ALIKIBA ALINI-BLOCK NA MIMI NIKAM-BLOCK| NAMPENDA ILA NIMEUMIA SANA | KWANINI MIMI TU? - ESHA BUHETI

  Рет қаралды 69,493

Dina Marios tv

Dina Marios tv

Күн бұрын

Пікірлер: 151
@lapozzydone5203
@lapozzydone5203 2 жыл бұрын
ESHA buheti una pozi za kidamwani..(I like it) Yani unaonekana mwanamwali na pozi zako Mashallah
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Nampenda sana uyu Dada, Allah akulipe kher inshallah 🙏
@lovenessferdinand3664
@lovenessferdinand3664 2 жыл бұрын
NapenDa. AnavyoOngea 🥰
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
@@lovenessferdinand3664 Me too 💕
@familyc7917
@familyc7917 2 жыл бұрын
KwangwaGod kzbin.info/www/bejne/jpWZeGuYab5knKs
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 жыл бұрын
Mimi nilikuwa mjinga kama Esha nawapenda marafiki kama ndugu 😏😏😏 sasa nikaenda kuishi nchi za watu nimejifunza kupenda ndugu zangu na familia yangu marafiki baadaye.
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 2 жыл бұрын
Nchi za watu zinatunyoosha na upole wetu wote unatuisha,, and 😄
@shakilakhamis2109
@shakilakhamis2109 2 жыл бұрын
sahihi mnooo
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 жыл бұрын
@@shakilakhamis2109 Halafu watu wanamnanga Eshe hawajui ukijitoa kwa mtu kwa moyo wa ♥ Halafu yeye anachukulia poa inauma na kukatisha tamaa
@lanafelix8649
@lanafelix8649 2 жыл бұрын
King kiba hataki mazoea👑
@firstlady9848
@firstlady9848 2 жыл бұрын
Mbaya
@abdalmalikalhsani4080
@abdalmalikalhsani4080 2 жыл бұрын
Han lolot ujinga to
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Ila pole sana 😢 😞 🙏 Esha Allah akupe nguvu
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 2 жыл бұрын
🤣🤣 huyu dada htr hebu mpe break Kiba. sitaki mwenziwe basi, angalia maisha yako
@omanphone3455
@omanphone3455 2 жыл бұрын
Masha allah masha allah masha allah
@leticiamadal2117
@leticiamadal2117 2 жыл бұрын
Uyu nae kila cku allykiba jaman 🤔 wooiii watu watakuchoka kheee Ally Ni staaa hapend shobo
@stuartkudeba
@stuartkudeba 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKubloeZrZWKsNk
@evodiamathias2542
@evodiamathias2542 2 жыл бұрын
Poleee da esha, nmeumia ulivyosema mama alshakufa baba umjui, unakosa pakutolea ya moyo I uliyonayo poleee sana dadaangu
@Halal_akhy
@Halal_akhy 2 жыл бұрын
Dina umeongea point kabisa love 💘 without expectation .upo vizuri umeweza kusoma situation kwa haraka
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 жыл бұрын
Usilazimishe mtu akupende Esha, rafiki hatafutwi anakuja mwenyewe, tena mshukuru mungu hata usipokuwa na marafiki wengi, Ali Kiba achana nae wala usimzungumzie popote dada utaonekana kituko mbele za watu, muombe mwenyezi mungu akupe marafiki wema inawezekana tu, na usiweke kila kitu mitandaoni
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
@RubbyMusa Umesikiliza uhelewe au u-comment? #Esha anajua alipokosea na tayari amesema yote, atakayeendelea kumlaumu Ally hapa anachukizake bifsi..
@clementsemizigi7150
@clementsemizigi7150 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@hanifamajid6964
@hanifamajid6964 2 жыл бұрын
Dina jaribu kucontrol hiko kipindi,kelele za hao wenzio zimekuwa nyingi sana..japo unajitahidi sana kuwarudisha kwny mstari
@mysaramohamed4832
@mysaramohamed4832 2 жыл бұрын
Esher ni kwanin unapenda kumuongelea Kiba hivi hujiulizi toka umeanza kumuongelea kwanin Kiba hakujibu?Unatuchosha mashabiki zako na unatukera cyo siri
@sifatrajab7055
@sifatrajab7055 2 жыл бұрын
Me navoona wanapanga na ally bwana ilituaongelewe
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Huyu dada moyoni anampenda sana alikiba anatamani angemuoa sema anaogopa na alikiba sio hadhi yake anaona kuwa nae awe mke wake anamchukulia kama dada ake tu mshikaji rafiki mtu wa kawaida hana mahusiano naye hisia kimapenzi Ndio maana esha buheti kila wakati anamtaja alikiba
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
@@fredrickmatiku7783 inaweza kuwa ukweli labdha amekuwa na hisia na kiba, sijamsikia akimtaja mumewe wala kumsifia mumewe
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 2 жыл бұрын
Kuwa muwazi unachotaka Kwa kiba
@jastinimushi5992
@jastinimushi5992 2 жыл бұрын
Acha kihehere bana we tulia upike na kupakua sawa dada
@nairaboti3181
@nairaboti3181 2 жыл бұрын
This is meeee....but sijuti...it comes bak in another way....Mungu hanitupi alhamdulilah
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
ESHA anaumia sana kuhusu alikiba yaan alimpenda alikiba lakini kiba anadharau sana
@haibahassan1244
@haibahassan1244 2 жыл бұрын
Kwani Lazima jamani 😃🤣😂😂😂ana mkewe ali embu mumuache kaka wawatu
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 2 жыл бұрын
Ndio inakuwa hivyo
@LovelyRacingHelmet-iv6ti
@LovelyRacingHelmet-iv6ti 2 ай бұрын
Ali ni mkigomo OG, sio kwamba Ana tharau ndio necha ya waha
@nathaliashayo3289
@nathaliashayo3289 2 жыл бұрын
Esha pole sana,ila hii dunia,huwezikutafuta kupenda nawatu ukapata amani ila utalipwa maumivu tuu,cha muhimu nikumpenda Mungu zaidi,ili naye akupende sanaaa,,ila upemdo kwa watu usiaçhe kuwapenda ila usitarajie upendo wake,ukijua hilo waweza kujifariji,kwa kuishi kwa furaha,na Mungu atakuwezesha kuyasahau machungu na kashfa upitiazo.Asante mim Natalie
@JosephMutambala
@JosephMutambala 2 ай бұрын
I love you Esha ,kama shabiki
@lanafelix8649
@lanafelix8649 2 жыл бұрын
King kiba hana kiki
@baghat12lodi67
@baghat12lodi67 2 жыл бұрын
Jamani huyu dada anahistoriya kama yangu naomba namba zake jamani
@helenkambi3918
@helenkambi3918 2 жыл бұрын
Asha usijali ni shaa Allah Allah ataleta kheir wewe bado ni family ya Ali Kiba
@veronicawilsonmbwambo1054
@veronicawilsonmbwambo1054 Жыл бұрын
Tende wema nenda zako, Mungu ana kulip Kwa sababu hayo maisha uliyo nayo ni Kwa sababu hayo unakutokea
@mkudemohammed1301
@mkudemohammed1301 2 жыл бұрын
Basi esh msamehe king wetu kila siku unamzungumzia kiba mashabiki zake tupo ila sas tutakuchoka the only one king hana baya hapendagi shoboooo we zunguka kila siku kweny media tutakuchokaaaa?
@lanafelix8649
@lanafelix8649 2 жыл бұрын
King kiba hataki kina kigagula na hujalikwa shilole
@jumakibe5032
@jumakibe5032 2 жыл бұрын
Nakupenda Hesha
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 жыл бұрын
#Esha anajua alipokosea na tayari amesema yote, atakayeendelea kumlaumu Ally hapa, basi anachukizake binafsi... period
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
Acha kumuongelea kiba.zungumzia family yko.au unamtakaaa?kiba wake amina..tatizo da esha ww mropokaji sana kijidomo kidogo afu maneno mengi kama dr kumbuka🤣🤣🤣.afu uko full stress maskn ustar kazi pole weeeh.ila ni mwanamke wa SHOKA.💟👌🙌unapiga kazi.ILA SWEBE🙌🤣🤣🤣ETI HYO SI MBEA
@safiyamohamudadan6526
@safiyamohamudadan6526 2 жыл бұрын
wambea hawa yote hayo ni kutaka kumsema Ali kiba
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
Umekosea kuongea ktk media kuw hujaalikwa ktk harus yake ukapewa orda unasema haji kula kwako yaan naropoka vitu vya private so ulitakiwa unde private sio media ndioman alikublock maan ukiwa una kitu ungemuuliza sio hivyo ww ndio umemosea ba Ally Kiba hapendi unafiki maisha yake
@leilaachmed9271
@leilaachmed9271 2 жыл бұрын
Kulalamika kila ukikutana na wandishi wa habari mara hajanialika mara kaniblok mara hanilipi bili za chakula huchoki kumkashifu kwanini usimwongele mume wako na biashara zako wewe sio mstarabu umetumwa
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
Umewaza kama mie ,analalamika hadi anachosha, sijawahi kuskia akimsifia mumewe wala kumuongelea
@rosetembe3785
@rosetembe3785 2 жыл бұрын
Ebu mwacheni bas kiba,umeshakula block Nini Sasa,afu kiba akiwajibu mwalalama mwaka
@esthermwae9993
@esthermwae9993 2 жыл бұрын
Huyu dada nampenda Sana Pia.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Nyele 👌🏽
@yussufamour6567
@yussufamour6567 2 жыл бұрын
Very funny Dr, kumbuka no one like u unakipaji ubarikiwe 🙏
@l.m.a.7570
@l.m.a.7570 2 жыл бұрын
Iam sure he is not the only one Who s blocked you lakini kwa kuwa ni ali imekuwa issue naona umetumwa nenda psychology wakusadie una matatizo ya mume wako kuzaa na rafiki yako
@justinenishimwe9077
@justinenishimwe9077 2 жыл бұрын
Umeona dear eeeee nishida sana wanadamu
@susanejd7775
@susanejd7775 2 жыл бұрын
Umenena vyema mtu hulalamika kwa ajili ya mumewe lkn yy kila siku lawama za ali kwa kifupi anachosha. Dada mzuri lkn hajielewi masikini
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 2 жыл бұрын
Eshe umezidi acha hadithi za kiba kutwa kukicha unahadithi juu ya Kiba. Mwenzio ka kaa kimya bila hata kukutaja. Umezidi bi dada tulia dada. Sura ka ndimu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Kaulizwa sasa afanyaje?
@spreadlove5300
@spreadlove5300 2 жыл бұрын
@@saumusalimuhassan2499 Shangaa mtu kaulizwa na kajibu ila wanavopenda ku judge tayari yanawatoka utasema wamekamilika
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
@@spreadlove5300 Kwanza alisema hataki kuzungumzia hili, kalazimishwa, sasa afanyaje waja 🙌🏽
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 жыл бұрын
Huyu nae kila siku alikiba una lako mim kiba kama famili kwani famili mna watu wazima lazima uje kwenye media
@fatumakassim64
@fatumakassim64 2 жыл бұрын
Apo sasa wanapenda kiki za kisenge
@ostakiambilinyi1270
@ostakiambilinyi1270 2 жыл бұрын
Kumbuka mungu anakuona
@africatoday861
@africatoday861 2 жыл бұрын
Kumbuka kama mkoleza manenoo....mweeeeeeh mtu anaongea anadakwa .....jamani plz plzzzzzz....Kumbuka mxiiiiiuuuu
@saidmwinyi7062
@saidmwinyi7062 2 жыл бұрын
Huyu anachoshaaa ingekuwa mimi mbona angejiulizia yy hebu na atulize mdomo kazi yake kusemaa tuuu ajifunze kunyamaza kama MARTHA MWAIPAJA
@noelasamugabo5135
@noelasamugabo5135 2 жыл бұрын
Esha mimi nakupenda sana usiwaze kuishi mwenyewe tupo watu tunaokupenda
@pinkyg8861
@pinkyg8861 2 жыл бұрын
Unatabasam zur dada yangu
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 2 жыл бұрын
Uyu Esha yuko na tatizo zingine. Kisha anatembeleya jina ya KingKiba. King kisha vuka mpaka jamani.
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 2 жыл бұрын
Uyu nae nyanya rukia
@makambapromise3495
@makambapromise3495 2 жыл бұрын
Kwl anachosha
@jumajay8496
@jumajay8496 2 жыл бұрын
Tatizo lako unamzungumzia mtu hadharani tena kwenye social media tv show thats not right kama muislamu ukihisi mtu kamekukosea onana nae face to face kuliko kumzungumzia mtu hadharani wakati hakuna solution zaidi ya kuwafaidisha na kujenga chuki na unae mzungumzia wakati HAJAKUKOSEA.
@jumakauga2592
@jumakauga2592 2 жыл бұрын
Mi kiukweli da esha point zake kwa Kiba bado hazijanishika nikaelewa, maana sijawahi sikia Kiba wala familia ya Kiba ikimsema vibaya esha, sasa anaposema kwamba hana mazuri yanasemwa mabaya lini alisemwa? Au anaishi kwa maneno ya watu wa insta?
@chenterywanda8918
@chenterywanda8918 2 жыл бұрын
Unipendi......sinakaa mbali na wewe akinipenda Mama/ Baba inatosha
@Matiherbalist
@Matiherbalist 2 жыл бұрын
Kweli anapenda kulalamika kwa kila kitu .
@swidatyomar7963
@swidatyomar7963 2 жыл бұрын
uswebe na kumbuka nyamaza jamn tumsikilize eisha😄😄
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 2 жыл бұрын
Mi naona kilichomuudhi Kiba,ni kukimbilia kwenye media tena kwa adui yake kwenda kumcma,ungefikiria kwanza,ulikurupuka.
@lucycornel5307
@lucycornel5307 2 жыл бұрын
Kumbuka na uyo mwenzake wanamautani too much adi wanaboaa..
@Ikkiyoongi
@Ikkiyoongi 2 жыл бұрын
Ww mwenyewe esha umeniblock insta japo sijaku follow🤣🤣🤣🤣🤣
@dotogiving9293
@dotogiving9293 2 жыл бұрын
jitu zima unaforce u star
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 2 жыл бұрын
Ila jamani kumbuka anajua kujipendekeza jamani eti alimtaka Dinna pia daaah😂😂😂👐👐
@vivianlucas6389
@vivianlucas6389 2 жыл бұрын
Jmn mbn hajaongea kitu kibaya Dada wa watu
@dullyzungu536
@dullyzungu536 2 жыл бұрын
Wewe usimpende ila sisi twampenda
@stuartkudeba
@stuartkudeba 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKubloeZrZWKsNk
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 жыл бұрын
Naumeimaliza kopo lote la poda kwajinsi ulivyojosiliba uson🤭
@fatumakassim64
@fatumakassim64 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀nilijua nimemuona mimi kumbe adi wew
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 жыл бұрын
@@fatumakassim64 kwakweli wanajialibu ngozi zao🤌🏽🤭
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 2 жыл бұрын
Ushatuambia sasa Ali alikula chakula bure 😅😅😅😅😅😅
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 2 жыл бұрын
Dada Eshaa hapo umefika.leo mbavu zangu mie huyu kiba achan nae dadaangu ananyodo yulee kama nin
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 2 жыл бұрын
Huwishi kulalamikaa au ashakurambaaa usituxhezee akili
@masterkeymuzik
@masterkeymuzik 2 жыл бұрын
Kiba mpende mwenyewe
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 жыл бұрын
Makubwa unalazimisha upendwe?!
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 жыл бұрын
Kumbuka nae punguza mdomo utaharibu kipindi mengine sio yakuropoka hovyo
@irankundasolange4822
@irankundasolange4822 2 жыл бұрын
Kwani analalamika je?waandishi ndo wanamuuliza sasa atakosa kuwajibu?acheni upovu
@cuteniluu6612
@cuteniluu6612 2 жыл бұрын
Huyu esha wallah najiona mimi ila nataman tungekua marafiki
@sophiabryson2735
@sophiabryson2735 2 жыл бұрын
💖
@rehemadaudi742
@rehemadaudi742 2 жыл бұрын
Hao wakaka wanakera da
@chawahirelmymashlalltaabar4949
@chawahirelmymashlalltaabar4949 2 жыл бұрын
Yaani huyu dada unaongea hujibiwi duuh sister mind you business we are 2022 madam
@nurumbonde5341
@nurumbonde5341 2 жыл бұрын
yaan Kumbuka eti Swebe ntakupiiiga unavyoitamka sasa daaah hahahahahaaaa
@yasinta.murobi
@yasinta.murobi 2 жыл бұрын
So sad kweki Mungu akikufanya daraja malipo yake ni kuchomwa miba yaani ndo kama mimi
@maakulat3292
@maakulat3292 2 жыл бұрын
Sure
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 2 жыл бұрын
Yaani kipindi kizuri lakini makelele ya kuingiliana yamezidi, too many people talking at the same time
@justinenishimwe9077
@justinenishimwe9077 2 жыл бұрын
Afu Esha kafanana NA jike chupa 😁😁😁dada mzuri saaana
@stuartkudeba
@stuartkudeba 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKubloeZrZWKsNk
@kimcash3079
@kimcash3079 2 жыл бұрын
Dinner unanenepa sana pungua kidogo ubadili na style ya nywele
@agathakijalo193
@agathakijalo193 2 жыл бұрын
Mmeanza mwache ajinenepe khaaaa
@zaynabmwanjovu8277
@zaynabmwanjovu8277 2 жыл бұрын
@@agathakijalo193 atapasuka mwenzio wew🤣🤣🤣...dina wacloyds uku simuon kabisa wallah,,hawa wanaongea bila mpangilio
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 2 жыл бұрын
MTU mzima ivyooo
@cynthiam184
@cynthiam184 2 жыл бұрын
Amefanana na fahyvanny
@bellaabu5726
@bellaabu5726 2 жыл бұрын
Viumbe wa wili si wa kunyanyaswa... Yatima na mwanamke.
@norahazan796
@norahazan796 2 жыл бұрын
Hahahaaa et mama nibebe
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
Dina na yule agrey shoga ni NDUGU?WANAFANANA
@annalubango9899
@annalubango9899 2 жыл бұрын
to much bd hajaenda clouds
@hellenbanda7089
@hellenbanda7089 2 жыл бұрын
😁😁😁
@naidasuleyman6005
@naidasuleyman6005 2 жыл бұрын
Mhhh huyu kumbuka sijui maneno anayatoga wapi.pakti la chumvii lol
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Sema seba nae anakela bhna km lichiz kuharibu kipind tu mfyuuu,anajichekesha km mwanamke malaya kaona not😏😏
@donathasimon9292
@donathasimon9292 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣Ila swebe na kumbuka. Siwawezi😂😂
@chynabongoo405
@chynabongoo405 2 жыл бұрын
Kumbe wa 90 ni wadogo heeee maana tunambiwa tumezeeka wengne
@hakizimananuriat8898
@hakizimananuriat8898 2 жыл бұрын
Yani nimejua dunia niko mwenyew mwenye matatiz ayo kumb typo wengi Eeh mungu tujaze subr wenye mitiani kam ya daa Eshe
@clementsemizigi7150
@clementsemizigi7150 2 жыл бұрын
Amin
@mariasilvana1857
@mariasilvana1857 2 жыл бұрын
Kwenye kila story kuna upande mbili wa story Kwa hiyo msemaji akiwa mmoja na mwingine hajaongea jua kuna kitu ktk hapo .
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 2 жыл бұрын
Swebe pole kumbuka anakuchimba jamani😂😂😂😂
@eugenentahomvukiye3539
@eugenentahomvukiye3539 2 жыл бұрын
Niko Kigali iyi Redio tuko pamojya
@saidmadizi9152
@saidmadizi9152 2 жыл бұрын
Shishi kwa mbali...
@khalidhamis5811
@khalidhamis5811 2 жыл бұрын
Watangazaji wetu wa kibongo nahis hawajui namna ya utangazaji kelele nyingi unaongea pumba tu sijui mnataaluma na utangazaji au laaaaa mpak huyo mnayemuoji anaona kelo hebu jilekebisheni bhna
@josephemmanuel388
@josephemmanuel388 2 жыл бұрын
Baba levo uyo
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Ivi kwann mm izi redio zingine uwa sizirewi yn azinamvuto km wasafi
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Ila dr kumbuka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣et Ana shapu km pakti ya chumvi
@neemakilingo8282
@neemakilingo8282 2 жыл бұрын
Mange alishasema Ali ukimdharau yy atakudharau Mara dufu!wewe uliona km unamkomoa kumsema vile kweny media ??Bora ukae kimya kwanza kuliko kila cku uwe unumuongea mtu Hana tym na wewe
@darlinmakuti5276
@darlinmakuti5276 2 жыл бұрын
Nimemuonea huruma jamani
@shaurimfungoni1772
@shaurimfungoni1772 2 жыл бұрын
Usiuze pombe my lov u
@stuartkudeba
@stuartkudeba 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKubloeZrZWKsNk
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 2 жыл бұрын
Huyo mume nadhani jina tu huna lolote jinga weqe sura kaaa….
@queenmilan2024
@queenmilan2024 2 жыл бұрын
Kipindi che u kelele. Hasa huyo mweusi na mapengo kama nyani. Hajui kutangaza ANAROPOKA SANA sijui ni uzee?
@saladaniel9274
@saladaniel9274 2 жыл бұрын
Hahahaha
@elisharaphael7529
@elisharaphael7529 2 жыл бұрын
Wanaume wanaongea kama Nini ,duu
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
Kumbuka eti waja wazito kama chuma cha jim
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Tangia lini kibakuli akathamini mashabiki zake ukimshanikia kibakuli nisawa nakipptezs muds
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,9 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA NAZI NA MAINI YA NAZI - UHONDO WA MAPISHI
15:58
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
THE THIRD TV
Рет қаралды 653 М.
TABIA ZISIZO ZA KAWAIDA KATIKA NDOA SEHEMU YA 5
47:28
BUSATI ONLINE TV
Рет қаралды 317
SIKILIZA HAPA KUNA CHA KUJIFUNZA
7:07
Dina Marios tv
Рет қаралды 10 М.
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 8 МЛН