Barikiwe sana kwa wimbo mzuri unaomtukuza Bwana Mungu awasaidie mfike mbali watumishi wa Bwana
@samotulomrema8747 Жыл бұрын
Najiskia furaha sana kuona kwaya ya nyumbani ikifanya mambo makubwa namna hii melody nzuri sauti imetulia wimbo hauchoki kuskia kwa kweli hii ni hatua nzuri sana CHANGUGE CHOIR Mungu awaongoze siku zote