ALIKIBA APAFOMU MNYAMA MBELE ya RAIS SAMIA AKIWA KIZIMKAZI, APEWA UFALME WAKE na WAZANZIBAR...

  Рет қаралды 124,298

Global TV  Online

Global TV Online

9 ай бұрын

ALIKIBA APAFOMU MNYAMA MBELE ya RAIS SAMIA AKIWA KIZIMKAZI, APEWA UFALME WAKE na WAZANZIBAR...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 207
@hemedramadhani7946
@hemedramadhani7946 9 ай бұрын
Kunamwamba camera zimemnasa anasheki balaa😂😂 kama umemuona gonga like twende sawa.
@gradynesjohn3083
@gradynesjohn3083 8 ай бұрын
Mwamba ananengua haelew😂😂😂😂nmempenda bureee
@JoyceAlly-rq1zy
@JoyceAlly-rq1zy 9 ай бұрын
Aziii team king kiba forever 💯💯🔥🔥🥰🌹🌹🌹💖💓 tujuane
@rasheedlvck.10suleiman5
@rasheedlvck.10suleiman5 9 ай бұрын
Mfalme ni mmoja tyuu King Kiba, ogopa matapeli
@thomasbutingo17
@thomasbutingo17 9 ай бұрын
Huyu ndo mfalme wa muziki Nchini na viunga vyake King 👑 kiba
@scadsanga6167
@scadsanga6167 8 ай бұрын
Kuna,mwamba anasheki balaa gonga like kamemuona aisee anabalaa
@redemthabayyo1441
@redemthabayyo1441 9 ай бұрын
Wimbo wa utu unanibariki sana umetulia afu anayeimba mwenyewe katulia ana utu na utulivu hasa katika muziki
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer 9 ай бұрын
Wimbo wa taifa sasa unyama mwingi sana 🦁❤❤❤👏👏👏👏💪💪💪
@omeganthale3220
@omeganthale3220 9 ай бұрын
Simba anthem bonge Moja la nyimbo
@mariamhussein6059
@mariamhussein6059 9 ай бұрын
Mfalme ni mmoja tuuu King 👑 kibaaaaa 🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 9 ай бұрын
Hii ni nyimbo imebamba sana aisee kla mtu anaimbaa tu viongozi wanacheka tu jukwaan hatari sana King Kiba
@mcnjovu3525
@mcnjovu3525 9 ай бұрын
King kiba is the best musician in Est Africa and other countries
@barikipedro3522
@barikipedro3522 9 ай бұрын
Kiba anaimba live wengine awawezi kweli kiba ww ni king.
@user-ry9mx9zh5p
@user-ry9mx9zh5p 9 ай бұрын
mimi ni dude kutoka Congo ,lakini Alikiba na mukubali sana
@salumhilary8526
@salumhilary8526 9 ай бұрын
Yan hii nyimbo kama sio ya timu ,,,Yan hapo wameimba washabiki had wayangu...yan nyimbo yatim anafungia show Nomaaaa
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 9 ай бұрын
KWELI TUMEIMBA😅😅😅
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 9 ай бұрын
ni kweli kama sio ya timu
@OmegaKingKas
@OmegaKingKas 9 ай бұрын
Yebabaaa fire King Kiba for life 🫰💰💰💰
@godlightkesiki4241
@godlightkesiki4241 9 ай бұрын
Kwer alikiba ameipenda Simba kutoka moyoni mwake ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@hk_ballers
@hk_ballers 9 ай бұрын
Goma kali
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer 9 ай бұрын
Sanaa ❤❤❤🦁🦁👏👏👏👏👏
@leejems142
@leejems142 9 ай бұрын
King is one 👑👑👑 tz
@petertabitha287
@petertabitha287 8 ай бұрын
Watu wa sound wamezingua sana
@bernmagesse3606
@bernmagesse3606 9 ай бұрын
Unstoppable king
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 9 ай бұрын
Nyimbo za kiba Hadi viongoz wnazielewa
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer 9 ай бұрын
Simba nguvu moja ❤ 🦁 💪
@jasminehamisi01
@jasminehamisi01 9 ай бұрын
Nyimbo za kiba zote unaweza toka ukaenda download 😂😂😂😂 ghafla kwa raha
@ahammedmahruki8708
@ahammedmahruki8708 9 ай бұрын
Hii ngoma itadumu kweli nimeioenda buree😢😢
@bukulutheboss5141
@bukulutheboss5141 9 ай бұрын
Oya king kibaa umeuwaa kaka salut🔥🔥🔥
@CLEOPHACECLEMENT
@CLEOPHACECLEMENT 9 ай бұрын
King KIBA mnyama mkali saaaaaana🌹🌹🌹🌹🌹CHUKUA TU MAUA YAKO!!!
@ChrisantEmanuely27
@ChrisantEmanuely27 9 ай бұрын
Mi yanga ila naimbaga ii nyimbo kwa sauti
@fadhilisabihi5943
@fadhilisabihi5943 9 ай бұрын
Mm bhna ni yanga ilaa kwa hii ngoma ikipigwa naruka nayo
@khadija5761
@khadija5761 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SubirahJamson-tu7vx
@SubirahJamson-tu7vx 9 ай бұрын
Nimecheka xana
@SubirahJamson-tu7vx
@SubirahJamson-tu7vx 9 ай бұрын
King ni mmjoaa tuuu 🔥🔥
@happysixbert7091
@happysixbert7091 9 ай бұрын
😆😆😆😆umenchekesha weweee
@JoyceAlly-rq1zy
@JoyceAlly-rq1zy 9 ай бұрын
@@SubirahJamson-tu7vx Yan ujacheka peke Yako me ad mbavu zinauma jmn😂😂
@user-tn8hm8nf3w
@user-tn8hm8nf3w 9 ай бұрын
King ni fire 🔥🔥🔥 a man with na natural voice in music
@user-xu2ur3wg1x
@user-xu2ur3wg1x 9 ай бұрын
King umetishaaaaa🎉
@mkushiquraysh9027
@mkushiquraysh9027 9 ай бұрын
Imekaa Poa sana hii keep it up!
@josephfrank4446
@josephfrank4446 9 ай бұрын
Mi niyanga ila hii ngoma noma bhana inaimbika popote yeebaba
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 9 ай бұрын
Kweli hata mimi pia
@fatumaaybu8648
@fatumaaybu8648 9 ай бұрын
Wewe sio yanga usijivike kivuli cha yanga kwendaaaa😂
@happysixbert7091
@happysixbert7091 9 ай бұрын
😆😆😆kuja simba
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 9 ай бұрын
King kma king unatuheshimisha San mashabik wa Simba sio rahis msanii umetokea yanga Ila we umeonesha ukomavu unaitngza simba❤❤
@rabbik5668
@rabbik5668 9 ай бұрын
Simba number one
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 9 ай бұрын
Aliiiii umemuona huyu dancer wakujitegemea hapo kando
@IbrahimFelix-wx3lo
@IbrahimFelix-wx3lo 9 ай бұрын
😁😁
@robbyman6213
@robbyman6213 9 ай бұрын
King Himself 🔥🔥
@christinanyamtema6516
@christinanyamtema6516 9 ай бұрын
Nampenda sana kina coz anajua na Hana pigo za ajabu❤❤❤
@katagilakatagils4127
@katagilakatagils4127 9 ай бұрын
King on fire
@julietkambua3969
@julietkambua3969 9 ай бұрын
❤ From Kenya...he is so humble...
@DambweRama
@DambweRama 9 ай бұрын
King kiba🎉🎉
@happysixbert7091
@happysixbert7091 9 ай бұрын
Myamaaa🔥🦁
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 9 ай бұрын
Yoooooo katisha sana king😘🦁💕💕
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 9 ай бұрын
King ukojuu sana huna baya
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 9 ай бұрын
Kiba ❤sana umetisha baba
@AyubuThobias-ud8xm
@AyubuThobias-ud8xm 9 ай бұрын
Mama samia tena alikiba unautan na rais wetu
@fatmahmed5647
@fatmahmed5647 9 ай бұрын
Unyama mwingi wapi kiba ❤❤❤
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 9 ай бұрын
Hivi Mwijaku akilala anakuaje aise huyu kiumbe anachokaga sn Wallah dah
@JoyceAlly-rq1zy
@JoyceAlly-rq1zy 9 ай бұрын
😂😂😂😂 nahis akilala uwa anakoloma kama gari bovu maana syo kwaharakati hzo duuh😳
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 9 ай бұрын
😂😂😂😂 akiwaza mke na watoto wanamtegemea anajitoa fahamu namna hiyo Baba bora sana
@khadijaramadhani3340
@khadijaramadhani3340 9 ай бұрын
The king in the kingdom
@OG_20
@OG_20 9 ай бұрын
Mashabiki wa yang'aaaa mmeimba kwa kupokezana bila kupenda.....😅 mnyama ni mnyama tuu
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 9 ай бұрын
Sisi ni mashabiki wa King kiba pia lazima tumsapot kwani simba si wanampenda mondi pia😅😅😅
@robbyman6213
@robbyman6213 9 ай бұрын
Nyimbo Zinazoishi Vizazi
@user-kg9iq1qb6d
@user-kg9iq1qb6d 9 ай бұрын
King is only one
@user-rc3vo4cs8f
@user-rc3vo4cs8f 9 ай бұрын
Heshima zako tu king
@mathewungani9724
@mathewungani9724 9 ай бұрын
Kuna Mwamba anaupiga kwenye Giza Balaa...
