Alikiba & Tommy Flavour - Huku (Official Lyric Video)

  Рет қаралды 4,867,947

Alikiba

Alikiba

Күн бұрын

Пікірлер: 4 400
@KhadijaKaaya-zy8zb
@KhadijaKaaya-zy8zb Жыл бұрын
Umemshusha bhana 😅😅😅😅 hongera mfalme❤️❤️❤️
@dhgraphix_
@dhgraphix_ Жыл бұрын
Yeeeh baba nakubali bro me ndo wa kwanza naombeni like zangu
@WilbertMagambo-sr1lz
@WilbertMagambo-sr1lz Жыл бұрын
❤❤🎉🎉 Nakupenda Mzee baba mungu awabaliki sana king's
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 Жыл бұрын
Sasa hizo Likes ndo unashiba au??,
@bobelichi7721
@bobelichi7721 Жыл бұрын
​@@remigiusrwechungula7047mm namshangaa😂
@Hb_superboy
@Hb_superboy Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/a4Gbqp-hr7B8rs0si=0opfL1AyvIk0mmZx
@Hb_superboy
@Hb_superboy Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/a4Gbqp-hr7B8rs0si=0opfL1AyvIk0mmZx
@iameliakatabazi4496
@iameliakatabazi4496 Жыл бұрын
MIMI NI TEAMKIBA ILA SIJAWAHI PATA LIKE 100
@jafarylyimo5783
@jafarylyimo5783 Жыл бұрын
Andika lyrics ya nyimbo au fafanua hata maneno kumi magumu yaliyotumika kwenye wimbo utapata like
@adammwabule1779
@adammwabule1779 Жыл бұрын
Hit in town
@wanelapaul8605
@wanelapaul8605 Жыл бұрын
Basi inatosha utapata
@kidoesther
@kidoesther Жыл бұрын
Unakaribia kufikisha🙌
@kidoesther
@kidoesther Жыл бұрын
​@@adammwabule1779full ku enjoy
@stephenwainage2523
@stephenwainage2523 Жыл бұрын
Ngoma Haina dis like hata Moja
@godfreymartinegodfour7272
@godfreymartinegodfour7272 Жыл бұрын
Wazee hii Imeeñda Hii🙌🙌 Ngoma Kali Sana✊🏼✊🏼🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Keep it Up kwake Tommy na King Kiba👏👏👏👏👏👏👏👏👏IT AS DESERVE THE BEST SONG OF 2023/24🔥🔥🔥✊🏼
@asifiwecosta6258
@asifiwecosta6258 Жыл бұрын
Imethibitishwa kwamba Alikiba ndo msanii pekee anayeweza kufanya mziki wa aina yoyote❤❤Fumua video basi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 I'm your biggest fan from Malawi
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii Жыл бұрын
Kwa kuongezea kiba mziki wake hauchujuki nenda kaisikilize Kariim ya miaka ile mm.maruka kopo Intro
@jucrisethabeet1405
@jucrisethabeet1405 Жыл бұрын
Video ya nn hii inatosha tu
@adammwabule1779
@adammwabule1779 Жыл бұрын
Fantastic
@Emilesongfadhili
@Emilesongfadhili Жыл бұрын
Alikiba ww ni msani wangu namba moja apa kwetu me naitwa Emile naish kigoma nina maisha magumu brother nina ndoto siku moja nikuone na nipige picha na ww !! Thanks i love you and your work bro❤❤❤
@angeladrian8319
@angeladrian8319 Жыл бұрын
Pambana na hali yako br hawez kukusaidia kitu
@irenealex729
@irenealex729 Жыл бұрын
Nishike Huku. Big song of the 🎭
@Blessing32162
@Blessing32162 Жыл бұрын
Congratulations sana kaka yangu King Kiba hatimae wabaya wako walosema huwezi kufika trending namba 1 leo umefika daima mimi ni shabiki yako ONLY ONE KING 🤴🤴🤴💪🇹🇿
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 Жыл бұрын
🔥🔥
@isayakitaponda8337
@isayakitaponda8337 Жыл бұрын
Kiba alikiba.
