JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 69
@valenakomba768611 сағат бұрын
THE LION OF AFRICA. PRESIDENT TRAORE IBRAHIM.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@bezalelmbijima8182Күн бұрын
Majeshi yetu yajengewe uwezo. Majeshi yana wabunifu wengi sana wapewe uwezo watatuletea matokeo chanya. Badala ya kufikiria waarabu, China na Wanzungu. Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 Mungu bariki wabunifu wetu Tanzania. MUNGU IBARIKI AFRICA
@LizaniaGersonКүн бұрын
Ahsante mwanangu ibrahimu ubarikiwe ubunifu ndio silaha kuu
@bonifacewanyonyi35552 күн бұрын
Hongera sana mwamba
@saidikingolowine-yo2xiКүн бұрын
❤ thanks my young brother ,all African people, we proud with you, thanks alot
@MuasaumAbdsllelКүн бұрын
Hongera sana
@hildandumbalo5827Күн бұрын
Mungu akulinde President Ibrahim Traore anaiinua Africa ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SylvesterMakenzieКүн бұрын
Mungu alitupa rais mwenye maono akapigwa vita kila kona ya dunia mwisho wakamuua kabisa mwamba magufuri mm ninaimani kabisa haya tunayoyaona leo brikinafaso Tanzania tungelikuwa mbali sana chini ya magufuri daa inauma sana
@WorlduniteКүн бұрын
Hakika ndugu yangu 100%
@mohamedmillanzi9070Күн бұрын
Wakwako hakua na maono kama huyu dogo.huu ni mwaka wa tano tayari bukinabe hawana deni . Sasa wanagari za kisasa za umeme.
Sisi waafrika tuna tabia yakupondana ndiyo inayotutafuna asante mkuu kwa kutuheshimisha na bado tupige vita hawa viongozi vibaraka wa mabeberu ukitengeneza gar wanakuweka jera
@idrissahajiКүн бұрын
Ni mfano mzuri wa kuigwa na nchi zote za Afrika, wazungu wazuri kwetu ni wale wanaotuwezesha kujitegemea
@HusseinHassan-p7gКүн бұрын
Nampenda taure sana
@muhammadmpahi33810 сағат бұрын
Achana na hiyo ya kitoto, kuna mwamba mmoja wa zimbabwe kabuni ya kwake haitumii umeme wa kuchaji wala mafuta wala ges. Ngoma inatumia mawimbi ya redio. Yan wazungu wanateseka nae hawaelewi kitu
@JohnmalekelaКүн бұрын
Hatar sana,kwa mabeberu
@Moses-yw5mb12 сағат бұрын
Uchumi wa africa unahitaji kushikwa na majeshi lazima viongozi wa kiraia wapinduliwe hawana jipya wao ni vibaraka wa ulay
@wilsonmsenga64472 күн бұрын
Huyu ni mwamba, Mungu sana huyu raisi
@IvanKambindu2 күн бұрын
Unamwitaje Mungu binadamu Acha upuuzi huo
@NassoroNassoro-w3nКүн бұрын
Usimwite binaadamu Mungu mbona hamjielewi nyinyi? Mpuuzi mkubwa wewe
@JumaMkuchika-c8kКүн бұрын
Unamwitaje binadamu mwenzako mungu hana hiyo sifa
@buyambakassaja-wn2rtКүн бұрын
Hujielewi wewe, shtuka isije kugharimu.
@HusseinIbrahim-f5yКүн бұрын
Haifai kumuita mwanadamu Mungu hata Issa bin marium (Yesu)Sio Mungu Wala mwana Wa Mungu kwahiyo jiepushe Na Hilo kama haufamu Ni kukufuru huko
@davismuzahula9072 күн бұрын
Wengine wameamua kuwa machawa
@hassanibakari9667Күн бұрын
Afrika oyeeeeèe buknafaso ayeeeee. Inshalla sasa buknafasa ndio kiyoo cha afrika.
@allykwayaКүн бұрын
Hapa ni hatua moja ya kufanikiwa kwa mwafrika
@johnnkelebe7360Күн бұрын
Anaiheshimisha nchi yake.
@DaMaua-i7lКүн бұрын
Tuhache Traoré ku na Zimbabwe ametowa yakutumika na fréquence aa radio
@ramadhaniomary9241Күн бұрын
Sisi mpaka leo tunajifunza mbu ana miguu mingapi
@mustafamichenje7020Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdulhamidhaji5056Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Dah ! Rama umenifanya nicheke kwa sauti !! 😂😂😂😂😂😂😂 Eti tunajifunza mbu !!!
@obadiaedward1127Күн бұрын
Yan kuna kitu cha kujifunza. Tz sijui lini tutafanya vya kwetu.
@DaMaua-i7lКүн бұрын
🎉🎉🎉heli yeye anaoncha faida yakuua na wurusi ao wazungu wamesaidia nini we ukionecha technologie unauawa
@ramadhaniomary9241Күн бұрын
Asheri sisi muda wote tunabishania mpira lakini tutaamka tu si unaona misada hiyo😂😂😂
@yordanyona1234Күн бұрын
Mwamba Traore
@babarungurallyteam2754Күн бұрын
👍👍👍🤝🇹🇿
@uleditpmrisho7034Күн бұрын
Kwani wazungu wame zaliwa n'a wakina Nani n'a Sisi n'a wakina Nani. Pale tuta shindwa kuji endesha n'a kufanya mambo mazuri duniani ?
@WorlduniteКүн бұрын
Elon Musk asitubabaishe, sie tunao uwezo wa kila kitu, tuwaondoe tu viongozi vibaraka na manyang'au tu afrika
@PascalMsafiri-x1f2 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@DesireDora-k5qКүн бұрын
😂😂😂 African hoooooyeeeee 😂😂😂 nasikiya farajabkubwq sana moyoni ayiseee MUNGU atusaidie weusi 😂
@JacksonYohana-b1qКүн бұрын
hongera sana shingap kwa fedha za kitanzania
@donkaloza6985Күн бұрын
KWELI HII ITAUA😂😂😂
@ZainaBu-zs6wcКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@FortyEightCoffeeКүн бұрын
Itauwa😂
@SanguloRaahooКүн бұрын
Anasaidiwa na urusi technology
@edgarcharles825Күн бұрын
Na. Ww Katiwe na mrus uwe maarufu umbea tu wa kijinga mwanaume kama mwanamke
@AbdulAbdulrahman-u7nКүн бұрын
Mungu amrehemu Mwalimu wangu alisema mkitaka kuendelea wakataeni wazungu tu msiwategemee kwa chochote jitegemeeni yeye allikuwa kapteni wa Meli bahari kwa uchungu hakupeleka watoto wake shule akisema watakuwa wajinga akili zitalazwa nikweli watoto wake wanauwezo mzuri sana maisha yao maxuri kweli
@Filbert-pe2xmКүн бұрын
Ndiyo anasaidiwa lakini isue ni kwamba unaposaidiwa teknolojia ni nzuri maana tutabaki na maarifa kuliko kuuziwa magari ambayo baadayo hayaingizii nchi yetu pesa za kigeni na tukiwekewa vikwazo tunaanza kuhaha
@AsheriChonyaКүн бұрын
mrusi akiwa na ww kwann ushindwe???,, Putin ameamua kuwaonesha Hawa viongozi wa vibaraka wa magharibi nn maana ya ujamaa na kujitegemea,,cheki dogo anavo tusua saiv,,kimchezo mchezo TU,,utashangaa baada ya miaka kadhaa watu wanaoenda kuomba msaada Burkina Faso,,
@malkiarosemuhando3310Күн бұрын
Watu wengine Bwana kiwango finyu Cha Kufikiria, shame on you
@MathewMwamgunda-e8n14 сағат бұрын
Marais waafrika wangeungan na uyuu jamaa wazungu Kam akina trump wasingekua na nguvuu ya kuongea utumbo
@OmaryBhabhaza-w2nКүн бұрын
May God protect these president for many years
@AsheriChonyaКүн бұрын
Putin ameamua kuwaonesha Hawa viongozi wetu vibaraka wa magharibi nn maana ya ujamaa na kujitegemea cheki dogo anavo tusua saiv,, kimchezo mchezo TU utashangaa baada ya miaka kadhaa watu wanaoenda kuomba msaada Burkina Faso
@josepheriah59772 күн бұрын
Saf
@AsheriChonyaКүн бұрын
kumbe huyu traore aliwazarau TU wale viongozi wa nishati pale dar,,aliona Hawa wazee wapiga stor za kijinga zisizo na utekelezaj watampotezea muda,,baba traore wafundishe basi wanajeshi wetu namna ya kufanya kazi,,tunatamanu maendeleo,mpemba anatukawiza
@AlexMnaneКүн бұрын
Unapoteana kifira jitathimini ktk comment zako
@EllyjeroКүн бұрын
Wapunguze pombe😊
@Moses-yw5mb12 сағат бұрын
Uchumi wa africa unahitaji kushikwa na majeshi lazima viongozi wa kiraia wapinduliwe hawana jipya wao ni vibaraka wa ulay