@plasidakombani9604
@plasidakombani9604 9 ай бұрын
Hahaaaa yaanii
@vincentjuma6457
@vincentjuma6457 9 ай бұрын
Nyimbo za Ali ata ukiwa mtu mzima waeza burudika Nazi waeza skiza na watu wazima hakuna matusi
@juliusisack4090
@juliusisack4090 9 ай бұрын
Hapo na mashabiki wa yanga wameimba hiyo nyimbo 😂
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 9 ай бұрын
Yah tumeimba just for fun sisi wote tz yetu ni moja bila simba hakuna yanga imara na bila yanga hakuna simba imara huo ndio ukweli au nimekosea waungwana?
@aminamrisho8878
@aminamrisho8878 9 ай бұрын
😂😂😂
@aamarsuleymain2932
@aamarsuleymain2932 9 ай бұрын
​@@mbaroukrashid6201sawa sawa bila shaka we ni shabiki
@aamarsuleymain2932
@aamarsuleymain2932 9 ай бұрын
Goma la king kiba la mnyama nalipenda mno amemfurahisha na mxee majaliwa maana mama ni yang😊😊😊
@flova7022
@flova7022 9 ай бұрын
@@mbaroukrashid6201 jamaaa Una sehem yako mbinguni ..uko right kabisa his zote timu zetu ten twazpenda
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 9 ай бұрын
Mashallah❤❤❤
@jasminehamisi01
@jasminehamisi01 9 ай бұрын
Alikiba yupo simple sana kaka zetu wengine hapo wangevaa izo kachaa😂
@JoyceAlly-rq1zy
@JoyceAlly-rq1zy 9 ай бұрын
Atakagi mambo meng anava simple af anatokelezea kino sanaa kiba ni 🔥🔥🔥🔥💯💯
@HalimaJuma-de5gc
@HalimaJuma-de5gc 9 ай бұрын
King is king
@khadijaramadhani3340
@khadijaramadhani3340 9 ай бұрын
Mfalme kwenye ufalme wake
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 9 ай бұрын
King kiba ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@user-kv4ud1mp5q
@user-kv4ud1mp5q 9 ай бұрын
Nime enjoy kwa kweli
@ramadhanmzee7113
@ramadhanmzee7113 9 ай бұрын
Mwijaku daaah
@daudinyanda2499
@daudinyanda2499 9 ай бұрын
Alikiba hatumii nguvu kabisaa
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 9 ай бұрын
King km King 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bensonwellya3321
@bensonwellya3321 9 ай бұрын
King
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer 9 ай бұрын
The King 🤴 kiba 🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
@naziratainarhamohamedchimb9470
@naziratainarhamohamedchimb9470 9 ай бұрын
King kiba 🌹🌹🌹🌹🙌
@JacklinebackerGabriel-ir8wv
@JacklinebackerGabriel-ir8wv 9 ай бұрын
❤❤❤mpak mam kafrah
@johngongana670
@johngongana670 9 ай бұрын
Mwana sana Kiba
@user-wd7wz2oh3d
@user-wd7wz2oh3d 9 ай бұрын
King kama king😘
@edwinjhilbajojo2429
@edwinjhilbajojo2429 9 ай бұрын
1❤ 🤴KIBA,,,🥰🥰
@user-bn6or7pn1e
@user-bn6or7pn1e 9 ай бұрын
King kama king hakuna kama yy
@lilwilson6283
@lilwilson6283 9 ай бұрын
Mwijaku 😅😅😅😅
@djumakandolo6090
@djumakandolo6090 9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉King wama king
@jasminehamisi01
@jasminehamisi01 9 ай бұрын
Kiba sauti jamon tamu❤
@godblexxgyunda6060
@godblexxgyunda6060 9 ай бұрын
Only one king
@salumjumah5648
@salumjumah5648 9 ай бұрын
Kuna mwamba hapo anadance hapo noma
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 9 ай бұрын
Hii ngoma hatari
@AnzeraniRadjabu-ll4oy
@AnzeraniRadjabu-ll4oy 9 ай бұрын
