"Mungu akubariki unaesikiliza awe na wew" -King Zii🙏😭rest in Power
@lindadenyce19136 жыл бұрын
Rest easy zila,tulikutambua kama king and forever you will remain 🙏🙏🙏
@rantojasiri7 жыл бұрын
zizi umepiga interview bila tungi ona hata freestyle zako zmekuwa hot na nmemuona yule zila mkal ninayemjua...saf🔥💯
@mayagillamussa54807 жыл бұрын
Ranto Jasiri yaa upo sw
@youngdevo61056 жыл бұрын
Safi sana
@mandvd69daddy926 жыл бұрын
Freestyle doctor forever rest in power Godzilla
@fanuelkabelinde5646 жыл бұрын
I will remembered you ma zilla God be with u upumzike kwa aman
@ismaillugemalila15226 жыл бұрын
Hadi nimekosa la kuongea zaidi ya RIP zilla.
@edwardpatrick81704 жыл бұрын
2020 still unaishi kweny freestyle rest in paradise zilla😓love you broh
@amanibakari50616 жыл бұрын
hii freestl wanaweza wachache sana bongo kuna wanajita making afu hawawez wanafanya walizo andika uyu jamaa inatoka kichwan malike mazee
@JeronimoSimon657 жыл бұрын
Daah ! Zillaaa u always a killer.. Yaani hujawahi nifelisha kwenye hiz business. Hawataki tu kukucrown but you r the best freestyller of all time, cuz unamurder killa beat. Naomba ututengenzee hata mixtape moja tu ya freestyle. Battle battle battle. Go zizii
@jumakajimba78966 жыл бұрын
Daah sina mengi yakusema zaidi ya R.I.P kinG zilla
@fedrickpaul67337 жыл бұрын
Kama unesikiq nabii titto gonga like zilla hatariiiiiii mwachen aitwe god,,,,,,,,,,, ziz inthe houseeeeeeeeee by Lillyommy
@swahiliforex7 жыл бұрын
Kama Unamkubali Zilla Ndo King Wa Freestyles Ngonga Like👍💗💗
@upendorichard4355 жыл бұрын
Swahili Forex Zila, umetisha kinomanoma
@sidemashine71683 ай бұрын
Vipi kuhusu Mangwear
@ladislausfocus7896 жыл бұрын
Zilla ww ni mkali sana kwenye mitindo huru,unachowashinda wengine ni utundu wa kubadilika na ubunifu mwingi sana,kinachonimaliza zaidi ni flow yako tamu.una flow tamu bro kuliko rappers wote tz,huo ndio ukweli,asante kwa burudani.
@OfficialKiliPaul6 жыл бұрын
Dadeeeeeeeki,nani anakubali hii 2019
@elizabethmwandu69376 жыл бұрын
Daaaa dunia ni mapitoxkila kitu kitapita leo hii umetuacha tulikupenda sana lkn Mungu kakupenda zaidi. Mbele yako, nyuma yetu pumzika kwa amani Godzilla🙏🙏🙏🙏
@jacoblukindo65534 жыл бұрын
R.i.p zila
@isackhassan65516 жыл бұрын
Rest In Eternal Peace Kaka Mkubwa, will always remember you as a king of freestyle
@alristv35995 жыл бұрын
Atabaiki kuwa bora kwangu. Mtu mwenye utundu wake. Huyu Jamaa Mungu amlaze mahali pema peponi. King Zizi mfalme wa miondoko huru.
@dkensmopainvevo36837 жыл бұрын
Huyu ndio bongo bahati mbaya.. 😂 👏👏👏👏
@alexanderpius19925 жыл бұрын
This guy was the best rapper i ever see, RIP zilla nakumbuka class best Nsumba wanataka selfii
@lisherjerry3177 жыл бұрын
something never change!! zizi you know who you are!! #King
@mohdkassim3606 жыл бұрын
He was a true king; R.I.P boy!
@youngkillermsodoki76647 жыл бұрын
Huyu ndo alio mu insipire mtu wangu young killer msodoki so big up sana ila ukicheza ukianza bangi tukutane central jumanne eti watoto waambie wajipange hhh
@kaizamgao46216 жыл бұрын
King zila zila ni balaaa Nouma sana bongo bati mbaya
@azizarajab57275 жыл бұрын
A minute of silence please for the late King Zilla 😭😭
@kelvinsichone23597 жыл бұрын
I gotta salute you King of SalaSala Empire!
@promramson807 жыл бұрын
Huyu jamaa kwa freestyle ni nyoko sana ....nomaaaa
@leonardbihanya90287 жыл бұрын
Daah free style we ndoo babaa yaooo nakubalii sanaa mzeyy
@miminabuku24906 жыл бұрын
Boy atar 👀👀
@mctv24654 жыл бұрын
Huyu jamaa alikuwa mkali sana duuuh Mungu mrudishe basi
@kairanmahmoud52346 жыл бұрын
kila nafsi itaonja umauti mbele yako nyuma yetu godzilla
@stephanomoses76943 жыл бұрын
27 January 2022 bado na watch. R.i.p jeshi la m2 m1
@josest5575 Жыл бұрын
2023 Ziz still the best to me. I pray for the soul to be rested in a safe place. Amen.
@danymsinga70486 жыл бұрын
Huyu n motoo🔥🔥🔥🔥🔥
@sumutherapper25436 жыл бұрын
Can't hesitate to comment. Big up and R. I. P buddie. Bado ntakuskiliza kama kawa.
