Mimi ni mkongo,lakini ktk maisha yangu napenda sana burudani, Tanzania Kuna Alikiba kongo kuna Fally Basi, Ila alikiba mashairi Yake Mazuri sana
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI10 ай бұрын
Mashindano ya maendeleo kwa njia salama ni mazuri sana... safi sana Ally Kiba
@SamairaSameer10 ай бұрын
Kaka mwenye saut yako Lucas Lumbasi❤
@mellahcoffee10 ай бұрын
Sky ni noma sana kwa interview 🔥
@joezeno810 ай бұрын
Sky is the best interviewer in Africa period
@SwahiliAmbasador95410 ай бұрын
King kiba mtu mwenye roho safi
@savanny_music10 ай бұрын
Congratulations for the Crown media
@ttss771610 ай бұрын
Uko vizuri sky kwa maswali yako ❤
@shubackmashinga353510 ай бұрын
Tatizo ni ujibiwaji wa maswali
@RareRobertha10 ай бұрын
Very humble this guy 😢
@BarnabaMateso10 ай бұрын
Sky brother we ni next level
@RamcyMdoe10 ай бұрын
Uko vizuri but ongeza CROWN LUXURY BUS ata ziwe tatu nne ivi
@midundotechtz684310 ай бұрын
Ali kiba vs sky namkubali sana sky
@ShabaniKwizera10 ай бұрын
2ko pamoja king kiba tukiwa 🇧🇮💯
@rosemofuga810110 ай бұрын
Waoooooooo fantastic king kiba
@kodakblack383610 ай бұрын
😂😂😂 yakaisari tumuachie mwenyewe kaisari dah 🤔 kazi iendelee 🔥
@WilbertMagambo-sr1lz10 ай бұрын
❤❤❤Mungu akupe maisha marefu sana na mziki mzr pia tunaomba hadi kanda ya ziwa usikike
@driss495710 ай бұрын
DAAAAH,RICH ONE TAPELI WA BONGO FLEVA...SASA NDIO ANAJIFANYA MENEJA WA JUMA NECHA...
@RareRobertha10 ай бұрын
Sasa si zamani 😅wabongo nyie 😅
@abdulaziz70310 ай бұрын
Big Up Ali. Kingine ulichonishangaza leo, ni utulivu wako wa kujibu maswali kwenye interview hii. Binafsi nairank kama moja ya interview bora kwako. Wish you all the best.
@BigZhumbe10 ай бұрын
Watu wanapambana sana alafu kuna wapigaji kila sector.
@mozasalum971510 ай бұрын
Ahsante kaka yangu
@ShukuruLyimo-rl4eu10 ай бұрын
Mungu akusimamie kiba
@shaisoho903310 ай бұрын
Mungu akutangulie ktk msimamo wako ktk kutafta
@ChenchiKing10 ай бұрын
True Story From My King 🤴 🎉🎉
@Omarymgaywa10 ай бұрын
Congratulations Ali kiba
@kevinochieng39310 ай бұрын
Hio show tulimpeleka sisi kama Triple A Arusha nakumbuka sana
@Seifchui00710 ай бұрын
Namkubali Sana sky
@abinelikagezi921710 ай бұрын
Mnaosema kiba hajui kujibu maswali hivi mna akili kweli😂😂
@mwajumakweli10 ай бұрын
Awapo sawa kabisa
@ShayraSaid10 ай бұрын
Kungekua na voice note tungejibu wanaosema hajui kujibu maswali vitu vipo ulitaka ajibu shot cut wakat ameelezea maswali matatu mwa urefu zaid ameelezea vizur tu mkasome uko msisumbue watu vichwa
@bjayvocal18906 ай бұрын
Nicee fother king😅😅
@gracelee56510 ай бұрын
Well spoken spot on!
@Aidansimwanza10 ай бұрын
Sky piga kazi kwenye hiyo radio
@MsNajma-e6e10 ай бұрын
Pole sana kwa misuko suko lkn ndio maisha lzima changamoto upitie hongera kwa hatua uriofkia
@sanaf836710 ай бұрын
Kiba anajua kwenda na occasion ingekua Diamond hapo angevaa uhuni uhuni na mashanga shingoni na herini kama vile biharusi anakwenda kwa mumewe pumbavu mkubwa.
@emmanuelmayunga151810 ай бұрын
😂😂😂😂
@zuweinaalhabsya877310 ай бұрын
Ni kweli kabisa hata watu amealika ni watu na heshima zao ingekuwa upande ule mwingine wangekuwa wahuni wote wamejaa
@gifraymantz419510 ай бұрын
KWA MFANO USINGE MTAJA MONDI APO UJUMBE WAKO USINGEGIKAA??
@Tanafa-j9q10 ай бұрын
Kitend ch kumtja2 inadhihilisha unamkubli
@sulleymernmannarah793010 ай бұрын
Unateseka ukiw wapy
@mr.yahzadochuno791410 ай бұрын
Ali k for everybody ❤❤❤
@Marjeby10 ай бұрын
Shida ya Ally huwa hana uwezo mzuri wa kujieleza yani akiongea unaona kabisa gape la school tofauti na wasanii wengine wenye level zake za elimu na music wanauwezo wa kuficha gape zao za elimu zao jinsi wanavyoongea
@rajabdibwa641510 ай бұрын
Presentation ni muhimu
@alistairelias53610 ай бұрын
Hivi tumeangalia video moja kweli? Mbona Ally kajibu maswali vizuri sana?
@evampomele677910 ай бұрын
Ina maana hujajua namna alivyojibu??? Aiseeeen htr
@mlamytz10 ай бұрын
Alaf elim na maswali nivitu viwili tofauti elim nin kwan na inakaa kweny nin??
@abinelikagezi921710 ай бұрын
Nahisi hata mwalimu wako alikuwa anapata taabu sana kukuelewesha darasani hapo kitu gani hakipo sawa kaulizwa swali kajibu vizuri tu au ulitaka ajibu kwa kutumia makwapa ndio uone kapatia tatz mna ujuaji mwingi sana mbwa nyie 😀😀
@julius_wankyo10 ай бұрын
Alikiba anavyohadithia, anataka kufanana na Mh. kikwete anavyohadithia.
@ThomasMcha-jk5yt10 ай бұрын
.....na labda tu nikwambiye Mhe.Kikwete ni Role model mkubwa sana wa Ali na wengine wengi tu!!.... but Angalia vile vile na Upande wake Kisiasa!! utaniambia .....angalia hadhara ya Viongozi wa Kisiasa waliomo humo.
@Jjm17210 ай бұрын
Mhe kikwete ndio ame copy kuongea kwa Ali coz ali alikuwa star kitambo sana
@francisambrose130210 ай бұрын
😁😁😁😁😁@@Jjm172
@1xbetpromotion17410 ай бұрын
@@Jjm172 eeh 😂😂😂
@julius_wankyo10 ай бұрын
@@ThomasMcha-jk5yt kweli nimeprove hilo, alikiba anaiga mpaka pozi za Mh. kikwete akiwa kwny Kochi. Mzee ameinspire Sana vijana, wengi bado wanamtazama.
@Sidrasidra63610 ай бұрын
Masha Allah hongera kaka Ally ❤❤🎉🎉
@salimbaya230210 ай бұрын
Ako wapi baraka da prince akuje aone wachawi wanaendelea na yeye mlokole anadidimia 😂😂
@sheruajafari167610 ай бұрын
😂😂😂😂😂timbulo uyoo
@nancyg866410 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Emmanuellamek91610 ай бұрын
Hongera 🎉
@MsNajma-e6e10 ай бұрын
Mzee kikwete ndio bba wa wasani hongera bba kwa upendo huo
@barakakings10 ай бұрын
Rich one kumbe ni Mafia kiasi hicho?😂😂😂😂
@mcharomshana216710 ай бұрын
Watoto wa leo hawamjui timbulo wala rich one 😅 legends will always be legends
@Bushman00010 ай бұрын
Legends will always be Legends 😅😅😅
@alabypembe169910 ай бұрын
kiba kwenye kujieleza ni shidaah
@josephfrank444610 ай бұрын
Safi sana kiswahili fasaha ❤❤❤
@Noooonat-o5s10 ай бұрын
We taifa gani?
