Daahh utakuta ndugu zake wanamtafut mpk leo hawamuon kumbe yupo kweny chemba binadmu wabay sana
@DM_157 күн бұрын
Nimemuona daz baba raster man
@YacintaJames7 күн бұрын
😭😭😭😭 inasikitisha!! Inabidi ibuniwe njia nyingine ya ujenzi wa mashimo ya majitaka, watu wameanza tabia ya kutumbukiza watu kwenye haya mashimo, naona umekuwa ndio mtindo wa wauaji
@easternyerembe72717 күн бұрын
Well said
@Salsabiil127 күн бұрын
Yaaan sasahiv ni bora kuyaziiba kabisaaaaa
@HappyKaminyoge7 күн бұрын
Kabisa bola kuziba kabisa@@Salsabiil12
@MwanahamisZuberi7 күн бұрын
Nafikiri tungerudi kwenye mifumo ya zaman shimo lizibwe lote bakaki pa kupumulia2 ambapo kutakuwa na bomba la hewa2 ubana wake hata ukitaka kutoa majitaka unaweza mana sasa styl za mauaji ni kuzam8shana kwenye machemba
@AshuuuBakari7 күн бұрын
Njia ipo inatakiwa chemba liwe na mfuniko mzito ukiwa unafungwa na kufuli pia juu pale kwa ndani kuwe na nyavu ukibakiza tundo la kupitishia pampu ya maji taka
@Zuuh1077 күн бұрын
Subhanaallah sasa kumua kapata faida gani angali hata yeye muuaji atakufa unapo ua mtu ujue kabsa unamzulum nafc yake hutawahi ishi kwa amani😢😢😢
@JesseSarro6 күн бұрын
Ni staili mpya ya wauaji Mungu tunusuru kama mama wa watu aliyetumbukizwa na ndugu zake kisa mali
@SmilingCityMap-xb9md7 күн бұрын
Mm jamani wanadamu tunajidanganya umeuwa kwa sili na kuficha yshahidi lakini kwa akili ndogo unajiona umewini lakini kumbuka na wewe ni nyama na hujui mwisho wako utaishiaje maana mungu hulipa hapa hapa duniani hutakwepa mtego wa mungu atakunasa tu hutakwepa
@Salsabiil126 күн бұрын
@@SmilingCityMap-xb9md naam swahihi
@sofitanzanian9557 күн бұрын
Mtihani wallah binadamu tumekuwa naroho mbaya
@JohansenBashange7 күн бұрын
Namuona Daz baba Poleni wafiwa
@HappyPallangyo-vt7xx7 күн бұрын
hizi chemba zimekuwa hatari kuliko
@remigiusrwechungula70477 күн бұрын
Nani kamuona Daz Baba hapo💪💪💪💪💪
@ThabitiGunge7 күн бұрын
Mimi
@HammyJuma7 күн бұрын
Mim
@frankngoloka54167 күн бұрын
Angalieni mambo ya msingi au sikilizeni inaweza ikawa ndugu yako aliyetupwa hapo,wabongo bwana
@HemedBakari-e4e3 күн бұрын
Mbegu umenena@@frankngoloka5416
@easternyerembe72717 күн бұрын
Cku hizi chemba Ndo zimekuwa sehemu ya mauwaji dah😢
@marykennedymarwa16417 күн бұрын
Hayo mashimo yajengwe kama ulaya , kama mfumo huo utawezekana , vinginevyo watu watatumbukizana humo balaa. 😢
@michaelmulokozi15127 күн бұрын
Daz Baba vipi tena
@solomonlissu14087 күн бұрын
Uku Jamaa kaingiza demu kafia geto kamtumbukiza kajua kamaliza kes
@HusnaSaidi-ge9ei5 күн бұрын
umewaza kama mimi
@AholeLifilima5 күн бұрын
Hata mm nimewaza ivoivo au dada poa uwii allah huakbar
@leokamil62847 күн бұрын
Sjui Tz yetu ila nchi za watu wanateknolojia ya kuitafiti mifupa mpaka wanauwezo wa kujua huyo ni jinsi gani .Ila sjui kama kuna mtu atashughulika kwa hili ,nikikumbuka waliwahi kukuta miili baharini na ikaisha kimyaaa tu kama hawakuwa watu kitu ambacho kwa wenzetu isingeishia kimya ki hivyo.
