Tommy Flavour feat Marioo - Nakuja (Official Music Video)

  Рет қаралды 8,243,523

Tommy Flavour

Tommy Flavour

Күн бұрын

Пікірлер: 3 200
@Ambanijoel
@Ambanijoel Жыл бұрын
Marioooo always on top the video is hot😍tommys voice pia imeblend mbaya...wakenya mnipee likes woiyeee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍
@mohamedmussa3931
@mohamedmussa3931 Жыл бұрын
Wanaopenda good music gonga like hapa✅️ (Nakuja ni fire)
@DeejayClef
@DeejayClef Жыл бұрын
Beib nakuja (baby am coming) 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@PatyJosh-q6v
@PatyJosh-q6v 5 күн бұрын
Am coming 😅😂
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 Жыл бұрын
What a movie🙌🙌🙌 Kali sana weka like twende sawa
@princesszuuhzuuh5755
@princesszuuhzuuh5755 Жыл бұрын
Kila nikipita mtaani nasikia tu nakuja !! Nakuja!! Nakujaaa!! Baby nakujaaaaaa!!! Nikasema Wacha na mimi nije nione nakujaaaaaa nakujaaa 🤸🤸🤸🤸 bonge la gomaaaaa🤗
@Agape_jr
@Agape_jr Жыл бұрын
movie shooting,,,,,,, video ni kama filamu,,,,,,,big up KINGS MUSIC,,,,tunafurahia huku Kenya,,,,
@ummysekuninga6100
@ummysekuninga6100 Жыл бұрын
Aiseee aiseee hii video ni kali sana aiseee Tommy keep it up brother
@hamisiayoub3741
@hamisiayoub3741 Жыл бұрын
Ubunifu mkubwa sana umetumika hapa. Bonge moja la ngoma tommy umeuwa💪💪💪
@ernestgreet4935
@ernestgreet4935 Жыл бұрын
Mziki mzuri sana huu Tommy flavour na Marioo 🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿💯💯💯
@ngubimbangusi3665
@ngubimbangusi3665 Жыл бұрын
King's music mambo matamu kila mdaa
@oscarclaine5878
@oscarclaine5878 Жыл бұрын
Like father like son na huy ndo young king.. ana mabalaa buku 🔥🔥🔥🔥
@athumankiatu2610
@athumankiatu2610 Жыл бұрын
Tommy flavour mkali umeua kings music heshima yetu tunairudixha mikononi mwetu🔥🔥🔥🔥
@carloskalonje
@carloskalonje Жыл бұрын
That "nakuja baby nakuja" hits different maan😂😂😂🤦🏾‍♂️
@jastinimongi7656
@jastinimongi7656 Жыл бұрын
Sina cha kuongezea hapo move kali san 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@wilisomwinyi5420
@wilisomwinyi5420 Жыл бұрын
Eebana eeeeh hili bonge la dude bonge la video bonge la ngoma all in all mumeitendea haki good job @tommy flavour @marioo 🙌🙌🙌🙌 nakuja ndo video yangu pendwa 2023❤❤❤❤ nakuja baby🏃🏃🏃baby nakuj🏃🏃🏃allow me baby nakuj🏃🏃🏃🏃 king's music🔥🔥🔥 king kiba @alikiba tunataka chupa kama hizi sasa mafans wa king's music❤❤❤❤❤🔥🔥🔥
@lulumuganga8649
@lulumuganga8649 Жыл бұрын
Tommy this 2023 ur the best male artists bongo fleva...
@maximusalnono6425
@maximusalnono6425 Жыл бұрын
Wow 🤩 tokea nizaliwe miaka 80 ilopita hii ndo movie yangu bora Mwinjaku ft video ni balaa 🔥🔥
@alexgwaro6679
@alexgwaro6679 Жыл бұрын
Wakali wawili wakikutana kwa mbonge ya Ngoma inakuwa hatari sana...🔥nimeikubali🙏
@ngubimbangusi3665
@ngubimbangusi3665 Жыл бұрын
Nakuja baby nakuja mbn sijafika nitafika lini
@djcashwanakidiry9158
@djcashwanakidiry9158 Жыл бұрын
Sisi ndo king's Music 🎶 Tommy flavour Umeuwa Mwanangu Nguvu Mo1 we love 🔥🔥🔥🔥 My brother 💪
@goraseck9922
@goraseck9922 Жыл бұрын
Senegalese Who loves tanzanians song and artists. Big up for Marioo and Tommy Flavour
@baysadam235
@baysadam235 Жыл бұрын
Umeuwa sanaaa Mwanetu Tommy inshallah Mungu akujaze kheri 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@highlightboy255
@highlightboy255 Жыл бұрын
Let's go bro tumeipandishaaa
@DavidMASCO-x2t
@DavidMASCO-x2t Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ nimeipenda akiy waTanzania mnawaka
@ashirafkhamis1556
@ashirafkhamis1556 Жыл бұрын
mwijaku ndani ya gang kweli ni high creativity big up san bro Tommy...naombeni likes jamani tufurahie muziki mzuri kutoka Kings Music Records
@abuunguzo2452
@abuunguzo2452 Жыл бұрын
Kwa kazi hii mungu kwel mungu ibariki TANZANIA
@masterkeymuzik
@masterkeymuzik Жыл бұрын
Ikizama tunazama nayo na ikizuka vilevile tunazuka nayo 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
@emmanuelbarakajunior7482
@emmanuelbarakajunior7482 Жыл бұрын
Tommy mweny Fleva zake mjini🔥🔥🔥🔥
@edwinvita5383
@edwinvita5383 Жыл бұрын
Marioo hapoi🔥🔥 wapi likes za kutoka +254🇰🇪
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 Жыл бұрын
Bonge moja la nyimbo na bongo moja la movie ,mmetisha nmependa ubunifu🔥👍
@Zah-ley
@Zah-ley Жыл бұрын
Jamani hii nyimbo huku kwetu Zanzibar Kila kona nakuja sio zuwena Wala yatapita thanks you 💯🔥 Tommy Flavour÷Marioo
@yazidkarasu2497
@yazidkarasu2497 Жыл бұрын
acha uongo eti zenji kila Kona harafu umejiona ulivyo mjinga eti siyo zuwena Wala yatapita
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 Жыл бұрын
@@yazidkarasu2497 sasa unambishia unaishi zenji wewe!!
@dulahshabani8159
@dulahshabani8159 Жыл бұрын
Huu ndio unazi
@yazidkarasu2497
@yazidkarasu2497 Жыл бұрын
@@bonnymakuke3153 we nae huna akili kwa hiyo katembea zenji yote ndo hiyo nyimbo kila Kona tuseme kila sehemu wanairudia tu hiyo nyimbo asbh mpk usk hakuna nyimbo za wasanii wengine harafu ukitaka kujua Hilo lipo kitimu why aseme sio zuwena Wala yatapita zenji nzima wanasikiliza nyimbo moja tu
@yazidkarasu2497
@yazidkarasu2497 Жыл бұрын
@@dulahshabani8159 kwa hiyo kwa akili yako hivi unaamini zenji nzima hakuna nyimbo za wasanii wengine
@ianwaithakamburu3152
@ianwaithakamburu3152 Жыл бұрын
Mad love from 🇰🇪💯% Muziki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sana. Wenzetu Apa waimba takataka, pombe, uhalifu, makahaba ndo wamejaa kwa nyimbo. Nyie uko 🇹🇿🇹🇿 ngoma safi, kiswahili sanifu bwanar. Ahh kongolee❤❤❤❤❤
@shiru_choppa7654
@shiru_choppa7654 Жыл бұрын
Mwijaku,Denzel,vido vidoxi wamecheza kama wao...movie kama movie everything in this song is perfect 👌👌🇰🇪
@tumainiprtv553
@tumainiprtv553 Жыл бұрын
Seen by Tumaini pr Tv Nakuja bonge moja la ngoma 🔥🙌🏾
@kismetsaimon7697
@kismetsaimon7697 Жыл бұрын
Nmependa hii video movie 🙌unyama sana
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 Жыл бұрын
Kings music mnatupa rahaa sie tunapenda hit song kama hizi ,kila kona Nakuja hatar sana🔥🔥💪
