Mashaallah Uhkty Snura ALLAH akupe msimamo ulicho kikusudia na wale uliowaacha kule ALLAH awalete karib yako,Amiiin.
@Mele-e4n5 ай бұрын
Amiin yarab
@faridaally-jp1gx6 ай бұрын
Allaah Akuongoze zaidi yani nikisikia maneno yako ndugu yangu nalia kwa furaha hakuna kama Allaah ❤
@Aisha-ic1rl6 ай бұрын
Hakika hakuna kama yy Allah Akbar Allah Akbar 😭
@fettiemaganza14846 ай бұрын
Nimemsikiliza Jana Alhamdulillah kuna kitu imebadilika ktk maisha yangu
@yasminjuma91466 ай бұрын
ALLAH akuongeze amin
@yasminjuma91466 ай бұрын
Na kishki T v mtizame huyo dada mumsaidie hata mawazo
@Hms-l1f6 ай бұрын
@@fettiemaganza1484Allah atuongoze
@AleiHadji-js3ed6 ай бұрын
SHEKHE Kishki Msaidieni Huyu Dada Mpeni Moyo wa Kujitolea na kwenda isoma Dini mbali na yeye shaurianeni na Mumewe mumsaidie biidhnillahi Allahu Ahad mpeni Moyo
@jumanjoro7826 ай бұрын
Allah awaongezee Imani wote walionyuma na dini
@Azza-o8c6 ай бұрын
Shk kishki atasaidia wa ngapi na sisi je??? Mwenye kutaka dini hangoji shk kishki aende madrasa tu
@AleiHadji-js3ed6 ай бұрын
@@Azza-o8c MUISLAMU wewe ????
@FridayMwassa6 ай бұрын
Wewe mwenyewe umesoma dini lakini unalipi
@FridayMwassa6 ай бұрын
Shetani anadanganya sana watu kwamba wakiwa dini basi wameshamaliza wangojee kwenda mbinguni, lakini ni yule atakaye yatenda mapenzi ya Mungu tu ndiye atakaye muona Mungu
@Rukaka_jr6 ай бұрын
Allah akupe mwisho mwema InshaAllah dada yetu katika iman ❤❤❤❤
@abuuhafswamunsheedu57906 ай бұрын
Allah azidi kumuongoza Dada yetu na sisi sote pia.... Aaamiin
@fabssaleh72736 ай бұрын
AMEEN YAA RABB WA JAZAKALLAHU KHAIRAN.
@abuuhafswamunsheedu57906 ай бұрын
@@fabssaleh7273 Aamiin yaa rabbal aalamiin
@hasnakid6 ай бұрын
Aameen yaa Rabb
@SakinaSakinat-qd9rs6 ай бұрын
Amiin Amiin Amiin
@noot-oe2mw6 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah
@ZulfahMuhammad6 ай бұрын
MashaAllaah tabarakaAllaah wa Alhamdulillaah Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake na atupe mwisho mwema kwa huruma wake
@bibahhadith6 ай бұрын
MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah ALLAH amuhifadh yeye pamoja nasi pia
@BrotherMasoud6 ай бұрын
Allah akitaka kukupa kheri hukuzindiua kwenye dini. Mashaa Allah dada yetu ametakiwa kheri na Allah muumba wake. Allah amjaalie Imaan na Yaqiin ya kuitambua dini yqke zaisi 🤲
@sabihasalim9426 ай бұрын
Allah atuongoze sote🇬🇧
@minatto126 ай бұрын
Mashallah Allah umuongoza amtakae na umuacha apotee amtakae, Allah amuongoze mashallah
@GracePatric6 ай бұрын
Masikini snura hadi sauti imebadilika Allah akuongoze ndg yangu ❤❤
@naimaali98886 ай бұрын
Alhamdullilah Alhamdullilah wallah nmfrahiii sanaa zaidii ya sanaa kumuonaa dada yetuu kurudiii ktk dinii ykee na kuachana na mzikii Alhamdullilah yarabbi nkuombaa uwajaliee na waimbajee wengnee wacheee na watudii kwakoo na ss yarabbi tujaliee mwshoo mwemaa
@NasraNasra-xc6jp3 ай бұрын
ALLAH azidi kukuongoza katika njia zake za kheir na atujalie wote mabint wa Kislam kuongoka.. Mashallah mashallah ukhty snura nina kupenda kwa ajili ya ALLAH
@SalmaAthuman-hp3en6 ай бұрын
Masha Allah ❤mungu amekuongoza huu ndo muda wa kuabudu na kuomba sana atusamehe madhambi yetu aaminy
@halimahassan85826 ай бұрын
Soooooo impressive Ma sha Allah 😢😢😢😢😢😢. Alhamdulilah ya Rabb. JazakiLLAH ya uqter❤❤❤
@assoistiquamat23976 ай бұрын
Yaa Rabii Mola nakuomba dada yangu huu mjaaliye Kua namoyo waujasirii sheikh muwezeshenii Apate Mmajukumu Mfano kama msimamizii wajambo Fulani ladini Allah mpe moyo waujasirii
@adidjasaidi33696 ай бұрын
Naunga Mkono
@adidjasaidi33696 ай бұрын
Naunga Mkono
@رقيهالخصيبي6 ай бұрын
Takbir Allah Akbar Takbir Allah Akbar MashaAllah Mwenyeez Mungu azidi kukuongoza na aipokee toba yako
@hamadsuleiman51776 ай бұрын
Huyu katubia kweli kweli maana hata uso wake na macho yake unamuona tu anavongea...Allah akuongoze ww na sisi kwa ujumla
@leilasalim-20096 ай бұрын
Mashaallah Allah akulinde na akuhifadhi dada una sauti nzuri yakusima Quran mashaallah ❤
@allymbarouk53625 ай бұрын
Dada Snura Allah akusameh wewe na sisi na akupokee hadi kufa kwako Amiin
@swaiseif29896 ай бұрын
Ma'sha Allah mwenyezimungu anamuongoa amtakae
@IbrahimKimath-u9z6 ай бұрын
Wasanii wote waislam wamfuate na washtuke kama huyu maisha ya dunia ni mafupi tuiogope hy siku ya malipo ya kuhesabiwa ili uingie peponi tuishi kwenye ukweli. Tusitafute riziki ya tamaa na ukapata majuto ya muda mrefu.ishi kwa kumfraisha mungu sio kuwafuraisha viumbe. Tunamuomba Allah atuongoze kwenye njia yake ishaallah.
@zeitunkassim93526 ай бұрын
MashaAllah TabaraqaAllah ❤️ Hasbiyahllah waneemal wakeel❤ ALLAHU Akbaar 😭 Allah ni muweza wa kila jambo na humuongoza anaetaka kuongoka Alhamdulillah
@Dhunnurein4 ай бұрын
Maashallah Allah athibitishe moyo wake ktk dini na amfishe ktk imani yake iliyoko thabiti
@hawaramadhani69546 ай бұрын
Pindi itakapokuja nusura ya meenyezimungu na ushindi🎉,utawaona watu wakiingia ktk dini ya Allah makundi kwa makundi
@aishaomar22876 ай бұрын
ALHAMDULILLAH 😢
@hassanaliamin11045 ай бұрын
Maneno matukufu ya Allah akimueleza Mtume wake Mohamed s.a.w
@AminaKassim-ni9wd6 ай бұрын
Ooo ma'shaallah ndugu yangu Allah akuongoze ndugu yangu na waisilamu wote duniani na walio potea wote Allah awalejeshee amiiin
@wemakalama64586 ай бұрын
JazakaAllahu khyran , inshaAllah , da snura Allah azidi kukupa muongozo zaidi yarrab🙏🙏🙏
@MuhamedChabala4 ай бұрын
Allah subhanahu wataala akuzidishie iimaan akudumishe katika uislam
@mwanashaali11096 ай бұрын
Wallah Alhamdhulillah,nilijua mumewe kachanganyika sanah na Familia ya kwa mume wake pia Nzurii walimpokea na kumpenda
@mohammedmussa73788 күн бұрын
Muombe mwenyezi mungu akuongoze kwani hakuna mkamilifu wote tunatenda madhabi ila kufanya toba na kuacha madhambi ndio jambo mwenyezi mungu analipenda kila ukikos3a fanya toba na usisogelee madhambi makubwa utafaulu
@ibnimasoud82286 ай бұрын
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah ampe mwishomwema Dadayetu na familiyayake na waislam sote kwaujumla 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@ShaymaaMlanza6 ай бұрын
Amina
@HusseinAbdul-is9xq6 ай бұрын
Aamini
@rahmayusuph99736 ай бұрын
Amiin yarabby 🤲
@nadegefeza6 ай бұрын
Amiin
@HadijaBakari-l6x5 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah nimekupenda sana
@YarowAbd4 ай бұрын
Masha allah Masha allah Masha allah Masha allah Masha allah
@IsmailyRajabu24 күн бұрын
Mungu atupe mwisho mwema
@RukiaHassan-w4u6 ай бұрын
Masha Allah tabaraqallah Allah akuhifadhi akufanyie wepesi n akubarik Zaid moyo wa kuipend dini. Allah atujaalie toba ya kwely na shahada wkt wa maut n jannah iwe makaaz yetu amiin
@husna345626 ай бұрын
Mashallah tabarakallah Allah atuongoz ummat muhammad
@WadhihatRajab5 ай бұрын
Mashallah allah azidi kukuongoza kwenye swiratl mustaq❤❤❤❤❤❤
@DoctorBondia6 ай бұрын
Maashallah Inapendeza Sana, Allah akusamehe wewe na sisi pia. Aaamin 🤲
@omargargaar56116 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah amuhifadhi yy na Vzazi vyake Allah amsamehe kwa kosa Allah ampe Subra ktk hij Dunia na Akhera
@ZULFAHABIBU5 ай бұрын
Safi sana dada etu mungu akupe neema iyo usje kubadilika Tena nimepend mashalha
@safiyasafiya50146 ай бұрын
Subhanallah nimetokwa machozi yarabi Allah humnusuru ampendae❤ alhmdulillahi
@sama-_83686 ай бұрын
Mimi pia nimetokwa chozi
@NaimaNaseer-t2g6 ай бұрын
Maashaa allaah tunamuomba allaah akusaidie
@salumnyasa-e3t3 күн бұрын
❤❤ Allah akujalie kher
@KhadijaAli-e7e6 ай бұрын
Maashallah, You have really done something good, Allah azid kutusaidia tutubie kabla ya Mauti yetu. Amin Allahuma Amin ❤
@iddyiddy12826 ай бұрын
Wallah amefanya vyema snura kwa kuwaomba radio wasicheze ngoma zake, kazi kwao sasa ila mbele ya Allah anaradhi Nae. Allahuma bariq. ❤❤❤
@vinanimwinyi31636 ай бұрын
Kwel.kbsa
@chikujuma186 ай бұрын
❤❤❤ mashallah hongera dada umeamua jambo nzur mola akuongoze kwa unachokihitaji kwa mola wake inshallah ❤❤❤
@JasmineMasiga5 ай бұрын
Mashalaah jaman adi natamani namimi mungu anijaalie niache kusuka haya mnywere ya rasta niwe na swali ila ipo ck mungu atanifanyia wepesi nilikuwa na bandika makucha nimeshaacha na bado ntaacha tu kwa uwezo wamungu
@SalimMlocal-rk9hk6 ай бұрын
Mwenyezi mungu akupe mwisho mwema
@HAKHISALUMU5 ай бұрын
Snura mshukuru Allah muumba na muombe sana azidi kukuondoshea usheteni uliokukuta huko nyuma. Ubaki njia ya heri ya Allah
@salmaabdallah22535 ай бұрын
Allah subhanahu wataala akubaarik snura akujaalie uwe miongoni mwawaja wa peponi na Allah subhanahu wataala akusameh makosa yako kwani Allah nimsamehemu kwa waja wake na anawapenda wale wanao muelekea , na uliyo waacha pia allah subhanahu wataala awaongoze ,amiin
@mohamedjuma10846 ай бұрын
Ma Shaa Allah Allah amuongoze ktk iman thabit🤲
@Aziza-z4f4 ай бұрын
Mashaallah tabarika allah dd allah akuogoze
@sarahmohamed39686 ай бұрын
Mashaaallah Allah akuongoze atuongoze na sisi ❤
@missmannydxb6 ай бұрын
Masha'Allah tabarakAllah malezi mazuri sio wengi wenye hio bahati, mwenzi mungu atuzidishie imani na atupe mwisho mwema ameen 🤲🏽
@eshasaid32586 ай бұрын
Kwaza allah akuhifadhi ❤❤duniyani umependa msamaha kwa allah akusamehe❤❤❤❤ atakusamehi ❤❤❤ hiyo ni toba❤❤❤ hitorudiya tena❤❤❤
@maryamalhinai33925 ай бұрын
Masha Allah Snura Mmungu akutangulie Dada. Wewe mungu kakuchagua. Hongera Dada
@GluGlu-u4m6 ай бұрын
Mola akuongoze na atuongoze na sisi mola humuongoza amtakae yaa Rabb mola azidi kukuongoza ❤
@HamamyusuphYusuph5 ай бұрын
Amin
@ElsieMunezero6 ай бұрын
Manshallah dd snura mungu akuzidishiy Iman dd yangu mungu atupe mwisho mwma nasisiote allahuma amiin
@aminahkimwana1094 ай бұрын
ALLAH aendeleye kumuongoza ❤❤❤
@nadhrayahya85895 ай бұрын
Maashaallaah Allaah akupe mwisho mwema na udumu ktk hiki ulicho kikusudia
Mashallah mungu akuzidishie ilmuu na ucha wa mungu na sisi pia ...amiin 🤲
@faizanassor63366 ай бұрын
MASHAA ALLAH ALHAMDULILA ALLAH azidi kukuzidua kwa hili n'a jengine na ss kwa ujumla ALLAH atupe mwisho mwema kwa sote THUMMA AMIN 🤲🏼
@Awatee6 ай бұрын
Amiin amiin amiin habibty
@SakinaSakinat-qd9rs6 ай бұрын
Amiin Amiin Amiin
@susansamira81376 ай бұрын
MashaaAllah mungu alikuingiza kumrudia na kuomba sana mda wake ndio sahihi Allah atujalie moyo wenye kumnyenyekea na kumuomba msamaha
@ZuraAmisseAbudo5 ай бұрын
Mashallah minha querida Sunura,boa decisão, mais vida
@naswiharashid71666 ай бұрын
Masha Allah wala usitiye waswas ndugiyetu madam niya yako iko thabit na umejutiya Allah atakusameh hongera sn na uwe na moyo huohuo usibadilike km mzee yusuf tubu sana Twaibatal Nasuha tuko pamoja na wewe mkono kwa mkono mpaka peponi
@GatekaFatma5 ай бұрын
Takbiiiiiiir x3da snurah nakupenda kwaajili ya Allah tuombe mwisho mwema
@DamtuAbdalla-yk7dk6 ай бұрын
Alhamdulilah .. hongera...
@vinanimwinyi31636 ай бұрын
MashaAllah Allah akuhifadhi ya Rabbi Nkpenda kwa Ajili ya Allah Snura❤ 🇰🇪
@bintimbeyumwalimu27086 ай бұрын
Masha'Allah Mungu akuongoze Dada Snura🤲🏾🤲🏾
@OmanIbra-d6u5 ай бұрын
Ila uyu dada kaongea ukweli mtupu Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema
@FatimaAo-r9p23 күн бұрын
Amina
@swaghiraridhiwani56085 ай бұрын
Mashalla Allah akuongoze ...
@Janataninaim-s8u6 ай бұрын
Takbirrrr Allah Akbar Allah atuswamehe sote uma wa mtume s.a.w tufuate njia sahii ya Allah
@jabirthebarber28815 ай бұрын
MashsAllah Allah akuongoze sister I.a❤
@muhammessihakizimana20616 ай бұрын
Allah akuzidishiye imani kwakweli umenitowa machozi nibahati iliyoje kwakweli sali sana Allah anakupenda kwakweli
@HamadiAbdalla-b9s5 ай бұрын
Mashallah mungu akuongoze ila yasije kutokea yale ya Mzee Yussuf chonde chonde
@bahatirashid66876 ай бұрын
Mwenyezi mungu Akujaalie uwe mmoja Kati ya wanawake wema
@Mohamed-sb8mg6 ай бұрын
Mashallah jazakallah kheri je umeolewa kama hujaolewa tukustiri
@ZakinaRahe3 күн бұрын
Allah akuongezee kwa Kila kitu 🙏🙏🙏
@Naah-o2c6 ай бұрын
Mashallah mashallah Allah azidi kumuongoza 🌹❤️
@AsilaSaidi-e4z5 ай бұрын
Mashaallah Allah azidi kutuongoza In Shaa Allah ili tufate njia ilokuwa sahihi
@masmas12196 ай бұрын
Allah akufanyie wepesi zaid dada uweze kufanikiwa na kumshinda sheytwan zaid Maashallah hongera sana kwa kuweza mpk hapo Allah akupe nguvu zaid Amin
@MayyaSaid4 ай бұрын
Allah azidi kukusimamia usije fanana mzee yusuphu.omba sana dada Allah atakusimamia inshahllah
@rehemaseif17856 ай бұрын
Dada snura nakupenda kwa ajili ya Allah s.w. M.mungu atuongoze sote kwenye njia yake. Hakuna mkamilifu zaidi ya Allah s.w. na yeye anasameh madhambi yote. Allah s.w anasema tusikate tamaa na rehma zake.
@mahmoudhamisi6736 ай бұрын
Maashaallah allah akuongoze
@FatmaMbarouk-l6o5 ай бұрын
Takbiiiiiiiiir allah akbar allah atuongoze ktk njia iliyonyooka waislam wote n wasiokua waislam awape kauli thabit wapate kuingua ktk uislamu😢
@fatmahussein60856 ай бұрын
Maashaa Allah…… Allah akusimamieee
@RumaisaAbdala-ni7zz5 ай бұрын
Mashallah allah akuzidishie iman zaid
@fatmamohamed3726 ай бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah Allah Subhanahu Wataala akuhifadhi wewe na familia yako na akuongoze ktk njia iliyonyooka biidhinillah
@Samsungjprime-ww9ve6 ай бұрын
Mashaallah namuomba Allah atupe mwisho mwema sote waumin kama wema walopita
@patimaissa85726 ай бұрын
Shukran na pia hongera ushauri usifanye tena intaviyou endelea kumtumikiya Allah Allah atujaliye mwisho mwema kila hatua dua nakupenda kwa ajili ya Allah
@zainabmaulidi98465 ай бұрын
MashaAllah ALLAH azidi kukuongoza Ukhty Yetu🤲🤎🤎
@shifaaomari97995 ай бұрын
Masha allah allah atuongoze na sisi yarabby
@AlamPekua-h6r5 ай бұрын
Hongera sana mpz allah akufanyie wepesi ktk safari hii yako mpya allahuakbar
@bintsalimalbimany2875 ай бұрын
Mashallah Allah azidi kukuongoza Dada angu Mashallah Mashallah Mashallah Allahumma barik Kwel umaweza ukachukia jambo kumbe lina kher na wewe na ukapenda jambo kuna Lina shar na wewe Allah atuongoz katika Njia iliyonyooka😢😢😢😭🤲
@ibrahimyussuf36656 ай бұрын
Allah akulinde na akuhifadhi
@KisafiHamisi6 ай бұрын
Allahu gkafuru rahm, Allah anasamehe ukiridi kwake Allah atujalie mwisho mwema sote in shaa Allah, Allah akujalie kheri zake ❤❤❤
@abdallahkhalfan39666 ай бұрын
Masshaallwa Allah akuongoze ktk kheri Dada yangu pia Allah akulipe kheri in shaa Allah