Naomba msada mko wapi mliko hudum hii mtusaidie namba za daktr
@RukiaRamadhani-z5gСағат бұрын
Mm mwanangu alipata ajali ya sikio akafanyiw mparesheni sikio lote likatoka ila sasa hivi changamoto inayo mkuta anavimba sikio nisaidieni na mnilekeze wapi mpo
@Ally-yr9xnСағат бұрын
mnajitahd nanyinyi kutaka kuwa kama angalau nyuki watabora lakini bado hamjakuwa ndio kwanza mnatambaa kueni kwanza halafu ubaya ubwela upo kuwafundisha jinsi yakutoa watu usichana😂😂😂😂
@emanuelpelomollel81612 сағат бұрын
Ila ukweli ni Kwamba manara ni bonge la msemaji Simba damu toka utotoni
@agnesArran2 сағат бұрын
😂😂Nyuki mweny kelele uwa anakufa mapema #simba #ubaya ubwela 🔥
@JosephcyplianmodestMatabula2 сағат бұрын
Utaichukiaje kwamfano?
@MARACKMESHACK2 сағат бұрын
Aise
@SalhiaHaji-d5i2 сағат бұрын
Hongerafeitoto
@AmiduAmadi2 сағат бұрын
Baba wataifa
@SalhiaHaji-d5i2 сағат бұрын
Heriyatimu
@SalhiaHaji-d5i2 сағат бұрын
Heriyapimu
@NdoileSelemani-zj6dl2 сағат бұрын
Obrey chorwa chirwaa😂😂😂😂
@dorahmushi-we6ts3 сағат бұрын
Kuwa wanasiasa ni waongo
@RashidiAli-l3i3 сағат бұрын
Yanga wanazngua mech hiyo nimeiyonea chigugu
@RashidiAli-l3i3 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@otchumastory26983 сағат бұрын
Nani kaona hyo jezii ya morison
@Cutephina4 сағат бұрын
Mie nimeangaika weeee hadi bando lakalibia kuishaaa😎😎
@AngelGitson-w4l4 сағат бұрын
Hii mechi hainichoshii jamanii kuiangalia naipendaaa simba
@HinduDaffa-qp9ez4 сағат бұрын
Leo n tareh 03.02.2025 namuangalia mnyama ❤
@MwanaidiAntony4 сағат бұрын
Mim
@MwanaidiAntony4 сағат бұрын
Mim
@StephanostanleyNgenza4 сағат бұрын
Tupo wengii tyuu
@EmmanuelYona-q9h4 сағат бұрын
Utaliwa kisa simba
@EmmanuelYona-q9h5 сағат бұрын
Lazima wapuuz nini
@Teacher_Hassan_Lemunje5 сағат бұрын
Who else watching 2025
@Eri-Mosob5 сағат бұрын
could I say the worst game in the history of soccer?
Maneno haya sio mageni hapa mjini labda Kwa mgeni wa jiji
@kudrathmohammed6 сағат бұрын
Mtaangaika sana na simba 😂😂😂
@brefiakassim4446 сағат бұрын
Hata wacheze saba mtafungwa tu,mtake msitake 4 zinawahusu
@PabloDallas2556 сағат бұрын
Pongezi kwenu walipa kodi
@jacksonmkumbo71836 сағат бұрын
Mbu Mwenye kelele Nyingi siku zote ndio anakufa mapema.......
@chichasam90326 сағат бұрын
Hivi hizi team azijifunzi tu ayaa Ngoja tuone...Kamdomo kamdomoooooo...ngoja tuone😅
@wolfugangtesha57246 сағат бұрын
Hawakomi tu, atawawekea tena kosi la CAF
@ameedamilja79926 сағат бұрын
Tunataka kuona Plan ya Magufuli ya kujenga uwanja Mkubwa Dodoma Capacity ya 98,000-100,000 kinajengwa kama mwenyewe alivyotaka kujenga. Dododma ni makao makuu ya Nchi lazima kuwe na Uwanja wa Maana kuiwakilisha nchi.
@Dullah_tz4 сағат бұрын
Sawa tutajenga
@johnthesimba47643 сағат бұрын
😂😂😂😂😂@@Dullah_tz
@Mswaki-dr42 сағат бұрын
Wanazingatia uchumi wa watu wa sehemu husika kuweza kujaza uwanja. Dodoma hata mkapa hawajazi
@yustomwaisomania25879 минут бұрын
Liuwanja kikubwa lote Hilo Dodoma la nn na idadi ya kujaza huo Uwanja itoke wap Uwanja Bora ungejengwa hata Mbeya kwenye timu nyingi na watu ambao wapo serious na wanapenda mpira
@James_Father_house6 сағат бұрын
mnataka kila mtu awe mtanzania
@KasimuIbadi-kq2ne6 сағат бұрын
Au sio
@James_Father_house6 сағат бұрын
mmeanza ujinga
@GiftHans6 сағат бұрын
Fyuuuuu klab bingwa iyo kwiooo 😮😮
@jossporahmsw84206 сағат бұрын
Simba ni wazee wa one two🎉🎉
@ThaniaRamadhani-t9w6 сағат бұрын
Doctor mm naishiwa sana na nguvu hii pia inatokana na vidonda
@PatirickiBahati7 сағат бұрын
Jama simba yasasa nimotto 😊
@MATELEPHONETv-f7u7 сағат бұрын
kwa matokeo hayo alaumiwe mpanzu gonga like
@RamajrKionjo7 сағат бұрын
Ongelen sana
@xaverisunday6997 сағат бұрын
Ukwl ni kwamba kila mtu ashinde mechi zake na simba wana bebwa sana
@MaryPumpuni7 сағат бұрын
NA WEW BEBWA😏😏
@MagumtataTz-ogСағат бұрын
Sasa si umesema kila mtu ashinde mechi zake,,,,umesahau kwamba ashinde mechi zake kwa namna yake,, ya Simba ni hiyo wee yako ni ipi kufa sasa d'oh!
@KasimuIbadi-kq2ne7 сағат бұрын
Kulikua na haja Gani ya kuweka hizo sehem za riadha ,,