Пікірлер
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 минут бұрын
😮 YAANI HUYU JAMAA MUNGU NISAMEHE
@EvaNdayishimiye-n5o
@EvaNdayishimiye-n5o 4 минут бұрын
Huyu jama yamidomo lama nguruwe mbona anasema mambo yayanga mbona alisema yanga atafungwa leo anasema nini
@Fatherjaybadmaan
@Fatherjaybadmaan 5 минут бұрын
Kukanuni?? 😂😂Acha ujinga wew
@naftalisiuhi3186
@naftalisiuhi3186 8 минут бұрын
Huna akili kama sura yako mbaya sio kila mtu anapaswa kuchambua mpira
@SalimuHamisi-k6n
@SalimuHamisi-k6n 20 минут бұрын
We mvhumbuz wa hivyo kabis
@MwajabumzeeMtitu
@MwajabumzeeMtitu 25 минут бұрын
Kaka ku.buka kure ungenini
@marcobulili4341
@marcobulili4341 30 минут бұрын
Wew huna lolote ukolo umekukwama! Unaisakama yanga kama umeimwa nyigu kwa mdomo
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 58 минут бұрын
Fondo ni duka achunguzwe
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 5 сағат бұрын
Kwa kamkwepa rais, kaenda Kwa Wambura Kwa maswali yake ya hovyo hovyo!
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 5 сағат бұрын
Huyo jamaa huwa ana maswali ya kitoto!!!
@UkhtyFey
@UkhtyFey 7 сағат бұрын
Naitaji kazi nipo mkoa kagera
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 Күн бұрын
Mbn hapa dar wakati anafuta point tatu aliwapasua😂😂
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 Күн бұрын
Ibenge kafuzu atapanga chekechea. Kwan Kwan Ibenge asingefuzu mungetoka nyinyi alishawapasua mara mbili
@AlfredBowa-b8r
@AlfredBowa-b8r Күн бұрын
Unawajuwa wananchi wewe washakwambia kufungwa kumekwisha Kila mmoja atapata anachostaili kupata ubwera umekwisha onekana
@IddyNchama
@IddyNchama Күн бұрын
amini yanga ya wananchi atawapasua hao wote amini hivo inshallah
@ferouzsirntana
@ferouzsirntana Күн бұрын
Mchezo wa ngumi umeanza kuwa na machawa tyr
@WissaMusa
@WissaMusa Күн бұрын
Yanga ni mbabe anachukua point 3, bila wasiwasi
@jonathantimani6394
@jonathantimani6394 Күн бұрын
hiyo haina mashiko bwege ww,, kwn yanga wao hawawez kufanya hivo???
@AndrewSwai-hn1ru
@AndrewSwai-hn1ru Күн бұрын
Madata Mbons bafo kijsna .. unskula vyskula vilivyopikwana mafuta ys Pamba..nimeishi Missungwi ..nakujua zama hizo
@BarakaNtale-xe3hx
@BarakaNtale-xe3hx Күн бұрын
❤❤❤❤❤ brother
@EvaNdayishimiye-n5o
@EvaNdayishimiye-n5o Күн бұрын
Hayakuusu wewe
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 күн бұрын
Sasa kwenye kombe la looser calculator ya nini? Kundi lina timu haina pointi hata moja, wewe unaona kuna kundi la ushindani hapo?
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 18 сағат бұрын
Ilo combe ndo limekufanya utoke kuzimu na point ukakusanya ad fainaly
@SOPHIASALUMU-u3b
@SOPHIASALUMU-u3b 2 күн бұрын
We mtangazaji acha uchawa yanga hawana ujinga wako
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 2 күн бұрын
Uko sahihi kabisa, hatutaki kutembea na calculator sisi. Ushindi nilazima Simba juma pili
@robertzamani5612
@robertzamani5612 2 күн бұрын
Yanga hawana mgogoro na Costal huu mgogoro ni wa Simba na Costal union
@robertzamani5612
@robertzamani5612 2 күн бұрын
Yanga hawana mgogoro na Costal huu mgogoro ni wa Simba na Costal union
@othmanomary7224
@othmanomary7224 2 күн бұрын
Anashika kila wakati kama ngumi za kike.
@davidthobias9578
@davidthobias9578 2 күн бұрын
Wasimamiz wa mpira ndo tatizo
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 күн бұрын
Kisugu pamoja wanbie
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 күн бұрын
Yaaani mi ningelikuwa Wambura ningemuwamba vibao
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 күн бұрын
Hakuna mtanzania mwenye akili tope kama wewe mwandidhi
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 2 күн бұрын
Hata kama Fei ataenda Simba ,Kwa muda huu familia haiwezi kusema maana Bado yupo Azam, mambo hayo Yana mtego, angalia anavyojibu Kwa kukwepa, ukweli utafahamika mbele
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 күн бұрын
Huyu MWANDISHI BICHWA TOPE KWELIII KWELIIIII YAANI
@acariusamos6228
@acariusamos6228 2 күн бұрын
Lawi amuna jipya japo kwa yanga ya bundasliga
@JulianDionise
@JulianDionise 2 күн бұрын
poa nimawazo ila tuchunguze kwanza
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 2 күн бұрын
Huyu mwana habari analazimisha vitu ambavyo havipo.
@lusanalusana-o3h
@lusanalusana-o3h 2 күн бұрын
Kama mlivyofanya kwakagoma hivohivo tutafanya
@robertzamani5612
@robertzamani5612 2 күн бұрын
Yanga hawajamtaka Lawi ila waandishi ndio wanaosema
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 2 күн бұрын
Huyu mwandishi nae ni kiazi mchezaji anacheza leseni amepewa na TTF nashangaa mwandishi analazimisha kesi.
@kolosii4351
@kolosii4351 2 күн бұрын
Hili jamaa domo pana kama simba.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 күн бұрын
Sasa wewe mwandishi c uwaulize viongozi wa Simba?unalazimisha baba Fei Toto aseme. Huyo baba fei toto ana akili sana mwandishi acha ujinga wako
@EVALINAJames
@EVALINAJames 2 күн бұрын
Simba hamna kuachia mtu
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 2 күн бұрын
HUYU MTANGAZAJI ANAKUWAGA NA USIMBA SIMBA SANA
@SaidJumanne-j1e
@SaidJumanne-j1e 2 күн бұрын
HUYU MTANGAZAJI ANAKUWAGA NA UYANGA UYANGA SANA
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 2 күн бұрын
Hii TFF ni chanzo cha matatizo mengi yanayo ikabili soka letu. Wana mambo binafsi mengi mno na wana vilabu vyao pendwa na vile visivyochaguo lao.
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 2 күн бұрын
TFF UWAULIZE HABARI ZA SIMBA ? HAO SI KITU KIMOJA ?
@AllyKarupa
@AllyKarupa 2 күн бұрын
Tatizo waandishi mnaongeasana mpakalaza ya hari hinakwisha
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 күн бұрын
Wanyanganywe point hao wavunja viti.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 күн бұрын
Mnamtisha mwandishi au mnaogopa kunyanganywa points nyie mikolokolo?😅😅😅😅😅.
@RashidiMwiga
@RashidiMwiga 2 күн бұрын
Mnapenda vya bure sana nani Anyang'anywe point? Viongozi wa TTF wanajielewa sio kama wale wa mgongo wazi Kila kesi wanashindwa.
@taseleli9181
@taseleli9181 2 күн бұрын
Yaaani akili za utopolooooooo ni Utopolooooooo tu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 2 күн бұрын
akuna simba kulegea nilisha sema simba walisha jua muda sana kua viongozi wa yanga waliusika katika dili la lawi ili dirisha dogo wamchukue lakini makachero wa simba wako makini na ana julikana vizuri sana
@lusanalusana-o3h
@lusanalusana-o3h 2 күн бұрын
Naatakuja
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 2 күн бұрын
Jamaa Toka mkuu wa TFF amtoe balu, sasa kahamia kwenye vilabu kuwachonganisha!!!!
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 күн бұрын
ACHA UZUSHI WEWE,MIKIA FC MLISHINDWA KULIPA PESA KWA WAKATI KUTOKANA NA UHUNI WENU,NYIE SIO WAGENI HATA KWA KMC MLITAKA KUWATAPELI KWA AWESU
@NyamegaMohende
@NyamegaMohende 2 күн бұрын
Walegeze wasilegeze, maamuzi yako ktk timu yake na mchezaji.
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 3 күн бұрын
Kamata mwandishi weka ndani afunguliwe kesi ya uzushi aachishwe kazi mara moja.
@ibrahimuakwilombe
@ibrahimuakwilombe 3 күн бұрын
Mwandishi hovyo kabisa