Alipaza sauti mbele ya Madhabahu na sauti yake ukasikika Mbele za Mungu. Huo ndiyo ukweli halisi kwenye Imani. Asingepaza sauti pengine hali isingekuwa.
@uswegemwakanyamale2892 Жыл бұрын
Asante kwa wote muliuona mkono wa Mungu katika kuitetea KKKT nami kipekee namshukuru Mungu kunipa ujasiri huo niseme kweli nami nashangaa japo aliniotesha ndoto 5 kwa kila lililokuwa likiendelea usharikani petu.Mungu ni mwema mno.
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg25 күн бұрын
Aliyoongea yalikuwa sahihi.
@ev.eliezangiruketv89022 жыл бұрын
Baba yangu MUNGU akupe maisha malefu.
@fedamwakalobo24842 жыл бұрын
Mjomba angu mimi kazi yako njema
@ericamwakyokile57972 жыл бұрын
Amekosa nidhamu na alichokifanya kibaya sana nyumbani mwa Mungu.ameanzaje kunyoosha kidole madhabahuni.mbaya sana hii.
@austorb.nyondo27082 жыл бұрын
Yesu mwenyewe aliwafukuza waliofanya biashara kanisani so hakuna jipya
@ericamwakyokile57972 жыл бұрын
@@austorb.nyondo2708 usimfananishe Yesu na maisha Yetu .hofu ya Mungu haipo.nyumba ya ibada sio mahali pa kuzoeleka kiasi hicho!
@josephmwasalanje23202 жыл бұрын
Wacheni ujinga kina Mwambola
@achi_raymond2 жыл бұрын
Wee kama nani kwani ukweli haujulikani na Hilo kanisa
@timothymoshi58002 жыл бұрын
Baba ulitumia vyema haki yako. Lakini Wenzio wameshazindua Dayosisi.
@chrisshonga2 жыл бұрын
Kanisa la KRISTO linakwenda wapi jamani
@kapesaemmanuel24222 жыл бұрын
Hakuna kanisa la Kristo hapo kabisa kristo masome UFUNUO 12 utalipata
@tumainimwakyaka27752 жыл бұрын
Kweli wakajenge lakwao
@tonymilwardsichali85682 жыл бұрын
Ivi nyee wanyakyusa tatizo nini maana eagt nyee wenyewe uko kkkt nyee wenyewe ivi tatizo nini
@marymwansasu84542 жыл бұрын
Kwa hiyo nyie mlivyobadilisha uongozi juu ya uongozi ni sahihi?😏
@Nyasaonlinetv2 жыл бұрын
Huyu Mwakanyamale hamna kitu, hakuna Mungu ndani ya moyo wake. Pandikizi tuu za kijinga
@josephmwasalanje23202 жыл бұрын
Nadhani sasa umejua kuwa uswege ni mtumishi wa Mungu Na Mwambola ni dj tu wa KKAM Mbingu nyie vibweka wa Mwaikali nendeni bujonde sisi kwetu Yesu Kristo ni njia kweli na uzima.