@yangasupport
@yangasupport Жыл бұрын
Like hapa watu wangu tunaependa nyimbo nzuri💛💚
@faithaaliofficialke381
@faithaaliofficialke381 Жыл бұрын
7 trending in Kenya 🇰🇪🇰🇪 let's keep it no. 1
@moseshandsam1865
@moseshandsam1865 Жыл бұрын
Bonge la creativity Good Job mwijaku ametisha sana big up to bongo fleva Tommy good work Broo Mario keep shinning like star this is hit 🔥🔥🔥🔥Unyama humu ndani ni mwingi sana this is kind of video we need from bongo fleva kama movie kama drama iyo ndio maana alisia ya video sasa hiii ngoma nimeilewa sana 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@geoffreygodfrey4340
@geoffreygodfrey4340 Жыл бұрын
🔥 🔥 🔥
@ngubimbangusi3665
@ngubimbangusi3665 Жыл бұрын
Official mwijaku kazi nzuli sana
@benardchacha_official
@benardchacha_official Жыл бұрын
Naikubali ngoma hii kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@stellamuthoni3452
@stellamuthoni3452 Жыл бұрын
Kenya hatupumui na mgoma hii motoo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@yuzoboy1793
@yuzoboy1793 Жыл бұрын
Ngoma kali sana unyamamwingi
@giladegrant9808
@giladegrant9808 Жыл бұрын
Ninaombi moja kwako Tommy kama comments unazisoma please jitahidi kuachia kazi kila mala video na audio viambatane na hata try kuwa mbunifu toa kazi zikiwa na dhumuni tofauti tofauti kuumizwa, really love, maisha ya mtaan na kadharika❤️👊 King's Music For Life
@adamhashimu4462
@adamhashimu4462 Жыл бұрын
Nyimbo nzur sana,kilichonifurahisha zaid video yake kali sana na ubunifu wa hali ya juu ,safi sana Tommy&Marioo ,Kings music for life 🔥🔥👍💪
@fetychina3969
@fetychina3969 Жыл бұрын
Ila tommy mwaka huu ukienda hivi utatukamata sana kwani umeuanza vizuri na huu uwe mwenderezo wako##tommy flavour on fire🔥
@espoirmaurid6670
@espoirmaurid6670 Жыл бұрын
Nakubali kaka... Ila mfanye promo sana iyi no ngoma kali sana. From south Africa
@bushobokaadolphe553
@bushobokaadolphe553 Жыл бұрын
Tommy Flavour courage pour cette belle chanson 🇨🇩🇨🇩
@enoswililo6031
@enoswililo6031 Жыл бұрын
Ili goma Linabid lifike 1m kabla ya kesho kufika jmaan linasumbua saana tuendelee kuview Kwa speed 🥱🥱🤸
@lanafelix8649
@lanafelix8649 Жыл бұрын
Nikamate nikamate Nikamatie nikamatie usinibwage Baby let me be romantic Hatujali we dont maind Navuta picha ulivyo teacher Tommy Flavour Kings music 🤴
@pizzaz4333
@pizzaz4333 Жыл бұрын
Verses za Young King ni 🔥🔥🔥
@alexalen6799
@alexalen6799 Жыл бұрын
Huyu jamaa hatari sana
@brendankatha8038
@brendankatha8038 Жыл бұрын
Kali Sana wakuu👏👏,much love from Messi kadenge 254🇰🇪🇰🇪💪
@georgekemuma715
@georgekemuma715 Жыл бұрын
Love from Kenya this is what makes me proud of being east African 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 A BIG TUNE
@NaomiBoke-yy9zw
@NaomiBoke-yy9zw Жыл бұрын
mmm 😛
@arsenalwenger4797
@arsenalwenger4797 Жыл бұрын
The best song ever... Big up. Ila nakuusia kitu kimoja.. Usijaribu kuanza beats za ama piano.. Endeleeni kinyumbani. Salute for two of you.
@afyabora8974
@afyabora8974 Жыл бұрын
Jmn hii Trending mbona sielewe since day one ata haipandi ipo pale pale
@AMOSMURIITHI-f6d
@AMOSMURIITHI-f6d Жыл бұрын
they did it much .....MARIOO go go go go......
@gedimlulo2520
@gedimlulo2520 Жыл бұрын
😁🙌🙌🙌🙌 Tambala la kinyamwezi hatari...video fupi lkn imesheheni tafsiri ndefu sana ya maisha halisi ya hAPA duniani.....*kings for life*.
@alfredkahindi3083
@alfredkahindi3083 Жыл бұрын
Tanzania mnajua twa wapenda bure hadi mna boa.nipeni likes zangu all the way frm kenya.
