UTU video was shot at Horombo Hut in Kilimanjaro, a beautiful place locted in Kilimanjaro Mountain 🇹🇿 (3700Metres above the Sea Level), Lake Duluti in Arusha city, and Fun Retreat Hotels !
@coolestboytz96822 жыл бұрын
We just keep watching and listening that's beautiful voice and video good idea bro
@MinoonlineTV2 жыл бұрын
yes babaaaa huna mbaya BOSS KUBWA kingkiba Mfalme wa watu na wanyama wooote anaekupinga Ajiuweeeeee🔥 mzigo niwa 🔥
@ismailabdulrahman24862 жыл бұрын
Nilijua China mkuu 😂
@sekesekestudiokjay10252 жыл бұрын
❤️🔥❤️🔥💜🧡🧡❤️❤️❤️
@mohammedbakari13642 жыл бұрын
Should be toppest video of this month Big up sana kwake director 👍🏾👍🏾
@lanafelix86492 жыл бұрын
Siku zote maumivu maumivu Yapo kutufunza Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza 🎶❤👑
@alwattanchinga2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Zp3UpamNitt8ndE
@periskathambi12737 ай бұрын
Moto kama 🔥
@plantamedia2 жыл бұрын
Kama wewe ni team mond au konde lakini umekuja kwa KING kufata mziki mzuri like hapa tujuane
@juniormashauri8322 жыл бұрын
Utanimalizia bando kiba duuu
@queeniris5752 жыл бұрын
Lakin kwahiki chombo wacha nitembe tu huku huku king ni king kiba tu
@yoctanchandaromediarevolve94832 жыл бұрын
🤣
@britonngale66442 жыл бұрын
Nimekuja kuangalia utopolo
@plantamedia2 жыл бұрын
@@queeniris575 💥
@roseafrael752 жыл бұрын
Ninachoupenda huu wimbo unaweza kumwiimbia mtu yoyote 🥰🥰Asante kingkiba unafanya vitu vyenye ukubwa na ubora kwa kila asikilizae na atazamae be blessed 💞🤴
@nurdinyussuph38472 жыл бұрын
Yaan tena unamuimbia bila kusita na ataenjoy ti
@halimamlacha95942 жыл бұрын
Kweeli jaman nataman ni mdedicat mamy
@agnesnyasinde75002 жыл бұрын
That’s true and 🔥
@kreamagdfsa16972 жыл бұрын
True
@alwattanchinga2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Zp3UpamNitt8ndE
@clearmuzik.54622 жыл бұрын
Yooooo! You're sweet like pipi mamaa I can fight I can kill someone For you Because am in danger zone (oh no) This feeling feeling that am feeling It's too much I see future, life with you is so brighter Nakupenda sana, you know that I'll die for you Ooh sweet heart, life with you is so sweeter Nakupenda sana, you know that Nakupenda sana, you know that Yeah Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tamaa nazizuia Oh my love Natupa maelfu kwa mamia In this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God Na umebarikiwa Utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Ohooo Siku zote maumivu maumivu Yapo kutufunza Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza Huko nyuma hukumu Hukumu zilisha nikumba Na mateso kung'ang'ania Pendo usipopendwa Niliforce kujificha kule kumbe Chaka langu ni hapa Sasa napewa amani Mapenzi yasiyo na mipaka Ananikanda huku mabegani Ananishika na hapa Masage mgongoni Yananilevya makopa Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tama nazizuia Oh my love Natupa maelfu kwa mamia In this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God Na umebarikiwa Utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Oooh Aaaah Namuona yeye (Analia ninapougua) Aaaah Namuona yeye (Akikesha ananiombea dua) Aaaah Namuona yeye (Analia ninapougua) Aaaah Namuona yeye (Akikesha ananiombea dua)
@DeoreMusic2 жыл бұрын
My favorite song! “ Niliforce kujificha kule kumbe Chaka langu ni hapa Sasa napewa amani Mapenzi yasiyo na mipaka Ananikanda huku mabegani Ananishika na hapa Masage mgongoni Yananilevya makopa Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tama nazizuia Oh my love…”
@andrewkaswagula33672 жыл бұрын
Wimbo wa Taifa... Moja ya Nyimbo itakayoishi milele.. Hongera bro kwa utunzi mzuri wa nyimbo hii
@naroflaver25112 жыл бұрын
Good
@vincentonyango98012 жыл бұрын
The ever-green Alikiba never disappoints great song huku Kenya tunakutambua
@alwattanchinga2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Zp3UpamNitt8ndE
@geoffreywekesa7974 Жыл бұрын
254🇰🇪 tunam feel ka yote. Kazi inajiuza yenyewe hakuna kelele buda
@paitonelia7302 жыл бұрын
Alikiba is king on Africa Na Ulimwengu mzima, hu Muziki wa UTU unafanya vizuri Tanzania Na uku Mozambique pia. Alikiba ONLY ONE KING unafanya vizuri sana
@sabkiunaasib1942 жыл бұрын
Tatizo ana utu
@laveb4612 жыл бұрын
Nyimbo nyingi ni nyimbo ambazo hakuna massage kali, hakuna ujumbe, hakuna elimu, nyimbo za klabu, nyimbo ambazo huwezi kamwe kutazama kama familia. Lakini Kiba analeta bidhaa au wimbo, hata kama familia tunaweza kuufuata na huwa tunapata ujumbe mzito hapo. Asante sana Kiba 🙏🙏🙏🧘
@ninnysheshi62149 ай бұрын
Zako ziko wapi mkubwa
@Ombeniemanuege-tg7gj7 ай бұрын
Kabisaa yuko poa ninaweza kuweka ata nyimbo zake kwenye simu yangu siyo haya makelele ya klabuni,bar,kasino na magenge ya wahuni wanayotuimbia hawa ndugu zetu
@OlivierKolji-ow8wy7 ай бұрын
@@Ombeniemanuege-tg7gj Powa sana amekuwa akitufurahisha tangu aanze kuimba muziki mzuri
@OlivierKolji-ow8wy7 ай бұрын
@@ninnysheshi6214 Sio kila mtu ameitwa kuimba kwa sababu kila mtu ana wito wake na hiyo huleta wema kwa utofauti wa ulimwengu.
@thethengomba3552 жыл бұрын
King Kiba, the unstoppable full package, the son of Africa. Watanzania wana bahati sana na wamebarikiwa kuwa naye
@abdullahsaid45412 жыл бұрын
Yani huu wimbo hujawahi nichosha kuusikiliza mpk ssa 👑👏👏👏👏👏👏
@delimachesa49162 жыл бұрын
Alikiba anadeserve kila faida ya Keki la taifa hili..umepambana sana na mziki wetu Bro still kuna watu hawataki kuonyesha respect..Shoutout kwa Harmonize na plz kubali kuimba hii ngoma kwenye wedding day yake😂😊We love you KING 👑
@stuartkudeba2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIuqaZtjf52ompo
@josephsalum2622 жыл бұрын
Only King forever umeniliza sana bro wewe ndo mtu pekee unaenifanya niipende nchiyangu Tz najivunia kua nautaifa🇹🇿 mmoja nawewe 😭😭😭nalia kwautamu wa wimbo nasauti nzuri
@elisharaphael75292 жыл бұрын
Wimbo wa Dunia,video ya Dunia mwanamziki wa Dunia ,kama sio Ali bac ni Nani mwingine? King kiba to the world
@shufaanyange28002 жыл бұрын
Hakunaaaa
@hjfhhh53842 жыл бұрын
Hakuna kabisa
@ElizabethFrank-r4n6 ай бұрын
Hayupo Kaka ali
@Kagehaijanira9473 Жыл бұрын
Amina tafadhali Alikiba kuliko diamond je ungepata kama diamond ungefanya je mtu hajieshimu kabisaaaa na ana watoto wadogo lakini werevu sanaaaa tiffah na nillan anawafundisha nini zari anavumilia sanaaaa
@jumannehosseah72342 жыл бұрын
(1)Best Album of the Year (ONLY ONE 👑 KING) (2)Best MALE Artist Of The Year (ALIKIBA) (3)Best Song Of The Year (OYA OYA-ALIKIBA) (4)Best Song-writer For Always (ALIKIBA) (5)Best International song COLLABORATION Of The Year(Songi Songi Remix)Featuring ALIKIBA Na Hizi Ni Tuzo Kutoka Kwa Shabiki wako
@saidjuma97822 жыл бұрын
Kabisaa
@rajabupwimu94682 жыл бұрын
Kwenye uandishi toa japo mimi ni shabiki wake
@actionmoviestv96432 жыл бұрын
Best song ndombolo kaka
@osamamahmouds98272 жыл бұрын
😍😍😍😍
@alwattanchinga2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Zp3UpamNitt8ndE
@franklaurent40422 жыл бұрын
Mziki mzuri unajitangaza wenyewe Bonge moja la Ngoma Aswa kwa kipindi hiki cha VALENTINE ❤❤❤💖💖💖
@kunguricomedian2 жыл бұрын
My best lines😍 nilifosi kujificha kule kumbe chaka langu ni hapa, sasa napewa amani mapenzi yaso na mipaka ananiganda huku mabegani ananishika na hapa, masaji mgongoni yananilevya makopa.... OMG i love that part. King keep bringing more❤️❤️❤️
@mdta81612 жыл бұрын
🙏❤️😍😘
@marymakena87802 жыл бұрын
Nice song
@terrkelvin3274 Жыл бұрын
Team 2023 wenye bado tuko apa tukiskiza King kiba 😃 😊 😀 😄 the greatest of all times
@franklinroosevelt86952 жыл бұрын
Hizi ndo nyimbo za watu waliopevuka akili...utabaki kuwa mfalme broo japo. Wimbo huu unashiba bila kula na unalewa bila kunywa..❤
@abdulsalum81382 жыл бұрын
Unaangalia hata wakiwepo wazaz
@virgy-re1iy2 жыл бұрын
Kiba never dissappoints tangu enzi za cinderella .....much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@augustinecharamo31352 жыл бұрын
King 👑 umetisha sana Allah akupe maisha marefu tuzidi kupata mziki mzuli Only one King imeonekan🙏👑👊
@deborahchacha2006 Жыл бұрын
Kibaa nakukubalii kaka angu
@ShaibRSudi2 жыл бұрын
This song is also a very huge message to our African ladies .. kuweni na UTU na UTULIVU we African men tunakutana na mengi sana in thia world ni jukumu lako ewe mwanamke unaesoma hii comment kua mfano bora na sio kufata mikumbo! A great Woman is always appreciated ( kwa mwenye KUJIELEWA ) as well as a great Man
@mwajumabakari75822 жыл бұрын
😂😂😂
@mejumwinyi54042 жыл бұрын
Safi 💕
@mosesotieno84772 жыл бұрын
Exactly 💯 on point umegonga ndipo
@allychaparama70132 жыл бұрын
Keep on moving king! Ni uchawi tu ndio kitu anachokushinda Diamond,kwenye suala la mziki ata akeshe uchi akuezi mwamba, you are the only 1king in this industry,
@kevinryt49632 жыл бұрын
Umetisha😄
@Ombeniemanuege-tg7gj7 ай бұрын
We need them all dear no need to compare every one is best on herself
@jumakadodoe24002 жыл бұрын
Nyimbo imetrend miezi 9 mpaka sasa toka imetoka duuh 👐👏👏💕
@selector728 Жыл бұрын
Wimbo sio nyimbo
@isayamsisika62555 ай бұрын
Til now 2024 mwezi wa 7 ipo on trending no 54😂😂😂😂😂😂 another record
@anatorysiyajali4572 жыл бұрын
Ahsante sana Alikiba kwa kutuletea video ya wimbo huu, nyimbo yangu bora kabisa ya mwaka jana and probably this year too. Nikupongeze kwa kutangaza vivutio vyetu vya ndani, nimefurahia uzalendo wako. Keep it up Ali K, and thank you once again
@supertallone19022 жыл бұрын
Rafiki yangu kakubali wimbo huu upigwe kwenye harusi yake ingawa ni Mlokole😊😊 KingKiba unakonga mioyo ya watu wengi kwa mziki mzuri. #OnlyOneKing
@ElizabethFrank-r4n6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@forexmarketanalysis66682 жыл бұрын
Hata kama sielewi sana kiswahili, hii ngoma iko fiti sana, much love from Ukraine 🇺🇦
@reubentv29482 жыл бұрын
Wewe si uko hapo Githurai.. 🤣
@pilisadiki55272 жыл бұрын
Mashalaah alikiba nyimbo zake tulivu kabisa mungu amzidishie mashalah
@abdullahsaid45412 жыл бұрын
Ila huu wimbo utaishi sana kizazi na vizazi watakuja kuickiliza na kuikubali sana ishi sana #utu wetu #alikiba #kingkiba👑
@ariellajerobonbett28542 жыл бұрын
Umesemaaaaa💜
@nicolenabintu25092 жыл бұрын
Wimbo ume tulia kama Paradise, UTU to the world ✨♥️🥰
@stuartkudeba2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIuqaZtjf52ompo
@princekyondo951517 күн бұрын
umetish kak💖💖💖💖
@allenonesmomwebembezi62482 жыл бұрын
Shout out kwa wanawake wote waliobarikiwa Utu na utulivu
@JojyLuhasa11 ай бұрын
Napesi yo mbote king
@officialroja53752 жыл бұрын
Kama bado unasikiliza ngoma ya utu kutoka king gonga like tuend sawa🙏🙏
@rogerbambaga30362 жыл бұрын
Is Nice
@zachaliamachibola90442 жыл бұрын
Nice
@evanceagwanda60202 жыл бұрын
Harusi ya Nandy &Billnass imenirudisha huku...Congratulations King you are the best..
@christinahcutie6882 жыл бұрын
Wow ❤ the king of bongo did it again 👏 much love ❤ 👏 ❤ utu ni kitu cha maana maishani
@macofidencesubi85102 жыл бұрын
huwa sishabikii bongofleva, Ni mtu wa gospo, lkn wimbo huu Ni mtsmu sn big up A.K
@muragizinourah10422 жыл бұрын
I am a tanzania who live in Rwanda,ila nikiskia nyimbo za kiba najihisi nimerudi nyumbani.love u guys
@D_beauty12 жыл бұрын
Love from Burundi 🇧🇮🥱😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥chupa limekaa vizur
@stuartkudeba2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qIuqaZtjf52ompo
@angesignolinx58292 жыл бұрын
Ibintu namafi 🥰🥰🥰
@saido10692 жыл бұрын
Wimbo mzuri afu bila matusi, big up sana kaka ally you never disappoint since day one🤗🤗🤗
@shalethoteba5379 Жыл бұрын
I love alikiba hapendi kuvaa nyororo mingi ..halafu Hana tattoo....Hana hzi Pete za mashetu
@jabiljust47232 жыл бұрын
Jaman utu hizo views strim million 10 nimeziona pekeangu au mbona hamlaiki Sasa👍
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
Njoo uone saiv kama uko hai
@swalehhemed38067 ай бұрын
Hi@@rukiaiddyyahaya9506
@jibrilmutumay452 жыл бұрын
"siku zote maumivu yapo kutufunza, tukipata furaha tujue njinsi ya kuitunza" great quote #kiba
@rodgerskarurama76342 жыл бұрын
Sure
@hmm16992 жыл бұрын
Na umebarikiwa utu na utulivu 😍😍😍😍
@mwanaherhussani74252 жыл бұрын
@@hmm1699 lichaa ya upole na utulivu
@geophreyjohn33732 жыл бұрын
Nyieeee hii nyimboo bado ni ya motooooo
@josephineminayo84492 жыл бұрын
nakupenda bure Ali....keep the fire 🔥 burning 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ezesamson10902 жыл бұрын
Your Nigeria fans 🇳🇬🇳🇬🇳🇬 love your music,keep it moving.
@orestemanenomaneno77262 жыл бұрын
Natural 👌 não streme rei é único utu Ngoma Kali saana salute King kiba yebabaaaaa 🇲🇿🔥🔥🔥🔥🎼
@kingkaka46992 жыл бұрын
Umefika wakati wa kutoa sanamu iliyo wekwa pale posta tuweke sanamu y ALLY KIBA bira kupingwa
@ingabireariane27442 жыл бұрын
Rwanda 🇷🇼 tunakupenda sana Kiba tres jolie chanson💫🥰❤
@ukuvukiland23872 жыл бұрын
Mm imenikosha msg ya huu wimbo na sauti na beat...big up...
Ukiskia Kiba tunaongelea mambo ya Hit Nakubali sanaa big brother kutuletea vtu vizuri Inshallah 🇲🇿🇲🇿
@tanzanianjaguar39102 жыл бұрын
Best Album,best Song,best voice...ooooh!!!. my God..My Professional TZ Musical..
@peteralmasi61852 жыл бұрын
Nudity 0% Beats 100% Vocal 100% Talent 100 Assessment 100% Enjoy the good music from the only King kiba 1k likes za wakenya 🔥🔥🔥🔥🔥
@ariellajerobonbett28542 жыл бұрын
Mmmmwaaaa💋
@emmanuelndayikengurukiye33152 жыл бұрын
Alkiba mi nimurundi nakubari sana uko mkali sana
@Dennis-lr3ic2 жыл бұрын
Iko mwaaaaah 🥰🥰🥰
@israelbizimana31792 жыл бұрын
son is healthy
@evansolowuasa26892 жыл бұрын
thats true alikiba is morally upright and he is truelly talented
@edwinomondi74962 жыл бұрын
Kenyans in the house..whenever I hear king kibas' voice it reminds me of my old days..10years ago big up KING
@Topbins1002 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/an21e6KBjMyHb7c
@jumalumumba76 Жыл бұрын
Mfalme wa wafalme wote wa mziki, nikitaka ku sikiliza mziki lazima nitie mziki wa king 👑 kiba sio wale wa fujo, akuna zaidi yako bro ❤️❤️❤️💪🏽 from 🇨🇩
@lazaromelita37042 жыл бұрын
Alikiba is the best in EA,best song of the Year,best Album of the year
@Kingtiger982 жыл бұрын
Dssx kzbin.info/www/bejne/fn3Up5urbdudb5o
@alwattanchinga2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Zp3UpamNitt8ndE
@Dakika052 жыл бұрын
Tanzania is good climates good artists so I very proud of my country
@annitahamor30762 жыл бұрын
According to my opinion this song should be chosen as the best song of valentine's Day 💯💯
@eliaspius49492 жыл бұрын
Well said
@eliaspius49492 жыл бұрын
Well said
@3kingsmusictv8732 жыл бұрын
Perfect said
@wadhhasuleiman26212 жыл бұрын
They should do this in valentine's Day
@azizlugata12552 жыл бұрын
You're right
@arielgiel6575 Жыл бұрын
Fan wa Ali Kiba tangu utotoni. Siwachii mpaka milele. Kutoka 🇸🇸🇸🇸🇸🇸
@NhandiSweka2 жыл бұрын
Dedicating this beautiful song to my only one, beautiful wife, ''Getruda Nyanda Kingolo''❤❣❤. Yooooo! You're sweet like pipi mamaa I can fight, I can kill someone For you. Because am in danger zone (oh no) This feeling feeling that am feeling It's too much, I see future, life with you is so brighter Nakupenda sana, you know that I'll die for you. Ooh sweet heart, life with you is so sweeter. Nakupenda sana, you know that Nakupenda sana, you know that Yeah,😍😍 Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tamaa nazizuia Oh my love Natupa maelfu kwa mamia In this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God Na umebarikiwa Utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Ohooo Siku zote maumivu maumivu Yapo kutufunza Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza Huko nyuma hukumu Hukumu zilisha nikumba Na mateso kung'ang'ania Pendo usipopendwa Niliforce kujificha kule kumbe Chaka langu ni hapa Sasa napewa amani Mapenzi yasiyo na mipaka Ananikanda huku mabegani Ananishika na hapa Masage mgongoni Yananilevya makopa Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tama nazizuia Oh my love Natupa maelfu kwa mamia In this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God Na umebarikiwa Utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Oooh😍😍
@catherinemarcel21442 жыл бұрын
Why have you not completed it 😀
@gariyamiraa21282 жыл бұрын
Weka Number hapa tumfikishie ujumbe huu
@zainabsuleiman30712 жыл бұрын
@@gariyamiraa2128 hataamini😂😂
@gariyamiraa21282 жыл бұрын
@@zainabsuleiman3071 😁. Ama unipe number yako nikuimbie?
@belindaonyango57182 жыл бұрын
How nice
@moisebwinja88242 жыл бұрын
Ici chez nous au Congo RDC , nous connaissons bien que Alikiba est le meilleur de Bongo , plus que tout le monde à l'est Afrique ! Félicitation au meilleur Artiste de l'année kingkiba
@kgchippy2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/f5-8hXWqjpV2nKM
@moisebwinja88242 жыл бұрын
@@kgchippy il est le meilleur kingkiba
@Hennessyjenkins22 жыл бұрын
As a Kenyan🇰🇪, I appreciate how Kiba's existence in the industry shows how far East Africa has come with Bongo music. He is the OG, since kina Binti Kiziwi, Macmuga, eeeish. We no longer hear most of those that they began together. Yet he is still shining. Content check, beat check, vibe check. This guy!!!
@kimathigikunda97392 жыл бұрын
Sure
@josephmlelwa31752 жыл бұрын
Shemeji yenu tunamkubali Sana
@emmanuelndayikengurukiye33152 жыл бұрын
Sarama dada
@eugeneyegon83062 жыл бұрын
Well put sister👍
@KB-do5sr Жыл бұрын
Binti kiziwi ni z anto sio ya king kiba
@NiyukuriNeymar Жыл бұрын
Hakika wew ni king kbs❤❤❤❤from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@canny2552 жыл бұрын
Alikiba: The Real Sign of Bongo Flava 💚
@giftngailo54422 жыл бұрын
Kingkiba never disappoint
@alwattanchinga2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Zp3UpamNitt8ndE
@elysee_daleba2 жыл бұрын
One thing about this singer is that he never disappoints. Keep singing, my dear. I'm following you from the Ivory Coast 🇨🇮. God bless and protect you and everybody reading this comment now.
@daudiamimu40742 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oHqupYFsjLqGm5o DDT ti
@lazarolubela55772 жыл бұрын
Ametisha
@barakadaprince37422 жыл бұрын
Ishiiiiiiiii I like it ur comment 🙏🏿🤘🏾🤘🏾🔥🔥
@manshourshaabni30712 жыл бұрын
Saf mkubwa
@charles36352 жыл бұрын
Ametishaa
@williamkiai2013 Жыл бұрын
HERE IN 2052 KING KIBA MWAMBA HUYU HAPA
@lukekagose5682 жыл бұрын
This guy's vocals is Unmatched in the whole East Africa.King of Bongo #🇹🇿TZ to the world.
@yvngtrayson2 жыл бұрын
Am yvng trayson upcoming rapper kindly support me please 🙏
@alwattanchinga2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Zp3UpamNitt8ndE
@bestcookingchanel77672 жыл бұрын
Eeeiish!!!!...fire!!!
@أشوله122 жыл бұрын
🙌🙌
@hamphreymlelwa2892 жыл бұрын
The best video
@Allymoh0012 жыл бұрын
The 'UTU' song tune and vedio are so serene and soothing. I'm the reason why My agal toto loves this song from the moment she heard this song playing in my playlist. Its too sensational. Alikiba always delivers even if he's not pregnant. 🇰🇪 🇰🇪 #UTU #KING👑
@tasnimkibwana6332 жыл бұрын
😀😀😀😂😂
@forziriyto2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gJDNo4aYi9ZkjNk uga afro revmix
itadumu vizazi siyo kudumu tuu itapendwa na vizazi na vizazi mimi na family yangu tuna ipenda hii sana
@dianaigoko48712 жыл бұрын
Since 8yrs King kiba was my crush 😍 and now am 25 he's still my crush wel done 🤴 👑 May Allah grant you safety and favour,,your is mature and moving ❤ 💖
@farajakwilasa4712 жыл бұрын
Team kiba tuna kwama wapi huu wimbo wa dunia tuurudishe mwanzo ili ufunge mwaka nipeni like zenu make sina hata 1 team kibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@maggieshics27122 жыл бұрын
As we waiting for Christmas ,this the kind of music that should be heard 💯☺️☺️
@lovenesreuben61792 жыл бұрын
Uzur wa hii nyimbo popote unaweza kuiimba bila kuhofia maneno! Team kiba we're together ❣️
@Mrp_manguluwe Жыл бұрын
Katika ngoma ambazo zitaishi sanaaaaa hiii nayo ipo bonge moja la ngoma leo nimelimic nikasema niluke nalo
@jibrila.a.42812 жыл бұрын
Great song Alikiba. Tanzanian Music is gradually taking Over Africa and That’s good for the Culture. One Africa , one people. This is pure love from Ghana 🇬🇭. It’s the West African King 👑 J.A
@laveb4612 жыл бұрын
Un song sublime, une voix rossignol, l'image qui s'adapte à tout niveau de vue
@calminnerpeace-meditationa26832 жыл бұрын
King Kiba making movess... I love this one💥💥💥
@JanuaryAndrea-gw4hq Жыл бұрын
Ayoo umefisha ujumbe wakwl
@pontiennintunze2211 Жыл бұрын
I sing this song during my Mariage ceremonies and after a short period, my wife passed away after giving me one Child😭😭😭😭😭 I am leaving this comment here so that even after 20years, My Son Chris_Jr should pass here and knows really how far i was in love with her Mother, and how am ready to fight for his life (Chris' life) for recognition of that love💗💝😭😭😭😭
@SwahiliAmbasador954 Жыл бұрын
Pole sana ndugu kila jambo lina maana yake katika haya maisha tunaishi katika matumaini na kumwamini aliye juu tafadhari uwe na maisha yenye faraja na furaha tele wew pamoja na mwanao Chris
@Bagi873 Жыл бұрын
Pole sana 😢
@goldenart811 Жыл бұрын
Pole sana brother 🥺
@DorothyAbwavo Жыл бұрын
Sorry dear 😟❤
@Cityvibeshomesltd11 ай бұрын
🫂
@wondersreactions92912 жыл бұрын
The view,song,backgrounds,and only two people enjoying each other’s company the best feeling in the world
@Kingtiger982 жыл бұрын
Ujv kzbin.info/www/bejne/fn3Up5urbdudb5o
@clintoneochieng79842 жыл бұрын
Moto hadi
@yvngtrayson2 жыл бұрын
Am yvng trayson upcoming rapper kindly support me please 🙏
@alwattanchinga2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Zp3UpamNitt8ndE
@elizabethkiza60382 жыл бұрын
Utu kzbin.info/www/bejne/mWmlpqmOmLCHq6M
@alfylegit95732 жыл бұрын
Ali kiba's competitor's are not yet Born. Clean Music, Cool and such a vibe. Much love from Kenya💯💯💯
@daudiamimu40742 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oHqupYFsjLqGm5o EU up
@Creatorworkplace2 жыл бұрын
Not even in American I am telling this guy is just an alien 👽
@alexnjoroge2946 Жыл бұрын
Na Alikiba umebarikiwa na usanii na utulivu....for many years still shining not easy bro
@paulmabuga9289 Жыл бұрын
kama unaangalia hili goma kisha unasoma na comment basi pita na like
@trizahanderson67302 жыл бұрын
Finally ❤️❤️ favorite song
@btsshorts68592 жыл бұрын
Much Love From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪⛔♨️🚨 Team Kiba Acheni Likes Zenu Mkipita Huko
@isbnoyleofficiel95292 жыл бұрын
kzbin.info/door/q_Gh3BhXRzgvBCi1Dzb-oA
@anethfredrick84072 жыл бұрын
❤❤❤❤napenda san huu wimbo
@curaixiibraimo49062 жыл бұрын
Gostamos muito dessa música cá em Moçambique🇲🇿
@katsonabasi88132 жыл бұрын
Appreciate you guy ✊
@Kingtiger982 жыл бұрын
Ryj kzbin.info/www/bejne/fn3Up5urbdudb5o
@yussufgihamya80852 жыл бұрын
Obrigado Amigo
@forziriyto2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gJDNo4aYi9ZkjNk uga afro revmix
@cardososefane94342 жыл бұрын
Estamos juntos
@celinemoraa43332 жыл бұрын
This is what happens when you sing not for money,fame but you sing because it's what you like ❤️
@Kingtiger982 жыл бұрын
Tyy kzbin.info/www/bejne/qam7mGiabdt8h7M
@jamesmethusela11482 жыл бұрын
Kaka umesema ukweli huyu jamaa anajua.
@tianohmusic82592 жыл бұрын
Its not true mumy! Basi asingeforce bifu
@hamidahHammy2542 жыл бұрын
@@tianohmusic8259 bifu na wimbo ni mambo mawili tofauti...
@tianohmusic82592 жыл бұрын
@@hamidahHammy254 bifu linamuweka mjini mpaka leo!
@daveturner10752 жыл бұрын
Here is the french translation by Google : Yooooo ! Yooooo! Tu es douce comme Candy Mama You're sweet like pipi mamaa je peux me battre I can fight je peux tuer quelqu'un I can kill someone Pour toi For you Parce que je suis dans une zone de danger (oh non) Because am in danger zone (oh no) Ce sentiment sentiment que je ressens This feeling feeling that am feeling C'est trop It's too much Je vois le futur, la vie avec toi est tellement plus brillante I see future, life with you is so brighter Je t'aime tellement, tu le sais Nakupenda sana, you know that je mourrai pour toi I'll die for you Ooh mon coeur, la vie avec toi est si douce Ooh sweet heart, life with you is so sweeter Je t'aime tellement, tu le sais Nakupenda sana, you know that Je t'aime tellement, tu le sais Nakupenda sana, you know that Ouais Yeah Et il n'y a rien de nouveau dans le monde Na hakuna kipya kwenye dunia Oh mon amour Oh my love Et c'est pourquoi je retiens les désirs Na ndio maana tamaa nazizuia Oh mon amour Oh my love Je donne des milliers à des centaines Natupa maelfu kwa mamia Dans ce monde In this world Mais tu es le seul que j'ai choisi Ila we pekee nimekuchagua Je jure devant Dieu I swear to God Et tu es béni Na umebarikiwa Personnalité et stabilité Utu na utulivu Tu es béni Umebarikiwa Personnalité et stabilité Utu na utulivu Malgré la douceur et la beauté Licha ya upole na uzuri Vous avez de la personnalité et de l'aisance Una utu na utulivu Tu es béni Umebarikiwa Personnalité et stabilité Utu na utulivu Ooooh Ohooo Toujours la douleur la douleur Siku zote maumivu maumivu Ils sont là pour nous apprendre Yapo kutufunza Si nous trouvons le bonheur, comment en prendre soin Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza Il n'y a pas de jugement Huko nyuma hukumu Les jugements m'ont nourri Hukumu zilisha nikumba Et souffrir pour s'accrocher Na mateso kung'ang'ania Aime si tu n'es pas aimé Pendo usipopendwa Je me suis forcé à me cacher là Niliforce kujificha kule kumbe Mon année est là Chaka langu ni hapa Maintenant on me donne la paix Sasa napewa amani L'amour sans limites Mapenzi yasiyo na mipaka Il me frotte les épaules Ananikanda huku mabegani Il m'attrape ici Ananishika na hapa Massage du dos Masage mgongoni Ils me rendent ivre Yananilevya makopa Et il n'y a rien de nouveau dans le monde Na hakuna kipya kwenye dunia Oh mon amour Oh my love Et c'est pourquoi je retiens les désirs Na ndio maana tama nazizuia Oh mon amour Oh my love Je donne des milliers à des centaines Natupa maelfu kwa mamia Dans ce monde In this world Mais tu es le seul que j'ai choisi Ila we pekee nimekuchagua Je jure devant Dieu I swear to God Et tu es béni Na umebarikiwa Personnalité et stabilité Utu na utulivu Tu es béni Umebarikiwa Personnalité et stabilité Utu na utulivu Malgré la douceur et la beauté Licha ya upole na uzuri Vous avez de la personnalité et de l'aisance Una utu na utulivu Tu es béni Umebarikiwa Personnalité et stabilité Utu na utulivu Ooh Oooh Aaaah Aaaah je le vois Namuona yeye (Pleure quand je suis malade) (Analia ninapougua) Aaaah Aaaah je le vois Namuona yeye (Quand il reste éveillé, il prie pour moi) (Akikesha ananiombea dua) Aaaah Aaaah je le vois Namuona yeye (Pleure quand je suis malade) (Analia ninapougua) Aaaah Aaaah je le vois Namuona yeye (Quand il reste éveillé, il prie pour moi) (Akikesha ananiombea dua)
@canny2552 жыл бұрын
Awesome!!
@EmmyMoses-s5u2 ай бұрын
Nakupenda sana huu wimbo jmn
@martinaloo54442 жыл бұрын
This video is well-made. Everything about it resonates with the theme of the song. The lady is beautiful.
@fazjessy20732 жыл бұрын
A song that reaches into our soul. Simple lyrics we all can relate to. I will be watching this video from now until forever. Thanks King Kiba 🤴
@wosavanmax0012 жыл бұрын
King once again gives us the reason and confirmation why he is indeed king. Love respect from 254.