Bony Mwaitege - Acha Nizaliwe (Official Music Video)

  Рет қаралды 3,093,464

Bony Mwaitege Official

Bony Mwaitege Official

Күн бұрын

In this video, we take a look at the new official music video for Bony Mwaitege - ''Acha Nizaliwe''. Shot in Mbeya Tanzania , this song tells the story of a young girl who struggles against poverty and dictatorship. Watch the video to see what we think of it!
Acha nizaliwe Acha nizaliwe hii hapa ...
Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
acha nizaliwe #achanizaliwe
MUNGU AKUBARIKI SANA.

Пікірлер: 1 500
@ramaahke512
@ramaahke512 Жыл бұрын
Unae soma comments huku unautizama wimbo huu nakua hatujuani ila naomba mwenyezi Mungu akuzidishie maishani ❤❤
@masaimollel3538
@masaimollel3538 7 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@MrishoMwasa
@MrishoMwasa 6 ай бұрын
Asante
@YusuphWilfred
@YusuphWilfred 6 ай бұрын
Ameen
@DativaDaud
@DativaDaud 6 ай бұрын
Amen
@peterkamau1998
@peterkamau1998 5 ай бұрын
Amen
@lucianachappa1213
@lucianachappa1213 11 ай бұрын
MUNGU mbariki mama yangu, tuliokataliwa kipindi cha mimba tuko wengi sana😢😢 cha kushangaza waliotukataa Ndiyo tumefanana nao mpaka kucha😢😢
@erastoantony9306
@erastoantony9306 5 ай бұрын
Kabisa
@KilimaWalwendo-t9j
@KilimaWalwendo-t9j 3 ай бұрын
Umenifanya nilie sister yangu 😢😢😢 tupo wengi akika ila tulipo toka tumboni tu cha kushangaza copy right inauma sana 😭 wengine tunaishi bila ata kujuwa makabila yetu naivi tunataka hanza zaa na sisi duh 🙄😭
@priscilahkuvali1280
@priscilahkuvali1280 Жыл бұрын
Kaka mungu akutumie zaidi kwa mahubiri ya nyimbo zako wapi likes za wakenya❤❤❤❤
@kilonzojohn3262
@kilonzojohn3262 2 ай бұрын
Kama umefika hapa baada ya kusikia habari kuhusu kifo cha huyu bigwa piga like
@FlorianminjaG4S
@FlorianminjaG4S 2 ай бұрын
Kwani ni kweli??
@wilsonmalle2259
@wilsonmalle2259 2 ай бұрын
Kuna ukweli au niuzushi tuu?
@JULIAHKEMUNTO-yl5ul
@JULIAHKEMUNTO-yl5ul 2 ай бұрын
Aki mko serious alipass ama ni jokes
@DavidMukuria-p6q
@DavidMukuria-p6q 2 ай бұрын
Hajafa..you like killing people.
@branicemunyanya
@branicemunyanya 2 ай бұрын
Lakini Ni uongo live long dear worshipper of God
@bupeisaya9063
@bupeisaya9063 Жыл бұрын
Wimbo hauchoshi kuusikiliza,,kama nawewe umerudia kuiangalia hii Ngoma zaidi ya mara mbili gonga like hapa twende sawa. Heshima Kwa mama🙏,nawewe uliyempoteza Mama, Mungu afanyike faraja kwako.
@ElizabethKemmy-yv2ty
@ElizabethKemmy-yv2ty 6 ай бұрын
Aki bony nikaa unampenda mamako Sana Sana juu umemimba Sana hyo n song yako yapili nmesikia ukiimba mamako. Kaa mama ako ako hai namuombea Mungu ampe maisha marefu
@jean-innocentmuteba4746
@jean-innocentmuteba4746 5 ай бұрын
@KimeuAntony
@KimeuAntony 3 ай бұрын
Blessed man,We need messages like this in the music industry not parapanda za maneno!... Pastor Kimeu, Kenya
@maria-qv3hw
@maria-qv3hw 3 ай бұрын
Ed​@@ElizabethKemmy-yv2ty
@arbanuskioko1923
@arbanuskioko1923 Жыл бұрын
Wow ...go go go mtumishi❤❤❤❤❤ nimebarikiwa Toka nchi jirani Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jeanmariemuco1132
@jeanmariemuco1132 Жыл бұрын
Wakwanza kuitazama nikiwa Lusaka zambia nipe like tuone niwangapi wamebarikiwa
@WazirijhkonjojxxxvnAmiry-rs6xg
@WazirijhkonjojxxxvnAmiry-rs6xg 4 ай бұрын
Axnt
@jackiekingdouta215
@jackiekingdouta215 7 ай бұрын
Mama lala pepo still missing you 😢😢 hii wimbo imenikimbusha last year I lost my mum😢😢
@nuruhmangoli1232
@nuruhmangoli1232 Жыл бұрын
Nautafuta kwa yinga media siupati huu wimbo jameni. Kenya nasupport huu wimbo .kama waupenda nipe likes za mtumishi
@dennisonside8398
@dennisonside8398 Ай бұрын
Mama ni mama kweri ...wewe Boni nyimbo unazoimba ziko na mafunzo teletele kweri...I'm Dennis from Kenya ...
@dennismaina6202
@dennismaina6202 Жыл бұрын
Nimeishi kucoment huku kwa bony mwaitege ,sijai pata likes nipeeni ,nijiskie niko
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@AMOSGODFREY-w5f
@AMOSGODFREY-w5f 2 ай бұрын
😅😅umetisha sana kiongozi
@empresslisah71malik-l8b
@empresslisah71malik-l8b 28 күн бұрын
​@AmenBonyMwaitegeOfficial
@tumainlession411
@tumainlession411 Жыл бұрын
Mama jamni,Mungu atusaidie wamama wote na tuwe strong juu ya huu wimbo wenye kujaa faraja.
@innocentlegos4530
@innocentlegos4530 Жыл бұрын
Mamaaaaaaaaaa😢 endelea kupumzika kwa Amani,, salute kwa wamama wote mliobakia hai❤
@happykoteihappy-vd7ce
@happykoteihappy-vd7ce Жыл бұрын
Duh mama yangu aliniacha nikiwa darasa la 6 naumia sana
@fredyyohana
@fredyyohana Жыл бұрын
Nakukumbuka Sana mama yangu Sina Cha kukulipa zaidi ya Asante🙏🙏🙏
@isackqaymo3922
@isackqaymo3922 Жыл бұрын
Namkubali sana bon
@isackqaymo3922
@isackqaymo3922 Жыл бұрын
Kaka bon ubarikiwe na mngiu kwa wimbo huu mm
@BekaMpangi
@BekaMpangi 6 ай бұрын
Unaskitisha sana
@EdithaAbrahamu
@EdithaAbrahamu Жыл бұрын
Wimbo huu unanikumbusha magumu anayopitia mama yangu jaman❤ I love you mama
@edwardmyovela6676
@edwardmyovela6676 Жыл бұрын
Thanks
@DativaDaud
@DativaDaud 6 ай бұрын
Msaidie
@quinterawuor6198
@quinterawuor6198 Жыл бұрын
Huu Wimbo unatia uruma 😢😢 inafanya nimwaze mwanangu tumboni🤰🤰
@SuzanNnko-gt8nf
@SuzanNnko-gt8nf 9 ай бұрын
Pole dear
@blessedfavour1687
@blessedfavour1687 Жыл бұрын
😭😭😭the revelation is deeper beyond just physical birth, kuna ujumbe zaidi ya mambo yanayopaswa kuzalishwa ndani yetu Ewe Mungu acha nizaliwe
@ruthkhasoa1916
@ruthkhasoa1916 Жыл бұрын
Wimbo mtamu na mafunzo, mama waheshimiwe . Mtumishi wa Mungu uinuliwe juu zaidi. Kazi nzuri sana
@annmurithi4876
@annmurithi4876 Жыл бұрын
Have gone through all this,, exactly but encouraged myself to keep the baby,,😭😭😭😭, ,,may our heavenly father bless all mother's .Amen
@corneilleababa729
@corneilleababa729 Жыл бұрын
Ongera baba bony. Corneille ababa kutoka Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nyimbo iyi inani Bariki sana. Tena sana kabisa. Munguatembee nawewe.
@BeatriceZulu-r2c
@BeatriceZulu-r2c Жыл бұрын
My name is bayaga from zambia, to be honest, this song is teaching and healing ..no doubt 😂
@candidadilemile5882
@candidadilemile5882 Жыл бұрын
Amen Amen Amen 🙏 😢 wimbo umenitoa chozi wimbo bora wa mwaka wow ! Ubarikiwe kwa kazi nzuri Mtumishi ❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@robertnrai7871
@robertnrai7871 Жыл бұрын
So powerful 🙏
@philibertkazumba
@philibertkazumba Жыл бұрын
Mungu akujalie maisha mema❤🎉
@yohanaraphaely420
@yohanaraphaely420 Жыл бұрын
Nyimbo hii imeniliza . Bonny MUNGU akutie Nguvu, ujumbe mzuri saaana. Unatia moyo kwa kizazi hiki .
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@vivinenibitanga8529
@vivinenibitanga8529 Жыл бұрын
Nalia kwa uchungu mno 😭😭😭nakumbuka mdogo wangu kipindi alipata ujauzito nilikua wakwanza kusisitiza atoe 😢😢😢kwa sababu yamasomo😭😭chakushangazi Sisi tulisoma naona maisha yetu nikama yake😢Eeee Mwenyezi Mungu tusamehe😭😭😭👏🤲
@mariethagodwin2273
@mariethagodwin2273 5 ай бұрын
Mungu akupe kibari tena cha kumrudia 😢
@musapaul6199
@musapaul6199 4 ай бұрын
From the loving Almighty God will forgive you all❤
@AlexMuganda-wt7gn
@AlexMuganda-wt7gn 4 ай бұрын
Sasa
@mwalimukingunge8512
@mwalimukingunge8512 4 ай бұрын
Ukitubu na kuomba msamaha Mungu ataisikia sauti yako na atakusamehe ....
@abasmarco4525
@abasmarco4525 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kazi ni nzuri sana hakika unatujenga moyo sana.
@KilelJazzKillerBoyofficial
@KilelJazzKillerBoyofficial Жыл бұрын
Tunakupenda hapa Kenya 🇰🇪
@millicentneto1631
@millicentneto1631 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA
@erickosnkipkorir9569
@erickosnkipkorir9569 3 ай бұрын
Jeshi
@Amoshamismhoja
@Amoshamismhoja Жыл бұрын
Kwa kweli wimbo mzuri mungu aliye mbingun akubarik Sana mtumishi mungu akuzidishie zaid na zaid❤
@ThomasAvelin-xl3np
@ThomasAvelin-xl3np Жыл бұрын
Nikipita bila kusema kitu nitakuwa nakosea sana Mungu akubariki sana Mpendwa
@alfalusambo7107
@alfalusambo7107 9 ай бұрын
Daaaaa😢😢😢😢😢mama angu😢😢😢😢upumzike salama mama😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@carolineouma8660
@carolineouma8660 Жыл бұрын
Sauti mzuri, ujumbe mzuri kwa vijana wetu mungu aendelee kukupa maarifa zaidi mtumishi.
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA
@mrnickmusician7139
@mrnickmusician7139 Жыл бұрын
good job Mtumishi bony 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@bethmuya9019
@bethmuya9019 Жыл бұрын
Uuui baba wimbo mzuri wakutuelimiasha sisi wamam na wale wanakusudia kutoavya mimba. Mungu tusaidie kama Wana wako tusiwahi fikiria destiny ya watoto wetu
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA Mwanangu
@peninainzera9721
@peninainzera9721 Жыл бұрын
Kabisa I wish all ladies can hear this song aki iko n mafunzo sana nice song.special dedication to all mother's
@paulinemwaka
@paulinemwaka Жыл бұрын
Asante mungu ulinipa nguvu nikamueka mwanangu sikuskiza mtu yoyote ❤
@doreenkikuyu7330
@doreenkikuyu7330 Жыл бұрын
Wimbo huu umesimulia maisha yangu 😢😢😢Barikiwa sana Mutumishi wa Mungu. 🙏🙏🙏🎶
@emillymbodza9112
@emillymbodza9112 Жыл бұрын
Sem to me
@musamustapher402
@musamustapher402 Жыл бұрын
Amina
@lucianachappa1213
@lucianachappa1213 11 ай бұрын
Hata mimi😢
@GraceBenedicto-ui9mc
@GraceBenedicto-ui9mc Жыл бұрын
Barikiwa sana wimbo unajumbe mzuri mungu atufanyie wepes sisi wakinamama kwamapito tunayoyapitia
@habiyaremyeoscar8438
@habiyaremyeoscar8438 Жыл бұрын
God bless 🙏 for this song am from Rwanda
@joanjay6938
@joanjay6938 Жыл бұрын
A strong and emotional 😢😢 message Asante sana kwa wimbo wa hekma Mungu akubariki❤,,,,Maana asingekua mama yangu kukataa kunibeba baada ya babangu kunikataa singekua duniani 😢😢😢😢😢 wimbo huu umenigusa
@SharlotteNeema-y1o
@SharlotteNeema-y1o Жыл бұрын
Namimi nakymbuka mama yangu music uyu nimzurisana unajuwa kuwimba mungu akuleteki paji owengine kama nyazamani ❤❤❤
@yvonnejoyce
@yvonnejoyce Жыл бұрын
Amen Amen and Amen what a nice song 🙏 may God bless our mothers 🙏🙏 much love to you from Kenya 🇰🇪
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 Ай бұрын
Mama ubarikiwe sana ulipitia mengi ukiwa umenibeba tumboni😢😢😢❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉mama wherever you are your daughter loves you so much 💋💋😢😢😢
@salifyanjinakawala1814
@salifyanjinakawala1814 Жыл бұрын
I always pray to God that for the sake of my mother you have to bless me 🙏🏻🙏🏻 all the way from Zambia ❤ you're the best Bonny
@wagrandykez4570
@wagrandykez4570 Жыл бұрын
BONNY LOVE MOTHERS..BIG UP BRO...MUNGU AKUZIDISHIE...KARIBU NYUMBANI
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele Жыл бұрын
WIMBO MUKUBWA ƙwakweli MTUMISHI wa MUNGU❤
@mustafamusty
@mustafamusty Жыл бұрын
Kaka uripotea sana Sema moto ule ule kaka kutoka sauzi Africa 🌍 🙏 😢 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢love ❤ ❤❤❤mama😊
@bienvenuwilondja9030
@bienvenuwilondja9030 Жыл бұрын
Hiyi Kali sana. Sifa kwa Mungu wetu wa Mbiguni. Hongera sana baba. toka Congo Tunakupenda sana. Congratulations to give us this new song✌
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@lazarophilemon709channel..2
@lazarophilemon709channel..2 Жыл бұрын
Hakika umegusa wengi xn @mwaitege Mungu azidi kukupa kibali hzi jumbe zizidi kufuniliwa kwako!!!
@abrahammochache3558
@abrahammochache3558 Жыл бұрын
I always enjoy listening to your songs,be blessed mwaitege, Kenya we love you
@EvansNyangau-o5q
@EvansNyangau-o5q 15 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi kazi nzuri.
@esthersamba3290
@esthersamba3290 Жыл бұрын
Well arranged idea, perfectly presented. ❤. Touchy and educative masterpiece.
@stephanoamos8490
@stephanoamos8490 Жыл бұрын
I love mummy'hakuna mwingine Zaid Yako mama Mungu akutagulie ktk Kazi ZAKO zote bony❤❤❤
@FrankPatrickOfficial
@FrankPatrickOfficial Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri sana baba mungu aendelee kuku tunza 🙏🏻🙏🏻
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA MWANANGU
@omaryramadhani1887
@omaryramadhani1887 3 ай бұрын
Barikiwa sana
@paskalnakiru
@paskalnakiru 2 ай бұрын
Mungu kubuka Mama yangu bariki.Asante sana my brother barikiwa sana.. paskal Nakiru kutoka Uganda ❤️❤️❤️
@sarahnafulanafula5537
@sarahnafulanafula5537 Жыл бұрын
Huu wimbo umenikubusha Mbali sana 😭🙏, mungu akupariki katika maisha yako yote mtumishi wa mungu ❤❤❤
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA NDUGU YANGU MPENDWA
@ReginaJoseph-cm3cx
@ReginaJoseph-cm3cx Жыл бұрын
Leo ndio nimekuelewa, nilikua nafikiri unalukaga lukaga tu kumbe nilitakiwa nikusikilize. Kazi nzuri Sana. Mungu azidishe alivyoweka ndani yako, Ubarikiwe Sana.
@fatmaraisha1107
@fatmaraisha1107 Жыл бұрын
The humble gospel artist i most love ❤may lord bless you more 🙏
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
Thanks
@maikojafet5574
@maikojafet5574 Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri
@fransciscahEkales-nw3yg
@fransciscahEkales-nw3yg 9 ай бұрын
Brother bonny please naomba mungu akuinuie zaidi kutipia kutambua woman kwa KAZI ya kuzaa na kulea mimba, much love from turkana Kenya❤
@BeatriceZulu-r2c
@BeatriceZulu-r2c Жыл бұрын
My name is bayaga from zambia this song makes my eyes get crying coz i remember when i was young very young, many people told me that my father rejected me when i was in my mother's womb and my grand ma adopted me so god blesse her so much❤❤❤❤❤❤
@shadialaylon3674
@shadialaylon3674 Жыл бұрын
I used to think I'm the only person in this world who goes through this 😢
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 11 ай бұрын
😭😭😭❌❌😴uuuuiiiiii
@ABRAHAMJakisa
@ABRAHAMJakisa Күн бұрын
Hapo ninafurahi sana kuona hiyo mafundisho kwa wakijana na wasichana wetu Mwenyezi Mungu atakubariki sana, better than this next time papa bonny
@prayerwarrior1
@prayerwarrior1 Жыл бұрын
This reminds me of how my baby daddy rejected my pregnancy at two weeks after breaking the news to him...ill always be there for my son and be the very best friend and mommy for him...with God we are making it with my prince...this song strengthens me Bony...much blessings...
@VivianAnyangi
@VivianAnyangi 4 ай бұрын
Cristopha mhangila na boney mwaitege wanafanana apart from sauti but ubarikiwe sana boney mungu akubariki sana🎉🎉🎉h
@masterkey536
@masterkey536 Жыл бұрын
Nakupenda pastor boni
@VickyDanieltango
@VickyDanieltango Жыл бұрын
Sijui umewaza nn kakangu najua ni kusud la Mungu kuna mtu ajirekebishe, usiache kuimba naye Mungu akupe miaka mingi ya kuishi kuwa na afya njema ndani y uimbaji BG BRO
@teresaonduko4443
@teresaonduko4443 Жыл бұрын
Beautiful Masterpiece...i dedicate this to my Mama in heaven Continue Resting in peace until that blissful morning ❤❤
@charleslinda8320
@charleslinda8320 Жыл бұрын
For sure it's among sweet songs! Keep resting in peace my mumy as today we are celebrating 2 years since you left us!
@teresaonduko4443
@teresaonduko4443 Жыл бұрын
@@charleslinda8320 hugs bro
@charleslinda8320
@charleslinda8320 Жыл бұрын
@@teresaonduko4443 thank you Teresa
@KasongoGrâce-h7s
@KasongoGrâce-h7s 6 ай бұрын
Akisati kabisa dukuyangu tutakutana binguni mungu hakubari pamoja namimi
@christinematoke2795
@christinematoke2795 Жыл бұрын
Kazi nzuri mtumishi nimebarikiwa na ujumbe huu na ungana na wewe.
@LameckAlly-se6gu
@LameckAlly-se6gu 8 ай бұрын
Wimbo unatach sana mtumish ufike mbali kaka. mama zetu wote mlioko hi mpewe Maya yenu ya 💘💘💘💘❤❤💔 na mlio mbele ya haki pia hatujawasahau💔💔
@vanessa-vavandikumwenayo2757
@vanessa-vavandikumwenayo2757 Жыл бұрын
Iyi nyimbo imenigusa moyoni kbs🥰🥰 inamafunzo mazuli👌👌 Asante sana kakaanga Bony mwaitege balikiwa sana Love❤️ from Burundi🇧🇮
@EssauGabriel-hr6xg
@EssauGabriel-hr6xg Жыл бұрын
Kiukweli bony wewe senior kwenye wimbo wa gospel, Mungu akuinue zaidi na zaidi,, utuimbie na wimbo wa baba.
@brayancemedia
@brayancemedia Жыл бұрын
A strong message indeed....every creature deserve to be alive.
