Afande nimekusikia,Mungu akubariki sana,cha ajabu tu ni kuonyesha wazi kwamba tunaongozwa na viongozi wanaojiita wa kiroho vipofu tena vipofu kweli kweli,ushauri kwa wote waliohusika na mgogoro huu,waanze na toba kama neno la Bwana lisemavyo, tubuni basi mrejee ili dhambi zenu zifutwe zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana.msije mkashupaza shingo wote mliohusika na mgogoro huu tubuni kwa toba ya kweli na Bwana YESU atawasamehe,lakini msipo tubu,neno la Mungu ktk mithali 29:1 linasema, aonywaye mara nyingi akishupaza shingo atavunjika ghafla wala hapati dawa.
@ezbonkashaga7035 Жыл бұрын
Asante Afande
@ellyjacob98972 жыл бұрын
Huyu polisi aise yuko vizuri sana aise 🙏🙏🙏
@zenachungu32092 жыл бұрын
Duuu pole baba yangu Mwaikali
@sophiajonas34592 жыл бұрын
Hapo kuna Mungu kweli
@neemaevance802 жыл бұрын
Ahsante mungu ahsante Rps kwa kazi mzuri mungu akukumbuke kwa kumtunza Amani ya mkoa wetu
@faridampogolo29732 жыл бұрын
Kweli MUNGU atusaidie maana shina la uharibifu limesimama patakatifu. Wakristo tuendelee kuyaombea makanisa yetu ili MUNGU ashuke na kuponya
@mariakibwana37002 жыл бұрын
AIBU
@abiboseleman16492 жыл бұрын
Wamejaaa tamaaa tuu kkkkk wotea hawako kwajili ya mungu
@tumainimwakyaka27752 жыл бұрын
Babayng askofu Peter Mwakyolile alikuwa&hekima ya KIMUNGU uzidi kubarikiwa Baba Mwakyolile jaman Mwaikali cjui nn kimempata rohon mwake had awatenganishe wana KKKT wkt hatujawahi kuwa&ugomvi ndani ya kanisa letu we Mwaikali unamatatizo gan?
@timothymoshi58002 жыл бұрын
Mlimnyanyasa na kumdhalilisha mpakwa mafuta wa BWANA Askofu Mwaikali Kwa ajili ya Mali. Subirini ghadhabu ya MUNGU.
@carolinesandi62482 жыл бұрын
Huyo Askari kaongea vizuri mnajidhalilsha kwa kweli Mungu hapendi hayo mambo
@jacklinmrutu3382 жыл бұрын
MUNGU MUNGU akutie nguvu bb yangu Mwaikali
@tumainimwakyaka27752 жыл бұрын
Jeshi la police MUNGU awabarik sna nimemsikia askari mmoja kasema nao wanasali nimependa kauli hiyo kwan wote n wa MUNGU mmoja babayng Mwaikali bado nauliza humu umekengeuka wap?mbona ulipokuwa mchungaj KKKT TUKUYU akiwa askofu baba Mwakyolile sasa ww ulipopewa uaskofu kwann umeisahau TUKUYU kukimbilia Luanda mbeya mjini wakt makao yalikuwa TUKUYU mjin shida nn Mwaikali?
@edinamwakitalu61152 жыл бұрын
Polisi ndowatenda kazi wa dini aisee mungu tusaidie kkkt imeharibika
@tumainimwakyaka27752 жыл бұрын
Shida kumbe si kumtumikia MUNGU kumbe mnang'ang'ania mali tena za mikono ya waumini jaman mmefika mbali sana viongozi wa KKKT babayng Mwaikali umekengeuka wapi mbona km umepotea babayng ila mnisamehe bure km nakoment tofaut ila baba Mwaikali namfaham katukuza kiroho akiwa usharika wa KKKT TUKUYU eeh MUNGU wang tusaidie
@mugapro2 жыл бұрын
Huwa iko Hivi, hamnaga utawala au uongozi Mbaya Mwanzoni, Mambo hubadilika mbele ya safari, Take it as a Note
@akberyuda59502 жыл бұрын
HONGERA SANA MZEE MWAKANYAMALE MZEE WA NEVER!,NEVER!,NEVER!,NEVER! MWOGOPENI MUNGU!,MWOGOPENI MUNGU!