@onestkasmir42976 жыл бұрын
Akitoka ngwea ni chid benz akitok chid bhas hyu myamaa R i P kaka msalimie ngwea!!! Mbel yko nyuma yetu
@charlesfwongo36196 жыл бұрын
huyu Ndo kingzillah wanamuweza wachache labda from outside Tz🔥🔥🔥🔥🔥
@andelherrera51377 жыл бұрын
hizi ni real freestyle..🔥🔥
@bensonfrank6437 жыл бұрын
HUYUU NDO ZILLA NINAE MJUAA 🔥🔥🔥🔥🔥
@Jxcjs3 жыл бұрын
Nimemmiss Jamaa sana
@antonygerald5252 Жыл бұрын
What can we say about zizi😢ONLY GOD KNOWS...🙏🙏🙏
@THEKUTAMANI7 жыл бұрын
king of all of them zillaaaaaaaaaa
@musaobeli89586 жыл бұрын
freestyle noma ya mwaka bro Godzilla am from Kenya and you doing greet keep it up
@amiriramadhan77536 жыл бұрын
He is not longer alive, he died last week.
@EmmanuelLekasango-rt1qx11 ай бұрын
Jamaaa alikuwa vizur asee pumzika kwamaani mwamba ziziiiii😢😢😢
@kachawakikazi12176 жыл бұрын
RIP kingzilla inauzunisha sana kuondokewa na majembe ngwea RIP langa leo tena kingzilla hakika umeacha sana mapengo kwenye tathinia ya kurap
@mokiwatv12064 жыл бұрын
R.I.P king . Sala sala appreciate ur talent we miss u king 😪
@barakajulius78127 жыл бұрын
wengine wanaendaga kwa lilommy kutembea ila zizi umekuja kuongea noma saaana arif
@mohamedsadiki15756 жыл бұрын
inallilah waina lillah rajium
@derrickmbaku47686 жыл бұрын
Dah so sad mangwair na Godzillah, tumebaki na Chid benz pekee kwenye michano ya mitindohuru
@Bumutz-po2df4 ай бұрын
Godzilla x Ngwear cowboy x Geez mabovu x kanumba rest in Paradise brothers 💔💔💔, mapengo yenu hayatazibika mlituacha tukiwa bado tunawahitaji 🙏 mwenyezi Mungu awasamehe dhambi zenu na awapumzishe kwa amani 🙏🏾
@alexanderpius19924 жыл бұрын
Mmh, Zilla hapa aliua, R.i.p king tupo njia moja!!
@bensonfrank6437 жыл бұрын
HUYU NDO ZILLA NINAE MJUA MIMI 🔥🔥🔥🔥
@victorprince9883 Жыл бұрын
2023 tumekuja kumchek mwana Piga like apaaa 🔥 king of freestyle
@georgeburchard48727 жыл бұрын
Shikamoo zilla! Wee ni nyooooookoooo
@abdulmohd68806 жыл бұрын
RIP king zilla.... really ulkuwa king wa freestyle after kaa wizi kaa obama.. na nyote mungu ashawahitaji..
@tumainzacharia9177 жыл бұрын
Freestyle killer black ZIZI ,Magufuri wa New Era!!
@ngishjimg88035 жыл бұрын
R.I.P zilla nilimkubali sanaaa king wa freestyle
@silvaanhaniancr8146 жыл бұрын
r.I.p brooo najiisi kutoa chozi
@burtonnicholaus62705 жыл бұрын
Me too
@mndigaboy25347 жыл бұрын
zila Leo Nimeipenda hiyo 👑 freestyle bongo but sharot mkubwa SCODA Boy
@AugustinoYm7 ай бұрын
2024 on this one Respect King 👑 zilla
@emmanuelmajovenee89546 жыл бұрын
never seen before,,,,,, millennium Kutokea kama huyu genious,,,tukiongelea freestlyle
@fakiisuleiman80572 жыл бұрын
Big wow💥🙌
@emanueledwin56856 жыл бұрын
Big up ziziiiiiiiiiiiiii nakuelewa vby mnoooo shar out kwakoooo
@abrahamkamus84056 жыл бұрын
The real definition of freestyle
@dinosmack Жыл бұрын
🔥🔥rest in power king zizii..mafreestyle yataishi milele
@jawaduathuman37567 жыл бұрын
Huyu jamaa hafai ata kdogo sijui kwann hana rotation sanaa
@hbgwaay6 жыл бұрын
Damn!!! This Dude was something else..
@kalvindamian34765 жыл бұрын
Aisee RIP king zilla🔥
@stanyshinemusic33476 жыл бұрын
King is back.....salaaaam salaaaaam wakazi mitaani
@danielsiasa4597 жыл бұрын
Aiseeee Zilla ni mwamba yan 🔥🔥
@jamesmhema80775 жыл бұрын
Zilla's Best moment Rest in peace brother.
@saydbarakismailiya15156 жыл бұрын
17/02/2019 lala salama king zilla
@thomasnyemba43677 жыл бұрын
nimekuelewaaaa Fireee
@edwinamandus8255 жыл бұрын
Much respect zilla......... RIP
@riquenyags16216 жыл бұрын
zillaaa kwel mungu anakuona kaka unajua sana hadi unaboaaaa
@issaniyonzima38346 жыл бұрын
i am from Bdi but this guy was really talented..
@hassanimkononi76237 жыл бұрын
Start one mzee part one iko wapi naona iyo end of the movie
@simanjilo56 жыл бұрын
Watu ambao warkuw hatr nirkuw nawa kubar saiv wamesepa wametuacha ni Alrbat magwear god zilla Daaah ntawamiss sana ma bro ntagulien na imani ntakutana Bdae
@damasbaltazaryjr66187 жыл бұрын
yooooooo zizi!! nlikumiss broo... ii ndo tulikua tunatakaa sasa
@gogoboy33003 жыл бұрын
Mungu mungu kwel sis nimali ya udongo nimekumic bro