ALIYEKUWA MPENZI WA LUKAMBA AMVUA NGUO/AMTAMBULISHA MPENZI WAKE MPYA

  Рет қаралды 10,467

BinaTv

BinaTv

Күн бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 39
@mursilmursal
@mursilmursal Жыл бұрын
Nakukubali Bina Tv siku zote 🇶🇦🇰🇪
@rosemarytheresia6885
@rosemarytheresia6885 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂koti jamani na joto Hilo la dar
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын
Siulimtukana cecy wew mbwa wew
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 Жыл бұрын
Makubwa weye sulimuceka ceci sasanaweye yamekukuta du 😂😂😂😂
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow Жыл бұрын
Wapii Lukambaaa😂😂 dada kashaenda mjini
@kelvinalfredy8988
@kelvinalfredy8988 Жыл бұрын
umeona livebite kwenye shingo ya brooo
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Shikamoo maisha ya mtandao🙌
@shufwaaofficialtv1306
@shufwaaofficialtv1306 Жыл бұрын
Si alimchamba cecy huyu
@HasiKhosi-qh4uo
@HasiKhosi-qh4uo Жыл бұрын
😂😂😂kama kweli vishindo vya bahari havishui mashua 🇰🇪
@EmilianaSevere
@EmilianaSevere Жыл бұрын
Alimtukana cesy huyu dada jamani🥹🥹
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
Ww bint utulie tu maana mungu analipa hapa hapa dunia uliwasema vibaya ma x wa lukamba leo yamekukuta 😂😂Acha kulea vivulana
@pillyolsen6346
@pillyolsen6346 Жыл бұрын
Shikamoo mapenzi kwakweli mapenzi ni mtihani sana wanawake mnabadilisha wanaume kama chupi 🙊😂😂😂
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Wanaume je? Basi wao wanabadilisha wanawake kama sidiria
@AstonyMathayo
@AstonyMathayo Жыл бұрын
Yani uyu alikuwa anamchiti LUKAMBA😂
@vickykapama8386
@vickykapama8386 Жыл бұрын
Lakini kwa nini kuvaa koti la WINTER ZA ULAYA⁉️ Acheni kutaka kufanana na mastar wa Ulaya wenzenu huku Ni BARIDI ZAIDI😅😅😅😅
@MrSokwe
@MrSokwe Жыл бұрын
Ila mnaweza na joto la dar kuvaa makoti ya majira ya baridi.
@Mohaa4309
@Mohaa4309 Жыл бұрын
Rudisha pesa ya Duka 😂
@AsendeNyota
@AsendeNyota Жыл бұрын
Kiki shikamooo 😂😂😂
@FatiaAhmed-m1u
@FatiaAhmed-m1u Жыл бұрын
Makubwa na mimi nashangaaaa
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Jee kumbe piya yeye kawachwa
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Жыл бұрын
Hawa wanaume HB khaaaa 😂😂😂
@JumanneMungula
@JumanneMungula Жыл бұрын
Mwandishi zingatia professionalism yako stay online ask 3 questions about the reasons for you to be there and at least one you can get out of the main purpose do you think what you did back there was okay
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 10 ай бұрын
Nawaza hayo makoti........ na joto la dar😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RachelBriervanity1
@RachelBriervanity1 Жыл бұрын
mm hivi kuna Winter DAR? hilo koti sasa ndio tunayovaa kipindi hiki cha baridi huku USA
@Ilovemychildren-h1e
@Ilovemychildren-h1e Жыл бұрын
Kwa wabongo ni fasheni na joto hilo la daar ata siwaelewagi
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Жыл бұрын
Ushamba daa! Hata mimi ninashangaa!
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Жыл бұрын
Mshamba sana utafikri yuko uk
@mohamedmibangura2387
@mohamedmibangura2387 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@beatricemorice9269
@beatricemorice9269 Жыл бұрын
Labda mvua ilinyesha😂
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Wapi chuchu hansi 😂😂😂
@angoredulladulla1626
@angoredulladulla1626 Жыл бұрын
Mumezidi sana upumbavu nyinyi Kiki za kifala fala sana
@maryamtan682
@maryamtan682 Жыл бұрын
Lukamba una laana ya shmimi Mzazi mwenzio. Usipoangalia utateseka sn na wanawake, hy ss nenda kamchambe konde si ndo anakupa kontet mjini.
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
DOMO KAMA NGAMIA WA SAUDI ARABIA 😂😂
@naimanimo4925
@naimanimo4925 Жыл бұрын
Look at her chewwwwwwwwwwwww
@Ilovemychildren-h1e
@Ilovemychildren-h1e Жыл бұрын
Dada ana mdomo mpana km pazia la hotelini
@Mina.15
@Mina.15 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h Жыл бұрын
ilikua kiki tu ilikua sio mapenziii njo maona hivi hawa wanawake wana wazazi ama
Nvidia CEO Huang New Chips, AI, Musk, Meeting Trump
15:28
Bloomberg Technology
Рет қаралды 222 М.
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
BSS 2024 SE15 EP04 KENYA AND BABATI | FULL SHOW
1:36:04
BongoStarSearch
Рет қаралды 190 М.
Alasan Marcell Siahaan Memeluk Agama Islam - Daniel Tetangga Kamu
27:24
Daniel Mananta Network
Рет қаралды 10 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН