Pole sana Kojo! Kisa kinasikitisha sana na maelfu ya watu wamepoteza maisha au kuharibiwa maisha kutokana na madhira ya kupewa kesi na polisi! Mimi siipendi polisi kbs! Kama polisi wangekua wakweli huyu mtu pengine angekua na wajukuu zake na familia yake. Maisha yake yote polisi wameyaharibu!
@jaklinifaustini42593 жыл бұрын
Pole baba mwenyez MUNGU atakulipa kwa mazur na mabaya 🙏
@toma6343 жыл бұрын
Pole sana kaka pole sana mmh miaka 30 kabla hata mm sijazaliwa had leo hii najitambua muda wote huo ulikua jela tena kwa makosa ambayo hukuyafanya Mungu akutie nguvu waTanzania tunapendana utapata tu watakuchangia tu Mungu atasaidia
@samiaalriyami34883 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 Pole sanaa sanaa tupo pamoja kaka yangu umenitoa machozii Allah atakunyoshea mambo yako In shaa Allah
@ابوفوادهطجخمخ3 жыл бұрын
Pole sana kaka yaani mtu unampa kesi asiyoijua unamfunga miaka 34 ivi mkikutana utamuangaliaje ijap kulipa kisasi sio kazi yetu ni juu ya bwana
@nabwilelinet70273 жыл бұрын
I can't hold my tears pole sana kakangu kutoka Kenya
@fridaernestmkedege9003 жыл бұрын
Pole sana kaka, Mungu mwenye huruma na miujiza akutendee...km kweli hukushiriki!
@d.a.t33833 жыл бұрын
Mungu ni Mwema na atakuandalia NJIA YA KUPITA
@rashidjuma13383 жыл бұрын
Kaka pole sana watanzania ni watu wenye huruma au mataifa na kimataifa Nina Imani Kwa uwezo wa alla
@ruqayaruqaya42833 жыл бұрын
😭😭kesho kwa mungu kuna malipo jmn achen tu 😭😭pole baba angu mungu katenda haki umetoka
@mtzhalisi22323 жыл бұрын
Uhai ni heshima tosha ...we thanks God for all...
@ghhhhy18123 жыл бұрын
From 🇧🇮 Saudia pole san bab
@shanymwenda79203 жыл бұрын
Serikali wanatakiwa kuwa responsible kwa watu kama hawa...wamempotezea haki yake ya kuishi huru kwa miaka mingi,kuanzisha familia,na mengineyo tutamsaidia tutakavyoweza lakini muhisika mkuu wa kumsaidia kaka yetu ni serikali
@cleofasladislaus21773 жыл бұрын
Tatizo katiba
@bakarijuma99303 жыл бұрын
,,
@saurasoso15433 жыл бұрын
😭😭😭mwaka 90 ata Mimi sikuwa nimezaliwa jamani kweli waliopo gerezani sio wote wanamakosa.Mungu awasamehe waliomfanyia haya uyu Baba kiukweli inauma sanaa.Mungu mpe moyo wa kusahau aliyoyapitia uyu Baba maana sio rahisi kabisa kusahau ila Kwa uwezo wako nakuomba umpe amani Aishi miaka mingi yenye amani Kuanzia Sasa Amen.😭😭😭
@zulfaissa78143 жыл бұрын
Pole sn kk mwenyezi mungu atakujaria salaama pia Allah akuzidishie subra yadhati moyon mwako
@heyumi23403 жыл бұрын
kusahau ngum
@samwelimoshi56143 жыл бұрын
Nilikuwa na miaka 4
@joyceafrican65273 жыл бұрын
2
@rahemaheri16153 жыл бұрын
Uwii n mm nilikuwa BDO hata mama yanguu alikuwa hajaolewaaa
@zaidiakagambo61003 жыл бұрын
Pole sana ndugu yetu Mungu akupe Subra.nanyie mliompokea Mungu awabariki sana.
@mariamsingo99103 жыл бұрын
Mungu akawe faraja yako ktk wakat huu😭😭😭 ni yeye pekee anaweza kutoa maumivu na kukusahaulisha yaliyokupata
@damaspmtz10183 жыл бұрын
Pole Sana, kunawatu huwa awapendi wengine waishi Ila Mungu ni muweza wa yote jipe moyo na Sasa ndiyo maisha uliyobakiza katika Dunia hii
@hamidaala28322 жыл бұрын
Kabisa
@hamidaala28322 жыл бұрын
90.nipo.darasa.la.tano.SUBHANA.LHA😭😭😭
@rajabungatanda6303 жыл бұрын
Pole sana kaka Ila viumbe wa mungu Uwa tunapita (bayna lqdhwaai ) ( Wabayna lqadari) Hivo ndivyo alivyopanga mungu kwamba ktk maisha yako utatumia uhai wako kifungoni kwa miaka hiyo ingawa kwa chanzo cha uonevu Na baadae utatoka uje kumalizia uhai wako uraiani Pole sana ila hakuna anaeijua kesho Kati yetu "Mungu akupe maisha mazuri kwa muda wako huu uliokua nje Na akufute mchozi wako kwakukupa mema mengi mazuri Na akupe familia yenye upendo
@zakiamsafiri123zakiamsafir73 жыл бұрын
Pole sana ndugu yetu mitihan wallah 😭😭😭 mambo ya kusingiziwa yanauma sana
@ameenaameena12243 жыл бұрын
😭😭😭😭😭pole Sana baba inaliza yarabii mungu amujalie apate na mke pia iliapunguze mawaZo
@lovenessaron26693 жыл бұрын
Dah!!! Mungu amfanyie wepesi Baba huyu,ila ninaimani Mungu anasababu na Maisha yake
@abdallahally8423 жыл бұрын
Bro kama.nikweli hujafanya wote walioshiriki mungu atakulipa mungu ni wahaki
@salumkondomwinyimkuu42413 жыл бұрын
Pole sana mkuu Mwenyezi Mungu atakulipa tu kikubwa usikate tamaa.
@danielsanga84593 жыл бұрын
Pole Sana 😢😢 mungu akutangulie na kukusimima pia
@pierremkelemi55483 жыл бұрын
Inauma sana pole sana bro Mungu akusaidie sana
@prosperkullaya67213 жыл бұрын
Atakuwa anajua siri nyingi sana selekali iwe nae karibu sana asije akajiua kwa uchungu.. Mungu akutangulie be strong brother
@olphamoraa66833 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu yupo na wewe atakupigania
@abdimsagati96673 жыл бұрын
Pole sana mwenyezi mungu atakusaidia ataka sawa
@humphreynyiti5163 жыл бұрын
Mungu wetu ni mwema
@beesmarttv37923 жыл бұрын
Dah pole sana bro
@georginamshani10073 жыл бұрын
Pole sana, mungu akutie nguvu zaidi
@edinambwambo48473 жыл бұрын
Pole Sana kaka.Inasikitisha Sana,MUNGU ni mwema.
@agnesn99473 жыл бұрын
Bwana Yesu akuone ndugu yangu government of Tanzania 🇹🇿must pay back this brother what they did to you my brother don't cry 😢😪God is good all the time I feel so sad. Be blessed 🙌🙏 in Jesus Christ name 🙏
@halimaoman87263 жыл бұрын
Kaundime kitwana hiyo pole sana kka usikate tamaa na wala usivunjike moto sidi kuomba mungu kikubwa uzima mungu yupo nawe jipe moyo utafika tu safari ykoo tu mladi upo ulaiyani yote utayasahau kaka jipe moyo
@fathmaoman11863 жыл бұрын
Pole sana sana.
@ibrahimutvibrahimutv2373 жыл бұрын
Pole sana kaka 🙏 mungu atakubariki
@daveme91803 жыл бұрын
Mungu akutangulie mzee wetu
@edinawilliam29433 жыл бұрын
Pole jamani mungu anamakusudi yake sasa wanawake wenye pesa mnashidwaje kupata mke
@hamisimohamedhamisi32413 жыл бұрын
Pole san kaka duuh
@fathmaoman11863 жыл бұрын
ALLAH Akbarr
@antoinekatembo85203 жыл бұрын
Indeed...!
@harrisonjacob32033 жыл бұрын
Pole sana
@Waridimaria3 жыл бұрын
Dah! Mungu akutie nguvu
@saifal-harthi20803 жыл бұрын
Pole sana baba mungu yupo
@macamezunguzungu55843 жыл бұрын
Duh 😭 pole saana brother
@maryamabdullah91693 жыл бұрын
Pole sana Allah Atakulipia Kwa Dhulma Walokufanyia
@moureendelvin62103 жыл бұрын
😭sinachakufanya kwakwel yauma mungu akusaidie
@zenamilanzi14713 жыл бұрын
Pole sana😭😭
@d.a.t33833 жыл бұрын
Usitafute dhahabu wala silva Tafuta uwezo wa Mungu Mwenye faraja na msamaha
@lukindofloriani97653 жыл бұрын
Ashukuriwe mungu wa mbinguni
@edinawilliam29433 жыл бұрын
Pole sana
@abdularuffin93083 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu wako yupo atakusaindia
@sintaibra3553 жыл бұрын
Machozi Hayazuiliki Kwa Haya😭😭😭 Pole Saana Kwa Yote Mpendwa Wetu Yote Kwa Yote Ashukuriwe Saana M/Mungu Wetu🙏🙏🙏
@janembalinga70743 жыл бұрын
Polee sana sheria ziangaliwe kwa upya
@kilogreek40502 жыл бұрын
POLE SANA KAKA UPO NA DJ MKUU JOHN 🇹🇿🇬🇷✊
@charlesmgaya19213 жыл бұрын
mungu ni mwema kaka yangu naamini utaanza mwanzo mpya wenye faraja pole sanaaaaaa
@TheSalma19993 жыл бұрын
Dah pole baba Tunaomba namba jamani anatuumiza sana anavyolia
@nancyaroko45723 жыл бұрын
Pole sana ila Mungu ni mwema Kwa kila jambo
@shanifesto90373 жыл бұрын
Pole sana ndugu,😭😭wenyezi Mungu hashindwi na lolote ,,yote yanawezena ,atakupigania
@TheSalma19993 жыл бұрын
Pole Baba awwww jamani dunia hii kweli mshukuru Mungu kaangaie kaburi la mama nimeumia sana
@kice32693 жыл бұрын
Yupo jela mm sijazaliwa mpaka Sasa natembea na wanawake zawatu ndio anatoka kwa akika mungu yu mwema
@khdigahk42463 жыл бұрын
Mwaka 90 nipo darasa LA pili na ivi ss nawajukuu😭😭 Daah emungu
Police waliokufanyia unyama uo wana la kujibu mbele ya Mungu.wajue tu kuwa dunia tunapita..mshukue Mungu kwa kila jambo.imenikwaza mno.
@samwelimoshi56143 жыл бұрын
Pengne washaaibika mpk ss
@zaidiakagambo61002 жыл бұрын
Sanaa watu wengi wanateseka na kutuhumiwa uongo na mbaya zaidi husikilizwi unateswa Allah awanusuru wote wanaosingiziwa
@thumnathumna59462 жыл бұрын
@@zaidiakagambo6100 Amiin.
@camillasiwa65063 жыл бұрын
Mungu wetu wa mbinguni atakulipa na kukuadhibia watesi wako wote Brother anahitaji kupumzika, na counseling kwa muda hata miezi 3 ili akae sawa Count me kwenye kumsaidia pls
@shabansaid50683 жыл бұрын
Ni jambo la kumshukulu mwenyezi mungu. Maana yawezekana asingelifungwa huenda angeliuawa na hao ndugu wa huyo rafiki yake maana ndiyo waliomshuku huyu jamaa. Wewe ndugu yangu mshukulu mwenyezi mungu. Kumbuka hata yusuf alifungwa wakati hakumzini yule mke wa waziri
@samaboy25923 жыл бұрын
Pole baba
@eddytheophil76263 жыл бұрын
Pole sna brother..