@ireneimbuhira775910 ай бұрын
Congratulations to Him 👏❤
@Fredrick-tl5gl10 ай бұрын
Sanaa huyo huyo
@Nkeshimana-p1z10 ай бұрын
Timbulo 💥💥💥
@swahilifc761410 ай бұрын
😂😂 Timbulo tapeli
@TwahiliMkanjela10 ай бұрын
Alikiba ndio mtu pekee maarufu tanzania ameanza interviews Na kumaliza bila kumtaja Samia nimeamini huyu ndio mtu anaejiamini Na anachokifanya sio kimbelembele interview za siku izi sio wasanii mawaziri wabunge wafanyabiashar kila kitu mama Samia ndio Ni rais wetu ila kujipendekeza sana acheni
@JosephEnea-yx8rl10 ай бұрын
Acheni ushamba Kwahy mt akinunua gari kaiga Akijenga nyumba kaiga Eti king kaiga aya iga wewe sasa 😂😂😂😂😅
@JayJuma-nt3nu8 ай бұрын
Ali k.iyo siku ilikuwa ni mto wa mbu Arusha not babati.i was there that day
@RickSamTz10 ай бұрын
Yaan alikiba Hana point kabisaaa kweny kuongea
@JumaDea10 ай бұрын
Naikumbuka sana hiyo siku. Ilibidi ifanywe pie ya haraka haraka ili watu waamini
@ebengapierre882610 ай бұрын
Uwo ndo upinzani unatakiwa una fikiri wasf niwadogo tunachunga tuone gisi wafanyakazi watakavyo endelea nakazi daimo ndio njia yakufatwa wote aho wanaiga kwamond 😂😂😂😂😂 💪💪💪💪
@shanatatrigger653710 ай бұрын
Timbulo 😂😂😂😂😂
@shihume25510 ай бұрын
Pengo la diamond linaonekana hapa
@rashidiabdalahmkwanga740910 ай бұрын
Wewe kama huwezi kukoment siuche
@Tanafa-j9q10 ай бұрын
Mond n mmja2
@ISMAILNASHON-zh3sg10 ай бұрын
Ali kiba nampenda sana ila kwenye upande wa kuongea nakujieleza huwa ananiangusha sana hajui
@AsheyAmey-hl5em10 ай бұрын
Dooh so hujaelewa?
@abinelikagezi921710 ай бұрын
Nahisi hata darasani mwalimu wako alikuwa anapata taaabu kukuelewesha ww kichwa maji zamwamwa sasa hapo amekosea wapi au ulitaka ajibu kwa kutumia mkundu ndio usifie😀😀
@mwajoma137310 ай бұрын
Mashaa Allah Ali kiba Hongera san ❤❤❤
@savanny_music10 ай бұрын
Sorry for that event...
@Chettymlambalipsi-lb9km10 ай бұрын
Ila watu wanatoka mbali hongera ally❤❤
@joycenicodemus.223210 ай бұрын
Diamond asingejitokeza kwenye mziki saizi usingekua ali kiba maana ulikuwa umeishapotea kimziki Diamond ndie kafufua mziki maana wasanii wazamani walikuwa wameshachoka nakukata tamaa🤣🤣
@jumabisale997410 ай бұрын
Sema sky maswali mazuri ila mjibu maswali sasa ndio hana uelekeo wa kitu alichoulizwa
Kila Mtu Ana Stori yake ya Safari ya Mafanikio, Mafanikio si rahisi hata kidogo.
@musajackson328910 ай бұрын
Sky big up kwa swali zur
@isackmsafiri969110 ай бұрын
king crown media ni nouma sana
@bbss862310 ай бұрын
Nakupenda sn kaka ❤❤
@MajibuCredit10 ай бұрын
Mara alikuwa swahiba wangu mara alikuwa hamfahamu hapo tunakuelew vp king??😅😅 Uwongo mwingi ila behind the scene kiba ni mchafu sana wa Kila tabia ila machoni mwa watu mtu kwelikweli, waelewa watanielewa ila huu ni UKWELI MCHUGHU 🔥🔨
@WanuOman10 ай бұрын
Honger
@MurefuZabron10 ай бұрын
HAkuna kama Kiba tz
@1xbetpromotion17410 ай бұрын
😂😂😂
@erickabel620110 ай бұрын
Kuma ww
@Kimweri_tz10 ай бұрын
Maashallah
@nzurisanatv228510 ай бұрын
When it comes to brand naming, diamond is the best, king kiba long live.
@CostantineBahakaso10 ай бұрын
Kaiga kwa diamond
@desolz380910 ай бұрын
So Diamond ndo mgunduzi wa media? We mavi kweli
@nuruurio831910 ай бұрын
Aige na yy @@desolz3809
@tunuwalker319310 ай бұрын
Sasa kila msani akifunguq B.network yake then wat
@ibrahimaziz715810 ай бұрын
Rich one hatuna kitu
@platotaurus230110 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah nimecheka sana aisee. Timbulo akinato
@fitinakisamuhagakisamuhaga69310 ай бұрын
Kweli dogo anahela alafu hana ata wenge
@bartazarylukinga715410 ай бұрын
Ila Kiba bwana mbona haujib swal
@DannyElias-t3v10 ай бұрын
Kuwa mwelewa tatizo huelewi
@evampomele677910 ай бұрын
Shida huelewi anachoongea 🙌🏿🙌🏿
@JacklineMwacha-j1w10 ай бұрын
Na haelewiiii Hadi haelewi tena
@venasalbert393010 ай бұрын
Je? Crown Efm inapatina kupitia tunein?
@MWAKIPESA10 ай бұрын
92.1
@adolphmwangoje288710 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 timbulo bna
@emmanuelmayunga151810 ай бұрын
Media yang pendwa hadi sasa ni CROWN 🔥
@idrissaissa560710 ай бұрын
Ni wasafi ndio habari ya Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@eddsonjeremiah666910 ай бұрын
Diamond platnum Simba kawafungulia sana wasanii kujielewa
@khadijahamina845710 ай бұрын
tuliya kwani yeye nani
@momylaviel10 ай бұрын
Yeye ni nan
@kwangahudispensary723810 ай бұрын
Ila timbulo nyie anajuaa mziki basi tu hatujui mziki mzuri ni upi
@eggysulle798810 ай бұрын
🔥🔥🔥
@jumabisale997410 ай бұрын
Kufungua radio 📻 ni 1 lakini kuibrand ni kitu kingine, kwa Kiba kubrand inabidi abadirike sana maana hata rebo yake yenyewe kuibrand inasua sua
@jamilashaban604810 ай бұрын
Uyu jama Kama humkubali hebu fikili kuusu hao waalikwa waliotokea hapo...usisahau kikwete ..je Wana ukubwa gani kwenye hii nchi ?alikiba yuko na watu wakubwa wengi Sana huwezi kumrudisha nyuma kirahisi kabisa
@foodbasiccourt202810 ай бұрын
Maswali fire majibu sasa
@IdarousPossy10 ай бұрын
Ttzo huna Akili huwezi kuelewa
@sbboymkaliofficial910810 ай бұрын
Tatizo hujaenda shule ndo maana huelewi kitu kaa jwakutulia 😂
@rehemamuto261910 ай бұрын
Ha ha ha huyu tushamzoea
@drKanti86510 ай бұрын
Ni kweli, Alikiba sio mzungumzaji mzuri sana, na zaidi linapokuja swala la public speaking na aina ya maudhui anayopaswa kuyawasilisha..Simlaumu kwa chochote, yeye ni msanii yuko bora zaidi kwenye kuimba..
@Dj2nyi10 ай бұрын
Kujibu chengaaa huyu bwana
@dreadeye271210 ай бұрын
Kumbe katimbulo ni katapeli😂
@JumaDea10 ай бұрын
Babati
@simondogtrainer749810 ай бұрын
Kwa kujibu maswali kiba hamuwezi mond
@EmanuelGurtu10 ай бұрын
Ndo apo apo ukamloga kwa hasira na timbulo kupotea kabisa kwenye game aisee wasanii kumbe wachawi
@user-to6up4hg2w10 ай бұрын
💯💯💯💢💢💥💥
@mtazycomedy10 ай бұрын
Umechelew kujua
@DavidoUhuru10 ай бұрын
Umefanya jambo la msingi
@Fiston.benalfa10 ай бұрын
Vizuri sana
@LuluLevy10 ай бұрын
Timbulo ndo nani cmjui
@MomadeabdulAbdul-i3w10 ай бұрын
Compitesheni na diamond aufiki ata lobo asheni Kufata nyayo alie pewa kapewa
@Movadofillm10 ай бұрын
Tatizo huyu jamaa nimuongo sana anapenda sana kuwa mbele yavitu vyawatu alafu mwisho wasiku hamna chamaana hii medea ingekua yake asingeweza kuiita hivo kwannavyomjua huyu jamaa angeita kings medea mwehu huyu muongo sio yake na nipo hapa mtanambia huyu chawa tuu kama chawa wengine
@mamukaelo10 ай бұрын
Umekula 😂😂 chunga sanaa umasikini,wivu,roho mbaya na makasiriko utakufa mapema sanaa
@EliusPonde-i3u10 ай бұрын
Hivi unajua maana ya crown et au ww nimemkwa
@zuweinaalhabsya877310 ай бұрын
Heee wivu utakuuwa jiangalie vizuri ndugu yangu. Na unateseka ukiwa wapi maskini nakuonea huruma hasa 😅hhhhhhh
@navyoagrey752310 ай бұрын
Acha roho mbayaaa
@AdelaJohn-h1p10 ай бұрын
We nae acha ubishi ambao hauna maana atakama sio yake mwenzako tayar yuko mbali