ALIKIBA KAMCHANA DIAMOND KUHUSU SHOW YA WASAFI "YEYE NANI?, NIKO BIZE, DEBE TUPU LINAPIGA KELELE"

  Рет қаралды 268,102

Millard Ayo

Millard Ayo

11 ай бұрын

Пікірлер: 406
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 11 ай бұрын
Alikiba nakupenda San majibu yako king upewe ulinzi wakutosha ❤❤❤❤❤❤❤❤
@khadija5761
@khadija5761 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@JacksonRichard-bp7ex
@JacksonRichard-bp7ex 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@khadijajuma6271
@khadijajuma6271 11 ай бұрын
Nimerudia alivyojibu kuhusu zuchu, Ali kiba is the best❤❤
@jackiemuthami1723
@jackiemuthami1723 11 ай бұрын
Hapo kwa zuchu nimependa jibu lako👍
@jackisrael.I.B.E.X
@jackisrael.I.B.E.X 11 ай бұрын
It is the Yell for me🎉kuonesha kwamba huyo dada amehisi raha sana kumhoji Ali King ❤❤❤tangu enzi za Nakshi Mrembo Kiba ni Fire🔥🔥🔥😍
@jaymandy8136
@jaymandy8136 11 ай бұрын
Leo ndo nimeamini wanaogombanishaga wasani ni ninyi waandishi wa habari yaani maswali yote yanayoulizwa nia kichochezi tu na ugombanishi . So sad
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 11 ай бұрын
Wajinga sana hawa wadishi
@adammlukago8216
@adammlukago8216 11 ай бұрын
Uko sahihi kaka
@nehzreal7445
@nehzreal7445 11 ай бұрын
Hawa watu wote wako kwa biashara elewa ivo wasanii nawaandishi wote wanatafta mashabiki ili kuimarisha biashara na kazi zao
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 11 ай бұрын
Waandishi wa wabongo wanapenda umbeya hawana jipya
@deomwaikeke883
@deomwaikeke883 11 ай бұрын
Umesikiliza kama mimi, nimeamini hilo pia. Maswali ya uchochezi. Wnaacha maswali ya msingi....😂😂😂😂
@mikathedon
@mikathedon 11 ай бұрын
I like this dude he's so humble...mungu akulinde bro
@abuumohammed6292
@abuumohammed6292 10 ай бұрын
huyu anawivu sana
@nsabimanaabedi541
@nsabimanaabedi541 11 ай бұрын
Hayo ndio majibu ya mtu mwenye akili .bila kejeli tena alikiba anajuwa kuzibiti maswali ya wandishi .Safi sana Ali K
@hassanihamadi3141
@hassanihamadi3141 11 ай бұрын
zuchu namuheshimu sana.. that is nice👊
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 11 ай бұрын
nimeikubali hii ya zuchu kwamba unamweshim hutaongea chochote kumhusu i appreciate you king ki
@Zuulito
@Zuulito 11 ай бұрын
Huyo dada sijui wa media gani ana sauti nzuri MashaAllah
@clarangowi4402
@clarangowi4402 11 ай бұрын
Hilo jibu la kiba linafurahisha sana jamani. Na nyie waandishi mungu anawaona😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 ай бұрын
Umeongea vizuri, ni waandishi Tu wanakuza Mambo,,,,,
@dockaridk
@dockaridk 11 ай бұрын
You're so mature kiba I wish ungeenda tu ,because you're the 🤴 king
@ghotmedia
@ghotmedia 11 ай бұрын
Dah! Alikiba ana busara sana ,, wanajaribu kumgombanisha anaruka na Hana wasiwasi anavyojibu ase
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 11 ай бұрын
Uyo ndio king ilove you kiba❤❤❤
@kingevarist6653
@kingevarist6653 11 ай бұрын
Heshima yako vidooooooo🔥🔥🔥
@vidovidox2632
@vidovidox2632 11 ай бұрын
Asante sana
@collinsmudaida9283
@collinsmudaida9283 11 ай бұрын
"Thanks king,we love you bro" ✍️👏✔️
@Samsonilaizer
@Samsonilaizer 11 ай бұрын
King 🤴 👏👏
@JamilSalanga-bv9of
@JamilSalanga-bv9of 11 ай бұрын
Yaaaan maswal yoote ni wasafi kwan hamnaga maambo mengine ya kuuliza 😂😂😂😂
@alihussein832
@alihussein832 11 ай бұрын
Waiting
@skeeteranderson375
@skeeteranderson375 11 ай бұрын
Keeling huyu ni King eti acha ujinga ww kitajiri flaaani hivi I love that
@mrcaro4141
@mrcaro4141 11 ай бұрын
Hi
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe 11 ай бұрын
King
@clintonbosire
@clintonbosire 11 ай бұрын
Kiba unanibamba leo❤❤
@james_officialtz883
@james_officialtz883 10 ай бұрын
Alikiba ni mtu na nusu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@farahali-xh4ej
@farahali-xh4ej 11 ай бұрын
The real king👑🇰🇪
@mayanzimipawa3397
@mayanzimipawa3397 11 ай бұрын
Alikiba ana akili sana. Anajibu kikubwa@Bif up King
@malichanda3146
@malichanda3146 11 ай бұрын
King 👑 saluti kwako
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 11 ай бұрын
Ila kiba,et debe tupu😂😂😂😂😂😂
@justerkaregi8044
@justerkaregi8044 11 ай бұрын
Yani nimependa alikiba jameni ❤
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt
@ChimamamermitaKatembo-vm8vt 11 ай бұрын
💪💪💪❤️❤️❤️
@singidaone5628
@singidaone5628 11 ай бұрын
Ila kiba hua anazarau sana majibu yake tu jibu tosha
@flova7022
@flova7022 11 ай бұрын
Anajibu hivyo kwasababu wanamuuliz maswali ya kichonganishi. Hata ningekua mm Tena hapo ni kawajibu very wisely
@joycemageta4876
@joycemageta4876 11 ай бұрын
Kiba ukimheshimu nae ana kuheshimu ❤❤❤❤ Nakupendea hapo tu bro
@iddimmbucwa3618
@iddimmbucwa3618 11 ай бұрын
King king nakukubali sana
@user-ig1ou8nr9p
@user-ig1ou8nr9p 3 ай бұрын
Vile amesema Niko busy 👍👍👍👍👍👍👍
@rarkia7452
@rarkia7452 10 ай бұрын
King kiba nimeipenda hyo zuchu namuheshim sana..umeonesha uwanaume...mwanaume hashindan na mtt wa kike....jamn..nimekaelew hako
@bonfacebonafide7220
@bonfacebonafide7220 11 ай бұрын
King 🙌🏻❤
@kombakomba7922
@kombakomba7922 10 ай бұрын
The king himself 😍😍😍😘😘
@user-zs7rw8rl8c
@user-zs7rw8rl8c 6 ай бұрын
Nakupenda san king mwenyez mungu akuongozee
@salumhilary8526
@salumhilary8526 11 ай бұрын
Safiiiii unajibiwa kama unavyoulizwa...hakuna kupindapinda..king
@bossmtoto133
@bossmtoto133 11 ай бұрын
Hapa kwenye kolaba kajibu vizuri 😅
@user-dw9ig4kb4f
@user-dw9ig4kb4f 10 ай бұрын
safi broo alikiba ilanatamani ufanye corabo na diamond nitapenda
@johnbidya119
@johnbidya119 11 ай бұрын
Kaka umekuja ku support au kuonesha una support.
@alloysiusngala1274
@alloysiusngala1274 10 ай бұрын
dude got brains!!!
@paschaledward8670
@paschaledward8670 10 ай бұрын
King ni king tu 👏 👏 👏
@BigirimanaSalum-xy6zg
@BigirimanaSalum-xy6zg 11 ай бұрын
Yani kiba kupndeza huwa ni vigum kwake
@magutadickson6900
@magutadickson6900 11 ай бұрын
Jamani mond akusema vibaya mbona mnakuwa ivyo
@SaddamWakanai
@SaddamWakanai 8 ай бұрын
@davidmvile5716
@davidmvile5716 11 ай бұрын
Ukiskia msanii mkubwa ndio huyo hana kelele za kubishana na kina zuchu yani Dah nakukubali sana kiba
@queenmollel6739
@queenmollel6739 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂Na hiyo kofia ya kapelo
@JemimaNyange-si8cr
@JemimaNyange-si8cr 11 ай бұрын
Muongo
@leahzuu6468
@leahzuu6468 11 ай бұрын
​@@queenmollel6739😂😂😂😂nimejua kucheka wewe
@EmmanuelyMoshi
@EmmanuelyMoshi 10 ай бұрын
Alikiba nimoto namkubali Sana
@PROFESSORSHEDY
@PROFESSORSHEDY 11 ай бұрын
King kama king ❤❤❤
@mrh2812
@mrh2812 11 ай бұрын
jamaaa ana zarau sana
@user-zs7rw8rl8c
@user-zs7rw8rl8c 6 ай бұрын
❤❤❤❤
@honestakitomari7048
@honestakitomari7048 11 ай бұрын
Aisee umekomaa aka akili yako imepevuka sanaa.keep it up.umejibu kila kitu kikubwaaa😂😂😂😂
@TALLUBOY
@TALLUBOY 11 ай бұрын
Kaka umejibu vzr sanaaaa
@georgesbkalumbigbk458
@georgesbkalumbigbk458 11 ай бұрын
Nice
@mjungatv8172
@mjungatv8172 11 ай бұрын
Kiba Ndimu😄
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 11 ай бұрын
Mimi ni Team Mond lkn nampenda sana King Kiba anaakili mno
@haidarybrown427
@haidarybrown427 11 ай бұрын
Okay
@Memphisblue22822
@Memphisblue22822 11 ай бұрын
Honestly AYO TV ni DIAMOND PLATNUMZ HATERS ...
@HidayaKarim-wy9yc
@HidayaKarim-wy9yc 11 ай бұрын
Yebaba 🔥
@user-zk3qz5lb4q
@user-zk3qz5lb4q 10 ай бұрын
❤❤❤
@geeva99
@geeva99 11 ай бұрын
Akili za hawa waandishi zina sensor kuliko hizo mic 😂😂😂
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe 11 ай бұрын
Uyu naye ndo maneno gani eti debe tupu😅😅
@user-xt2kq1ot6n
@user-xt2kq1ot6n 5 ай бұрын
good
@user-zk3qz5lb4q
@user-zk3qz5lb4q 10 ай бұрын
Nakupenda sana kwa majib mazur umeonesha upendo mkubwa
@kimwanahamisi8551
@kimwanahamisi8551 11 ай бұрын
Niko bize na shughuli zangu 👏
@bminawandu
@bminawandu 11 ай бұрын
Nynyi wahandishi wa bongo viazi Amna maswali ya maana kumuliza kifupi amjielewi
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 11 ай бұрын
Ehhhh...Waandishi wa habari jamani,mbona wagombanishi Sana🙌🙌🙌
@aliiseif3875
@aliiseif3875 11 ай бұрын
Kwa jinsi Ali Kiba alivyo muongelea Zuchu inaonesha ni jinsi gani ana heshima na wanawake we like kama umeona kama mm
@munashabani
@munashabani 11 ай бұрын
Sasa Mimi napenda Ali kiba wa ivi yupo sawa kabisa
@hemednassor4560
@hemednassor4560 11 ай бұрын
Kwa mr blue hajenda kuma tu uyo
@AlexGwambie-xr2hm
@AlexGwambie-xr2hm 11 ай бұрын
Alikiba akir kotentena nguvu kisoda nakukubali kinomanoma huna mkuu bro🙏🙏
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj 11 ай бұрын
Big up king 🤴 Achana na wanazi kina mama hao pambana mzee ✌️
@PROFESSORSHEDY
@PROFESSORSHEDY 11 ай бұрын
Yaap yaap❤❤❤
@mohamedally121
@mohamedally121 11 ай бұрын
Ila alikiba daaah
@user-vb9fz1nc7l
@user-vb9fz1nc7l 11 ай бұрын
Kaka nakupenda San nafulah kusikia mamanen yak hay kuhus huy ndg yet
@abuumohammed6292
@abuumohammed6292 10 ай бұрын
ALIKIBA NI MTU NAUGUA WIVU YAANI ANMUONEA DIAMOND WIVU vile amefanya mambo mengi ambayo yeye hajafanya NAWIVU SANA
@missmwayway4704
@missmwayway4704 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Alikiba bhana
@oscaroscar2555
@oscaroscar2555 11 ай бұрын
Alikiba hana mbamba mba sema w Vido vidox unatafta ugomvi
@keynaasumani87
@keynaasumani87 10 ай бұрын
Nakupenda kiba uyo zuchu tumuace njisi alivyo hhhhhhhh
@jescaenock-lg4ch
@jescaenock-lg4ch 10 ай бұрын
good sanah broo
@Sayujibamaige-kt7ik
@Sayujibamaige-kt7ik 10 ай бұрын
Waoooo nimependa sana😃😃😃
@jescaenock-lg4ch
@jescaenock-lg4ch 10 ай бұрын
worry out
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 11 ай бұрын
Mm ndomana NAMPENDA KIBA SAABAB MUELLEWA NA MSTAARAB
@eliudimfilima8064
@eliudimfilima8064 11 ай бұрын
King Simba Mnyama🦁
@ameirameir4930
@ameirameir4930 11 ай бұрын
Waandishi hovyo kabisa maswali yao hayaoneshi dhamira wala nia ya kuukuza mziki ni uchochezi na majungu na kufuatilia maisha ya private ya msanii utarajie kupata majibu mazuri kweli???? Badilikeni waandishi hii ni aibu
@vidovidox2632
@vidovidox2632 11 ай бұрын
Wewe Ndio Hovyo Sasa…
@isayamgeni3572
@isayamgeni3572 11 ай бұрын
​@@vidovidox2632...kaka Fido ..ushaul wangu akil yako naiamin mno.chonde usiludie maswal ya hovyo...hAyo so sainz yako unatuonea mashabik nzako..samani kaka Kama nimekukwanza
@Malvo_Boy
@Malvo_Boy 10 ай бұрын
Naitaji saport zenu
@josephatmashaury6873
@josephatmashaury6873 11 ай бұрын
