ALIETENGENEZA HELIKOPTA YAKE, AMEBUNI GEREJI INAYOTEMBEA NCHI MBILI

  Рет қаралды 39,075

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@begaca
@begaca 6 жыл бұрын
Kama Unawakubali WATANZANIA KWA MAAJABU GONGA LIKE KWA SANA
@mansakan9719
@mansakan9719 Жыл бұрын
Big up Engineer 👏👏
@charlesowuor7939
@charlesowuor7939 6 жыл бұрын
Serikali serikali jamani huyu jamaa afunguliwe Chuo azalishe mainjinia huyu jamaa ni mtaji mkubwa kama serikali watamsimamia aise wonderful
@seojunkoomrkirangi4231
@seojunkoomrkirangi4231 6 жыл бұрын
Charles Owuor nikwel kabisa
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 жыл бұрын
Nikweli kabisaa kaka yangu mtu muhim sana
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Yani nikweri kabisa maashallah
@richardphilipo312
@richardphilipo312 6 жыл бұрын
#bora uwe kivyakovyako tu...... kuitegemea serikali utakufa masikini.... weka lk hpo
@furahiakamwela8136
@furahiakamwela8136 6 жыл бұрын
umetixha mzee kiujumla nakukubali kinyama Furahia boy pande za Tunduma boda
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 6 жыл бұрын
Kawaida kwa kijana mpambanaji kama wewe lazma maneno yakijinga hayakosekani lkn ushauri wangu mimi pia kama kijana kwanza hongera na pia endelea kuwa mbunifu Mungu akuongoze ufanye makubwa zaidi ushauru mzuri kamaunauwezo nao ufanyie kazi majungu fanya kama umeambiwa na katoto kamiaka 4 ntakupiga yani puuza mana kkupiga hwezi fanya yamaana mpaka wakose lakusema God is good all the best broo!
@immanmapumba5461
@immanmapumba5461 3 жыл бұрын
Watanzania tunaweza tutiane moyo vipaji vipo singer one gong like bas
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 6 жыл бұрын
Wow 😮 big up bro
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 Жыл бұрын
TANZANIA YA KIMENDE SANA HII, MI NAWEZA KUTENGENEZA PENSELI LAKN SITAK NITAAMBIWA HAINA UBORA
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Maashallah maashallah kaka
@beatusnichombe8096
@beatusnichombe8096 3 ай бұрын
Kuzuia ubunifu wa mtu mmoja Ni kupoteza kipaji na kupoteza Halo ya mtu na Ni kupoteza mahitaji ya watanzania kiujumla n.k.....,Ni vyema kumuongezea ujuzi uliokosekana hapo tutakuwa tunakuwa kiuchumi na kiteknolojia
@hashimumtamike3607
@hashimumtamike3607 6 жыл бұрын
Dah mkuu umetisha Sana hongela Sana
@adamzachariakinyekile6948
@adamzachariakinyekile6948 6 жыл бұрын
Hashimu Mtamike asante mkubwa maombi yenu vitu vipya vya kwetu vinakuja
@zephaniahkinuno7473
@zephaniahkinuno7473 5 жыл бұрын
Wataalam wa mambo ya anga hawakutenda haki kwa huyu jamaa, huwezi fanikiwa bila majaribio, wabunifu afrika wapo but kubanwa ni kwingi sana, kwa style hii bongo tutabaki kushabikia technology ya wazungu huku ya kwetu tukiiua wenyewe!!
@hellenamasinjisa5448
@hellenamasinjisa5448 4 жыл бұрын
Du nimefrahi Sana Tanzania tunaweza ndio maana wanatupiga Vita watu weupe
@muniraahmed624
@muniraahmed624 6 жыл бұрын
kiukweli jamaa anaiwezo awezeshwe tu maana serilkali hii inaangaliaga tu makosa ya wa2 lakin vipaj hawavionagi😭
@kuryan_tv5726
@kuryan_tv5726 6 жыл бұрын
mobile garage genius idea
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 6 жыл бұрын
Jamaaa konki konki konki FUNDIIII
@ramadhanseif4564
@ramadhanseif4564 6 жыл бұрын
Umetisha sana fundi
@saadsalum3253
@saadsalum3253 6 жыл бұрын
ukiskia pambana na hali yako ndio hiyo usitegemee at maisha bora hapana
@beatusnichombe8096
@beatusnichombe8096 3 ай бұрын
Du! Tanzania tumejaliwa vipaji vingi kikubwa tuviendeleze hapahapa tusiende kuongeza ujuzi sijui China kinachotakiwa waje watuongezee sio tuwafuate huo Ni utumwa na kupoteza vipaji vyetu
@amosimwiko6440
@amosimwiko6440 6 жыл бұрын
hongera San mr
@adamzachariakinyekile6948
@adamzachariakinyekile6948 6 жыл бұрын
Amosi Mwiko asante
@saimonmgeta5239
@saimonmgeta5239 6 жыл бұрын
Du! kaka Mimi pia ni fundi magari motor vehicle machanic kumbe tunaweza kuunda hata bombardier Hebu nipe mawasiliano yako ili tufanye jambo
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 6 жыл бұрын
Hongerasana pia serikali jamani imuone huyu baba ili vijana wengi wakajifunze wapate ajira
@claudbony9672
@claudbony9672 6 жыл бұрын
We ni noma
@HasifuShaibu
@HasifuShaibu Ай бұрын
Hiki ni kipaji cha ajabu
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mashaalah
@mafiatyty804
@mafiatyty804 6 жыл бұрын
Jamaa ametisha
@kachawakikazi1217
@kachawakikazi1217 6 жыл бұрын
uyu konk konk konk fundi sijafaamu ni kabila gani ila naamini kama angekua ni mchaga basi ange andaliwa tuzo yyt tu maana wachaga kwa kupenda tuzo ni bayaa😂😂😂😂😂😂
@jaycee9067
@jaycee9067 6 жыл бұрын
Genius.
@2003silla
@2003silla 6 жыл бұрын
kwer huyu jamaaa ni engineer
@raphaelsanga6523
@raphaelsanga6523 6 жыл бұрын
Safi Adam garage inayotembea
@fahadfahmy
@fahadfahmy 6 жыл бұрын
sikuzote nchi masikini hua wanatokea wabunifu wazuri
@edrickniwamanya439
@edrickniwamanya439 6 жыл бұрын
Wanatufaha sana watu kama hawa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 6 жыл бұрын
Ubunifu mzuri!
@shindanopapaya2084
@shindanopapaya2084 6 жыл бұрын
Hili jamaa jinga sana amka amka kaka hii ni awamu ya 5 nakushangaa sana yaani kama unaishi msituni tafuta number za viongozi wa juu kama vile JPM, Waziri mkuu Makamu wa rais mama samiya na hata wakuu wa mikoa achana na hao watu wa mitandao ya kijamii hawana mchango wa maana kwako au fanya juu chini uwasiliane na JWTZ hawatupagi vipaji kama hivyo lazima watakuendeleza zaidi.
@ahmedmsangi1653
@ahmedmsangi1653 6 жыл бұрын
Kawaida kwa kijana mpambanaji kama wewe lazma maneno yakijinga hayakosekani lkn ushauri wangu mimi pia kama kijana kwanza hongera na pia endelea kuwa mbunifu Mungu akuongoze ufanye makubwa zaidi ushauru mzuri kamaunauwezo nao ufanyie kazi majungu fanya kama umeambiwa na katoto kamiaka 4 ntakupiga yani puuza mana kkupiga hwezi fanya yamaana mpaka wakose lakusema God is good all the best broo!
HII NDIYO HELIKOPTA ILIYOUNDWA ZANZIBAR
10:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 823 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 16 М.
KUTANA NA KIJANA WA DARASA LA SABA ALIYEUNDA HELIKOPTA
8:38
Mwananchi Digital
Рет қаралды 385 М.
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН