Рет қаралды 69,314
Tommy Flavour amethibitisha kuwa mapenzini na mrembo @officiallyyn na kudai kuwa uhusiano wao una miezi kadhaa sasa. | Pita KZbin kwenye channel ya CLOUDSMEDIA tumekuwekea full interview ya @officialalikiba na @tommyflavour kwenye #XXLCloudsFM leo.