😮kiba anaonyesha ana kihoro ana roho mbaya ka limyama poli lisilo na ubinadan nahapa kama hajamgusia diamond hakuna wimbo unaweza trend kwa two weeks na hawezi acha beef kwa sababu atakosa kiki nampenda xana kiba ila namshaur abadilike awe mbunifu istoshe ni m2 wa dini wanatufunza nn sis tunaowatazama😢😢😢😢 mond nakupa maua yako🎉🎉🎉
@leahzuu6468
@leahzuu6468 11 ай бұрын
Meona eee chuki Sana na ataishia ivyoivyo
@taseleli9181
@taseleli9181 11 ай бұрын
Sasa hapo kajibu nini kibaya mpaka uongeee hayo yote acha chuki binafsi Kwa Kiba
@queensalema5262
@queensalema5262 11 ай бұрын
​@@taseleli9181nashangaa,et anamshaur kiba😅wakat Kiba kamzid Kila kitu
@joetchatv1453
@joetchatv1453 11 ай бұрын
​@@leahzuu6468ww ni team mond Baki hukohuko
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 11 ай бұрын
Usichukulie mambo personal sn ao wote wanajuana sn sn bifu zao zinasaidia Taifa hili na ndiomana wamewasahaulisha kuhusu bandari huoni akili nyingi wanaotumia vijana ao
@Mohaa4309
@Mohaa4309 11 ай бұрын
Duh waandishi wa habari wallah😂 kiba et sasa mm ndo niwabariki tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@francisconaini1756
@francisconaini1756 10 ай бұрын
Mmmh king hatoboi kimataifa🤣🤣
@user-do3uq1zt7f
@user-do3uq1zt7f 6 ай бұрын
King kafanana na air tz Manula
@LimbuShimba
@LimbuShimba 8 ай бұрын
Alikiba ni msanii wa kuigwa
@dicksonmutua1034
@dicksonmutua1034 10 ай бұрын
King Kiba 👑
@Zeelao
@Zeelao 11 ай бұрын
Yeye siyomtu wakubaliki NYIMBO 😂😂 Kiba bhn
@alcadoathumani9957
@alcadoathumani9957 10 ай бұрын
Mwambaaaa hakose majibu yake ❤❤❤❤
@BigjayBonar
@BigjayBonar 11 ай бұрын
Kazee kazima ovyoo kanaroho mbaya sana toka muujana wake🤣🤣
@olomiBeboy
@olomiBeboy 11 ай бұрын
waandishi wa media ndoo mnaforce bfu za wasanii ziendelee
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 10 ай бұрын
King kiba
@ElenaJackison
@ElenaJackison 11 ай бұрын
Yuko sawah ata diamond ni muongo tu kama kweli astuambie sisi wataftane wakae chini kama ana nia njia ziko wazi sio kuja huku haileti maana
@mrben227
@mrben227 11 ай бұрын
Sio tu ni muongo kk ni mnafiki kabisa 😢akisimama mbele ya camera ana maneno matamu sana ila behind the camera ni MNAFIKI
@leahzuu6468
@leahzuu6468 11 ай бұрын
​@@mrben227wabongo alikunafkia nn😂😂
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 11 ай бұрын
Sema Kiba ni Mjivuni sana... Mijitu ya Kigoma haipendani
@leahzuu6468
@leahzuu6468 11 ай бұрын
Yuko na muhaho😂😂
@shaurichapote1138
@shaurichapote1138 10 ай бұрын
Huyo siyo wakigoma mzee fuatilia vizuri
@KylianMbappe-skills
@KylianMbappe-skills 11 ай бұрын
Njoo utumbuize kwenye show
@laurentwilson-db4ir
@laurentwilson-db4ir 11 ай бұрын
Millard ayo waandishi wana kelele mi sijapenda😮😮 kama una mkubali King 👑 gonga like apa na kama wamkubali Millard Ayo gonga like kubwaaaaaa🎉🎉🎉
@Wanaharakati
@Wanaharakati 11 ай бұрын
Diamond us the best 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/aHLTp595Zq6ZZ8U
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 47 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 122 МЛН
ALIKIBA ALIVYOTUMBUIZA SIMBA DAY 2023, MASHABIKI WAITIKA..
8:42
ufmradiotz
Рет қаралды 445 М.
DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"
5:58
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 47 МЛН