ALIEMPIGA MSOUTH AMTAKA MWAKINYO KUMLAMBISHA SAKAFU,JIMMY MAFUFU MTAJA KIDUKU NA KIDUNDA

  Рет қаралды 2,659

LIKE MEDIA

LIKE MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@MohamediKassimu-d4c
@MohamediKassimu-d4c Күн бұрын
Tumienii hekma viongozi wakijana kuweni na nidham kama mnataka kijana aendele vizuri watu watamchukia kutoka na maneno ya kashfa kwa mabondia wakubwa
@mkilwaabdul9230
@mkilwaabdul9230 23 сағат бұрын
kwanza mwakinyo hapigani na takataka kama hz😅
@SaidMkome-p6s
@SaidMkome-p6s 3 сағат бұрын
Kwa nn kila mtu mwakinyo😅😅
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Күн бұрын
kijana nidhamu ni muhimu sana usishibe sifa
@mohamedihashim7420
@mohamedihashim7420 3 сағат бұрын
Kampiga Au Kamkumbatia😂
@Ali.salimu
@Ali.salimu 15 сағат бұрын
Huyu. Nichoko. Mwenyewee. Kabebwaa. Anakuja. Anajisifia. Mwakinyo. Ndio. King.
@AtanasJuma
@AtanasJuma 9 сағат бұрын
😂 kwa mtu wa kumsemea amepata yeye bondia apigane tu
@bshhdxgdhjjdhd7627
@bshhdxgdhjjdhd7627 13 сағат бұрын
Hmna kitu😂😂apo
@BashiruAthumani-c6y
@BashiruAthumani-c6y 17 сағат бұрын
WEWE Bado SANA
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 9 сағат бұрын
Waandishi Msimuulize maswali ya mitego na kumtatiza champion.Msimuingize katika matatizo na kaka zake.Mwakinyo sio weight yake.Vipi kg 76 na zaidi umchezeshe na 69 au 72.Amefanya vizuri basi Azidishe mazoezi na nidhamu.
@MtigaHassan
@MtigaHassan 14 сағат бұрын
😂😂😂nyie mjachen upepo tuuu
@StanleyMakunzo
@StanleyMakunzo 13 сағат бұрын
Huyu chaliii kwa kiduku hatoboi kwa kidunda hatoboi kwa mwakinyo ndio kabisaaaaaa mpeni tu sifa
@ShabanMohammed-k8w
@ShabanMohammed-k8w 10 сағат бұрын
Kwahyo kushndaleo ndomnaanzakumfananisha nawakubwa
@ImaniMwakipesile-r9k
@ImaniMwakipesile-r9k 6 сағат бұрын
Willems akiomba rematches atakunya uyo moto
@MwantumSuleyman
@MwantumSuleyman 14 сағат бұрын
Achen maneno mengi zote pombe izo game yenyewe ni kwa hujuma hujuma hujuma2 kila mda bindia ana shika na mnasema arudiane nae mwambien aende South kama akirud naushi nifaten kuen kmy zote pombe hizo
@AbdulrahmanabdallahAbdallah
@AbdulrahmanabdallahAbdallah 6 сағат бұрын
Mwakinyo anakuua wewe unashaka shika mwakinyo anakuua mzee
@HajiHaruna-xi9zj
@HajiHaruna-xi9zj 54 минут бұрын
Kukumbatia huo n upuuz mna2abisha tz
@yunussera4146
@yunussera4146 5 сағат бұрын
Huyo kinacho fwata nachukua oda ya kuchimba kaburi nilicho kiona kwake ni kukumbatia mkwenda mbele
@AlhajiShabani-rq9vm
@AlhajiShabani-rq9vm 14 сағат бұрын
Umeshinda kushika sio ngumi
@SaidiNganzi
@SaidiNganzi 9 сағат бұрын
Mechi imeuzwa iyo msoudh kacheza chn ya kiwango
@ImaniMwakipesile-r9k
@ImaniMwakipesile-r9k 6 сағат бұрын
Mvimbisheni kichwa,kiduku,mwakinyo,dula wanamla mapema uyo mtoto
@ImaniMwakipesile-r9k
@ImaniMwakipesile-r9k 6 сағат бұрын
Kidu twanga uyo mtoto hanaadabu
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 3 сағат бұрын
Mwakinho sio level zako, ww hata Mandonga atakukalisha
@AlhajiShabani-rq9vm
@AlhajiShabani-rq9vm 14 сағат бұрын
Bado sana asamahere babu kubwa unasifiwa ujinga
@safariboniphace5659
@safariboniphace5659 23 сағат бұрын
Shauriyako utatambawikimoja
@AlhajiShabani-rq9vm
@AlhajiShabani-rq9vm 14 сағат бұрын
Mkamataji uyo
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 12 сағат бұрын
Mmehonga msouth ili apigwe
@MusaJuma-y6s
@MusaJuma-y6s 9 сағат бұрын
Yani mwakinyo apigane nawewe DU labda uote tu usiku
@MaguguStore
@MaguguStore 17 сағат бұрын
Mwakinyo hawezi pigana na uchafu kama huuuu, mwakinyo hakumbatiwii anakutoa meno na kukuvunja taya...
@HajiHaruna-xi9zj
@HajiHaruna-xi9zj 56 минут бұрын
Bondia kama mwanake kukumbatia
@JosephLaizer-o7u
@JosephLaizer-o7u 23 сағат бұрын
Dogo sawa unaweza ila Ongeza Nidhamu ili ufike mbali zaidi muangaliee MTU kama Hassani Mwakinyo mafanikio yake yametokana na nidhumu ya hali ya juu aliyo nayo
@JumaIddi-o6f
@JumaIddi-o6f 17 сағат бұрын
Ana nidham gani
@MusaJuma-y6s
@MusaJuma-y6s 9 сағат бұрын
Frenki kapigwa acheni dhuluma rudieni klipu muone frenki kapigwa kama asingetumia mbinu ya kumshika asemale frenki angekufa
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 10 сағат бұрын
Mdomo vipi!😂
@MaguguStore
@MaguguStore 17 сағат бұрын
Viongozi kuweni na hekima na ngumi hazipo hivyooo ...huyo dogo ni mweupe sana anakumbatia tuuu
@ogdosho93
@ogdosho93 23 сағат бұрын
Asemale watu wrefu wanamsumbua kwanzia round ya 1 mpk ya 5 frank kascore ila round ya mwisho frank alichoka na kukumbatia ni technic za mchezo
@BashiruAthumani-c6y
@BashiruAthumani-c6y 17 сағат бұрын
HAJUI NGUMI HUYO MUOGA ALIKUA ANAKAMATA TU
@allysaleh2220
@allysaleh2220 19 сағат бұрын
Fight ya kununua hiyo mnatupigia kelele huyo Frenk mtamponza coz bado ni novice kbx yani
@mokitaa8750
@mokitaa8750 14 сағат бұрын
Kafuta aibu kwa kukumbatia mtoto wakiume
@MusaJuma-y6s
@MusaJuma-y6s 9 сағат бұрын
Bondia wetu kapigwa tunabebwa
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 10 сағат бұрын
Dogo bado sana kimziki hujavunja ungo!!
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 10 сағат бұрын
Dogo hajielewi 😂
@OyaoyaZumbee
@OyaoyaZumbee 20 сағат бұрын
Mmebebwa tyuu
@bongo39
@bongo39 18 сағат бұрын
Huna uwezo wa kumpiga mwakinyo hata akitoka usingizini dada ulikuwa unakumbatia tuu umepewa ushindi wa kupendelewa sie watanzania pia tumeona umupewa ushundi sii halali ila yasije kuwafika nyie nchi za watu mkaanza kulalamika
@safariboniphace5659
@safariboniphace5659 23 сағат бұрын
Wanakutia ujingawatakuua
@eliahmwakibolwa4516
@eliahmwakibolwa4516 14 сағат бұрын
Kamdomo hako
@husseinmwanga
@husseinmwanga Күн бұрын
Mtoto anachonga tj hamuwezi Asemahle round ya mwisho anakumbatia tu dogo huyo
@ChepaSaid
@ChepaSaid 17 сағат бұрын
Dog bado san
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Marmok
Рет қаралды 2,8 МЛН
Aliyeng'oa  viti huyu hapa
1:59
Kipanya33
Рет қаралды 48
GB 64 KA-KAMDOMO KAMEWAPONZA SINGIDA BLACK STARS, KAMEPEPERUSHA 100M
9:42