Nyinyi mtaongea lakini mwisho wa siku siri za ali kiba hamtozijuwa ng'oooooo mbaka mtakufa 😂😂
@ms_teeonly2 күн бұрын
Mpaka
@JeannetteManirambona-o6m2 күн бұрын
😂😂
@ramgainmkubila1213Күн бұрын
Kabisa an jamaa anajua kuwavuruga watu😅😅😅
@saumumresh1198Күн бұрын
😅😅😅
@MbomabolonyaPatrick2 күн бұрын
Alikiba afanye nguvu arudishe Amina
@mussandikumana35612 күн бұрын
Kwa nini Amina asifanye izo nguvu wote wanaitajiyana kwa ajili ya watoto wao
@Sidrasidra6362 күн бұрын
Kabisa
@zuweinaalhabsya8773Күн бұрын
Ali kiba ni mwislam kwa hivyo hasherekei christmas.
@EMMANUELGENERAL-n1rКүн бұрын
#Sns Kwani Mna Uhakika Alikiba aliachana na Amina??
@SuleAmber-lw2tx2 күн бұрын
Kiba the KING🔥🔥🔥
@Aisha-k2oКүн бұрын
Kiba shem tunatakq dem kimya kimya
@OnlyRuky2 күн бұрын
SnS mbona mnajisahau?hii ni mara 3 mwaka huu King kuwa na watoto since wagombane Nanyie pia mlipostigi Ali alivyoendaga kuwaona watoto n kucheza nao😢 After kuandika I'm free Amina, Ali aliwaigi kukanusha hajawaigi kutoa talaka muwe n kumbukumbu wandugu😢
@shwaibukhatibu28382 күн бұрын
Alikiba atakuwa na nyumba mombasa
@princekarani783611 сағат бұрын
Ndio,aliinunuaga kitambo sana,baada ya kufunga ndoa na Mke wake Amina
@pedropedroagira39802 күн бұрын
Mimi nasherekea Leo mz🇲🇿
@salimbilali51742 күн бұрын
Uyo bahati ako n emotions zake....ashatendwa
@FestoMadumba2 күн бұрын
Yeye n muislam na Christmas wap na wapi
@ClementJonh-g5uКүн бұрын
Ndio ujinga wenyu iyo Muslims kwani asitembelea watoto wake
@nikrahayubu-sz3pwКүн бұрын
Aende lkn sii kusherekea sisi waislam ni Haram kusherekea hyo shereh wanao sherekea mabubu na Wala hawaijui dini Yao @@ClementJonh-g5u
@makaroyakisasa71992 күн бұрын
Safi sana my role model
@MsAggie52 күн бұрын
Hebu acheni kumuweka mtu Kati mdada WA wenyewe, kwani ukielewa na kuwa na watoto wawili ndo unatakiwa ukae mwenyewe bila mahusiano miaka mingapi? Na wakati mumeo ana wadada kila siku! Kwani nani kawaambia ki biologia tumeumbwa tofauti?
@mohammededy70862 күн бұрын
Kiba msiri
@djumajaymoni1088Күн бұрын
Kumbe Esma platnumz ni mtangazaji😢
@ashamahadi52812 күн бұрын
Hakuna kuachana hapo zuga tu mambo ndio kwanza bulbul. Imshallah atadumu naye, mambo ya.mtandao nayo yanakera hata ukikwama na mwimba wa samaki, inakuwa nongwa.