ALIKIBA ATANGAZA RASMI KURUDI YANGA KISA CHAMA/NITAIMBA YANGA DAY/KWA USAJILI HUU YANGA BINGWA TENA

  Рет қаралды 189,865

Scope Media

Scope Media

22 күн бұрын

#alikamwe #azizki #msuva #yanga #yangasc #yangatv #hersisaid #live_ #mayele #yangaleo

Пікірлер: 124
@alfanimwakipesile19
@alfanimwakipesile19 14 күн бұрын
Kaba WEWE ni MTU nzuri sana HUNA chuki na wasanii wenzako HONGERA SANA kaka MWENYEZI MUNGU atakulia zaidi
@praizmwabukusi3452
@praizmwabukusi3452 15 күн бұрын
Apo kiba mm nimekukubar zaid bro, ww sio mnafiki bro kiba❤❤❤ Umeongea reality kumuhusu mond
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 20 күн бұрын
Kiba umeanza kuonesha kukua sio mwanzo kila utakachohojiwa kuhusu chibu ulikua na majibu ya kitoto sasa umekua wale ni wadogo zako majibu ya busara kama hayo ndio fans wakutosha utapata maisha yanasonga safi
@Rumbakweka
@Rumbakweka 12 күн бұрын
Sabb n kuwa na media
@shikuhata
@shikuhata 14 күн бұрын
Moja ya interview yenye majibu ya kisomi na heshma yake. Hongera sana King
@mariamnchimbi7866
@mariamnchimbi7866 18 күн бұрын
Karibu Tena Yanga Bro, Ulituchanganya sana kwenda Simba.
@user-habarinamichezo
@user-habarinamichezo 9 күн бұрын
😂😂😂unachangnywa na mtu alokuw humpi mia yko Pole xna
@user-qu4wz1wo2f
@user-qu4wz1wo2f 17 күн бұрын
Simba nguvu moja❤
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 19 күн бұрын
Safi kiba nakupendaga saaana una busara sana
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 20 күн бұрын
Utafika mbali sana Kiba karibu sana Yanga utapata follower wengi huku nyumbani kumenoga
@NelbatKasekwa
@NelbatKasekwa 20 күн бұрын
Alikiba wewe nimsani mkubwa na mkongwe na unabisara🎉🎉🎉
@EliusGamanywa
@EliusGamanywa 14 күн бұрын
Aya bana mwanabisara😂
@EsterMbilo
@EsterMbilo 20 күн бұрын
king kiba salute kwako tusiwadiis value wasanii wetu
@dicksonjanuary1262
@dicksonjanuary1262 20 күн бұрын
Jielewa bro safi sana sema watangazaji wetu baazi yao wanafiki anataka umbea
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o 20 күн бұрын
Mijtuuuu miongoooo keshooo motoniii mboniii cjackiaaa ariposemaaa narudiii yangaaa kisaaaa chama
@CatherineAmos-zw8dx
@CatherineAmos-zw8dx 20 күн бұрын
Kichwa cha habari kingine na Maongezi ni mengine jaman
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 6 күн бұрын
Uko vizuri sana bro
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 20 күн бұрын
Kiba sasa umekomaa safi sana dogo
@RashidiTwalibu
@RashidiTwalibu 14 күн бұрын
Oya dogo nakuku bali sana mungu akulinde na akupambanie sana
@NemesMasawe
@NemesMasawe 20 күн бұрын
Nice king kiba
@NeemaValentina
@NeemaValentina 18 күн бұрын
Asante kwa kjitambua
@habibukhatib2615
@habibukhatib2615 9 күн бұрын
Busara ndio nguvu ya majibu ya maswali yote hongera sana king 🤴 nakukubali sana
@Broken_Beats__23
@Broken_Beats__23 9 күн бұрын
Huyu mtoto wa Iringa anapaswa apewe uwaziri kabisa kulingana na tasnia yake❤
@SukaDmGuy
@SukaDmGuy 17 күн бұрын
Bro Kiba nikipewa uongozi mbinguni una nafasi yako kwa interview uliyoifanya umetisha sana
@user-ot5us9mz9w
@user-ot5us9mz9w 15 сағат бұрын
Ukweli sana Kiba ameeleza kitu kikubwa
@malikebumoshiselemani440
@malikebumoshiselemani440 19 күн бұрын
Alikiba anaHEKIMA hata katika ongea yake maneno yake ni yenye busara pia hujibu swali kwa hekima na si Kwa madaa au kujionyesha waSanii wengine wahige mfano kwa ALIKIBA
@cessianthony2644
@cessianthony2644 7 күн бұрын
Kisa chama...kachoka kuugulia maumivu...😂😂😂😂 abaki huko huko
@IsackOppa
@IsackOppa 5 күн бұрын
Kiba kiba kiba nmekuita mara 3 bro unajua sana.....big up bro! Ila kuhusu muandishi wa hii page mshenz kinoma unaandika heading tofaut na yaliyomo fala wew
@KondoNgoma
@KondoNgoma 20 күн бұрын
Utafika mbari sana
@masudiitembele7036
@masudiitembele7036 14 күн бұрын
mbona hamna sehemu alipo ongea kuhusu kuhamia yanga CHANNEL HII YA KISENGE ndio maana AYO anawacha mbali.
@sostenvictor4764
@sostenvictor4764 10 күн бұрын
Ni kwel media imezngua
@festokizinga-px2fn
@festokizinga-px2fn 9 күн бұрын
Kichwa na content haviendani 😅
@yohanaeliazary6942
@yohanaeliazary6942 7 күн бұрын
Umeona mm nilikua nafatilia ilo neno wamejula mb za bule mbwa hawa
@gracekatawa1990
@gracekatawa1990 3 күн бұрын
😅😅😅😅ndo nashangaaaa hata mimi
@UpendoJackson-pf4kq
@UpendoJackson-pf4kq 7 күн бұрын
Nimekupenda sanaa
@rajabukamis9411
@rajabukamis9411 18 күн бұрын
Bro kiba kwa sasa upo vzr na umekuwa kimuziki
@thobiassamwel4077
@thobiassamwel4077 9 күн бұрын
Ukiona mtu hana msimamo kwenye timu anayoshabikia basi hata maisha yake hayana msimamo😮
@Pachaboy-k2b
@Pachaboy-k2b 18 күн бұрын
Safi Sana' mtuwa watuupovzuli nakukubali Sana hunabaya mdogowangu
@gastomponji
@gastomponji 4 күн бұрын
huo ndo usani bora kukubali anachofanya mwenzako❤❤❤❤
@tariknassoraucho5814
@tariknassoraucho5814 5 күн бұрын
Aloandika Caption n mas...ge
@SanuraMnaziru
@SanuraMnaziru 4 күн бұрын
Mmmmmmh jaman karibu sana yanga
@MituniIssa
@MituniIssa 15 күн бұрын
Nyie ni wasenge kwann mnahusisha yanga na viroja vyenu nikipande gani alikiba alichoizungumzia yanga?
@ShabaniSelemani-k7n
@ShabaniSelemani-k7n 18 күн бұрын
Safi sana king kuludi yanga
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 20 күн бұрын
KIBA KAKA ULE WIMBO WA SIYO LEO LOO HATA KM NANI LAZIMA TUUCHEZE. NI WIMBO BORA NA MZURI SAAAAANA. TUTUNGIE MWINGINE SIMBA DAY KIBA NI MWAMBA HONGERA SAAANA MWAMBA
@kaluaabdallah6506
@kaluaabdallah6506 8 күн бұрын
Anafosi yanga day lazima aimbe yeye kama alivyoimba Simba Ili mradi tu sifa ziwe upande wake katika timu zote mbili
@MwilikwaNgongo
@MwilikwaNgongo 17 күн бұрын
Wewe hunataka hama yangatena kwenda kumkomowa diamond alkiba wewe hahuna akili sawa
@glorysilayo1034
@glorysilayo1034 4 күн бұрын
Hata km mnataka viewers sio ushenz huo
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 20 күн бұрын
KIBA TUNAKUTEGEMEA SIMBA DAY. WEWENIMWAMBA
@ZachariaDottoz
@ZachariaDottoz 7 күн бұрын
nimesikiliza hadi mwisho sijaona alipo zungumzia mambo ya simba au yanga ila waandishi wa bongo khaa 😂😂😅
@winfredmasheyo2477
@winfredmasheyo2477 20 күн бұрын
Chaaaamaaaaaaa
@aminihamisi3551
@aminihamisi3551 13 күн бұрын
Sijasikia akisema kurudi yanga
@technology.0508
@technology.0508 15 күн бұрын
Unamjua simba mnyama
@user-pc5uw7qo1x
@user-pc5uw7qo1x 20 күн бұрын
Wamesha kushauli sasa usimponde chibu maana utakosa wateja wa kusikiliza radio yenu
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 7 күн бұрын
Mnyama mnyama anaumwa anaupiga 😅😅
@NehemiaMagori
@NehemiaMagori 12 күн бұрын
Dah kumbe shabik mandaz😅😅
@eliadausen3025
@eliadausen3025 16 күн бұрын
Poa kaka karibu ila kiba naomba namba yako
@muthefuture
@muthefuture 4 күн бұрын
Siku akili zikikuludia kalibu tena Simba
@lucylameck4589
@lucylameck4589 3 күн бұрын
Kule ulikuwa umeenda kujaribu naona umerudi nyumbani kumenoga
@Hellena-ds3bp
@Hellena-ds3bp 19 күн бұрын
Broo haoo niwanafki wishing uwezavyo
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg 20 күн бұрын
Bado Haji kurudi alikotoka
@alakomba6830
@alakomba6830 16 күн бұрын
Yaani kiba ujanja wote huo ulikuwa upande ule😢
@HusseinShuga-e3g
@HusseinShuga-e3g 17 күн бұрын
Acheni uongo wapi kasema amerud yanga?
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 15 күн бұрын
Ila media zingine ni zakisenge wap wameongelea yanga hiv mtakuja kukua lin
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 15 күн бұрын
Wajinga kumbe na ww umeona
@ancyblix
@ancyblix 9 күн бұрын
Kilichopo kwenye headline na content ya kwenye video haviendani kabisa channel ya hovyo hii
@AsiaKidunu-nm2ik
@AsiaKidunu-nm2ik 17 күн бұрын
Ndumila kuwili 😂😂😮Ogmore ndiyo hiyo
@paulinakiria7918
@paulinakiria7918 11 күн бұрын
Ivi ameongelea wapi kuhusu kurudi yanga Fala nyinyi
@dicksonjanuary1262
@dicksonjanuary1262 20 күн бұрын
Kb anajielewa sana
@user-hw8bb9jo9j
@user-hw8bb9jo9j 20 күн бұрын
Kwer kaka
@user-gf9uw1zz3d
@user-gf9uw1zz3d 19 күн бұрын
Niandike Tanzania the best Kwan mm mwiz😂😂
@MirroAsinaly
@MirroAsinaly 9 күн бұрын
Leo umeulizwa swali umejibu point mnah ulikuwa ni mtu wa mjungu tu
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 16 күн бұрын
Ninavyomjua kiba anamsimamo xana hawez kurud utopolo
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 15 күн бұрын
Wewe wasema,kiba nimyanga yanga Toka makuzi yake Ila kwakua wewe upo ukolokoloni ndio unamsemea king
@CastorOmmy
@CastorOmmy 14 күн бұрын
Mbona sjaskia anaposema ameridi yanga
@dansimpasa7440
@dansimpasa7440 13 күн бұрын
Hata Mimi sijasikia
@dicksonjanuary1262
@dicksonjanuary1262 20 күн бұрын
Duuuuh
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 17 күн бұрын
Waandishi bana mnafeli xana kwahiyo ili muziki wa bongo ukue ni lazima uchezwe na wasanii wa nje kiba hamtomuweza kamwe
@salumchoma8731
@salumchoma8731 20 күн бұрын
Nikitema unashibaaa,bwana mdogoooo. Bwana mdogox2 K/njaro,napanda miye, bwana mdogooo, Bwana mdogooox2
@yohanayohanaadamu6483
@yohanayohanaadamu6483 17 күн бұрын
Hamuna k2 hapo amefuata ela2 😂😂😂😂😂😂
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le 16 күн бұрын
Usirud yanga kiba cmba kumenoga baki huku huku
@user-mi7yx8ew1k
@user-mi7yx8ew1k 15 күн бұрын
Kumenogeshwa na nn
@Wish_Tv
@Wish_Tv 16 күн бұрын
Atuwataki kaama chama wewe bakiki uko uko uwaimbia na jimbo lako la mnyama anampinzani akawa wa 3 uko 😅usitutie nuksi
@lightnesshassan5814
@lightnesshassan5814 19 күн бұрын
Nyie wanahabari mnakewewa kila siku kuhusu habari zenu mbovu mnazo riport Sasa angaliena Sana
@geraldkirenga7159
@geraldkirenga7159 18 күн бұрын
Nimependa unavyojibu maswali ya waandishi kwa kutulia, busara na umakini
@ChegeChigunda-v2g
@ChegeChigunda-v2g 14 күн бұрын
Msenge ww hauelewek xhabik gan choko Kama ww mchicha miba
@TheRobertCK
@TheRobertCK 5 күн бұрын
Pumbav nyie ndo maana hamfiki mbali jinga kabisa
@FeristaPaulo-v7d
@FeristaPaulo-v7d 9 күн бұрын
Karibu sana nyumbani mwana mpotevu. Kule hapakuwa sehemu sahihi ugali na sukari ndio zao.
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 20 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@JacksonKaloli-du7vq
@JacksonKaloli-du7vq 20 күн бұрын
kiba sio poa kaka nikweli kuna kunsnchi saa3 usiku nchi nyingine kweupe
@aminaomary5567
@aminaomary5567 18 күн бұрын
Kila la eri Kiba kurudi yanga na Mondi tunamkatibisha kurud nyumban kwake Simba kama jina lake simba Dangote.
@SalaSaid-xv4wf
@SalaSaid-xv4wf 17 күн бұрын
Yes ❤❤
@HadijaAdam-ct6wf
@HadijaAdam-ct6wf 12 күн бұрын
Sijasikia mbona akisema kurud yanga😢
@user-ci6em5kr8g
@user-ci6em5kr8g 20 күн бұрын
Kiba Big up
@dicksonjanuary1262
@dicksonjanuary1262 20 күн бұрын
Duuuuuuh
@allysunday8614
@allysunday8614 19 күн бұрын
Yaani kichwa cha habari na kilichoongelewa havifanani....hamna weledi.....
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 15 күн бұрын
😂😂 yan nimeikalili hi media nikiiona siiangalii maana ni waongo wakubwa wamenimalizia mb zang
@robertchazya2351
@robertchazya2351 16 күн бұрын
Pumbav ndo maana hamuendelei 😠
@innosentmolel8057
@innosentmolel8057 18 күн бұрын
mtoa post bhana ulicho andika na mahojiano yako na king ni vitu viwili tofauti wapi ameongea kua anarudi yanga kisa mwamba walusaka
@user-rq8go6cf8l
@user-rq8go6cf8l 16 күн бұрын
Yow
@FabianSanga-d2i
@FabianSanga-d2i 20 күн бұрын
Sawa
@AhmedAbdallah-cv6rn
@AhmedAbdallah-cv6rn 20 күн бұрын
Simba wabovu Sanaa 😂😂
@user-cs1im9pc2u
@user-cs1im9pc2u 20 күн бұрын
shida akina ashura chuchu akili zao hakina akili , mtu anaongelea kazi wanawaza kurudi yanga
@Kadeslersoap
@Kadeslersoap 17 күн бұрын
😂😂😂😂
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 14 күн бұрын
Acheni uzwazwa
@christinanyalusi6341
@christinanyalusi6341 4 күн бұрын
Shabik mandazi
@MashakaMakamba
@MashakaMakamba 14 күн бұрын
Ondoka kwani wewe nani unatoa mchango wako kwenye simba
@patrickilambona5042
@patrickilambona5042 16 күн бұрын
Sijaona aliposema kurudi yanga mwaandishi kumanyoko zako
@FerdinandCharles-ko7de
@FerdinandCharles-ko7de 15 күн бұрын
😂😂😂 yan yanaboa balaa nataman hata nilipwe fidia
@bundalahamza8902
@bundalahamza8902 16 күн бұрын
Ukuwahi kuwa Simba wewe
@AdamGeorge-i3m
@AdamGeorge-i3m 16 күн бұрын
@BrayMark-d3z
@BrayMark-d3z 14 күн бұрын
Hi nimupya
@lundimbekelu8866
@lundimbekelu8866 14 күн бұрын
Mamluki hao
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 19 күн бұрын
Xavi mtupu
@zahorhemed1045
@zahorhemed1045 19 күн бұрын
Kiki huna jemgine
@JoyceDaniel-g3e
@JoyceDaniel-g3e 18 күн бұрын
Ujinga tu ulichoandika ni sawa na alichozungumz?
@BrightonElias-lh1ty
@BrightonElias-lh1ty 14 күн бұрын
Mjinga ww ulieangalia👊
@user-hs7um1rf8s
@user-hs7um1rf8s 10 күн бұрын
utoopolo wote ni washamba sana hata club yao wanaindesha kiuni kitapeli
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 20 күн бұрын
Yanga bingwa adi 230😁
@user-kr2qr8vx1x
@user-kr2qr8vx1x 14 күн бұрын
Umetisha kiba wewe kiwango ulicho fikia mwanangu ni kikubwa sana sana ujui kifupi umefika mbali sana kimaendelo na upendo misifa.ninacho kushauri kama mama Yako..kama ulivyo sema hapo ni nyumbani jitaidi usiwe na kinyongo na mtu yoyote baba samee yote hili mungu aachilie baraka kwako..pambana na kazi Yako mwanangu Mimi mwenyewe nakupenda mwanangu Kwa maneno ya hekima na busara Kwa kibu mungu akubariki na kukufungulia milango ktk kazi.
@user-kr2qr8vx1x
@user-kr2qr8vx1x 14 күн бұрын
Usijari watu wanasema nini..jari kesho mungu atanipa nini..tutayashindia hayo yote.
@camilomassao8971
@camilomassao8971 4 күн бұрын
😮😮umesikia wapi
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Kaizer Chiefs vs Yanga | Young Africans | Friendly Games
8:46
phoenix daily trends
Рет қаралды 162 М.
🚨LIVE: SIMBA SC 2-1 TELECOM LIVE LEO
1:10:17
Simulizi Forum TV
Рет қаралды 95 М.
Kaizer Chiefs vs Young africans Toyota Cup Highlights (0-4)
9:21
HOME OF DISKI
Рет қаралды 176 М.