King kiba ni mmoja tu hii dunia nyinyi kama mnawasanii wenu uko sawa lakini kwangu 1: king kiba 2:Kiba 3: Aly k for real 4: Tanzanian boy gentro millionaire table hoho Yooooo 5: AliKiba
@ElizabethMasitsa-pk9un2 ай бұрын
❤😂
@MafuruBM2 ай бұрын
Sauti ya alikiba ni ile ya kwenye wimbo, wengine wakiima live inakuwa bass. #King
@kingsmusicfans14162 ай бұрын
King anakiwasha tena kwa MPIGO ZAIDI🔥🔥 in JUMA AYO’s voice
@KarisBaya2 ай бұрын
Kiba amebarikiwa sauti zaidi ya wasanii wote tanzania 🇹🇿
@kelvinbernard40132 ай бұрын
Kuna vanillah kule ana hatar huyo
@NasriMohammed-yw7lp2 ай бұрын
Ni kweli
@eggysulle79882 ай бұрын
Hana mpinzan
@johnmwasilu70872 ай бұрын
Hamzidi Nandy au Ibrah
@LindaMbilinyi-n3n2 ай бұрын
Kbsaaa
@YusuphAmini-d7u2 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu yenye afya njema kiba
@mohammededy70862 ай бұрын
Sehemu akiimba kiba ata kama kuna msanii gan bas unaona msanii mwengine hajuw kuimba ila king
@dizzonofficial26002 ай бұрын
One of the fucking video of all time jay anajua kiba mpe nafasi broo unauwaaah sanaaaa❤
@idrisashelimo3072 ай бұрын
King 🇹🇿 kiba 🤴 🙌🏿 unajua 🙌🏿 unajua 🙌🏿 unajua 🙌🏿
@DavalsonMarlony2 ай бұрын
kwa live band kwa wanaume kiba ni mnomaaa wakike bibie Ruby ❤❤❤
@magrethmalobola54702 ай бұрын
Hapo Kwa Ruby....dada anajua sana unaweza rudia😂live show yake mara 10
@DavalsonMarlony2 ай бұрын
@@magrethmalobola5470 s ndyo sema tu sjui anafeli wapi yule mrembo
@moseskipaila3702 ай бұрын
Exactly hakuna hutata 🙌🙌
@meshackjackson28382 ай бұрын
@@magrethmalobola5470kwa Ruby kweli kbc
@allenonesmomwebembezi62482 ай бұрын
Aisee king ana sauti balaa❤❤❤❤
@boniphacefimbo55332 ай бұрын
King 💥💥💥
@HamisiMwazikeni2 ай бұрын
Nomaa king
@allyandonnesimbananiye88722 ай бұрын
Ku show love ni poa sana kwa sana.
@jacksondamian43472 ай бұрын
Sauti ya king niya mamlaka
@BarakaMagesa-x8e2 ай бұрын
king kama maji🤝
@BenDizzo-q1q2 ай бұрын
Yani ni 🔥 fire hamna kupoah kiba wewe utatuu ah jaman❤❤❤😂😂
@HamsKhaji2 ай бұрын
Ananikanda mabegani ananishika ba hpa aisee nomaa sana king❤
@ConfusedAlien-xk3sh2 ай бұрын
King kiba ni wa moto
@Paps-2542 ай бұрын
Alikiba wow!!!!
@edwinoduor24212 ай бұрын
Only one king.
@ireneimbuhira77592 ай бұрын
Yesssssssssssssssss King 🤴 🙌❤❤❤❤❤❤❤
@godfreysilayo75722 ай бұрын
Huu ni uwezo mkubwa sana kiba yaan kweny live performance huyu jamaa hakun anae msogelea
@fatmasayid88952 ай бұрын
kabisa❤
@Legends_Interviews2 ай бұрын
Mwamba huyu
@melvinkanje2 ай бұрын
The Goat 🇹🇿 🐐 the Greatest of all time 🔥🔥🔥🔥🔥🐐
@giftngailo54422 ай бұрын
Kingkiba
@emmanuelbundala24902 ай бұрын
Yeeeeeee babaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ni balaaaaaaaaaa zito
@salimurashidi79122 ай бұрын
😢😢😢😢😢 king aseee uyu mtu ni noumaaa kisenge
@NasriMohammed-yw7lp2 ай бұрын
Mungu amempa kpaji Alikiba
@AngelmackieCharity2 ай бұрын
Yani hata ukikataa kuyanywa utayachambia😅😅😅😅
@SuleAmber-lw2tx2 ай бұрын
Kiba aseeh kwanza ile yooh watu weweeeeeee 😅 sikia fundi anavoimba sasa hapo
@bonfacebonafide0122 ай бұрын
King 👑 🔥🙌
@MohamedShaaban-p8b2 ай бұрын
Diamond ajashindwa kuja anadharahu tofauti ya diamond na alikiba ipo diamond anadhalahu alikiba adhalau msanii yeyote
@Legends_Interviews2 ай бұрын
Na kuimba live hajui kwa iyo akiwepo kiba hawezi tokea😅😅😅😅