Alikiba Mapenzi YanaRun Dunia Live Performance For Stanbic Bank🔥(Credits: Via Crown Media)

  Рет қаралды 109,116

Tedd Agwa

Tedd Agwa

Күн бұрын

Пікірлер
@musamtili8489
@musamtili8489 6 ай бұрын
Hii ngoma Moja ni ngoma mia za diamond kwisha
@MadukaDaudi
@MadukaDaudi Ай бұрын
sure
@salimsaid2531
@salimsaid2531 Ай бұрын
Umeona
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 7 ай бұрын
The talent is on the stage, Alikiba is exactly the best star in East Africa ❤
@ShabaniMalange
@ShabaniMalange 3 ай бұрын
R. Kelly anajua mziki sana dunian akukosea kumchukua fund mwenzie
@lukasmnyethi5903
@lukasmnyethi5903 7 ай бұрын
Kwenye live perfomance huyu mwamba hatariii
@salimashur4518
@salimashur4518 7 ай бұрын
Munamsifia sana King kauaaa lakini BAND NA BACK UP IMEFANYA VIZURI SANAAAAA.. LIKES KAMA MUMENIELEWAAA
@AbdallaallyMrisho
@AbdallaallyMrisho 6 ай бұрын
True ❤
@denniskamau-ui1nw
@denniskamau-ui1nw 4 ай бұрын
King 👑
@DAUDCHUNDU
@DAUDCHUNDU 4 ай бұрын
Anaeimba ndo mmalizaji hata wapambane kiasi gan
@DAUDCHUNDU
@DAUDCHUNDU 4 ай бұрын
Anaeimba ndo mmalizaji hata wapambane kiasi gan
@naplousemukunzi10
@naplousemukunzi10 3 ай бұрын
Band and back up ali njoo kayitengeneza mwenyew Bado anaweza tu
@MickdaReally
@MickdaReally 4 ай бұрын
Alikiba moto
@godfreyotieno4982
@godfreyotieno4982 2 ай бұрын
Moto wa kuotea mbali...yani huyu bingwa simuonei mwenzake🙌🏼
@RajabuAthumani-t6m
@RajabuAthumani-t6m 3 ай бұрын
Hapa bongo Kwa live show hkna anae muweza alikiba hyu jamaa usje ukasubutu kpga nae live show anakfunika tuu utake ustke
@LucasJeremia-n5r
@LucasJeremia-n5r 7 ай бұрын
Kuna dada mmoja nimemuona katoa chozi jicho moja! Kweli hii nyimbo itaishi sanaa! Maana mapenzi yanatutesa wengi sanaa!! 🔥🔥 King kiba 🎉🔥
@ScolaAthanas
@ScolaAthanas 22 күн бұрын
Mpk wew
@jamesjohn1426
@jamesjohn1426 7 ай бұрын
Back voice wapo vzr
@AliILHAMMUTHONI
@AliILHAMMUTHONI 2 ай бұрын
I love you my namesake Ali mwenywe👑💯unajua vizuri you're the best akuna zaidi yko hawakufiki💯❤👑🎯
@omaryshomari7892
@omaryshomari7892 7 ай бұрын
King as the King kiba.... amaizing voice.
@Paps-254
@Paps-254 2 ай бұрын
Kubwa hii king 👑 👑 Kibaaaaaaaa MAFYAAA 🔥🔥🔥
@samwelmohonge4573
@samwelmohonge4573 3 ай бұрын
King kama king🎉🎉🎉🎉🎉
@SingleSevenMerchant
@SingleSevenMerchant 3 ай бұрын
One day I will understand every Swahili word... But this master peace giving vibe and I can't stop watching.... Love from Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@Mellissabahati137
@Mellissabahati137 Ай бұрын
Let's gather here all Malawians❤
@ShipondaLimende
@ShipondaLimende 26 күн бұрын
Love runs the world. Thats the translation.
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 24 күн бұрын
King of bongo fleva, live performance we ni mkali ❤
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 6 күн бұрын
Huwaga hatumii nguvu nyingi ila anatumia ushawishi....kiba is a real vibe❤
@amosrashidi6602
@amosrashidi6602 5 ай бұрын
Namkubali Sana 👑
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 5 ай бұрын
Duuuuuuuuh huyu jamaa ni hatar na nusu
@kijanayaaput8940
@kijanayaaput8940 7 ай бұрын
Bado sijasikia😂❤🔥🙌
@MaxwellMjomba
@MaxwellMjomba Ай бұрын
Wow wow huyu mtu bwna hiki kichwa hatari nakueshimu bro
@cobrachristian3685
@cobrachristian3685 7 ай бұрын
Sauti duuuu inasisimua kwa kweli
@mariampaulo7894
@mariampaulo7894 4 ай бұрын
Woow! 🎉🎉
@veritemaliva4652
@veritemaliva4652 2 ай бұрын
The only one king @Alikiba
@mpeliakhim3770
@mpeliakhim3770 5 ай бұрын
Duuu good performance
@abduljalilu5453
@abduljalilu5453 7 ай бұрын
Nakubari nakutari w stlees
@Bebetozzy
@Bebetozzy 6 ай бұрын
Thanks my king of kings
@Vlmusic_gy1nv
@Vlmusic_gy1nv 4 ай бұрын
Hatali sana nakukubali 👑
@Anza_tz
@Anza_tz 7 ай бұрын
Huyu jamaa ni nouma wa live performance ni balaaa
@rajabumtuga7372
@rajabumtuga7372 7 ай бұрын
Hii perfomance ni next level asee
@KibusiMichael
@KibusiMichael 7 ай бұрын
Uyu kunguni atengee Jamani khaaa🙌🙌🙌
@davidodhiambo7609
@davidodhiambo7609 7 ай бұрын
Classic coverage👏
@iddsaburi2727
@iddsaburi2727 3 ай бұрын
Huyu jamaa fundiii
@Chokambay
@Chokambay Ай бұрын
Tunakuelewa king
@salimsaid2531
@salimsaid2531 Ай бұрын
Unajua sna bro nakukubal mno
@ibrahimselemani4306
@ibrahimselemani4306 5 ай бұрын
Wewe ni faya
@MaryShillah-f8t
@MaryShillah-f8t 4 ай бұрын
Sound engineer kafanya kazi yake na wapigaji,back up🤗
@WillbardPhotunatus
@WillbardPhotunatus 7 ай бұрын
King kama 👑
@gladysoneya1594
@gladysoneya1594 2 ай бұрын
🎉the love i have for kiba ❤❤,pliz someone should like my comment i need to come back here😊
@MosesMzungu-v9j
@MosesMzungu-v9j 7 ай бұрын
Alikiba mfalme kwelly
@denniskirimi4217
@denniskirimi4217 7 ай бұрын
King kiba🙌
@Journeyize2030
@Journeyize2030 7 ай бұрын
Alikiba is always the best of all time
@FrankKamgisha-xc6uy
@FrankKamgisha-xc6uy 2 ай бұрын
mungu akuzidishie kka uko vzr
@MadukaDaudi
@MadukaDaudi Ай бұрын
the king of music
@thejackle7038
@thejackle7038 Ай бұрын
Huyu mpumbavu kwanza anazienjoy mwenyewe nyimbo zakee
@JumaMwachindiri-ut3qi
@JumaMwachindiri-ut3qi 7 ай бұрын
Penda sana kiba hadi basi 😂😂😂
@musamusa6374
@musamusa6374 7 ай бұрын
Hapo ali unaweza kuta alisahau mistari ila huwezi jua😂
@teddagwa
@teddagwa 7 ай бұрын
Haha I don’t think so coz the band also slowed the tempo hapo
@oliverdan8489
@oliverdan8489 7 ай бұрын
Kweli kabisaa😂😂
@oliverdan8489
@oliverdan8489 7 ай бұрын
​@@teddagwaalisahau marambili😂
@AbdullahMwela
@AbdullahMwela 7 ай бұрын
King 🔥🔥🔥
@godfreymwakipesile2051
@godfreymwakipesile2051 2 ай бұрын
Wewe ni fundi jamaaa
@theophilmrope3165
@theophilmrope3165 3 ай бұрын
King kiba
@BuraramaKwibe
@BuraramaKwibe 5 ай бұрын
Aowanawake wa back up mmmmm ni balaa
@YoungProfessionel
@YoungProfessionel 7 ай бұрын
Mfalme🎉🎉
@teddagwa
@teddagwa 7 ай бұрын
🔥🔥
@Cde_zubeir
@Cde_zubeir 6 ай бұрын
Huyu mpuuz alishasahau mistari 😅
@benjadeo5752
@benjadeo5752 6 ай бұрын
😂
@YakeenRamadhan
@YakeenRamadhan 16 күн бұрын
Kwani hiyo nyimbo uliniambia wewee
@jacklinejoseph-f8v
@jacklinejoseph-f8v 11 күн бұрын
alikiba ukiimba nae laivu unazalilika jamaa anajua
@kiatu
@kiatu 7 ай бұрын
Dah huyu ni executive performer
@damaka_
@damaka_ 7 ай бұрын
Kiba na watoto wazuri❤❤❤
@MbokaniMbelechi
@MbokaniMbelechi Ай бұрын
Tanzanie amuta kuwa na msani mkubwa kama king Kiba
@ndayahudwababy
@ndayahudwababy 7 ай бұрын
Ma Sha ALLAH
@SamwelBernard-k9r
@SamwelBernard-k9r Ай бұрын
Duuuh ila huyu mwamba
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 ай бұрын
Na kuiba mali ya mtu sijafunzwaaaa 😢😢😢😢😢
@ShaloBima
@ShaloBima 24 күн бұрын
Good
@ShadreckDreck
@ShadreckDreck 3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@ChidyMfululu
@ChidyMfululu 3 ай бұрын
Duh huyu jamaa nihatar sana
@geoffreymandela6096
@geoffreymandela6096 7 ай бұрын
Gotha mgothee 🇰🇪
@kevinlutta6069
@kevinlutta6069 7 ай бұрын
Master of live music in East Africa
@teddagwa
@teddagwa 7 ай бұрын
🔥🔥
@sirdexter6632
@sirdexter6632 7 ай бұрын
Wamjua Nyashinski kweli?
@SumaMchomvu
@SumaMchomvu 7 ай бұрын
Mwambaaaa 💥 2:43
@teddagwa
@teddagwa 7 ай бұрын
Share the video kindly
@SumaMchomvu
@SumaMchomvu 7 ай бұрын
Mwambaaaa 💥
@yvesjeremy1781
@yvesjeremy1781 20 күн бұрын
Heshima
@naswiruzaharan
@naswiruzaharan 7 ай бұрын
👑 king
@TariboSamora
@TariboSamora 7 ай бұрын
King king king. Nimekwita mara tatu dah you kill me
@BonventureLiguyani
@BonventureLiguyani 7 ай бұрын
king kiba moto sana !
@AbdallaallyMrisho
@AbdallaallyMrisho 7 ай бұрын
Only one king 👑
@gracekalonda8301
@gracekalonda8301 7 ай бұрын
The king himself
@AgnesHillary-js4hd
@AgnesHillary-js4hd 6 ай бұрын
@FaidaMwahalende
@FaidaMwahalende 7 ай бұрын
Machine ya kazi
@Olivierbestmelody
@Olivierbestmelody 7 ай бұрын
Waaauuuh Kiba's King👑💎
@manuelpoldoskitv
@manuelpoldoskitv 7 ай бұрын
Unaona kukomaa Kwa musanii jinsi anavyo control bamd
@Josee-mtumishi
@Josee-mtumishi 7 ай бұрын
The back up team deserves all the credit... 🔥 🔥 🔥
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 7 ай бұрын
King🔥🔥
@teddagwa
@teddagwa 7 ай бұрын
🔥🔥
@__its__gray3747
@__its__gray3747 Ай бұрын
✌️✌️💕
@SumaMchomvu
@SumaMchomvu 7 ай бұрын
Papir king teminator
@KhamisAli-fx6wk
@KhamisAli-fx6wk 7 ай бұрын
so still Sw
@teddagwa
@teddagwa 7 ай бұрын
Share the video
@nyandulamwamkili485
@nyandulamwamkili485 7 ай бұрын
Inaitwa Pop in it❤
@mdbosco1640
@mdbosco1640 7 ай бұрын
🥰🤙
@teddagwa
@teddagwa 7 ай бұрын
Don’t forget to subscribe🔥
@Mansamusa-m9z
@Mansamusa-m9z Ай бұрын
Kiba kwa kuperform live unakalisha chini
@ShipondaLimende
@ShipondaLimende 26 күн бұрын
Kwa karanga za kuonjeshwa au za kuonyeshwa? Swali mpaka leo sijapata jibu nisaidieni wakuu. Nina bet hapa ya alf ya kenya. 😅
@amalyjuma438
@amalyjuma438 9 күн бұрын
Kuonjeshwa
@JaydanChilo
@JaydanChilo 7 ай бұрын
❤❤
@naplousemukunzi10
@naplousemukunzi10 5 ай бұрын
Mfalme
@RaphaelPaul-q1q
@RaphaelPaul-q1q 5 ай бұрын
Tofautisha ubora tuu kubishana waachie soko ali ni ali basiiiiiii
@rachelwilly863
@rachelwilly863 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤
@ElishqRogastian
@ElishqRogastian 3 ай бұрын
Bad san kiba jifunz mziki hujui chochot unatuimbia utumbo tu mwamby simba akufunze mziki usione aibu
@bylylbanks
@bylylbanks 3 ай бұрын
Acha ujinga wewe ni mtu mzima
@OmaryAdam-l3u
@OmaryAdam-l3u 2 ай бұрын
Ww unajuwa
@emmanuelwangilah6872
@emmanuelwangilah6872 2 күн бұрын
Simba na pupa zake 😂😂hapa hawezani kabisa, Hapa ni wasomi tu 😂
@jossporahmsw8420
@jossporahmsw8420 3 ай бұрын
Fundi wafundishe kuuchonga vinyago
@OmyJr-hw2nk
@OmyJr-hw2nk 7 ай бұрын
🎉
@alexkobo185
@alexkobo185 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@eidurbyakuzana1175
@eidurbyakuzana1175 3 ай бұрын
Mondi anaimba ila live performance bado hamjafikia kiba
@Aliaune13
@Aliaune13 7 ай бұрын
mimi ndio sielewi kiswahili ama, ni hii nyimbo au huu wimbo?
@beatricewmussa4049
@beatricewmussa4049 4 ай бұрын
Kiba punguza kuongea. You are not a very good speaker. You end up blabbering. Labda jitahidi kwenda training kupata relevant skills. Wewe imba tu
@amosmwanga4027
@amosmwanga4027 3 ай бұрын
True👍 hapo ndo anapozinguaga kabisa
@MuhammedAli-ri7vq
@MuhammedAli-ri7vq 7 ай бұрын
Lanieng english
@dieumemanix9723
@dieumemanix9723 6 ай бұрын
𝘞𝘦𝘺𝘦 𝘯𝘪 𝘣𝘢𝘣𝘢 𝘸𝘢 𝘮𝘶𝘴𝘪𝘤
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
MAKONDA NA POLISI ALIYEMPIGA BIBI NYUMBA ARUSHA KWA LAK 5
12:16
CHAMPION TV
Рет қаралды 265 М.
Harmonize Live Performance in Kilifi Kenya
4:25
Harmonize
Рет қаралды 48 М.
SULDAAN SEERAAR | QAB YEELO | 2025 HEES CUSUB
3:19
Suldaan Seeraar
Рет қаралды 80 М.
HADI RAHA ALIKIBA ALIVYOCHANGANYA KUIMBA AJE, MBIO NA NAKSHI NAKSHI
7:33