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Mungu yupi mtu anatukana matusi ibadan ndo huyo Mungu wake tumwabudu sisi
@akberyuda59502 жыл бұрын
@@sylyavalaeditha8660 MZEE KAJALIWA UJASIRI SIO MNAFIKI,KANISA ZIMA WALIKUWA WANASEMA AMINA ZA KINAFIKI YEYE PEKE YAKE ALISIMAMA KWA UJASIRI MKUBWA KUONYESHA ANACHOKIAMINI,
@kingmageuzi74882 жыл бұрын
Ila mwaikali Mungu akupe afya njema ASKOFU wangu yani uyo mwakyolile anashabikia
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Tumuombee usaliti ni mbaya sana
@dezruh2 жыл бұрын
Tumuombee Mungu amsaidie atulie, alikuwa na nafasi kubwa sana kutatua hii changamoto, nafikiri washauri walikuwa wanamlish matango pori.
@yustomwaisomania25872 жыл бұрын
Na wewe unasemaje
@silyvestarmwaisyelage92242 жыл бұрын
Ameen msigombane tena
@johnrichard31772 жыл бұрын
Wana wa uasi wa Martin Luther King
@prophetislael52652 жыл бұрын
Mnauzalilisha ukristo ukristo niaminifu kama mlishakubaliana kwa rpc kunahajagan yakukabiziana kwenyemakamela na maaskali mnafanya tusemwe sana huku mitaani kwajili yatamaa zamal makanisan
@kilimahewarce73832 жыл бұрын
Pesa na tamaa ya madaraka vitatuhukumu vibaya sana
@jamessichimata362 жыл бұрын
YESU nitetee
@mapinduzikiongore71312 жыл бұрын
Ivi inawezekanaje kumhubiria polisi kuwa kwa Yesu Kuna amani?
@okulimwaifuge79892 жыл бұрын
Uhuni mwingi saana sana, mmekula sadak zetu saiz tumewajua yana hapo hakuna cha mwaikali wala Mwakihaba wote ni walafi wa madaraka. Hekima za Suleman zifanye kazi. Huu ni uhuni kuna mmoja anatumia nguvu za dola kuna mmoja anadidimizwa tu hapo.
@rehemafungo50422 жыл бұрын
Kabisa.mkuu kakosa.angewatoa wote
@ishengomanelson2 жыл бұрын
Nyie ni bure kabisa! Mnamtumia Mungu kushughulika na mambo ya kidunia. Eti mnajifanya kuongea kistaarabu.
@Expedito25122 жыл бұрын
Kwa mtindo huu kanisa linadhalilika sana. Mimi naona kuna shida kubwa sana sana! Mambo yenu mpaka serikali iingilie kweli?
@markshoo14742 жыл бұрын
Aisee aibu sana
@malamlaaj98522 жыл бұрын
watumishi wa Mungu bwana!
@badenbensoni75162 жыл бұрын
RPC UPO VIZURI SANA. MUNGU AKUBARIKI SANA WENGI WA WANYAKYUSA NI WABISHI SANA.
@josephlameck66092 жыл бұрын
Imeandikwa kesheni mkiomba wengine wanakesha kushindania Mali za ulimwengu huu
@luganojimmymwakalinga53922 жыл бұрын
Kumtumikia Mungu siyo mpaka muwe na vyeo makanisani,Yesu kristo gani mnayemtumikia mjaa malumbano,mnafunga mageti watu wasiingie kwa ajili tu ya matumbo yenu,acheni tena acheni hiyo ni njia ya kuzimu.ushauri kumbuka ni wapi uliko anguka ukatubu ukatende matendo ya kwanza.
@gr4ngailo2642 жыл бұрын
Mungu atusaidie kanisa la leo
@adkajisi45362 жыл бұрын
Tutaruka nae juu
@blackbeauty5792 жыл бұрын
Hayo mapete makubwa
@barakandabunganie65852 жыл бұрын
Adui kawavuruga au ??,?
@sophiayusuph54242 жыл бұрын
Huyu Mwaikali anagomea nini hapa mbona wa ajabu sn mch huyu jmn
@rehemamdoro51652 жыл бұрын
Wewe mwaikali baba angu naomba muogope Mungu wako usigombaniye kazi Mungu mnamuaibisha jamani Mungu wete na kulitukanisha jina la Mungu
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Usaliti alioufanya mwakihaba na mwakyolile ndo dhambi kubwaa wao ndo wa kwanza kudhalilisha kanisa
@danielasangalwisye62032 жыл бұрын
@@sylyavalaeditha8660 nyie ndio mmemfanya Mwaikali anaonekana kituko kwa kila anayefuatilia habari hizi
@mbwanakiting71802 жыл бұрын
Akkkt na anglikan mnashida gani? Loman oyee
@lidiasilwimba67592 жыл бұрын
Safali yambinguni tutafika tumechoka kweli
@jacobangolwisye74952 жыл бұрын
Lakini kweli inasadikika Mwaikali kaama kanisa na anataka kulibadili liwe KKKT ya Africa mashariki wakati sisi tunajua KKKT dayosisi ya konde Tanzania.Mimi mwenyewe siungi mkono kwakweli.Kwanini mubadili Kanisa hoja ndio Iko hapo
@lucasmwijage23572 жыл бұрын
KKKT Mnatia aibu! Uyo Mtumishi mnaye zalilisha,mtakutana na MUNGU. Mtu mwenye maono makubwa hufanyiwa hivyo! Afungue Taasisi mpya muone atawapita! Huduma yake nikubwa mno ila inawezekana haijui!
@lidiasilwimba67592 жыл бұрын
Lucas mwijage mungu anaona Ila tunakoenda mungu atusaidie
@yunislemnge55582 жыл бұрын
KKT Mbona mmekuwa kama hamueleweki.bora wachungaji.hata wasioe wawe kama mapdre ili wasipore mali za kanisa.Familia ndio chanzo.
@sweetbertrwiza59822 жыл бұрын
Wawe kama mapadri wasioe lakini wazae nje?
@edinamwakitalu61152 жыл бұрын
Baba wawatu mmemkamata Kama kawaibia
@maandaliobandmbeyatz23452 жыл бұрын
Hahahaha hahahaha mbinguni mbali sana
@vikimartin94412 жыл бұрын
Roho MTAKA VITU anatawala makanisani ameshika nafsi za watu, shetani kaweka kigoda anagombana wenyewe kwa wenyewe,wamemsahau roho mtakatifu.
@wemapanga15472 жыл бұрын
Inaumiza sana kama kanisan limefuka hapo
@bensonmwananchi77012 жыл бұрын
Daa kuna kakibuli flan ameonyesha mwishon
@josephlameck66092 жыл бұрын
Ni Mungu yupi anayeabudiwa huyu wa mimali,migari hii ?
