Jmn uhai ni dhamana tusijisahau tukamsahau MUNGU tutubu na Kusali maan hatujui saa wala muda wa kunyakuliwa,,rip mushi 😭😢😢😢
@leokamil6284 Жыл бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa
@rosemalle3600 Жыл бұрын
Balozi Mushi,Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele Umwangazie ,Apimzike kwa Amani
@theodosiahaule5545 Жыл бұрын
Pumzika Kwa amani Mushi mbele yako nyuma yetu!
@ericnjoroge5083 Жыл бұрын
Rambirambi zangu kwa familia ya Balozi. Kuna wimbo aliyeuimba Crazy G......Sauti ya Manka. Kuna maneno ameyatamka pale kwenyu ule wimbo na kidogo ni kama matukio ya ajali hii iliyo ya katisha maisha ya Balozi Mushi.
@emmasteve5452 Жыл бұрын
Wazur hawaf
@bintyommy6310 Жыл бұрын
Umeona eeee 😂😂😂 wanaishi milele maana dunia yao na wamejiunga wenyewe sie wabaya tupo katika foleni na Mungu atujaalie mwisho mwema
@euniestherwilliam1513 Жыл бұрын
Ningekuwa Mzee Makamba ningeomba radhi mbele ya umma
@veeJesus Жыл бұрын
@@euniestherwilliam1513 iv yule ni baba ake January Makamba