Alikiba - Infidèle (Recording Session)

  Рет қаралды 78,341

Kings Music Records

Kings Music Records

Күн бұрын

Пікірлер
@mrishoramadhan6589
@mrishoramadhan6589 3 жыл бұрын
nakukubar ali k ww ndy msanii wangu wakira mwaka anae kubariana namm niachie like hata 1 tuu
@thiagojr9770
@thiagojr9770 3 жыл бұрын
Wakwanza leo like kwa king kibaaa
@mshuatz3923
@mshuatz3923 3 жыл бұрын
Kama unamini tommy kapewa kazi yakutuchagulia mziki mzuri dondosha like
@sumadashsumadash7342
@sumadashsumadash7342 3 жыл бұрын
Kiba ni mwanamziki bwana sio msanii tu.. Chek matindu na ukomavu wa sanaa ya Muziki. Humo hutoskia Waaaa ya Orijino tu Rimix Haaaah haaaah haaaah huyu ni mtoto mwenye baraka z wazazi jamanieeeehh na anawazazi OG
@paulmichael4394
@paulmichael4394 3 жыл бұрын
Jamani team kiba tuendelee kuchangamka na Ku saport goma le tukisubili alubam tulio ahidiwa before June ya mfalme king kiba
@palmalazulazul4939
@palmalazulazul4939 3 жыл бұрын
king kiba mungu akuweke sana brother tuzididi pata burudani
@mwinyiadno9495
@mwinyiadno9495 3 жыл бұрын
Amiiiiin thumma Amiiiiin
@mshuamsuya789
@mshuamsuya789 3 жыл бұрын
Yani alikiba nyimbozake zinataka mwanamziikikweliii Kweli ww ni KING KIBA
@onkaboy1391
@onkaboy1391 3 жыл бұрын
King on fire leo wakwanza mimi like zenu please
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 3 жыл бұрын
Ndo ndo inavyokuwa daaah mbona ngumu sana kama ivo duuuu idea Ni ngumu sana unabaki kama mtoto tu
@raphaelnyigo8740
@raphaelnyigo8740 3 жыл бұрын
Number one fan from USA💥💥💥
@hadjarmasudi2619
@hadjarmasudi2619 3 жыл бұрын
Hujakoseya ata apa Pennsylvania Pittsburgh 😘😘😘
@fadhilimohamedi2543
@fadhilimohamedi2543 3 жыл бұрын
Hicho kipara cha Yogobeat kinapigwa makofi na King Kiba balaa ila yoteyote kazi nzuri sana welldan
@raphaelnyigo8740
@raphaelnyigo8740 3 жыл бұрын
😆😆😆 Nakubali sana, yogo beatz nae akatulia kwenye part yake
@wadommusic1185
@wadommusic1185 3 жыл бұрын
Kali kaka
@pishock874
@pishock874 3 жыл бұрын
Duuuh kibaa love sanaa
@agamahallahfashion5983
@agamahallahfashion5983 3 жыл бұрын
AGA MAHALLAH KING 🤴 UNSTOPPABLE KIBA
@kibabukiba8989
@kibabukiba8989 3 жыл бұрын
Kama umeona banzi la upara alopokea yogo...tia like
@artemisneoy9596
@artemisneoy9596 3 жыл бұрын
Hahahaha Hawa marafiki sana
@markonline1812
@markonline1812 3 жыл бұрын
🤪🤪🤪
@rashidkem7624
@rashidkem7624 3 жыл бұрын
😃😃😃 banzi
@seifmohamed4893
@seifmohamed4893 3 жыл бұрын
Upo wewe
@fatoumaomar5423
@fatoumaomar5423 Жыл бұрын
J ai repris mes espris
@kingwanyama2609
@kingwanyama2609 3 жыл бұрын
I love the way king has trust in tommy flavour
@gabrielntarre6112
@gabrielntarre6112 3 жыл бұрын
Your right brooo
@abalfadhilabdulqahari3018
@abalfadhilabdulqahari3018 3 жыл бұрын
Dah nimefurahi san king anavyoteleza kwenye ngeli kumshinda mwenyewe mzungu👊👊👊
@angelpeter1796
@angelpeter1796 3 жыл бұрын
Wow wp like za kiba hapa
@mwanaidiissah3574
@mwanaidiissah3574 3 жыл бұрын
Kiba na yogo wa chemical moja kali sana
@idrisssuleh7761
@idrisssuleh7761 3 жыл бұрын
Oo ajui kingereza iko ni kichina nyambaf
@palmalazulazul4939
@palmalazulazul4939 3 жыл бұрын
baada ya hii wa uwe na portuges brorher estamos apera king kibaaa
@allykiba5808
@allykiba5808 3 жыл бұрын
Estamos apera maana yke nn team kiba mwenzangu
@palmalazulazul4939
@palmalazulazul4939 3 жыл бұрын
@@allykiba5808 estamos aspera nilikosea kidogo kuandika ila maana yake ilo neno ni tuna subilia au tuna subili
@allykiba5808
@allykiba5808 3 жыл бұрын
@@palmalazulazul4939 lugha tam sana hiii daaa nmeshawishka kuijua
@palmalazulazul4939
@palmalazulazul4939 3 жыл бұрын
@@allykiba5808 pamoja blood
@allykiba5808
@allykiba5808 3 жыл бұрын
Vipi kma tataka kujua
@josphinejebichii6882
@josphinejebichii6882 3 жыл бұрын
Kingereza chako tamu kaka..... Hapo. Unaongoza Tanzania mzima.... Keep up the spirit, from Kenya twakubali ⭐⭐
@alicenice1711
@alicenice1711 3 жыл бұрын
King Kiba unforgetable, ni forever mpaka forever
@vanimam6442
@vanimam6442 3 жыл бұрын
Je t'aime king kiba....Goma DRC....
@lilianemmanuel9158
@lilianemmanuel9158 3 жыл бұрын
King anaongea kinge hatari sana🙌🙌
@mussambwilo2536
@mussambwilo2536 3 жыл бұрын
unachinja kabisa mzee baba🥰🥰🥰
@K25795
@K25795 3 жыл бұрын
Wa kwanza ku comment like zenu
@ochuabeid8051
@ochuabeid8051 3 жыл бұрын
bro umejitahidi hakuna lugha ngumu kama kifaransa big up
@mkumba2552
@mkumba2552 3 жыл бұрын
Mziki unawenyewe wewekweli unstoppable kazi imepita hongerasana naomba utaratibu huu udumu ilituwenamdomo zaidi I like that
@mybrevisai2508
@mybrevisai2508 3 жыл бұрын
Uko vizuri
@raphaelnyigo8740
@raphaelnyigo8740 3 жыл бұрын
King's music forever👊👊👊
@fahdihasnuu9034
@fahdihasnuu9034 3 жыл бұрын
Bila unafik jamn kiba anjua kuimbaa
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 3 жыл бұрын
Umenifurahsha sana umetisha mfalme
@tygamk8278
@tygamk8278 3 жыл бұрын
14:19 mdada kafurahi balaa
@kibabukiba8989
@kibabukiba8989 3 жыл бұрын
Yebabaaaaa💥
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA 3 жыл бұрын
King himself from 254
@elton8536
@elton8536 3 жыл бұрын
This beautiful lady is behind the French lyrics😍😍
@dayanakashindi4711
@dayanakashindi4711 3 жыл бұрын
Kings music 4life🔥🤞🏾
@piusmagoya134
@piusmagoya134 3 жыл бұрын
Once you watch this you get to appreciate the hardwork that was put in making the song such amasterpiece...#kingkiba
@franknurudin5959
@franknurudin5959 3 жыл бұрын
Jamaa anakubaliki utumwa ndio maana kinatoka ktu kizuri inapendeza usjfanye unajua kumbe ujui bola ujnga wa faida blessng king kiba
@karojuma2363
@karojuma2363 3 жыл бұрын
UJUMBE KWA NDUNGU YANGU TOMMY ALI ANAKUPENDA SANA ANAKUAMINI NIMEONA ALIVYOKUITA HAPO INAPENDEZA KWELI NAOMBA USITUSALITI KAMA WALE MAYUDA KAKA TWAFWADHALI NAKUOMBAA SAAAAANA
@jordanpilikano9207
@jordanpilikano9207 3 жыл бұрын
Sana kamuweka karibu kuliko hta ndgu yke wa damu abdu
@remmypatrick4831
@remmypatrick4831 3 жыл бұрын
Big up Ali kiba... French is one of the easiest Languages to master as long as you have interest to do so... Pronunciation might be tricky at some point but once you've shown the urge it flows naturally
@manofpeople4279
@manofpeople4279 3 жыл бұрын
First viewing
@josephkalamazoo7979
@josephkalamazoo7979 3 жыл бұрын
Wooow King kama king wimbo ulikupa taabu saaana bt anything good to get not easy..big up saaaaaaaana
@franknurudin5959
@franknurudin5959 3 жыл бұрын
Daaaah ilikuwa kazi sana ila ata izo melody walzozifuta nazo kali sana bnafs nimezielewa blessng talent🔥🔥🔥
@kibabukiba8989
@kibabukiba8989 3 жыл бұрын
Wa kwaaaaanzaaaa kudadekiiii💥
@SjayZm260
@SjayZm260 3 жыл бұрын
Infidèle🔥
@mwanaidiissah3574
@mwanaidiissah3574 3 жыл бұрын
King kama kiba
@deeclassicafrica07
@deeclassicafrica07 Жыл бұрын
Kibaaaaaaaaa
@kelvinmiano2246
@kelvinmiano2246 3 жыл бұрын
Kekeke 🇰🇪wakwanza kufika mnipe like 🤓
@shekhbuterahassanchina4154
@shekhbuterahassanchina4154 3 жыл бұрын
king kiba please we need a collabo with Meddy from RWANDA, all love from Nigeria
@thomaskabwali3856
@thomaskabwali3856 3 жыл бұрын
wakwanza Kucoment nipe like za teamkiba
@gerry_macopper3808
@gerry_macopper3808 3 жыл бұрын
Afu unakutana na jinga linasema king hajui English, pumbavu sanaaaaa, Nawapenda sana team kiba wooteee
@idrisashelimo307
@idrisashelimo307 3 жыл бұрын
King kiba yee baba 🔥🔥🔥🔥🔥
@Yusco_Rhynova
@Yusco_Rhynova 3 жыл бұрын
Fire🔥🔥
@bekabeyser4119
@bekabeyser4119 3 жыл бұрын
Hii kazi xio ndogo jamani kumbe
@franknurudin5959
@franknurudin5959 3 жыл бұрын
Yogo anamzngua kba ety unanifuraisha unafundshwa kifaransa knakunyoosha vzur
@masterkeymuzik
@masterkeymuzik 3 жыл бұрын
Kumbe kurecord sio mchezo aisee King kama king 👑
@ibrahimsaid9871
@ibrahimsaid9871 3 жыл бұрын
King kiba big man that's so nice bro
@yrnwahabitv
@yrnwahabitv 3 жыл бұрын
TEAM KIBA FANS FROM U.S.A
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 3 жыл бұрын
Duhuu Kwel KIBA huna mpinxani yaan alafu ukamata haraka we Genius!u got melody man
@supertallone1902
@supertallone1902 3 жыл бұрын
Umeona eh
@manofpeople4279
@manofpeople4279 3 жыл бұрын
First comment
@shabanmkatalo1681
@shabanmkatalo1681 3 жыл бұрын
Hatwaaaaar king
@mwanaidiissah3574
@mwanaidiissah3574 3 жыл бұрын
Aidani kila wakati unachat kwel hakuna manager apo
@bestibrah1736
@bestibrah1736 3 жыл бұрын
My king
@kibabukiba8989
@kibabukiba8989 3 жыл бұрын
King kibaaaaaaaaa💥🙌
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 3 жыл бұрын
Fundi kama wewe atoke wapi ?? kwa wengine ibaki ndoto...
@gasparmpoma3860
@gasparmpoma3860 3 жыл бұрын
6:56 is so fun daah nmecheka sana kiba you are on the Top
@nassibuhussein3525
@nassibuhussein3525 3 жыл бұрын
Kwel huyu jamaa niharali yake kuitwa King of bongo freva nikiboko nimoto Ni 🔥
@hamzanandule7923
@hamzanandule7923 3 жыл бұрын
King kama king👑 🔥🔥🔥🔥
@frankeytz
@frankeytz 3 жыл бұрын
Kila mwenye nia ni lazima ajitafutie njia yake mwenyewe... Asante Alikiba!
@mlamytz
@mlamytz 3 жыл бұрын
Hii mamb ni nzur sana
@polcollins2253
@polcollins2253 3 жыл бұрын
I really wonder why some idiots talked to much about Diamond.....kings music to the world.....100%100 brother
@khassimramadhani866
@khassimramadhani866 3 жыл бұрын
Daaaah king always your GOAT brother
@saluuhans
@saluuhans Жыл бұрын
That's why you're a king 👑 #alikiba
@angelpeter1796
@angelpeter1796 3 жыл бұрын
Saf Sana king
@hamispeter9043
@hamispeter9043 3 жыл бұрын
ali kiba mnyama sana iseeee...Unaimba sana
@heavenmusicbeats894
@heavenmusicbeats894 2 жыл бұрын
Hapo na visikia vitu ambavyo kwenye official song havikusikika.ila vinge sikiki ingekuwa bomba sana.king king king kibaaaaa
@ZAXTAZYYPRO-v9s
@ZAXTAZYYPRO-v9s 3 ай бұрын
Respect for King kiba good job my brother
@josephseleman7780
@josephseleman7780 3 жыл бұрын
Mashabiki tunakimbilia kusema ngoma mbaya angalia wanavyosumbuka studio
@benox5062
@benox5062 3 жыл бұрын
Sidhani kama kuna mwingine zaidi ya kiba 🔥🔥🔥
@erickgulayi2089
@erickgulayi2089 3 жыл бұрын
Sasa hii ndio maana halisi ya behind the scene Wengine hapa wangetuonyesha tu vinguo nguo vyao😜 ila mfalme kama mfalme #KingKiba ametuonyesha wimbo unavyo andaliwa!👏👏👏
@olangbeatrice4260
@olangbeatrice4260 3 жыл бұрын
Team Kiba forever
@solomonichisaye8767
@solomonichisaye8767 3 жыл бұрын
Well Said brother 🙏♥️
@heavenmusicbeats894
@heavenmusicbeats894 2 жыл бұрын
Kweli kabisa
@massnineofficial1034
@massnineofficial1034 3 жыл бұрын
KING nakukubali mwamba na ndio maana najitaidi sana kukufuata miondoko yako sio kwamba sina nyimbo za kutoa ninakazi nyingi sana lakini acha nifanye kwanza beat cover zako kwa kutumia uwezo niliojaliwa na mungu siku ukipata muda naomba upitie kwenye acount yangu uone nacho kifanya pengine unaweza ukanipa hata ushauli tu
@allykiba5808
@allykiba5808 3 жыл бұрын
Boss unajua sanaaa
@alhajjbashir183
@alhajjbashir183 3 жыл бұрын
King kama king huju jamaa nmkali hakuna kama king
@maggie2544
@maggie2544 3 жыл бұрын
Very romantic.we love you king kiba
@YoabuMeshack
@YoabuMeshack 2 ай бұрын
Good good good kubwa laoo
@sultanadam5529
@sultanadam5529 3 жыл бұрын
Mziki bila ujanja ujanja !
@chris_jabari
@chris_jabari 3 жыл бұрын
Mashabiki ndo mjue hivo, tunapataga tabu sana kurekodi magoma kwaajili yenu 😄
@shabaniddy1595
@shabaniddy1595 3 жыл бұрын
Kiba
@dcruiz7485
@dcruiz7485 3 жыл бұрын
King's Music 4life ..Where Gud Musicians Are Found...Kiba u ar on 🔥 🔥🔥 Motoooooooo
@justinsonplatz1124
@justinsonplatz1124 3 жыл бұрын
Am in love with Kings music ❤️
@jacobjaphethmsengijacobjap7548
@jacobjaphethmsengijacobjap7548 3 жыл бұрын
Brother nakukubali can
@michaelmdoe9368
@michaelmdoe9368 3 жыл бұрын
Halafu anatokea mpumbavu mmoja anasema vinyimbo mtaimba. Akome kuita muziki wa Ali vinyimbo
@Zungu_Mwamba
@Zungu_Mwamba 3 жыл бұрын
King Music kwa afya bora
@tygamk8278
@tygamk8278 3 жыл бұрын
Mdada mrembo alikua anafurahi sana
@rashidisalum3163
@rashidisalum3163 3 жыл бұрын
Daah ila kiba unajua sana mm nitaendelea kuwa shabiki yako daima
@dittorashidi2214
@dittorashidi2214 3 жыл бұрын
King kibaass dj sbuuu
@saidijuma9386
@saidijuma9386 3 жыл бұрын
Pala limepigwa kofi
@harmonizemusic5896
@harmonizemusic5896 3 жыл бұрын
Tu es vraiment cool mon king's je t'aime beaucoup de puis Lubumbashi rdc
@officialmartin4432
@officialmartin4432 3 жыл бұрын
Yobo na king babaa
Alikiba & Mayorkun - Jealous (Studio Session)
28:45
Alikiba
Рет қаралды 238 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Alikiba + K2ga + Abdukiba + Tommy Flavour + Vanillah - Lalala (Studio Session)
16:53
Alikiba kuhusu U-King wa Mafundo
11:16
Kings Music Records
Рет қаралды 78 М.
Alikiba   Mahaba Live At Super Dome
5:48
Kings Music Records
Рет қаралды 10 М.
Alikiba - Infidèle (Official Music Video)
3:12
Kings Music Records
Рет қаралды 4,9 МЛН
US TOUR - ALIKIBA UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI
37:49
Kings Music Records
Рет қаралды 41 М.
Alikiba - Mahaba Studio Session
10:50
Kings Music Records
Рет қаралды 168 М.
Арман (Сені күнде көру)
2:51
IL'HAN - Topic
Рет қаралды 1,6 МЛН
Жандос Қаржаубай - Көзмоншағым
2:55
Emkal - Oublie-moi (Clip officiel)
3:00
EmkalVEVO
Рет қаралды 6 МЛН
Bakr - За любовь (Lyric Video)
3:01
Bakr
Рет қаралды 386 М.
V $ X V PRiNCE x DE LACURE - СУ (Mood Video)
3:06
V S X V PRiNCE
Рет қаралды 1,1 МЛН
QARAKESEK - “REAL” | solo
3:22
QARAKESEK 🇰🇿
Рет қаралды 767 М.
Say Mo ft. Akha - Buenas noches (Official Music Video)
2:20