@rosemalombe2924
@rosemalombe2924 Жыл бұрын
😭😭😭😭🙏🙏Hakika mtumishi acha tuuu mng akubrki snaaa tuuui tena snaaa nime kumbuka mbli snaa hata mm piha nisinge ijua hiii dunia bila huyu mama piha mng ndy mwuze wayote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dorcasouma8003
@dorcasouma8003 Жыл бұрын
YOU ARE ONE AMONG THOUSAND ARTIST WHO INSPIRE, EDUCATE,TEACH AND MANY MORE, THIS SUCH AN AMAZING SONG AND DESERVE TO BE THE SONG OF THE YEAR, YOUR SONGS NEVER GROW OLD KEEP UP THE GOOD WORK YOU ARE DOING
@ProtasNyamohanga
@ProtasNyamohanga 2 ай бұрын
Ujumbe mzuri sana braz ,, napenda San nyimbo zko , ktk 🇰🇪 naenjoy , natafut mawasiliano nawe man
@ruthgloriaobonyo
@ruthgloriaobonyo Жыл бұрын
What an Amazing dedication to all our Mummies 🎉🎉🎉 May God Bless you always mtumishi ❤
@MonicahAnyanzwa-cz5fk
@MonicahAnyanzwa-cz5fk Жыл бұрын
Waaaauhh!!! Congratulations,,, Amen! Amen! Amen!! And.Amen nice song my dear may god bless you,,,, mungu akuongeze miaka na mikaka ,,,,, na mola.awalinde mama wetu
@benardsnell6872
@benardsnell6872 Жыл бұрын
My best male artist in the whole world 💞 I love Bonny for his good work,and his passion he always shows in every song he sings. Your songs are such a blessing to me mtumishi wa Mungu. Zidi kutubariki na nyimbo nzuri,nawe pia uzidi kubarikiwa 🙏 Much 💕 from Kenya😊
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
ASANTE SANA NDUGU YANGU MPENDWA
@beautymwaka3625
@beautymwaka3625 Жыл бұрын
Mungu abariki wamama wote, Kwa Yale tunapitia kulea watoto, Asante mama Kwa ulezi wako, barikiwa mtumishi wa mungu
@roselinekerubo5321
@roselinekerubo5321 Жыл бұрын
A sweet song and an encouraging one to those who got pregnant and they were left alone and don't know whether to abort or deliver, don't loose hope this song will make many change the mind and keep it...and for God's grace the baby will grow and amaze u❤❤❤,,thank @bonnymwaitege for this...much love from 🇰🇪♥️🥰
@NoellaCharles-s8t
@NoellaCharles-s8t Жыл бұрын
Shalom mtumishi wa MUNGU Nyimbo hii kweli inaujumbe mzito ila kwa kila mwenye imani atautafakari sana maana mimba zimesemwa sana MUNGU AKUSAIDIE SANA
@mercylinenjeri2592
@mercylinenjeri2592 Жыл бұрын
WOW ♥️ to every mom in the world you are appreciated being one of them.mothers deserve respect
@EdinaEdison-d4t
@EdinaEdison-d4t Жыл бұрын
Mungu akubarik sana kaka bony 🧡❤️💛 mimi ni edina edson kutoka bukoba kagers asante sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@natashanelvia729
@natashanelvia729 Жыл бұрын
I have listened to this song 10x every day ican't stop shading tears when am listening mummy continue rest in peace ,salute to you sir much blessing's for this great music watching from Bahrain
@BonyMwaitegeOfficial
@BonyMwaitegeOfficial Жыл бұрын
Thanks
@EdwineWafula-cn3hz
@EdwineWafula-cn3hz Жыл бұрын
Laiti mama angelikuwa hai angesikie husia huu wa bro BONNY MWAITEGE 😭😭
@MichaelBANZE-kn7zh
@MichaelBANZE-kn7zh Жыл бұрын
Vraiment je bien aimé la chanson, qui me fortifie d'aimer plus ma mère !
