Wangap tumeangalia hii video 2024 plz weka like tujuane
@maimunamartha88532 жыл бұрын
Hongera sana kwa kumwagia sifa nyingi alikiba anafaa hizo sifa kwa kweli maana aliaza mziki miaka mingi pia mm napenda nyimbo zake sana mpe hongera zake mm niko iraq namfatilia sana
@bakarykarekezi59092 жыл бұрын
Asante kwakumualika mtuu wetu tmpendae sanaa King 🤴 kba
@nancykimaro38452 жыл бұрын
Salama hongera sana Alikiba looks so comfortable akihojiwa na ww kuliko siku yeyote aliyowahi kuhojiwa popote
@mbwanamtessa86072 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@VexMaizoOfficial2 жыл бұрын
Kweli kabisa hajawa mkali
@boazijailos20202 жыл бұрын
Alikiba nakukubali Sana wewe msanii Bora kwa mda mrefu sasa
@robertevarist15952 жыл бұрын
Very fantastic interview, in this interview King umekuwa huru Sana kujibu maswali vizuri, uko happy Sana yan umetisha Kinoma bro, Salute Sana bro!!
@arleneilunga92022 жыл бұрын
Alikiba legend artist of Tanzania forever 🇨🇩🇨🇩
@supertallone19022 жыл бұрын
Ni kwel AliKiba anamvuto sana zaid watu wengi wanamkubal na kumpenda💖👑🎶🎻🔥 Siku adi siku anakua juu zaid (anatoa nyimbo nzuri) na watu ndivyo wanavyozid kumpenda zaid🎶👑 #AliKiba #SalamaNa
@mamachris68112 жыл бұрын
Ana nyota ya asili,sio za waganga
@officialbntrasool52232 жыл бұрын
Ali kiba n mt flan hv wa kawaida san af yup cmple😍
@farahanafarer75882 жыл бұрын
Superb, nimefurahi sana kwa King kiba kuwepo hapa leo
@violethtingo77032 жыл бұрын
Amazing interview big up to salama anauliza maswali kisomi adi raha 😊 king we love you 🥰🥰🥰
@mercypedha55192 жыл бұрын
Salama the Queen hongera kuleta King himself 🥰🤗😊😊
@deboravicent74272 жыл бұрын
I like your simplicity Ali. I recall the day we met n I said hi and the way u responded n that made me continue being your fan. Blessings all the way. Salama ur doing a great job I hope you know that keep at it. Mwaaa
@suleamberforreal74012 жыл бұрын
Kingkibaaa ❤🤞 the one i loveeeeeee
@timothykengere25352 жыл бұрын
Mbongo wetu AlK ako sawa Nyimbo safi kioo cha jamii, 🎙️ tumekua tukisikiza muziki wake 🎙️..............
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
Kiba UMESAHAU hilki unajua sana🇹🇿👈🤩
@folarinafolayan10862 жыл бұрын
Amazing interview. Thanks Salama for putting up the complete interview. You and your team is helping us and I am sure others in learning and improving their Swahili. Thanks 🙏🙏🙏
@langstonmorrison18502 жыл бұрын
Definitely this!!! I’m learning Kiswahili and all these interviews help me
@mimokassim23062 жыл бұрын
I been waiting for this interview since 2021 Finally it’s on KZbin
@getmad99082 жыл бұрын
Yani this guy is so humble I'm happy to know kiba in person and he still good freand of mine we still in good contact up to now!! ❤️❤️❤️👑🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲
@habibaathman79532 жыл бұрын
Lucky you..he is too smart mashallah
@khadijakayuzi84712 жыл бұрын
Uko vizuri Ally kwa majibu yako hujawahi kukoseaga 🔥🔥❤
@abudokibamz81352 жыл бұрын
King Kiba meu cantor de bongo flavour salute Moçambique
@laj16992 жыл бұрын
Salama uko juu. Interview zako ni hot🔥🔥🔥🔥. Kingkiba nae ameweza sana
@esteramiry70252 жыл бұрын
Nyimbo zenye maadili siku zote
@alicenice17112 жыл бұрын
Interview imeeleweka saana, hongereni jamaa
@vivianmjema52222 жыл бұрын
I have waiting for this video for so long salaam finally it's hear♥️🌹
@zedithjrkilala66612 жыл бұрын
Only one King
@alicenice17112 жыл бұрын
Najua ni mange kimambi njo alinusurika kukubaka king😂😂😂
@mayahassan13302 жыл бұрын
😂 😂 Toba
@fatmakombo75842 жыл бұрын
Ali tunakupenda mziki wako uko vizur hasa kwenye maneno uko juuuuu
@muniramunira482911 ай бұрын
Kweli dasalama asanti sana mungu amekutanisha watu wangu naewapenda sana mungu azidi ku wapenda piya dasalama end Alikiba love you so much
@ziyandamhlana87762 жыл бұрын
Congratulations Salma thingsu do big up
@farastahshaaban76262 жыл бұрын
May you bring for us our own iconic hiphop star ONE THE INCREDIBLE 💥✌🏾
@houstonchrispine42282 жыл бұрын
Samahani ntakuwa naingalia kazi yenu but nilikuwa na ombi mumualike pastor mgogo i hope itakuwa poa sana
@eliashope14842 жыл бұрын
Bonge la interview kazi nzuri dada salama.
@abdallah3372 жыл бұрын
Kiba nakukubal kinoumah bro❤️❤️
@pendorose80562 жыл бұрын
Nilikua naisubiria hii interview kwa hamu jamaniiii,....nampenda aly nyimbo zako pia unajua bro
@mozasaid38692 жыл бұрын
King Kiba ❤❤❤
@bish_daddiyao2 жыл бұрын
Nice Bringing Him Heil The King!🇰🇪❤️💥🙌🏾❤️
@gtunewaves28672 жыл бұрын
nilikua nikiisubiri sana hii
@alfredanthony982514 күн бұрын
Upaja wa salama ❤
@sakinaamani14862 жыл бұрын
Masha Allah mume enjoy nakukumbushia zamani na ssa
@harrymunuo5472 жыл бұрын
Of course kifo akina Age! Parfect 🙏
@sabMswahili.nia31442 жыл бұрын
King Kiba / Yuko Poah I meet him in Belgium/ performance with baddest he was cool yo !!! Friendly.