Iyo zaidi ya mfalme
@khadija5761
@khadija5761 9 ай бұрын
Mwijaku shikamo😂😂😂
@machasofficialsite6221
@machasofficialsite6221 9 ай бұрын
Mi si shabiki wa mpira kabisa,ila hiyo ngoma ya mnyama nzuri mno
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 9 ай бұрын
Watu wa Sounds wamechemsha Sana tena sana
@paulmsape163
@paulmsape163 9 ай бұрын
Balaa sana
@pharleserasto3114
@pharleserasto3114 9 ай бұрын
Kingkibaaaa
@user-nj9hm6xd5u
@user-nj9hm6xd5u 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mwinjialiyetumwa2302
@mwinjialiyetumwa2302 9 ай бұрын
mwijaku anapitia kipindi kigumu sana 😂😂
@kassidpandu866
@kassidpandu866 9 ай бұрын
jamaa Makali sana kwa kuimba hakuna zaidi yake
@deborahcharles4916
@deborahcharles4916 9 ай бұрын
Ni paje so kizi mkazi nilkuwepo
@omanmwajabumbeguoman8642
@omanmwajabumbeguoman8642 9 ай бұрын
Wee kingiiii❤❤❤❤❤
@jasminehamisi01
@jasminehamisi01 9 ай бұрын
Mmmh karatasi maua😂😂 mbona dukani tukienda na maua au karatasi tuna timuliwa😂😂 pesa ni pesa bana
@khadija5761
@khadija5761 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@binmussahaji4932
@binmussahaji4932 9 ай бұрын
@user-lw4ol9qc9s
@user-lw4ol9qc9s 9 ай бұрын
💯💯💯
@dennismwendwa2549
@dennismwendwa2549 9 ай бұрын
The dj failed us....... Huyo ako chini
@rachelpeter7032
@rachelpeter7032 9 ай бұрын
Ani apo kila mtu ameitikia mnyama 😅😅😂
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 9 ай бұрын
Ila mwijaku ana jitaid sna 😂 huyu baba akilala hiii😂
@rachelpeter7032
@rachelpeter7032 9 ай бұрын
Nyimbo za ali ad viongoz wanazielewa😂😂😂😂
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 9 ай бұрын
❤❤❤
@RichardHabiyambere-qm9pk
@RichardHabiyambere-qm9pk 9 ай бұрын
Ndo king
@zuzhabsia3852
@zuzhabsia3852 9 ай бұрын
Safo sana king
@yogwemwakulola1634
@yogwemwakulola1634 9 ай бұрын
King amchukue uyo jamaa anacheza hapo awe dancer wake
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 9 ай бұрын
Kumbe na wewe umemuona enheeeeee na anacheza vizuri aixeee
@shanimbwando863
@shanimbwando863 8 ай бұрын
🤣🤣🤣kwakweli
Alikiba feat Sabaha - Making of Yalaiti (Studio)
23:50
Alikiba
Рет қаралды 38 М.
Backstage 🤫 tutorial #elsarca #tiktok
00:13
Elsa Arca
Рет қаралды 33 МЛН
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 23 МЛН
🍟Best French Fries Homemade #cooking #shorts
00:42
BANKII
Рет қаралды 56 МЛН
MwanaFA feat Linah - Yalaiti (Official Video)
5:34
MwanaFA
Рет қаралды 2 МЛН
SHOO YA JAY MELODY YAMUINUA ESMA PLATNUMZ, AMWAGA MANOTI
19:41
Wasafi Media
Рет қаралды 74 М.
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu
7:00
VIVAROMA
Рет қаралды 21 М.
Ndaro na Leonardo Waoneshana Ubabe Jukwaani, Ona hapa nani mkali?
21:33
Alikiba ala dili nono; afunguka haya mbele ya Rais Samia
2:50
Mwananchi Digital
Рет қаралды 144 М.
Сумел остановить эскалатор🤯
0:40
WORLD TOP
Рет қаралды 2,4 МЛН
🪄✨️He Got A Magic Can Of Sprite😃👍🤠
0:33
BorisKateFamily
Рет қаралды 13 МЛН
Морская пена 🤯
0:29
FATA MORGANA
Рет қаралды 1,2 МЛН
ВОТ ЖУК ХИТРЫЙ 😂😂
0:42
СЕМЬЯ СТАРОВОЙТОВЫХ 💖 Starovoitov.family
Рет қаралды 1,1 МЛН