@addyhome6162
@addyhome6162 Жыл бұрын
walosema hatoboi leo wako wapi,,,wapite kuleeeee@@abdulhamid9593
@swabahomar6815
@swabahomar6815 Жыл бұрын
Ni mungu tu
@alizo7
@alizo7 Жыл бұрын
Nyimbo za alikiba zote hazifanani kama umeona hio ...like kina marioo jaymelody wanajua lakin nyimbo ziko na similarities 💯
@ladiusmk.anthony4989
@ladiusmk.anthony4989 Жыл бұрын
Trend number 1 c ndo hii? Tumewashika huku
@TheCentkiduku
@TheCentkiduku Жыл бұрын
Kiba no #1 trending now hoyeeeeeeeeee
@deemusique2426
@deemusique2426 Жыл бұрын
Ali Shinda...Ali Fika...Ali Tisha...Ali Bisha...Ali Imba........Ali Ki imba,,,,Ali Kiba❤❤❤
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 Жыл бұрын
hiii kali sn
@isayakitaponda8337
@isayakitaponda8337 Жыл бұрын
Kiba Ali kiba kiba.
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@salumzungu9299
@salumzungu9299 Жыл бұрын
Umetishaaa😂😂😂😂❤
@LucianaMbiro
@LucianaMbiro Жыл бұрын
​@@isayakitaponda8337ko
@soudybiraly259
@soudybiraly259 Жыл бұрын
Kama unakubali muziki wa alikiba king kiba weka like yako hapa tujuzane ❤🎉😊
@nyalejefa5114
@nyalejefa5114 Жыл бұрын
Yoooo
@amosaochi325
@amosaochi325 Жыл бұрын
Toka 🇨🇩🇨🇩 alikiba FT Tommy , mwando wa kasi sana nyimbo nzuri sana ❤🎉🎉🎉🎉🎉 King's music record
@Venance-hr2es
@Venance-hr2es Жыл бұрын
Hashikiki king kiba the only one in Tanzania hawo wengne waendelekutembea nawafakazi wao iliwakijakuachana wazulumiane vizuli
@muniraahmed624
@muniraahmed624 Жыл бұрын
Jaman jaman nan anaangalia hii video huku akisoma comments za wadau Kama mm mko wap niwaone❤️🕊️. Kujen hapa niwaonee nawapenda🙏🕊️
@medallionsihaba1954
@medallionsihaba1954 Жыл бұрын
Kama unamkubali team kiba hebu like hapa tujuane plz hii ngoma ya kwenda ❤ Kenya iko sawa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
@jumamwakwambala321
@jumamwakwambala321 Жыл бұрын
Huku ndio habari ya mjini,from kenya we salute you king kiba🔥🔥👍💯💪
@yacrekimaro6359
@yacrekimaro6359 Жыл бұрын
Mmi team kiba ila sijawai pata followers ata mmoja uku😢
@DominickNondoMussa-gf5gk
@DominickNondoMussa-gf5gk Жыл бұрын
Huku imeenda masaa machache itaingia 1 on trending 🥰like zako kama umekubali
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 Жыл бұрын
nomaaaa
@ShukranMakokoMakoko
@ShukranMakokoMakoko Жыл бұрын
Hii imeenda
@Benjamincharles96
@Benjamincharles96 Жыл бұрын
Tayar imeingia😂😂
@janeshigami8769
@janeshigami8769 Жыл бұрын
Woooiii...Amen ina ikimbiza....🤭
@LuluShayo-o6e
@LuluShayo-o6e Жыл бұрын
Good song 🎉🎉🎉🎉 maua hayo apo kaz kwako 😅😅
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 Жыл бұрын
Although I don't understand Swahili language, Nimependa kile Tommy flavour, Alikiba, The mixing killer, Abbah process na walioshiriki kwenye video hii. Nawakubali sanaaaa.
@kevinolita1367
@kevinolita1367 Жыл бұрын
Nimechelewa lakini siwezi achilia ayeeeee baba moto
@deejaykflipvevo7424
@deejaykflipvevo7424 Жыл бұрын
Itakaa kwenye rotation muda mrefu sana 🔥Hiki ndo tulikua tunapiga kelele kila siku kufanya Amapiano yenye taste ya Bongo fleva
@HusseinAbdalah-bs6oy
@HusseinAbdalah-bs6oy Жыл бұрын
Nomaaaa
@mbembelatv
@mbembelatv Жыл бұрын
𝙵𝚊𝚌𝚝
@thetrend5264
@thetrend5264 Жыл бұрын
Ila me sioni radha yake hata kidogo kawaida sana haiwez amsha vibe hiii
@suleislim4519
@suleislim4519 Жыл бұрын
Hapo ndio utajua ujui, coz zile zenye ladha hazikuwai kuwa namba moja trending, lkn hii imefika. Sometimes dunia haikupi unachotaka ila hukupa unacho stahili. Kula chuma icho utajua tu jinsi ya kuruka nacho tu 😂🤣😂😂
@FrankDéfránz
@FrankDéfránz Жыл бұрын
Simi n ngoma kli huku imekua muendelezo
@richardegidiusi9811
@richardegidiusi9811 Жыл бұрын
Mwaka huu mashabiki wa king's tunapata furaha cna 🔥🔥🔥🔥🔥
@anoldkivuyohiphopmc1957
@anoldkivuyohiphopmc1957 Жыл бұрын
Amapiano sio lazima useme shuuu ,chuchu😅😅😅msikilizeni mwalimu ana wafundisha namna yakufanya kazi zenye akili 🔥🔥🔥🔥🔥✌️☑️☑️✍️💯💯☑️💪✍️💯💯☑️✌️🔥🔥🔥🔥
@IbrahimZaharani-r1z
@IbrahimZaharani-r1z Жыл бұрын
Mm ni timu Kiba lkn sijawahi pata like hata 50
@prizmtotnan2353
@prizmtotnan2353 Жыл бұрын
Ukiachana na creativity zote kwenye huu wimbo juu ya media main character Mr traffic 😅😅 shati vifungo vya mabegani havijafungwa kwa maana tayari huyo alikuwa mtovu jeshini yupo kwenye adhabu very creative 😂😂😂😂 nimependa big up!
@SaidiMohamedi-pt4xl
@SaidiMohamedi-pt4xl 7 ай бұрын
😊1❤
@CarolineMutonga-s8w
@CarolineMutonga-s8w Жыл бұрын
Sikuhizi Alikiba amechangamka na wimbo kali sana🎉respect buda
@rashiddihuka1236
@rashiddihuka1236 Жыл бұрын
Jaamani mm ndo team kiba mwenzenu like za kutosha Kama wew teamkiba au unayependa hii ngoma ya huku🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SeiphAbdallah
@SeiphAbdallah Жыл бұрын
Ngoma kaliiii🔥🔥🔥💯
@ammedizofficial1742
@ammedizofficial1742 Жыл бұрын
Tanzania king ni mmoja na ata hapa Kenya🇰🇪 tunajua hivyo..king kiba worldwide
@cliffdinho
@cliffdinho Жыл бұрын
Kenya unajua na nani🤔labda watu wa kwenyu,tena uyu king wako ni King wa wapi?
@Noooonat-o5s
@Noooonat-o5s Жыл бұрын
@@cliffdinho umeumia eeh?
@cliffdinho
@cliffdinho Жыл бұрын
@@Noooonat-o5s niumizwe na nini sasa😏tafta slogan ingine hii yakuumia iliisha ladha unajiaibisha huku
@YoungProfessionel
@YoungProfessionel Жыл бұрын
Hiyo ndo KING'S MUZUKA nawakubali sana wawili Hao Tanzanie❤❤ from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@hamisimtemi3803
@hamisimtemi3803 Жыл бұрын
Wale waliosema watatrending no 1 Hadi January hapa ni wapi??hapa ni wapi!
@Vannymoney
@Vannymoney Жыл бұрын
NAMPENDA ALIKIBA LAKIN DAAH KUPATA LIKE NGUMU
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 Жыл бұрын
izoo
@danieljeffrey540
@danieljeffrey540 Жыл бұрын
Nmefurahi kumuona MUHASIBU WA DALADALA. Blend yake na ASKARI MURA nmeipenda sana. Nlikuwa napenda audio tuuh ila baada ya kuwaona hao watu wawili naipenda sana hii video. 100/100🙌🙌🙌🙌❤❤❤❤
@Katamba255
@Katamba255 Жыл бұрын
mimi pia🤗
@yustinrockboy4091
@yustinrockboy4091 Жыл бұрын
Ngoma flani imetulia Yani aina kelele inachezeka pia unaweza ukainjoy kwakutikisa kichwa tu Yani ni flavour song nyie kingkiba yongking killing my song 👑💥📌
@AliAli-zg1kp
@AliAli-zg1kp Жыл бұрын
Tommy is no 1 of the year Umeuwa sanaa tumeishika Washington 🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥
@geophreyjohn3373
@geophreyjohn3373 Жыл бұрын
All in all ngoma kaleee sanaaaaa aseeee
@SimonPetro-rb4vv
@SimonPetro-rb4vv Жыл бұрын
💪💪💪💪💪💪👊👊👊👋👋MTAA UNAIMBA NYIMBO ZA KING KIBA PEKEE🔥🔥🔥🔥
@ronnynike2689
@ronnynike2689 Жыл бұрын
First on trending let us celebrate we made it like zenu za 1# trendng😊
@loui7050
@loui7050 Жыл бұрын
Hii imeenda. Beat 🔥 Lyrics 🔥 Chorus 🔥 Video 🔥 Creativity 💯
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 Жыл бұрын
Team kiba damu,nawaombeni ndugu zangu like 100+ Kwa ajili ya King
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 Жыл бұрын
umepta
@supertallone1902
@supertallone1902 Жыл бұрын
Yani mm sitamani wimbo uishe😍😍 Vibe kutoka kings music❤ #Tommy#Kiba
@Peaceman-S
@Peaceman-S Жыл бұрын
😮NYIMBO NI KALI SANA SEMA SIKU UKITOA VIDEO UNAZINGUA SANA MFALME jitahid NYIMBO ifanye video yake iwe Kwa ukubwa bhana
@Malima29_10
@Malima29_10 Жыл бұрын
Huu Wimbo Na Video🔥🔥🔥 Nimependa Walivyo heshimu Radio Kubwa Na Maarufu Nchi....❤
@AnchaJoao-b9j
@AnchaJoao-b9j Жыл бұрын
Kama kuna mtu amerudia mara 10 kama mimi nipeni like
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 Жыл бұрын
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri Huku 🎧💥💥💥
@josephbaruani944
@josephbaruani944 2 ай бұрын
Nyimbo nzuri kabisa
@BAHATIKIBA-ul6wx
@BAHATIKIBA-ul6wx Жыл бұрын
Nakubal San Melody Kali Kabs , Tommy You Are The Killer Never Dissapoint My Brother 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🇺🇸
@rashidamohamed9927
@rashidamohamed9927 Жыл бұрын
eeshima Yako kwenye mnziki 💯💯💯shika moo wanafunzi tumekupingia magotii wanafunzi tunafelije Kwa mfano 🙏🙏🙏
@paschalbenardmwinamila
@paschalbenardmwinamila Жыл бұрын
Unyama sana king👑👑
@nacho1756
@nacho1756 Жыл бұрын
Kizuri cha jiuza kiabaya cha jitembeza ngona tamu sana number 1 ontrending uko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mrsjerome9981
@mrsjerome9981 Жыл бұрын
Love you kiba
@ansigar1997
@ansigar1997 Жыл бұрын
Hongera sana Alikiba kwa kuendelea kutupa mziki🎉🔥🔥
@omaribangu8331
@omaribangu8331 Жыл бұрын
Tuna siku ngapi sasa tukiwa kwenye nafasi ya kwanza wana familly ?
@Fabian_fidel_Official
@Fabian_fidel_Official Жыл бұрын
King kiba mufalume nimufalume tuuu hatimaye anaye jigamba kukaa trending kashuka safi sana alikiba inawauma kuka namba1 hi Ngoma 😂😂😂😂😂😂😂mpen mauwa yake king kiba🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@abdulnassir7836
@abdulnassir7836 Жыл бұрын
No copy and Paste.. Full creativity.
@wilisomwinyi5420
@wilisomwinyi5420 Жыл бұрын
Hii ngoma itatesa sana street 👑 king kiba ww ni fire🔥🔥🔥 kama unaamini hii ngoma itatesa sana mtaan kwako ngoga like hapa twende sawa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@adammwabule1779
@adammwabule1779 Жыл бұрын
Balaa na nusu
@thetrend5264
@thetrend5264 Жыл бұрын
Kawaida sana hiiii hakuna maajabu amapiano ya kuimba slow hvo hakuna maajabu hapo ye aendelee kubana pua tu
@AbdallahIssa-sg9jl
@AbdallahIssa-sg9jl Жыл бұрын
Waliosema King mwaka huu hatokaa namba 1on trending hapa niwapi
@IbraahGeorge
@IbraahGeorge Жыл бұрын
yuko wapi alosemea atakuwa on trending had mwezi wa kwanza😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Жыл бұрын
Ngoma kali sana kumbe kiba ni fundi sana wa amapiano😊😊😊😊
@baysadam235
@baysadam235 Жыл бұрын
Unyamaaaa mwing sanaaaa wanangu wa King's huuu mwaka n wetu kabaisa🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@vivianaroko3521
@vivianaroko3521 Жыл бұрын
Asee this song everytime nasikiliza, umeni catch my feelings sana😅
@Vincentsyona-bj6qj
@Vincentsyona-bj6qj Жыл бұрын
Endelea kuwapelekea 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@juniortv543
@juniortv543 Жыл бұрын
Venye wale walosema atutakaa namba 1 apa niwapi😂
@rodriguekalubandika535
@rodriguekalubandika535 Жыл бұрын
Alikiba ni king kama unamini ilo like zenu hapa kamatupamoja❤ luv from USA✌️
@batulihafidh9816
@batulihafidh9816 10 ай бұрын
😂🎉😢😮🎉❤❤😂🎉😢😮😅 zaaagjh
@rashidamohamed9927
@rashidamohamed9927 Жыл бұрын
Wanafunzi wako tukovinzurii hatuna baya mbele ya mwalimu wetu 💯🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️🙏🙏🙏💪💪💪💪
@banguomari5165
@banguomari5165 Жыл бұрын
Niveau laser 🎉🎉🎉🎉
@hamisisalumu7570
@hamisisalumu7570 Жыл бұрын
Goma la kwenda KWELI kweli,,,YAANI mi ni team Kiba tangia makimugaa,na sitaki hata like,we #nishike huku# pita tu.
@fezootv7968
@fezootv7968 Жыл бұрын
KING KONG 👑 MY brother from another mother, the original copy,ATM machine inspiration of the youth,best in East Africa,#HUKU🔥🔥
@adammwabule1779
@adammwabule1779 Жыл бұрын
King kiba forever 💥
@NizerGee-uy1gm
@NizerGee-uy1gm Жыл бұрын
Jamaniii 1 on trending 😀😂😂🤸 Luka 😀🍒 who like king kiba himself 🤴
@geophreyjohn3373
@geophreyjohn3373 Жыл бұрын
sema mbona subscriber wetu wanashukaga kwa kasii iviii.
@JayzyKnya
@JayzyKnya Жыл бұрын
Huku ndo nyimbo ya kitaa sai 🔥 🔥
@thecreatorcontent
@thecreatorcontent Жыл бұрын
Top Top Top everything on point from sound production to music production in general to the owning og the amapiano East African vibe to the story itslef in the visuals 100%
@ibrahimuselemani4076
@ibrahimuselemani4076 Жыл бұрын
Ni Mfalme half mwalimu wa Muziki mzuri pia👑..chukua ear pod hlf sikia huu wimbo utanishukur sana | Haya kama Unamkubal Mfalme kwel bhas toa likes za upendo kwake❤️🔥🔥 #Huku 🏌️‍♂️👑
@angelfalleh-wb9rg
@angelfalleh-wb9rg Жыл бұрын
Ni kisanga kwakweli
@OMARKOMBO.9984
@OMARKOMBO.9984 Жыл бұрын
Awashindia na nidhamu tu
@EmmanuelBendera-sk2pn
@EmmanuelBendera-sk2pn Жыл бұрын
Mzigoooo saluti King👑
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 Жыл бұрын
Finally number 1 on trending for music,Thank you King ft Tommy that's us how we do....!!
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 Жыл бұрын
nomaaaa
@dr_gainstz
@dr_gainstz Жыл бұрын
Leo wametoa Ngoma mbili😂😂😂 ila wanahangaika kuziboost boost
@janeshigami8769
@janeshigami8769 Жыл бұрын
No. 1 ni Enjoy.....😂
@Vanisikaka
@Vanisikaka Жыл бұрын
KING NI MMOJA TU🎉🎉🎉
@Norastephen
@Norastephen Жыл бұрын
The best song of the year ❤💪🏾 the year is ending on fire 🔥 from our one and only Alikiba 🫶🏾much love from South Sudan 🇸🇸🫶🏾❤️
@ObediEzekieli-fr4vl
@ObediEzekieli-fr4vl Жыл бұрын
Oyaaa kaisha dumu lenye maji alipig kelele
@YahayaBaheza
@YahayaBaheza Жыл бұрын
King kiba 💪 unatisha baba yani unatupa raha mziki mzuri 🕺 Majirani kwa sasa duh
@misojimasanja8868
@misojimasanja8868 10 ай бұрын
❤❤❤❤hhhh
@Abuuayaan
@Abuuayaan Жыл бұрын
Yaani hili goma ni hatari kinoma,,, Hakuna neno izamishe kwachini wala iweke ndani ama ichomoe, lyrics zimeenda shule utunzi wakiutu uzima kabisa... This song is lit, kama ww ni fan wa Ali Kiba gonga like hapa... Halafu kama vipi, tufanye bidii views zifike milioni
@chrisbrownI
@chrisbrownI Жыл бұрын
sio tu noma yani ni moto
@kyaruzirobert210
@kyaruzirobert210 Жыл бұрын
Hakuna tusi hii kali sn
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 Жыл бұрын
nomaaa
@beatricemalekela-r8t
@beatricemalekela-r8t 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Siamejr418jr
@Siamejr418jr Жыл бұрын
Fantastic song🎉🎉🎉
@BensonKelvin-tr7ul
@BensonKelvin-tr7ul Жыл бұрын
Jamaaa anajua sana ❤
@gibsonkabusola6923
@gibsonkabusola6923 Жыл бұрын
Number1 on trending 🔥🔥🔥
@imanishiro5604
@imanishiro5604 Жыл бұрын
Never expected to see Kings record nailing amapiano🔥🔥💯
@BahanuziPaulin-gb2fp
@BahanuziPaulin-gb2fp Жыл бұрын
King Kiba
@zekyommy9837
@zekyommy9837 Жыл бұрын
Mzee akion unaskiliz mzik mzur wa king huw anajua akili yko iko vzr asant kak 🔥🔥
@omaribangu8331
@omaribangu8331 Жыл бұрын
Hongera sana Tommy Flavour 🔥🔥❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@chumayaoinvestment1647
@chumayaoinvestment1647 Жыл бұрын
This is one of the BEST CREATIVE VIDEO IDEA I HAVE SEEN IN YEARS IF NOT NOT AT ALL BRAVOOO TO KINGS MUSIC #CHUMAYAO 👑👐🏻
@Allymoh001
@Allymoh001 Жыл бұрын
Ali kiba must be RESPECTED!
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 Жыл бұрын
🔥🔥
@vivianaroko3521
@vivianaroko3521 Жыл бұрын
Full stop
@kosovochina
@kosovochina Жыл бұрын
Team kiba wanang wa jeshi la kiba nipeni likes 1k
@Maxnengineer
@Maxnengineer Жыл бұрын
Waoooooooo What are creativity 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡😇🫡
@JonesIha-6919
@JonesIha-6919 Жыл бұрын
The lyrics are on fire...'' kata kidogo, nata na mikogo...nataka kidogo...''
@phillybalile
@phillybalile Жыл бұрын
Number moja on Trending, #1-Huku, Kiko wap sasa😂😂, mwambieni mwambino awe anabakiza akiba ya maneno 😂😂
@bravotzee218
@bravotzee218 Жыл бұрын
Fanya utakavyo am ready 💥💥💥🔥
@Chida
@Chida Жыл бұрын
Mwenzenu nimeshikwa #HUKU na shemeji yenu ata sifurukuti
@shareefmbami6002
@shareefmbami6002 Жыл бұрын
Alikiba's fan from 🇹🇬 you are the best 😍💪🏿 so proud to be African
@mnyamahandsome2142
@mnyamahandsome2142 Жыл бұрын
Mziki mzuri unaongeaa wenyewe pasipo na kikii big up kwenu Tommy flavour en king kiba
@ben.breaker
@ben.breaker Жыл бұрын
Ubunifu mzuri 🔥🔥🐉
@bestbeatstoreacid
@bestbeatstoreacid Жыл бұрын
THIS TRACK IS ON MY REPEAT!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤🎉🎉🙌🏼🔥
Alikiba & Tommy Flavour - Huku (Official Music Video)
4:06
Alikiba
Рет қаралды 13 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 12 МЛН
Alikiba - Mahaba (Official Lyric Video)
3:18
Alikiba
Рет қаралды 36 МЛН
Alikiba feat Marioo - Sumu (Official Audio)
4:42
Alikiba
Рет қаралды 1,1 МЛН
Lony Bway X  Marioo Wewe Hapo (Official Video)
4:28
Lony Bway
Рет қаралды 17 МЛН
Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)
2:52
Dully Sykes
Рет қаралды 2,7 МЛН
Diamond Platnumz Ft Mr. Blue & Jay Melody - Mapoz (Official Lyric Video)
4:10
Willy Paul & JZyNo - KUU KUU (Official Lyric Video)
3:12
Willy Paul Thee Pozze
Рет қаралды 11 МЛН
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
Tommy Flavour feat Marioo - Nakuja (Official Music Video)
4:40
Tommy Flavour
Рет қаралды 8 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.