Narudia Tena hii ngoma tulio rudia tujuane jamani 🤩🤩
@benardfrank64324 жыл бұрын
Yani apa kiba kule darasa Woow ase kama unampenda kiba kimziki nipelike zangu japo 100 tu #kings4life 💣💣
@sylviarotich29114 жыл бұрын
WAKENYA tumekubali tunakupenda
@saidmussa10534 жыл бұрын
KWA wale mliozoea kusikiliza kelele hamtaelewa utamu hii nyimbo.... Much love king🥰
@hidayaking33833 жыл бұрын
Yeebaba
@broganbig66513 жыл бұрын
Hahahahahaha
@broganbig66513 жыл бұрын
Hii ni kwa wastaarabu pekee
@jacintamukami67763 жыл бұрын
Kabisa
@razackselemani28044 жыл бұрын
Team kiba tulioona 1M views naomba like zenu hapa
@stacharchad64874 жыл бұрын
Woyoooooo,,,, Aliyepambana ngoma hii iwe on top trending tujuane,,,, Nakupeeeendaa....Yeahh
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Pamoja sana
@jumasherry96794 жыл бұрын
Yeeebababahh 💪💪💪👌👌👍👍✔️✔️
@MissCherono4 жыл бұрын
Kiba the top💞💞💞👑
@boniphacerevocatus87214 жыл бұрын
Hii ngom ndo funga mwaka sasa jman tukiacha masialaaaa...kimepigwa kingereza mwanzo mwxho humo ndan...Kam team king kiba for real show support yko tufkixh views 1M leo hii
@michymxhambiliajiwassimba70254 жыл бұрын
Jamaniiiii njoooni muone Mambo ya mfalme wa Bongo fleva Alikiba 🔥🔥🔥🔥🔥
@umojaafrika24474 жыл бұрын
Waswahili wa Uganda, Tanzania, Kenya, Sudan Kusini, Burundi na Rwanda tuko pamoja ! 🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇹🇿🇰🇪🇸🇸 Kiswahili chetu ni nguvu yetu !
@chenalus-theafricanprince90004 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY 🇰🇪🇰🇪🔥
@arleneilunga92024 жыл бұрын
Una sahu Congo 🇨🇩 tupo✌️
@wlkmwlkm21744 жыл бұрын
Sija choka guhangalia kazik kazur
@hidayaking33834 жыл бұрын
Mozambique 🇲🇿
@bienvenukichambaomari78814 жыл бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩 King kiba
@jumamwachindiri3644 жыл бұрын
Kazi nzuri ya mwaka king kiba na kama unaamini ye ndio king wa bongo flavour gonga likes mara that
@josephmbwana4484 жыл бұрын
Tunaoangalia hadi mzigo umegonga views one milion tujuane hapa kwa like #king$music four revel
@adjaraakimana42253 жыл бұрын
Baba unaweza kbs mm nakupenda sana
@happymagawa90074 жыл бұрын
Leo cku nzima nashindwa hum team kiba tukomar tufikie m2 leo mbna tunaweza twendeeeeee
@mashakajuma9024 жыл бұрын
Sister tuko pamoja aise
@dullatembo83024 жыл бұрын
Ni lazime ifike2
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
❤❌❌❌👇🏻👇🏻 kzbin.info/www/bejne/pqa1Znl3grd2rJY
@jumashabani99824 жыл бұрын
💪💪💪
@chawahirelmymashlalltaabar49494 жыл бұрын
And me tooo
@Mollel-rh9zu4 жыл бұрын
Kama umerudiaa hii nyimbo maraa kadhaaa kuidhihirishiaa uzur wakee twende sawaa💥🔥
@johnjackson56604 жыл бұрын
Hii ndio maana halisi ya mziki mzuri Mziki ni hisia , elimu na burudani Na anae timiza yote hayo ni huyu kijana Alikiba.. King kiba Mm nikuombe uendelee kutoa nyimbo tamu kama hizi sio matusi mana ni njia ya ushetani kuangamiza kizaz Kaz nzur King kiba 👑👑👏👏 🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Yusco_Rhynova4 жыл бұрын
Umenena kweli rafiki💪💪💪
@johnjackson56604 жыл бұрын
@@Yusco_Rhynova haswaa shida wasanii wengi sasa hv wanataka umarufu wa haraka kiasi cha kujikuta wanatumika kishetani kama kuamliwa watowe nyimbo za matusi, kutoa video za uchi au ishara za kishetani (freemason) yote ni kuangamiza kizaz bora na kujenga kizaz kisichojitambua na kuibukia kwenye Mambo ya kishoga na usagaji ila namuona hyu kijana Alikiba anajitahd Sana kuukwepa huo mtego hongera sana kwake #alikiba wew fanya mziki mzuri wao waache washindanie jahanamu kisa kupata viewers wengi youtube
@hidayaking33834 жыл бұрын
Yani alikiba
@Yusco_Rhynova4 жыл бұрын
Wachache Sana wanaoelewa dunia inaenda wapi
@faridaessa78444 жыл бұрын
Umenena kweli ndugu
@supertallone19024 жыл бұрын
Kama umegundua Baada ya King kuoa😍alianza kuchangamka😂😂😂Gonga like pongez kwa Amina🔥❤💯👑💯🎶✔
@desiahfrank72864 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 kazi ya Amina hiyo
@supertallone19024 жыл бұрын
@@desiahfrank7286 pongez kwake👏👏
@shiru_choppa7654Ай бұрын
😂😂😂
@godfreynzungu53784 жыл бұрын
Ngoma imewekewa sukari kidogo tu lakin ina UTAMU wa CHOCOLATE ,daah ni 💥
@goddamwakimi58894 жыл бұрын
Huyuu ndio Ali k, 1, on trending makof meng kumpongeza king
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Twendeni kazi hakuna kupoa
@dullatembo83024 жыл бұрын
@@asinatjuma8088 Oya hakuna kupoa leo ifikeshe V.M2
@damianmilliani16054 жыл бұрын
Umeeua ww ndy mfalume
@kdayoub90604 жыл бұрын
21 ndo moto utawaka Zaid vile 🔥. Mana Kuna ile ya darasa , za kina tuga , Tomy na abdu .. eeeee bhn eeee King utaua 🔥🔥🔥
@pachambossotchimbaby12573 жыл бұрын
Kongo inakukubali kinyama mfalme wa muziki duniani kote alikibaaaaaaa
@UkweliTopic4 жыл бұрын
Tuko wapi team king kiba hamesha achia kitu huku yani ni fire 🔥🔥🔥
Ngoma kali sana king kiba hujawahi kukosea king👊👊👊
@chenalus-theafricanprince90004 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY 🇰🇪🇰🇪👊😍
@shutabwoy77084 жыл бұрын
@Steve mweusi nae team kiba🎶
@christinaalex77454 жыл бұрын
Hakika
@dogoshazzy7614 жыл бұрын
👍👍👍👍👍
@sadile10574 жыл бұрын
Kumbe nawewe Steve uko huku kwanzia leo me naww Ni Pete na kidore
@mammyquetkiba96724 жыл бұрын
Trending namba 3....lets go guysss....tuipeleke numero unooooo....
@ellykellyjernabii4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hoLHhHWGjLZ3eMU
@enockomagwa67634 жыл бұрын
Kama unapenda king na hit song tena nipe Like yake.
@dmmkemia16094 жыл бұрын
Jamani eeeh me naombe like 1k harakaaaaaa ili goma balaaaaa
@marymrema60674 жыл бұрын
team kiba mko wap bdo kdogo ifkishe views milion 1.cku nzima nlkua hapa watching this video.Let us support our beloved artist.We love you bro
@salmaathuman91564 жыл бұрын
Binafsi nitazidi kimkubali huyu mwamba japo wanamkejeli na maneno ya dharau lakini hakuna wa kumshusha kiba muziki wake kila lika anacheza na kukaa na family bila shida bigu up bro kiba💃💪🔥😍
@jumasherry96794 жыл бұрын
Yeeebababahh 💪💪💪
@shabanishabanii62034 жыл бұрын
Hadi raha yan unaenjoy mziki wakati wowote mahala popote ukiwa na yeyote.... full respect KING KIBA
@hidayaking33834 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@gomolemosithole32444 жыл бұрын
I can't believe this video was shot next to my crib at Rand Airport ✈️😍😍😍Beautiful 💕
@hidayaking33833 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@jozzkibali3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rl7VZJafp5xqhMU
@benjatech913 жыл бұрын
Wow
@issakhamis42634 жыл бұрын
So so fresh nyimbo imetulia Kali international song like zwe nyingi I'm ready for the party!!!
@omarikhamisy32274 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kibangahassan86844 жыл бұрын
wcb walinikopesha 1 million masaa 9 mimi kama team kiba tuna lipa masaaa 6 1 million
@kibangahassan86844 жыл бұрын
jamani ikifika 1 million tunaingia tatika record ya dunia
@hidayaking33834 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@ayubuvenance50154 жыл бұрын
King Ni mmoja tuh APA tanzania nae Ni King kiba video Kali Sana sio awaah watoto wanataka kushendana baba yaowatakufah na presha jmm
@mohamedsokoni9664 жыл бұрын
Kama unakubaliana na mimi kuwa hii ni Ngoma kali ngonga like twende sawaaaa🎬🎬🎬
@deusramson87944 жыл бұрын
haiwezekani ngoma yetu kali bado ipo no 2 on trending, hebu amkeni tuitizame upya , kulike, na comments za kutosha!! #King kibaaaa
@dogoshazzy7614 жыл бұрын
Tayali sasa
@rizikibakar31864 жыл бұрын
Imefika #1
@lockedaway46664 жыл бұрын
Before 24 hours 🤸🤸🤸🤸🤸
@deusramson87944 жыл бұрын
Sisi ni jeshi kubw hatushindwi
@youngkidofficial18844 жыл бұрын
Naombeni likes tano tu huku kenya ni tm kiba🔥🔥
@asinatjuma80884 жыл бұрын
🤝🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@windigitaltv4 жыл бұрын
Alikiba "The Killer" What the song? What the voice tune? What the Rhythm? Kings Music 4life
@innocentmajololo62704 жыл бұрын
Hii inatakiwa tuipeleke no.1 on trend hili goma la club yan n mwendo wa kubanjukaaaa #yebababaaaaaa
@dogoshazzy7614 жыл бұрын
Tayar sasa
@innocentmajololo62704 жыл бұрын
@@dogoshazzy761 makn xn
@manothotz8133 жыл бұрын
Wewe ni Jini 😈😈😈😈😈😈😈😈😈😈😈😈😈 brooooooooooooooooooo unaimba sana mpaka unazingua Yaaaaap Yebaba.....
ndio maana watu siku hz hatuji kwe show kwa muziki huu
@minaniradjabu89334 жыл бұрын
@@bmanyambo1480 unaonaje mkalisana.
@josephkgmtz79034 жыл бұрын
Hakika ni mziki mzur san nimeuopenda mfalme ni mmoja tu 😀😀😀😀😀
@hamdunslimofficail41504 жыл бұрын
Tulipo Rock city mwanza Tz🇹🇿 tujuane kwa like nyingi sana kwa 🔥🔥🔥🔥 mkali wa king kiba na bonge LA movie nakupendaaa🙌🙌🙌
@hidayaking33834 жыл бұрын
Tuviwes jamani
@hamdunslimofficail41504 жыл бұрын
Kama kawa kila mda na view move lakutisha
@ramadhanramizo97174 жыл бұрын
Hii ngoma imenifanya nisafili kutoka kijijini kwetu mpaka mjini kwenyemtandao mzuli ilinifaid😋😋😋ni bonge ya ngoma achanilud bushi nikadolishie wana🚶🏾♂️🚶🏾♂️
@sulleymtown64094 жыл бұрын
😂🙏 yah team kiba blood 🤙
@minazsaid24704 жыл бұрын
Whaat 😂
@abasilihundu2004 жыл бұрын
😂😂 Aisee humu kuna vituko
@listerescobar85474 жыл бұрын
Hahahah
@mugishogulain44464 жыл бұрын
Wamekubalika hadi na Alikiba 👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/roPYpotmqptnecU
@pendorichardemanuel95593 жыл бұрын
Wosaaaaa hujawahi niangusha ni hvi tyuu🔥🔥🔥🔥🔥
@advance_your_creativity4 жыл бұрын
kutoka uingereza nyimbo imeleweka sana gonga like twende sawa na nyimbo za maadili
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Ni moto
@enockngeleza13374 жыл бұрын
Nakubr
@francisjohn11544 жыл бұрын
King vs djsbu ngomaaa kalii bado tunaisubiri ngoma na Darasa kama wewe unamkubali king ngoma itazame mara nyingi uwezavyoooooo
@chanyika14 жыл бұрын
Daaah bonge moja la kichupa'once a king always a king' king kiba' more more blessing
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Ni moto
@vailethvicent71204 жыл бұрын
Wewe ni zaidi yao.nakupenda💕💕💕💕
@jamesmshiu1124 жыл бұрын
Mamaeeeeeee tuliyachoka makelele ya wcb hii ndio maana hailis ya mziki mzuriii .....oyaa wap likes za kibaaaa
Kama unaamin uyu ndo KING mwa. Music gonga like twende sawa😍😍
@jumasherry96794 жыл бұрын
Yeeebababahh 👌👌💪💪💪
@CyimSky4 жыл бұрын
kwa kweli tumetoka mbaili tizamama movie ya kwanza kabisa kutengenezwa duniani inafurahisha sana kzbin.info/www/bejne/qaunnI2CjaeBbKs
@xjdidjdjdjd33844 жыл бұрын
Kjba hakamatika wenye eoho mbaya watajiju
@DAN-O-MWANA4 жыл бұрын
Number one from Kenya wapi likes za🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hidayaking33834 жыл бұрын
👌👌👌
@DAN-O-MWANA4 жыл бұрын
More fire 🔥🔥🔥🔥🔥
@sophiekambi77524 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@faridaessa78444 жыл бұрын
👌👌👌👌
@DAN-O-MWANA4 жыл бұрын
@@faridaessa7844 more fire 🔥🔥🔥🔥🔥
@littleboss34283 жыл бұрын
Woza gym .....king 👑 kiba nakubalisana hii ngoma broo nkiwa na shemeji yako twafurahi
@ayubhassani90524 жыл бұрын
Salute Kwa king kiba,, ngoma kalii,,am from kenya, mombasa
@gauchodepain42274 жыл бұрын
Yebaba imeweza kaka 🔥🔥🔥🔥
@saikalyasi27074 жыл бұрын
Duuuuh nmejifanya nimewahi kumbe nmechelewa anyway japo like 10 za king kiba nipeni
@chenalus-theafricanprince90004 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY
@imamumiraji85774 жыл бұрын
Yap yap mzigowakwenda
@ibrahimahmed19663 жыл бұрын
Hii nyimbo sio mchezo ni balaa Sanaa rise up brother alikiba time to show them your the real African rock.
@sultanmswahilitv48644 жыл бұрын
Msanii mwenye hanaga skendo...hafanyi skendo kama kiki....respect 👑 kingkiba.....kenyan fan
@hidayaking33833 жыл бұрын
👌👌
@clintonkiswaga43484 жыл бұрын
Kama tunamkubali Mfalme wa Bongo flavour tujuane naomba like 100..yeeeaap yebabaaaaa✊✊
@elyemma58684 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gXqygH59hdinhpo
@arsenalmashaka82084 жыл бұрын
Leo hii inafikisha views 1m Leo huyo ndo king banah hapo bado Sasa tunasubiri kufunguwa mwaka ni hatari Sana gonga like
@elizabethadhiambo66423 жыл бұрын
Wolan 👑 king kiba 🔥 much love kwao bado sana
@rashidingole15884 жыл бұрын
Huyu ndiye mshindani wa diamond hap East Africa!!! Wengne wana force mzik kam konde boy wa kukukupuka!! Kiba huw anatuliza san akil kabla ya kutoa ngoma!! Congrats kiba
@jumasherry96794 жыл бұрын
Yeeebababahh 💪💪💪💪
@juniourbendera31834 жыл бұрын
The best fans wa king kiba from India!!!!
@youngkingbaddmankiller30064 жыл бұрын
Now you trending shtt 😀🤞🏿
@shukranipicha40044 жыл бұрын
Twendeni trendig no1 jaman team kiba wapi like jaman
@erickbmaxunga60194 жыл бұрын
Nakubari
@jumasherry96794 жыл бұрын
Yeeebababahh 👌👌👌💪💪💪
@hidayaking33833 жыл бұрын
Usijali
@crazyfranko4 жыл бұрын
TEAM KIBA,, KENYA,, 🔥🔥❤️❤️
@emmanuellusambya78894 жыл бұрын
🔥💪King! Big fan of good music from Kinshasa DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩. C'est l'Afrique qui gagne.
@hidayaking33834 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@marymrema60674 жыл бұрын
classic music for classic pple!sijui nmeseme nn bt nymbo zako hata proffesor anasikilza na kuangalia
@sulleymtown64094 жыл бұрын
Ngoma ika trending soon as possible team kiba km mpo gonga like zenu hapa
@chenalus-theafricanprince90004 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY 🇰🇪🇰🇪🔥
@sulleymtown64094 жыл бұрын
Tayar
@livefans59144 жыл бұрын
Huu wimbo nime downloaded lkn nikiskilza uku nzur hatariii nimerudi tena 👑 kiba 💪🏻💪🏻
@anelenduzulwana87014 жыл бұрын
Who else is viewing this video from South Africa ✋🏽.
@hassanmwaihojo82614 жыл бұрын
Hamna uchi Hamna pombe Hamna kujigamba Hamna tattoo.. Talented boy
@dogoshazzy7614 жыл бұрын
👍🔥🔥🔥🔥🔥
@arleneilunga92024 жыл бұрын
Una ongeya kweli kaka
@chenalus-theafricanprince90004 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY 🇰🇪🇰🇪
@kingwamwaya36304 жыл бұрын
Hatari na nusu
@awadhally10524 жыл бұрын
🤣😅😄😄kwel ni 🔥
@nkengeriadidja58514 жыл бұрын
Read to 2M 💃💃💃💃💃when it comes to king ninaacha kila kitu yaani na Instagram nilisahau kwa sababu ya kutafuta 1M
@callenjohanes7673 жыл бұрын
Nakupenda ni nyimbo umetulia king we ni mtu jawaikosea kaza twende tuko wote💖💖🤭
@augustinomigilimo60934 жыл бұрын
King umeshinda humu ndani, Ngoma kubwa sana mzeiyah!
Na mi nataka mke mwema kama king kiba team kiba nombeni like zenu hapa tuipeleke M1
@Darrenjilly4 жыл бұрын
Ikifika 1Million tunagusha darassa ft Kingkiba 🔥🔥 proud of you
@hidayaking33834 жыл бұрын
Yeebaba
@dayanapastor23224 жыл бұрын
Aliyeskia (yoooooooo) gonga like kwa KING KIBA twende wote pamoja
@hidayaking33833 жыл бұрын
Yes
@abdullahsaid45414 жыл бұрын
Music mzuri utapendwa tyuu ht nawasio kupenda ht wasipo sema nyoyo zao zitajua tyuu kitu kizuri biggest SBU King
@minazsaid24704 жыл бұрын
Ni kweli
@faridaessa78444 жыл бұрын
Kweli kabiss
@abdullahsaid45414 жыл бұрын
@@faridaessa7844 Ndio ndgu
@abdullahsaid45414 жыл бұрын
@@minazsaid2470 Ndio yangu
@mudyabdul11214 жыл бұрын
Unaimba kivyako mnoo hutaki , shida na wengine 💥💥
@supertallone19024 жыл бұрын
Ndivyo inatakiwa🎶👌❤
@hamidjuma88534 жыл бұрын
kwel kabsa
@enockkifaru41214 жыл бұрын
@@hamidjuma8853 hatuez imba mziki usio eleweka ili tu eti utrend
@mamukinyogoli55494 жыл бұрын
Sana hana makuu😀
@dogobk77964 жыл бұрын
King kib yko juu jmn Km unakubalian na mm nip like zn
@kagisomakola8104 жыл бұрын
Nothing been killing me for years now more than Aje.. Great song this one as well..
@hidayaking33833 жыл бұрын
Yeebaba
@mashaurimayombya12604 жыл бұрын
hatimae tuko 1M let's go..
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Twendeni kazi hakuna kupoa 🔥🔥🔥🔥
@nawrasomary79854 жыл бұрын
King kama king🥰
@chenalus-theafricanprince90004 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY
@truezjr.34104 жыл бұрын
Haijawahi tokea King akafanya vibaya King is the best Singer in Tanzania. Like and Comment. 🙏🙏🙏🙏🙏
@rajabumtiti55494 жыл бұрын
Nakubali bro kings tuendeleee najambo letu
@omarmselemshehe49224 жыл бұрын
Ngoma imekwenda shule
@UladaTv4 жыл бұрын
TAZAMA VIDEO MPYA YA HARMONIZE 👇 . kzbin.info/www/bejne/mZuYdpt4bt1li6s
@chawahirelmymashlalltaabar49494 жыл бұрын
Yes king wa really siyo wa mafundo
@CyimSky4 жыл бұрын
kwa kweli tumetoka mbaili tizamama movie ya kwanza kabisa kutengenezwa duniani inafurahisha sana kzbin.info/www/bejne/qaunnI2CjaeBbKs
@mtambalap4003 жыл бұрын
From Canada 🇨🇦 still watching the Real King of Music 🆙
@dogokibadogokiba49254 жыл бұрын
Nawaleee wote walio Lala Jana Nakuota ngoma hi imefika Number 1 Nakukuta kweli Tujuwane kwenye Like
@jumasherry96794 жыл бұрын
Yeeebababahh 💪💪👌👍👍✔️🤣🤣😂😂😂
@nacetsiringa13344 жыл бұрын
wamezuia maji lakini yamepanda mlima hiyooooo trending NO. 1
@jumasherry96794 жыл бұрын
Yeeebababahh 💪💪💪😂😂😂
@UladaTv4 жыл бұрын
TAZAMA VIDEO MPYA YA HARMONIZE 👇 . kzbin.info/www/bejne/mZuYdpt4bt1li6s
@chawahirelmymashlalltaabar49494 жыл бұрын
Fantastic
@CyimSky4 жыл бұрын
kwa kweli tumetoka mbaili tizamama movie ya kwanza kabisa kutengenezwa duniani inafurahisha sana kzbin.info/www/bejne/qaunnI2CjaeBbKs
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
❤❌❌❌👇🏻👇🏻 kzbin.info/www/bejne/pqa1Znl3grd2rJY
@Mr_tshazzo2244 жыл бұрын
💥💯💯📢📢Tunaitoa BADO SANA on 1trending sasa King KIBA ni hatarrrr💥🔥🔥💯💥💯
@clementsadiki67884 жыл бұрын
Yani tayari? Twambiye sisi tuko inje ya inchi
@rahelkiteka4 жыл бұрын
Unaanzaje sasa, ...BADO SANA ni audio na co video, ..vuta picha unaitoa trending af kexhokutwa yatoka video yake!!!!! Sijui itakwaje
@musasaid9644 жыл бұрын
Hahaha
@hidayaking33834 жыл бұрын
Tuko nafasi ya ngapi
@enockkifaru41214 жыл бұрын
Bado Sana ni kidudu gani... Let's listen miziki mitam tuuu... Kibaaaa... Wanaweza viewers tu ila hawawez toa hit song ya maana
@kazimiatv77274 жыл бұрын
KING kiba 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@hidayaking33834 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@Perlesport234 жыл бұрын
congrat to king kiba we go play it everywhere in south africa like apa wa bongo fleva
@chenalus-theafricanprince90004 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY 🇰🇪🇰🇪
@4realonlinetv1694 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@hidayaking33834 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@johnraphaelbocco22604 жыл бұрын
Goma Lina Vibe Ila Mistari Haijakaa Sawa All In All We Love You King Kiba
@chenalus-theafricanprince90004 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥
@dicksonaroka69614 жыл бұрын
😂😂😂 ebu iweke sawa alafu uimbe tusikie alafu tusikie na hii ya Alikiba then watu wachague ipi ngoma kali i hope umeiona comment hii
@dennisjuma33644 жыл бұрын
@@dicksonaroka6961 mwache anachezea kuandika wimbo huyo
@johnraphaelbocco22604 жыл бұрын
@@dicksonaroka6961 Tofauti ya mondi na kiba mondi anatoa ngoma ata Mtoto mdogo akiskiza mara moja tu anaimba mwenyewe mwanzo mwisho Ila kiba anakuwa kama fid q ngoma Kali Ila Maneno magumu Sana utarudia neno moja moja tu Ila ngoma Kali vibe Kama lote
@lovedandfavouredbyGod4 жыл бұрын
Video vixen wa kiba is on another level.that gal is vibes she is enjoying the music 🎵
@jumasherry96794 жыл бұрын
Yeeebababahh 👌👌💪💪💪💪
@frankmussa21384 жыл бұрын
Kazuriii
@adamhashimu44624 жыл бұрын
Yeahaa yebaba I saw it good music bana
@abrahamwilliam44884 жыл бұрын
Hajamshinda kwenye video ya kadogo ... ya ali kiba pia
@ibrahimsimai61444 жыл бұрын
Kabisa Ndugu yangu
@supertallone19024 жыл бұрын
King King King Kibaaaaaa!🎶👑🔥❤ Sipati picha uyo mwanao atakae beba mikoba ya kuimba kama iv🙌🙌🙌🙌🙌 Your mother prouds of yo King💥💥💫
@hidayaking33834 жыл бұрын
Yani noma
@supertallone19023 жыл бұрын
@@hidayaking3383 sanaaaa🔥
@tonyscotts74844 жыл бұрын
Alafu kuna watu wanasema Kiba kaisha,, Mungu awasamehe hawajui walitendalo king kibaaaaaaa give then fever😂😂😂🤴🤴🤴🤴🤴
@hajrahaji91094 жыл бұрын
kwakweli wasamehewe tu🤣🤣🤣🤣
@ramadhanirama66364 жыл бұрын
Jitekenyeni ila mioyo yenu inajua ukwel
@jumasherry96794 жыл бұрын
Yeeebababahh 💪💪💪😂😂👌👌👌
@jumasherry96794 жыл бұрын
@@ramadhanirama6636..... Ukweli upo kwenye vitabu vya dini Sio hapa... Nyoko weeee😂😂😂💪💪👌👌
@UladaTv4 жыл бұрын
TAZAMA VIDEO MPYA YA HARMONIZE 👇 . kzbin.info/www/bejne/mZuYdpt4bt1li6s
@sannietz67424 жыл бұрын
Music unasikiliza unashushia na soft drinks daaah 🥰😊🔥🔥🔥🔥🙌
King Kiba He is back with a fine bheng Naomba mnipe like hata mbao...sijaipata like za King Kiba nipee tukisonga ...jameni hili ngoma nimesikiza mara50....hello mob love from254💮💮💮
@averinachuma17674 жыл бұрын
King kiba anaimba Sana wengine wanapiga kelele..
@brendabochaberi70144 жыл бұрын
Alikiba' s sound is so refreshing.Thank you for this Jam.🇰🇪🇰🇪
@samwelpaul60484 жыл бұрын
All the way from America I'm here to listen gud music from king of Africa Ally kiba
@chenalus-theafricanprince90004 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥
@johnkimani67574 жыл бұрын
Fauro ndiragwonire mombatha iyo
@johnkimani67574 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@Mr.Pyracircs4 жыл бұрын
Best Song Ever Hey 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 is the Best Yeah Number One Music Guys
@rougheckrig22364 жыл бұрын
Alikiba ni moto fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mussamushi66624 жыл бұрын
One of the best song around the world, big up kiba.