@zuwenaalamin89853 жыл бұрын
Pole Sana kaka
@lastgospel7063 жыл бұрын
Daah jamaa kadhulumiwa maisha yake iv ivi😭😭😭
@reisezone45743 жыл бұрын
MTU huyu cha kwanza kinachotakiwa ni kumtafutia watu au wataalamu wa akili kumuweka sawa kwanza kiakili na kisaikolojia. Anatakiwa awekwe kwanza sawa kisaokolojia kiakili ndio cha muhimu sana kisha mengine ndio yafuatie
@jaysullman36973 жыл бұрын
Apo umeongea ndugu 👍
@margrethjonesmshana85552 жыл бұрын
Yaaani kaka umenilizaaa mpaka Nasikia kutapikaa Kwa hasira na WASINGIZIAJI,,yaani unamfunga mtu unamuunganisha mtu kwenye Koda sio lake,kaka anatumia Sanaa,
@fridaisrael24453 жыл бұрын
Hiyo familia waliomfanyia hayo wspo hai kweli kama wapo kusasi cha Mungu kitatembea vichwani.mwafamilia yao
@ameenaameena12243 жыл бұрын
Pole Sana baba unaongea Kwa hisia Kali Sana pole sana
@mody-guyngido27923 жыл бұрын
Mnawafariji vipi watu Kama hawa baada ya kuwahoji na kujua historia yao? Nyinyi Kama vyombo vya habari.
@bawhizzy62023 жыл бұрын
Pole bro
@Tariqxxtenations3 жыл бұрын
😭😭😭Daaa pole kaka
@gayanimwansasu3 жыл бұрын
Aaaaa! Pole Mungu awatenge wengine ambao kesi hizi zita wafuata
@pichunakichuna21113 жыл бұрын
Kuna watu wengi wako wamefungwa kwa makosa hawajui pole sana
@ukhutfatumah11543 жыл бұрын
Pole sna Kaka yangu daaaa inauma mno aise 1990 hata sijui lini nitazaliwa pole sn
@mamasahim55733 жыл бұрын
pole mungu atakusaidia
@tamashamahuta843 жыл бұрын
Nimiaka mingi sana mungu akutie nguvu
@leilaadamu48173 жыл бұрын
Jamani 1990 uwiiiiìi hapa hata mama angu bado hajaolewa 🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️🤦🏿♀️dah
@jacksongeorge39643 жыл бұрын
Daah kuna binadamu wengine wamepitia pagumu....kwakweli nina kila sababu ya kumshukuru mungu
@editherkigabo95413 жыл бұрын
Mmmmh pole Sana Kaka jamna khaaah 😭😭😭😭😭😭😭
@danielsanga84593 жыл бұрын
Hiii dunia Ina Mambo magumu na ya uchungu Sana . Hiii sio history ya mtu bali ni mkasa ambao mtu anautoa 😭😭 . Tumeumbiwa raha na shida sisi binadamu . Mungu endelea kunisimamia mm 🙏🙏
@rukiauwonde70623 жыл бұрын
Dah mwaka 90 hata mwaka sikufikisha dah 😭miaka niliyo nayo kwa sasa aise
@nadrahassan52412 жыл бұрын
Ya Rabiii 😭😭😭💔💔💔
@mwanahamis54873 жыл бұрын
Hizi kesi ziko nyigi za kusingiziwa
@Chemba673 жыл бұрын
INGEKUA ULAYA AU MAREKANI HUYU JAMAA ANAKWENDA KUA TAJIRI .......LAKINI KWA BONGO YATAFUNIKWA FUNIKWA ILI WALIOSEMA WATAMPOTEZA WASIPATIKANE NA KULIPA GHARAMA.
@ukhtyrayyan78843 жыл бұрын
Simarekani jasa kwangozi iyolabda kidogo hapa uengereza
@kaifajuma67903 жыл бұрын
ukifuatilia hizi story unawaza kunawatu wengi wamefungwa kimakosa kosa
@matukiosafaris65083 жыл бұрын
Watangazaji mnapohoji watu mambo mazito kama hayo muwe unaandaa na tissue ziwe karibu ikitokea mtu analia
@khneesajumaa20523 жыл бұрын
Pole sana kaka😢😢😢
@allywilson41553 жыл бұрын
Ndemana mm nachukia sana ma judge na polisi wasio na moyo wa huruma..
@leilaadamu48173 жыл бұрын
Nchi yetu ngumu sana hiii 😭😭😭😭
@fridaernestmkedege9003 жыл бұрын
So sad 😞
@editherkigabo95413 жыл бұрын
Jamn me mbona nimelia Sana jamni Tena kwa sauti nimekwambia yesu mbona unaeaacha watoto wako jamn 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Hakika sio kila anaeenda jela ana hatia yupo ndugu yangu yalimkuta mbaya zaid wahusika walimkana askar wakalazimisha awe muhalifu mwisho mahakani wakasema hakuna ushahidi ila police wakataka atoe milioni 2 ndio akatoka