@albertyengu78132 жыл бұрын
Mh
@agnessjackson27432 жыл бұрын
Sifaapewe BWANA YESU tumeuona mkono wako ukitenda makuu,sijamuona Mwambola naonakamkimbia mwenzie haya yote yanampata kwaajiri ya kumskiliza mwambole
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Make kwanza nichekeee 😀 ko ratiba za mwambola zote unazijua
@joshuakikoti93542 жыл бұрын
Bwana mnamsingizia hapo acheni uongo mna Bwana au police? Bwana gani anadanganya na kunyanyasa watu kwa kutumia mitutu ya bunduki
@jamesjahasa33482 жыл бұрын
Waandishi huyo mwaikali ataongea mpaka aonane na mwambola kwanza
@micktajili91082 жыл бұрын
4g
@tricemollel67392 жыл бұрын
Askari hadi kanisani🤔😏
@nikodemmwahangila33342 жыл бұрын
Haya mwaikali aliyataka mwenyewe na wanaomtia moyo wote watamkimbia atabaki peke yake
@lucymwaipungu89312 жыл бұрын
Alula nyiee wez kabisa nauyo mwakiabawenu tyeena nauyo mwakiolilee anae ongea utyafkili kameza kobe mdomoni nyiee wachawidu kabisa
@geraldlyimo28592 жыл бұрын
Viongozi wetu tunakwama wp tupige maendeleo tupunguze siasa ktk mambo ya kiroho
@RevGodlistenNkyaTv2 жыл бұрын
Hivi huyu Mwaikali amesahau kwamba yeye ni Mchungaji?
@cuthbertmkemwa49032 жыл бұрын
Shame on you, ndo mambo gani haya sasa
@valenakomba92182 жыл бұрын
Sasa hiyo Diniii? Au SACCOS.
@csato94152 жыл бұрын
Mambo kama ya NCCR-Mageuzi kufungiana ofisi, ila jamani KKKT migogoro imezidi.
@mapinduzikiongore71312 жыл бұрын
Mbona huyu mstaafu anang'aka sana.
@Story_za_town2 жыл бұрын
Alipewa jukumu la kurudisha aman
@johnmalila14852 жыл бұрын
HUU MGOGORO HAUWEZI KUISHA KILAHISI KAMA MNAVYO FIKILIA MUNGU ATUSAIDIE
@dezruh2 жыл бұрын
Huu utaisha kabisa na utashangaa
@alphaleahibrahim89042 жыл бұрын
Kwann usiishe
@jifunzekuhusuwewe74752 жыл бұрын
Mwambola kanyoti
@adkajisi45362 жыл бұрын
Akili mtu wangu
@lucyenock5422 жыл бұрын
Namshangaa Mwambola kanyoti
@gapserminja52152 жыл бұрын
Sasa tarehe 22 kanisa linakabidhiwa litabebeka? Inamaana hayo magari sio ya kkkt?
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Uelewa mdogo hakuna Mali ya kkkt hapo ni Mali ya dayosisi ya konde, na kanisa no Mali ya washarika wao ndo wasemaji wa mwisho
@lucymwaipungu89312 жыл бұрын
Naona iyoo 22 ayo maofisi yatyabebeka watyabeba pamoja na kansa naona
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
@@lucymwaipungu8931 😀😀😀
@danielasangalwisye62032 жыл бұрын
@@sylyavalaeditha8660 🤣🤣🤣unaona wenzio uelewa mdogo wakati wewe ndio bogus kabisa hiyo hicho unachoita dayosisi nini!? Sio KKKT!?
@bahatidacute83662 жыл бұрын
Mwaikali anataka kuiba nini?
@shambogokitundu7542 жыл бұрын
Mwambola kachimba
@danielndam59972 жыл бұрын
Kwanini mnambembeleza huyo mwaikali?
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Unatakaje?
@heriethmwamgema87852 жыл бұрын
Mwambola kakimbiaa😄😄😄
@adkajisi45362 жыл бұрын
akili mtu wangu
@akberyuda59502 жыл бұрын
ANAMWOGOPA USWEGHE MWAKANYAMALE 😂 😂 MZEE NI SHUJAA,NEVER!NEVER!
@JaphetRingo2 жыл бұрын
Kwishineiii ataoongelea wapi? aende afrika mashariki mwenyewe
@twisilemwabukusi49812 жыл бұрын
Hivi anachokisema kwamba atakabidhi magari bila blue card inatoka wapi? Gari ni blue card si vinginevyo. Maandalizi gani zaidi yanahitajika? Hizo blue cards zilitunzwa wapi zaidi?
@milkatweve44742 жыл бұрын
Kweli hapa mwaikali kaonewa ....alafu na shangaa kumbe mwakyolile bado niaskofu