@edwinregnald58267 күн бұрын
Hili kujua jinsia lazima mwili upelekwe hospitali kwa uchunguzi zaidi kwa bongo nahis kwa wenzetu wataalam wote ufika eneo la tukio na kufahamu hapo kwa papo
@PriscusRobart7 күн бұрын
Binadamu nizaidi y dubu kw unyama wake😭😭😭
@IreneMacha-d5q7 күн бұрын
Mungu nipe mwisho mwema
@mariamkikula16147 күн бұрын
Hili ndo la kuomba
@IreneMacha-d5q7 күн бұрын
@mariamkikula1614 tuombeane Sasa mamo
@JamilaJumanne-u7q7 күн бұрын
Ameeen YARRAB
@hamadsuleiman51777 күн бұрын
Kwa kweli
@HaniffaOmary7 күн бұрын
Damu yamtu haiendagi bule😢
@Thisisgrace9797 күн бұрын
Kweli kabisa.
@khadjamhozya7 күн бұрын
Mbona tayali ishaenda bule
@EstherWilfred-d2m7 күн бұрын
@@khadjamhozyawalioua watatambulika ndomaana tunasema damu ya mtu haiendi bure
Damu ya mtu haiendi bure 😢😢😢 Mungu awaaibishe wote walio husika kwenye hilo tukio 😢😢 hv unapata wapi nguvu ya kukaa kwa amani hali ya kua una dhambi ya kumtia mtu kwenye chemba 😢😢
@shyfettymtunda46197 күн бұрын
Mbona imekuwa trend kuuwa watu na kuwatupia kwenye vyemba vya vyoo?? Jamaniiii tumuogope Mungu. Au hivi vyemba tuanze kuviwekea nondo hapa kwenye uwazi??🤔
@Salsabiil126 күн бұрын
@@shyfettymtunda4619 enheee ni kweli wazo zur
@MwitaSenso7 күн бұрын
Tanzania Ina sifika kwa aman dunian kote lakn ukatil wa chn chn umekisir
@FloraJulius-v9x7 күн бұрын
Duuh dunia imeishwa, Mungu atusaidiee na kuturehemu.
@dicksonkilupa22587 күн бұрын
Hilo chemba liko nje ama ndani uani? Je hiyo ni nyumba ya kununua ama ya kujenga mwenyewe? je mahusisno ya wakaaji hapo ni yepi? mengine police tusaidieni namna ya kuhoji.
@HanifaOman-oo4pl7 күн бұрын
Innalillahi wainnailahi rajuun. Allahu akibarr.
@NoviaRaphael7 күн бұрын
Ee mwenyezi MUNGU naomba utupe mwisho mwema sisi waja wako😢jamani binadam kwanini lakini 😮 Mwenyezi MUNGU amupunguzie adhabu ya kaburi marehemu sisi sote kwake tutarejea 😢
@sophiakimaro51747 күн бұрын
Damu ya mtu hainyamazi kweli nimeamini.hao waliofanya walihisi ni sehemu salama kabisa bila kujua kama hilo shimo litajaa.Mungu asaidie marehemu apate haki.
@tylortech7 күн бұрын
Legend Daz baba
@dayana5513story7 күн бұрын
Saiv ukikutana binadamu kimbia
@nyamogafamily95497 күн бұрын
Mmh sasa tutaishi vip
@khadjamhozya7 күн бұрын
@@nyamogafamily9549do maana sitaki urafiki na mutu, Ni Salam tu baasi napita zangu
@PatriciaBoniface-v6q7 күн бұрын
Toka mbiooooo maana uchelewi kufa
@MariamAlly-j2g7 күн бұрын
Subhana llah subhana llah
@praisesteven77747 күн бұрын
mwnyew nyumba anajuaaa kila kitu
@asiansky97677 күн бұрын
Basi na ww unajua punguza tui itie mchele
@HusnaMTITIKO-w3p6 күн бұрын
Wee fala kwel mwenye nyumba anajuaje na unasikia hiyo yumba wanakaa wapangaji pekee
@sund25536 күн бұрын
Damu ya.mtu haiendi bure alieuwa alijua siri kamaliza Mungu anaenda kumuumbua wakipima fingerprint
@iamjanemapozi20796 күн бұрын
Daz baba hala❤
@ilakozasembumende19757 күн бұрын
Damu ya mtu jamani masikin haiendi bure 😢😢😢😢
@Vick-9o-c7 күн бұрын
True
@khadjamhozya7 күн бұрын
Usinichekeshe🤣 mbona ishaenda bule
@ilakozasembumende19757 күн бұрын
@ 😭😭😭😭😭😭 itawalilia tuuu walio fanya huo unyama
@aishajuma187 күн бұрын
@@khadjamhozyaimeende bule sasa wakati kama wataamua kufatilia itajulikana tu kama kauawa na muuaji atashikwa labda kama wataamua kunyamazia
@EstherWilfred-d2m7 күн бұрын
@@khadjamhozya kauli ya damu ya mtu haiendi bure inamaanisha wauaji watapatikana
@SidaliyaMaumbe7 күн бұрын
Mauwaji ya kutumbukiza watu kwenye machemba yameanza siku nyingi sasa mungu anaonyesha sasa
@KamisaRamdan7 күн бұрын
Ewe mungu tusaindie 😂😂😂😂😂😂
@JanethKiando6 күн бұрын
Unalia na unasema unamuota mtu kumbe yupo ndani kwenye chemba😮😮😮
@faudhiasalum72797 күн бұрын
MUNGU Wangu 😢😢😢
@AsmaAbdalah-v7e7 күн бұрын
Aiseeee😢😢😢😢😢naogopa mimi jamani
@AbdallahJuma-sn1ri7 күн бұрын
Allah atustir
@Ali-uh9wb7 күн бұрын
@AsmaAbdallah-v7*unaogopa nn ww 😂
@2116-n7 күн бұрын
Km nimemuona daz baba!?
@ziadasalimu17307 күн бұрын
Nguo zilizokutwa je? Ni zakiume au zakike?
@marychongoro94767 күн бұрын
Hakim ni Mungu 😭😭😭
@GloryMalisa-g7c7 күн бұрын
Dah... nothing to say ila wanaoishi apo wachunguzwe
@happinessmosala22177 күн бұрын
Mbona hayo matukio ya kutupa watu kwenye chemba yamekidhiri Tz😮
@christinewomanoffaith54797 күн бұрын
Jmn ukute ndugu wanatafuta 😢
@sofitanzanian9557 күн бұрын
Mtihani dahh
@cheiknamouna20586 күн бұрын
Mmeanza kuzika watu hai kwenye machemba ya vyoo hii tabia imeanza kuongezeka kwa kasi sana
@neemamasimba29817 күн бұрын
Millad nina jambo nashindwa kuwapata naomba no ya cm tafadhali
@Jackking-f5o7 күн бұрын
Hata mimi nashindwa ninajambo kubwa sana ninawaombeni sana mnisaidie ukiipata unitumie bas wengine wanampataje
@methodiutou72787 күн бұрын
Damu ya Mtu haipotei Bure! Hata upite muda gani
@jonathanmsofu88197 күн бұрын
Tukio la kusikitisha, lakini pamoja na yote, Niko najiuliza kwann askari wameenda na silaha za moto kwnye Hilo tukio...ila nchi yetu bwana😂
@Furahinikatkabwana7 күн бұрын
Jaman tunaenda wap
@youthchanel86127 күн бұрын
Huyo boaz alikuwa akiishi hapo
@sophiaazizingaiwa38576 күн бұрын
Anaweza asiishi hapo lkn akaletwa tu hapo na umauti ukamkuta Kwan hujawai kusikia watu wameuliwa maporini huko
@ziadasalimu17307 күн бұрын
Jamani kwahiyo hao waliokuwa wanakaa hapo kwenye chemba je? Hawakusikia harufu
@NuruZumba-dk5is7 күн бұрын
Jamani mmmh mbona binadamu tuna roho mbaya sana?
@JannatBhanji-d2w7 күн бұрын
Mshaanza uzushi. Taarifa ya mifupa ya binadam ishageuka Boaz
@nuruchohora23007 күн бұрын
Dunia inaogopesha hii sasa hiv jamn
@richytarimo46567 күн бұрын
kwahyo mm peke yangu ndo nimemuona Daz baba
@AshuuuBakari7 күн бұрын
Mmmh subhannallah jamani jamani
@JAMBOBoy-v3k7 күн бұрын
BORA UKUTANE NA FISI UTAJUA KAZI YAKE NI KUTAFUNA WATU. KULIKO MTU ALIYEVAA SUTI I SEE🙌🙌🙌
@eliyasanga63747 күн бұрын
Kwani nguo zinazo onekana ni zakike Au zakiume katika njemba maana hawasemi ukweli Au nguo hazionekani zimehalibika
@SALEHSALEH-lk5jr7 күн бұрын
Nguo haziwezi kuthibitisha kama ni wa kike au wa kiume, maana kuna yule jamaa aliyejinyonga juzi arusha alivaa gauni la kike wakati yeye ni mwanamme
@nantaembanusurupia56747 күн бұрын
Na watu tunachanganya sana mavazi@@SALEHSALEH-lk5jr
@festohaule97167 күн бұрын
Binadamu washenzi Sana sana... Damu ya Mtu haipotei buleee 😂😂😂😂
@emmanuellupiga7 күн бұрын
ndo kusema hujui matumiz ya emoji
@festohaule97167 күн бұрын
@emmanuellupiga Muulize Mama yako!!!Emoji inatumika kutokana na hisia za Mtu !!!!!
@emmanuellupiga7 күн бұрын
so unachekelea mtu kutupwa humo i wonder
@festohaule97167 күн бұрын
@emmanuellupiga Wewe jamaa mbona kama unanitafuta ubaya!!!
@sophiamgeri7 күн бұрын
Huko wanadamu baadhi, walimofikia ni pabaya sana, hakika alifisha kuuwa mtu na kumtumbukiza, akijua siri,lk MUNGU, alimuona tangia anamuumba, kuwa atakuja uwa mtu huyu, dhambi ya kaini, inamlilia ardhini.
@joyeemollel20927 күн бұрын
Yesu watu wamekuwa makatili
@MWANAHAMISIOTTOКүн бұрын
Hizo nguo nizakike au
@sabteectanzaniaLimited7 күн бұрын
Mungu kwanini haya yanatokea kwanini umeruhusu yatokee
@robertservas19534 күн бұрын
hvi ni kama vipindi vya CBS REALITY WATU WA FORENSIC WAJE
@fatmaalnabhani36097 күн бұрын
Huu ni wakati wa kuuwana kinyama 😮😮
@aishaibrahim56077 күн бұрын
inamaana ata majiran hawajajua ni ntu gn haonekani mtaani jmn
@erickodorick95237 күн бұрын
Vipi kama ni mtu katokea mtaa mwingine huko? Au labda demu kaletwa na jamaa yake kutoka mkoa mwingine kafia geto mwamba kaamua kumtupia humo?
Awowenye wanaishi apo wakamatwe ndo wamefaa hivovitu
@JannatBhanji-d2w7 күн бұрын
Wataalam watumie carbon 14 kujua kinasaba
@gabrielmwasapi57797 күн бұрын
Duh n balaa
@shangwefisima547 күн бұрын
Uwiiiiiii
@AbiaWilliam-s1s7 күн бұрын
Bwana tunakuomba utupe mwisho mwema ss na jamaa zetu ameni
@Byme64347 күн бұрын
Mm naona Waanze Na Aliyeita Gari la Maji Taka Na Vipi Wanazengo Wenzangu Waje Hapo na Kuanza Story Za Boaz Inamaana Huyo Boaz Anaukaribu na Hiyo Nyumba?
@mwanakhamisimwinyimatano11857 күн бұрын
Inna lilah waina ilah rajiuun😢😢
@EmmanuelNdahya-ud5nj7 күн бұрын
Tabata upi gani
@annamussa1857 күн бұрын
Wakamatwe wote kwenye nyumbani hiyo ili waseme ukweli
@victorernest77027 күн бұрын
Daz baba
@joycefrances45167 күн бұрын
Chemba zizibwe ziachwe kdg sn tundu
@khadjamhozya7 күн бұрын
Sahihi
@magejuliani52937 күн бұрын
Siku hizi Watu wamekuwa wanyama
@lisawilliam24917 күн бұрын
heeeeh LORD
@yukundapeter82007 күн бұрын
Hixo mbwa likamatwe,xinsjua.
@SalvatoryMtunga7 күн бұрын
Usipende kuhukumu watu, sasa mwenye nyumba anahusikaje, tuseme na wewe unahusika?
Some GOP Senators on January 6 at Capital, were seen running for their life and today during the hearing of Kash Patel Conformation to be FBI Director, they have forgotten what happened that day and they now support for Kash Patel who was one who was involved at killings and beating of Police of Police Officers.