25 ай бұрын
What a great song.Tunainama tukisema yeye ni mungu.Kama unaamini Mungu ni mmoja pita na like.
@rulebudodo23017 ай бұрын
I said to myself if I meet God I will let him know how much I need scholarship for my postgraduate studies. Finally, he has answered my prayer, I have secured a fully-funded, prestigious scholarship to study in UK. Mungu ni mmoja.
@JCMNAKURU7 ай бұрын
Glory to Jesus
@Josephinewabuge7 ай бұрын
Amen
@LilianAwuor-tz6mh7 ай бұрын
Amen
@MissClass-p4s7 ай бұрын
Smen
@sheilalengala57907 ай бұрын
Nitamwambia abadilishe Maisha yangu na familia yangu yote yawesekana kwake mungu ni moja tu.
@thetwocupcakes568124 күн бұрын
God remember me during ths time of life after the trials and been looked down by relatives God let me be a living Testimony .like or comment please so that I can come here anytime to listen too Amen.
@lilianhermenegild71758 ай бұрын
Nikimuona nitamwambia anisamehe sana pale nilipomchukiza na pia anitumie mimi kama chombo cha kuiinua familia yangu kiuchumi. Dharau zimezidi😭😭🙏
@iddymsangani57178 ай бұрын
Mungu yupo kwetu sote atatenda🙏
@Mercychadal7 ай бұрын
Mungu atusaidie kwa kweli
@sharonnjuguna34349 ай бұрын
Wapi likes za Sisi wenye tunapitia hapa daily🎉🎉🎉 I'm in love
@zippynyangwe8 ай бұрын
Nikimwona ntamwaambia anikumbuke pia. 36 years old, no child ,no husband with no prospects. In the meantime lets worship Him. To all those who believe in God ,tuamini kwa pamoja, Amen🙏🙏🙏 Nipitieni .
@Woundedbutterfly_948 ай бұрын
May God grant the desires of your heart darling.all the best.
@ableteamvoipag13958 ай бұрын
We serve God of no time limit,ask Sarah and Abraham..i pray for you before the end of this year,God will have manifested himself in his own way in jesus name.you will give a testimony
@Graceyusuphh8 ай бұрын
Ur goin 2testify the goodness of God very soon❤❤❤
@shanicekanana3718 ай бұрын
Receive in the name of Jesus
@alicemumbi75858 ай бұрын
He is Faithful 🙏🙏🙏
@LeoNard-x2qАй бұрын
Mungu ameendelea kua pamoja nasi hata sasa. Niwakie kila rakher mwaka mpya Mangu akabariki kazi za mikono yetu na familia zetu na TAIFA letu ameeeen 🙏🙏🇹🇿🇹🇿
@loicewairimu91207 ай бұрын
Nikimuona nitamwambia ahsante aliniponya cancer
@nassorkibwana52986 ай бұрын
Amen Mungu ni mwema sana dear usiache kumshukuru
@NancyAtieno-z2b6 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@gladysnyambu-g1b6 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu
@janetamolo36516 ай бұрын
Hallelujah!
@robailikuyani20556 ай бұрын
Amen amen glory to God for healing you This monster cancer💀 has taken our beloved bishop kiuna
@topdaddietz73865 ай бұрын
Kwa kuamini Mungu ni moja tu kupitia huu wimbo before end of this year may God grant us our wishes through prayer.......like kama tuko pamoja and you believe kama mimi.ubarikiwe sana.