@flozziewacharo314
@flozziewacharo314 Жыл бұрын
Hugs hugs kwa wa mama walio na mimba na wanajihizi ku avya kwa mambo wanayopitia.Vumilia Mungu yu nawe
@mikewadel6259
@mikewadel6259 Жыл бұрын
What a nice song mtumishi,I will dedicate this song to my mum,we Kenyans love your songs
@ReubenChris-t4c
@ReubenChris-t4c Жыл бұрын
I can't control my 😭😭😭 I love you mum,,,barikiwa sana mtumishi wa mungu,,
@filipejohnchuma1985
@filipejohnchuma1985 Жыл бұрын
Mãe é a única a que no Mundo e não há comparação com outra pessoa ❤ Deus abençoe a minha Mãe 🙏🇲🇿
@juliusmolel4408
@juliusmolel4408 Жыл бұрын
tudo bem
@blackberryservices4586
@blackberryservices4586 Жыл бұрын
Welcome
@sabinamajembe151
@sabinamajembe151 Жыл бұрын
Asante mama wendio kila kitu kwangu, balikiwa boni Mungu akulinde
@DoryTibu-kc6er
@DoryTibu-kc6er Жыл бұрын
Nakupenda baba angu umenifurasha kitu mm Binti ako
@apostlefanuellukuwi3224
@apostlefanuellukuwi3224 Жыл бұрын
Katika nyimbo zako mmmmm huu wimbo umenilizaa hakika umetumiwa na Mungu asilimia mia pastor mwaitege
@vincentcheruiyot5342
@vincentcheruiyot5342 8 ай бұрын
Once upon a time we were delicate creatures but our mum's accommodated us❤❤.
@BeatriceSade
@BeatriceSade 4 ай бұрын
namkubari sana kaka yangu huwa hana kazi mbovu.hii nyimbo inatukumbusha kuwa kumbuka wazazi wetu.hakuna kama mama.llove you mama❤❤❤❤🎉🎉🎉😅😅😅
@Bekita-nz7bq
@Bekita-nz7bq Жыл бұрын
Glory to God, am really blessed with this beautiful song 🎵, God bless you abundantly Bonny
@user-tv6wi9ou4i
@user-tv6wi9ou4i Жыл бұрын
I real lover this song keep on my brother wimboo huuu umenikumbuxha Mwikaa mutatu iliyo pita nkiwa Mimba ya mtoi wangu mama ya ki jana aliyenipa mimba kuniambia nitoe mimba yangu walaiii uchungu waaa mwana aujuwao n mama mamas we need big respect am listening you nkiwa apa Saudi Arabia mkenya kutoka kakamega count be ashamed wenye kutoa mimba ❤
@gracewanjiku2534
@gracewanjiku2534 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Kwa wimbo mzuri 🇰🇪
@enockmbwiloofficialy7865
@enockmbwiloofficialy7865 Жыл бұрын
Siku nimeusikia radioni kwa mala ya kwanza sikuuelewaa,,,huuu wimbo kiukweli unatungo la shairi lililotulia sana MUNGU azidi kukufunulia zaidi maarifa kaka etu.
@pastorjohnmburu6048
@pastorjohnmburu6048 Жыл бұрын
A very powerful and educative song ..God bless you sir
@lugarboy9483
@lugarboy9483 Жыл бұрын
Its on big inspiration.....God blees you Bony Mwaitege
@joemandelaofficiel3275
@joemandelaofficiel3275 Жыл бұрын
I love this,, big up Mwaitege for the strong message you've passed. Rest in peace mum,, I miss you.... 😢
@GlorineMdeizi
@GlorineMdeizi 4 ай бұрын
Each and everytime i watch this song lazima nitokwe na machozi nikimkumbuka mama yanguu😭😭😭😭😭
@PendaelHagaiMRPH
@PendaelHagaiMRPH Жыл бұрын
Wimbo huu umenigusa sana Barikiwa Mtumishi
@loyceakuku6019
@loyceakuku6019 Жыл бұрын
Hivi ndio itendeka kwangu nikipata watoto wangu😢😢😢
@redinbrown2296
@redinbrown2296 Жыл бұрын
Thank you ❤God bless kenyans for this beautiful song....
@stevensalimu
@stevensalimu Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi nyimbo mtamu sanaaa mtumishi mungu akutie nguvu 🙏🙏🙏🙏 ❤❤❤❤🙏🙏🙏
Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA'  (Official Music Video) SMS SKIZA 9840971 TO 811
7:28
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 2,6 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 44 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 44 МЛН