@happybajuta9769
@happybajuta9769 Жыл бұрын
Twawapenda piaa
@judzkanz6508
@judzkanz6508 Жыл бұрын
Niko hapa kanini in tz
@SalumHamady-uf9pk
@SalumHamady-uf9pk Жыл бұрын
Hii song kiboko Ina vibe mpaka Capetown, watu wanaikubali kichizi
@mwalimusamsontz1942
@mwalimusamsontz1942 Жыл бұрын
Wa kwanza Tena Kila wakat Mimi tu thanks Tommy flavor naomba likes zenu wadau ❤️❤️❤️
@omaribangu8331
@omaribangu8331 Жыл бұрын
💞💞💞💞
@kingstalents3769
@kingstalents3769 Жыл бұрын
Njoo uwe wakwanza pia kwenye account yangu🙏🙏🙏
@muitocalmoso5323
@muitocalmoso5323 Жыл бұрын
Kila mtu me ndo wa Kwanza mm ndo wa Kwanza, Sasa kama umeanza si ungemaliza tu ndugu yangu
@pizzaz4333
@pizzaz4333 Жыл бұрын
Kuwa unaweka masaa tukuamini 😂
@muitocalmoso5323
@muitocalmoso5323 Жыл бұрын
@@pizzaz4333 kweli kabisa
@Conshamusic
@Conshamusic Жыл бұрын
HILI SONG NI GUMZO MTAANI KAMA UNAAMINI NDIO LINAENDA KUWA HIT SONG KULIKO SONG ZOTE ZA TOMMY FLAVOUR LIKE HAPA ZOTEEEEE,🔥🔥🔥🔥
@pizzaz4333
@pizzaz4333 Жыл бұрын
It’s a banger 🔥🔥
@zarizariboss4529
@zarizariboss4529 Жыл бұрын
Kig muzuc
@townboybrown
@townboybrown Жыл бұрын
youtube.com/@town-boyelvis4507
@Wozeeh
@Wozeeh Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g5vJeZ2VhZijprs
@isakamwakajila6447
@isakamwakajila6447 Жыл бұрын
Ukiamini wew inatosha
@AfroSonKE
@AfroSonKE Жыл бұрын
Nice stuff Offffffcourse babe.Nakuja babe Nakuja
@Sophylotion
@Sophylotion Жыл бұрын
Mashaallah King music for life🔥🔥🔥👌 unyama ni mwingi mno
@omaribangu7116
@omaribangu7116 Жыл бұрын
Hatari 🕸️ nanusu jamani ni bomm Naomba liké zenu 🇨🇩🇹🇿🇰🇪🇺🇬 👇🏼
@immaculatewafula8772
@immaculatewafula8772 Жыл бұрын
Mashallah marioo uko sawa napenda ngoma zako lover man kwa songs za mapenzi tick ...mashallah
@muitocalmoso5323
@muitocalmoso5323 Жыл бұрын
Moja kati ya vídeo ambayo ina ubunifo wa hali ya juu sana!! O melhor vídeo de 2023 bwe de criatividade. Me fez lembrar no SALUTE D KING👑
@yusufujackob4441
@yusufujackob4441 Жыл бұрын
Uhakika
@fannyboy_tz2062
@fannyboy_tz2062 Жыл бұрын
Nakuja we go 🔥🔥✈️
@pitalukasmwanioti1458
@pitalukasmwanioti1458 Жыл бұрын
Nakuja limekuwa likidude likubwaaaaaaaaaa sana
@silverypastore4097
@silverypastore4097 Жыл бұрын
Braazaaa tommy unastaili u young king🙌🙌🙌🙌🙌
@eugendawilson1644
@eugendawilson1644 Жыл бұрын
Kubwa sana hii kwa mwendo huu tutaelewana taratibu 🔥🔥🔥
@siliviahjerusa2963
@siliviahjerusa2963 Жыл бұрын
This is Sweet.. it's on fire 🔥🔥🔥 More love ❤️❤️from 254 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I love you all
@westchugagang5323
@westchugagang5323 Жыл бұрын
KINGS MUSIC FOR LIFE NIMEKUA WA KWANZA HII VIDEO ILIFUTWA ALAFU IMERUDISHWA TUNGEKUA TRENDING MUDA SANA IMEKAA KAMA DAKIKA 15 👑👑👑👑
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 Жыл бұрын
Kumbe niliitafuta San
@townboybrown
@townboybrown Жыл бұрын
youtube.com/@town-boyelvis4507
@Wozeeh
@Wozeeh Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g5vJeZ2VhZijprs
@Kingtiger98
@Kingtiger98 Жыл бұрын
Trh kzbin.info/www/bejne/n56ZiqJsbJyWg7s
@didarproper0807
@didarproper0807 Жыл бұрын
Nashindwa cha kusema brothers, you kill it yeah wataalamu wanasema ki internationally 🔥🔥👏👏👏👏👏
@ngubimbangusi3665
@ngubimbangusi3665 Жыл бұрын
Twenzetu tukaliwashe 🔥🔥🔥🔥🔥
@Noelma
@Noelma Жыл бұрын
Motivation on creativity , big up to the producer, director, and the ScriptWriter... Sema mmeweza sana manzee.
@Quiet_b1
@Quiet_b1 Жыл бұрын
Aisee nimependa mwijaku noma sana
@usangustars6771
@usangustars6771 Жыл бұрын
Nakubar Sana Tommy na Mario bonge la ngoma
@omaribangu8331
@omaribangu8331 Жыл бұрын
King's music Record 🔥 💯👏 tuta kubalika sasa 👍🏼 🇨🇩🇹🇿🇰🇪🇺🇬 👇🏼 Naomba liké zenu team Kiba
@princehalawa_official7980
@princehalawa_official7980 Жыл бұрын
Kizuri kipewe haki yake hongereni sana kwa Team nzima iliyofanikisha video hii ❤
@jeanmadogo4700
@jeanmadogo4700 Жыл бұрын
Kweli
@officialkassimu7791
@officialkassimu7791 Жыл бұрын
East Africa muache mchezo bana hii ngoma inafaa kuwa 10M🇰🇪🇹🇿 #SwahiliNation
@Swahili_Nation_Studios
@Swahili_Nation_Studios Жыл бұрын
Sichoki kuitazama 🙌 mmeweza sana video kali
@Chida
@Chida Жыл бұрын
1M soon nani yuko apa kuishuhudia ikiingia one million #TommyFlavour & #Marioo
@serengetimediacentre
@serengetimediacentre Жыл бұрын
Nakuja hadi milioni 1
@rizikikayombo6817
@rizikikayombo6817 Жыл бұрын
Nataka kuona like za team kiba kwa kasi hapa👐👐👐 bila kweree🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪👍
@anithamatanji3889
@anithamatanji3889 Жыл бұрын
Ohhh jaman hii Ngoma inanimarizia mb mana nikiwa popote nataman tu nitumie mb kuangalia ili mfike mbali mwijaku hongera xn
@masterlyrics5
@masterlyrics5 Жыл бұрын
Kwani kiba ndio kaimba..???? Usituchanganye na uteam wako sisi tunataka Muziki mzuriii
@sallysalim147
@sallysalim147 Жыл бұрын
💪❤️💪❤️❤️💪💪💪 team kings music 🇺🇬
@florencemzungu9979
@florencemzungu9979 Жыл бұрын
❤❤❤team kiba tupo
@daisynjeru6254
@daisynjeru6254 Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤
@pascalbaraka903
@pascalbaraka903 Жыл бұрын
Young king na toto bad mumeitendea haki hii ngoma Mashabiki ndo tunawaangusha nilitegemea kwa siku mbili tutagonga 1m ila tunafeli kbs
@jackayiemba6979
@jackayiemba6979 Жыл бұрын
Hii tumeikubali hata nikaanza kukuja mwenyewe. Ubunifu wa kimataifa
@jameskirunda6645
@jameskirunda6645 Жыл бұрын
marioo you the BOOM 💥 👏 🙌 👌 ❤️ THE REAL KING OF BONGO MUSIC 🎶 KARIBU 🇰🇪 🇰🇪
@officialnyikarappa6160
@officialnyikarappa6160 Жыл бұрын
wamia 100 jmn tommy nakuja ft marioo nakuja❤❤
@brayanmartial463
@brayanmartial463 Жыл бұрын
Kila mtu Tx ni mkali mziki kuanzia udogo hadi ukubwa,hongera sana Tanzania
@jackgeorge1309
@jackgeorge1309 Жыл бұрын
Umemeeeee 💥💥💥💥
@joselyneirankunda5212
@joselyneirankunda5212 Жыл бұрын
Love from Burundi 🇧🇮 all the way in Fizzo Fans Family and BantuBwoy Entertainment
@ngubimbangusi3665
@ngubimbangusi3665 Жыл бұрын
💪💪💪💪Tommy Flavour ft marioo nguvu ya dunia sana
@Bertzoneboy
@Bertzoneboy Жыл бұрын
Bonge moja la ideas🙏 Hongera sana!🙌🙌
@bazzarbagolaking
@bazzarbagolaking Жыл бұрын
#ça fait du bien vraiment! Très belle collaboration 🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿
@rutherick255
@rutherick255 Жыл бұрын
Dah kwel song kali... Video ndio mmeua kabisa big up kwenu😍😍😍
@Mollel69
@Mollel69 Жыл бұрын
Let's goooo really hustlers ✌️✌️
@pauldybala5905
@pauldybala5905 Жыл бұрын
Goma kalii nakuj song ✊🏽✊🏽✊🏽
@fetychina3969
@fetychina3969 Жыл бұрын
Kweli kila kitu nisubra hakuna kukata tamaa tommy mungu ameona jitihada zako🙏🙏
@chrissmaphone0344
@chrissmaphone0344 Жыл бұрын
Sijawahi pata like kwa tommy hata 5 naomba🔥🔥🔥🔥🔥
@mohgamby
@mohgamby Жыл бұрын
Chekii hii piaa kzbin.info/www/bejne/porcnp-sjtmsn80
@Kingtiger98
@Kingtiger98 Жыл бұрын
Yyu kzbin.info/www/bejne/n56ZiqJsbJyWg7s
@leonardmwayeya13
@leonardmwayeya13 Жыл бұрын
Kama hizu ndonyimbo zuri basi watanzania niwanafki anakuja ujumbe sijauerewa bari watanzania hatupendi msani anae dumu kwamda mrefu bira kushuka nakutu kupenda mafanikio bira kuangaria juhudi zake kiba kwasauti yakutengeneza sawa arikiba sautiyako ukiraka uipate itafute muvi ya Binti kikojozi yamada mrefu utaijua sautiyako watanzania tusiwe naunafki mtu anapo fanya vizuri tumpe heshima yake mond kunamengi sana nasifa zakazizake zinafahmk
@maureenmwende3918
@maureenmwende3918 Жыл бұрын
@@Kingtiger98 me and the boys I loved 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 ommmmm
@TheTsonnie
@TheTsonnie Жыл бұрын
😊😊😊😊😊😊😊is 😊
@euginejones7696
@euginejones7696 Жыл бұрын
Creative Video from our Tanzanian brother🇰🇪🇰🇪 Marioo always knows how to catch the soul
@flamesnomaki5743
@flamesnomaki5743 Жыл бұрын
brother mariooo unatisha sana ila wabongo tuu hawataki kukupaisha wanapenda kuishi maisha kwa kukariri
Lony Bway X  Marioo Wewe Hapo (Official Video)
4:28
Lony Bway
Рет қаралды 16 МЛН
Alikiba feat Marioo - Sumu (Official Music Video)
7:33
Alikiba
Рет қаралды 10 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Ruger, Bnxn - RnB EP Mix by Dj Kaylore
19:21
DJ KAYLORE 🎧
Рет қаралды 1,3 МЛН
Geniusjini X66 Ft Jay melody -Far Away ( Official Visualizer)
3:16
Genius Jini X66
Рет қаралды 10 МЛН
Ibraah Feat. Harmonize - Dharau (Official Lyrics Video)
3:30
Ibraah
Рет қаралды 15 МЛН
Alikiba & Tommy Flavour - Huku (Official Music Video)
4:06
Alikiba
Рет қаралды 13 МЛН
Element EleéeH - FOU DE TOi Feat Ross Kana& Bruce Melodie (Official Video)
6:30
Rayvanny Ft Macvoice - MWAMBIENI (Official Music Video)
5:32
Rayvanny
Рет қаралды 7 МЛН
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 6 МЛН
Tommy Flavour & Marioo - Nakuja (Official Lyrics Video)
3:09
Tommy Flavour
Рет қаралды 1,3 МЛН
Barnaba feat Marioo - Marry Me (Official Music Video)
3:48
BarnabaClassic
Рет қаралды 4,9 МЛН
D Voice feat Zuchu - Nani (Official Music Video)
3:37
D Voice
Рет қаралды 7 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН