Alichokifanya Prof. Hamo Zanzibar kwenye Wasakatonge Comedy Gala, lazima ucheke

  Рет қаралды 106,829

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Ilikuwa ni kwenye mkesha wa mwaka mpya 2020 Wasakatonge New Year's Eve Comedy Gala chini ya Azam TV. Profesa Hamo alikuwa sehemu ya wachekeshaji walioipamba show hiyo, na hii ni sehemu tu ya kile alichokifanya. Ni dakika 15 kati ya dakika 28 alizotumia jukwaani.

Пікірлер: 75
@mshangapeter6566
@mshangapeter6566 4 жыл бұрын
Zanzibar wamepoaa....daah mmemzingua Proff hamo one of the best comedian from Kenya
@jacklinejames1050
@jacklinejames1050 4 жыл бұрын
His swahili is a bit different from us....
@mcapipwatz207
@mcapipwatz207 4 жыл бұрын
Sound mbaya kweli, hamo yuko vizuri sana.
@ndirangurukwaro254
@ndirangurukwaro254 4 жыл бұрын
Hiyo jasho yote ni Hamo aking'ang'ana kuongea kiswahili sanifu😂
@zack-bv1yu
@zack-bv1yu 4 жыл бұрын
From Kenya.. Proud of you prof Hamo. Kiswahili si kidomo chetu
@martinmarwa4941
@martinmarwa4941 4 жыл бұрын
Prof unaweza ,kiswahili c mdomo chako lakini I give u 100% but hujadance mbn
@alianzarodger538
@alianzarodger538 4 жыл бұрын
Shida sio huyu mchekeshaji,,shida ni wazanzibar hamjui comedy
@felisternyakina9873
@felisternyakina9873 4 жыл бұрын
Kwely 👍👍
@alianzarodger538
@alianzarodger538 4 жыл бұрын
lakini wasijali watazoea tu
@patrickmunishi8242
@patrickmunishi8242 4 жыл бұрын
@Prof. Hamo Nakukubali Sanaaaah 😂😂😂😂😂 #BestComedianEver
@jaycee_tv1731
@jaycee_tv1731 4 жыл бұрын
Shinda hapa n kuwa prof hammo akiaza kuwapigia comedy na sheng ya kenya mtapoteza network kabza😂😂
@hassangingi7033
@hassangingi7033 4 жыл бұрын
Its very hard to please Swahili people with that kind of Swahili trust me, I was born in Nairobi and spent most of my life in mombasa.. The crowd looks passive.
@joramohgmjoraah
@joramohgmjoraah 4 жыл бұрын
Comedian-100% Sound system-12% Improve manze..
@janewanjiruwanjiru8402
@janewanjiruwanjiru8402 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hamo umenaswa,kumbali tu😂😂😂😂😂😂😂😂
@shybelectures348
@shybelectures348 4 жыл бұрын
For the years I have watched prof Hamo's comedy this are the most realistic audience.
@hassanmusee1490
@hassanmusee1490 4 жыл бұрын
Kwani Hawa audience hawajui kwa kucheka,,,,macho tu,,,,,am surprised
@kinlarknafasi
@kinlarknafasi 4 жыл бұрын
This guy is talented.
@tonysteven5007
@tonysteven5007 4 жыл бұрын
Professor anajua
@aritavincent6090
@aritavincent6090 5 ай бұрын
Sound mbovu sana
@valencyminde5246
@valencyminde5246 4 жыл бұрын
Nakukubali sana pro hamo
@mariamgitau3614
@mariamgitau3614 4 жыл бұрын
😂 😂 Pwahaha ahlul_bait tuko kila mahali kyks##
@greattiktokers3546
@greattiktokers3546 4 жыл бұрын
Watu wa Zanzibar hucheka kweli
@Swahilisoaptv
@Swahilisoaptv 4 жыл бұрын
Wanga
@felixtinega191
@felixtinega191 4 жыл бұрын
Prof pole hukufurahisha leo, kiswahili kakuchanganya
@eliezakalaita7433
@eliezakalaita7433 4 жыл бұрын
Kumchekesha mtanzania kwa kiswahili cha Kenya ni ngumu sana, ila Prof. Harmo ni comedian mzuri sana.
@azamtvtz
@azamtvtz 4 жыл бұрын
na vipi kumchekesha mkenya kwa Kiswahili cha Tanzania? akienda MC Pilipili kule kwao itakuwaje? ha ha ha!
@eliezakalaita7433
@eliezakalaita7433 4 жыл бұрын
@@azamtvtz MC Pilipili aliwahi kwenda Kenya kwenye Churchill show alipata shida kama Hamo ilivyomkuta kwenye wasaka tonge.
@eliezakalaita7433
@eliezakalaita7433 4 жыл бұрын
@@azamtvtz ving'amuzi vyenu mnauzaje kwa sasa? Nakihitaji tafadhali!
@ThinkMuseums
@ThinkMuseums 4 жыл бұрын
He is a good comedian ❤️
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 4 жыл бұрын
Isaac mwaura alienda zanzibar atarudi kweli dah🤣🤣🤣
@factsnewskenya6777
@factsnewskenya6777 4 жыл бұрын
Nigeria is watching.
@raheemwilson647
@raheemwilson647 4 жыл бұрын
Ulienda kuchoma😂😂😂
@dorothearigobert5895
@dorothearigobert5895 4 жыл бұрын
Hawakumtendea haki Hammo coz Amejaribu Kufurahisha but they are muting
@juhudiacademy2170
@juhudiacademy2170 4 жыл бұрын
Wazanzibari kuhusu mambo ya comedy bado,
@juhudiacademy2170
@juhudiacademy2170 4 жыл бұрын
Maana huyu jaamaa set up mliomwandalia sio. Ni bonge LA comedy akiwekwa mahala pake
@anoldkimbi9169
@anoldkimbi9169 4 жыл бұрын
Prof Hammo be yourself, najua comedy zako pale churchill, hii kiswahil unalazmisha haikui poa! Ongea sheng ndo comedy ipo huko!
@itsnajma
@itsnajma 4 жыл бұрын
Watu wa zanzibar watapoteza network akiongea sheng
@williamwilombe4001
@williamwilombe4001 4 жыл бұрын
Sound bado haiko pw
@sudyslaa8278
@sudyslaa8278 4 жыл бұрын
proffesor harmo is the best
@charleskamanga800
@charleskamanga800 4 жыл бұрын
Passive audience,,,
@denilsonmecha8823
@denilsonmecha8823 4 жыл бұрын
Sound zenyewe mbaya za system jamani.....
@levels4698
@levels4698 4 жыл бұрын
Crowd iko poa sema camera na sound haishika mashabiki
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 4 жыл бұрын
Mzee kiswahili hard!
@kennethkoech7951
@kennethkoech7951 4 жыл бұрын
Sound
@mainakihurusia1612
@mainakihurusia1612 4 жыл бұрын
Hahahahaha proh amo
@williskibagendi9775
@williskibagendi9775 4 жыл бұрын
Kenya kiswahili si lugha yetu tushikilie tu sheng
@williskibagendi9775
@williskibagendi9775 4 жыл бұрын
@ShutterDe DON ina depend penye unatoka penye mi hutoka hatutambui swa
@gideongideonkipkemoi2156
@gideongideonkipkemoi2156 4 жыл бұрын
Hey guy
@hassanmapenzi6188
@hassanmapenzi6188 4 жыл бұрын
Uko awawezi hata pea mtu morali
@limowiliezlimo8725
@limowiliezlimo8725 4 жыл бұрын
Kiswahili ni ngumu jameni
@ozacsic2832
@ozacsic2832 4 жыл бұрын
Zanzibar mbona mmepoza ivyo ?
@catherinewambuimwanikimwan5093
@catherinewambuimwanikimwan5093 4 жыл бұрын
Pls hamo never go back there it's bored
@yusuphpaulwaryoba8316
@yusuphpaulwaryoba8316 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@EduKafro
@EduKafro 4 жыл бұрын
Karibuni kwenye chaneli ya kwanza dunia nzima yenye lugha tatu. Kiswahili kingereza na kifaransa. Tukiwa Canada Tunakupa content yenye ubora tofauti this is the next generation kzbin.info/www/bejne/gIakoGamntl3rcU
@Hen1
@Hen1 4 жыл бұрын
Hii nayo ilichapa ukuta
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 4 жыл бұрын
Haitaki kufanya vichekesho kama hivi mbele ya watoto. Vichekesho vina maneno mazito yasiyonazuri Kwa wadogo
@limowiliezlimo8725
@limowiliezlimo8725 4 жыл бұрын
Sahii ni usiku..
@drmichira
@drmichira 4 жыл бұрын
Mko na utoto!
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 4 жыл бұрын
Hei Bonyeza hapa chini👇💀🔥 kzbin.info/www/bejne/ramvXmxvp8eCrtWk
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 4 жыл бұрын
Hakuna anachochekesha ni kulazimisha tuuu
@josamjoel2079
@josamjoel2079 4 жыл бұрын
Haumjui ndio maana
@dannylororua330
@dannylororua330 4 жыл бұрын
Kiswahili ngumuu 😂😂 Mwambie atumie sheng 😂😂
@barakajustine5922
@barakajustine5922 4 жыл бұрын
Kachekeshe basi wewe
@ngwilson4539
@ngwilson4539 4 жыл бұрын
we hapa uliongea tu
@williskibagendi9775
@williskibagendi9775 4 жыл бұрын
Kiswahili ni ngumu
@humphrey4058
@humphrey4058 4 жыл бұрын
To be sencere, comedy za huyu jamaa ziko down tu sana.
@Africa96tv
@Africa96tv 4 жыл бұрын
Sheng ndio komedy Kiswahili moja kwa moja sio
@feliscuragi4779
@feliscuragi4779 4 жыл бұрын
This crowd is tooooooo boring. 😏
@simonngugi7832
@simonngugi7832 4 жыл бұрын
Comedy is very audience specific, prof ain't funny in Zanzibar
@frankfame6593
@frankfame6593 4 жыл бұрын
Weedsiosukuma
@254mwenyewe9
@254mwenyewe9 4 жыл бұрын
Not funny!!!!
UNAJUA SHIDA YA MWANAUME AKIPENDA? BY: PRO HAMO
12:40
Churchill Television
Рет қаралды 67 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 13 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 3,6 МЛН
Pof  Hamo KDF
13:01
ProfHamo
Рет қаралды 175 М.
CHRISTMAS IMELETA SHIDA PALE USHAGO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
29:19
PROF HAMO LIVE PERFORMANCE AT THE UNIVERSITY OF EMBU CULFEST 2023 / CHURCHIL SHOW
27:36
Prof. Hamo on why he can survive anywhere in the world
25:01
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 180 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 13 МЛН