UKWELI MI NTASEMA....HAWA KINA BABA LEVO NA MWIJA NA H BABA,,,,WAMECHANGIA SANA KUONGEZA IDADI YA WASANII KUWA WAKUBWA KUTOKANA NA JINSI WANAVYOWASIMULIA,,,,MTAKATAA LAKINI HII NCHI ILIKUWA NI DAI NA KIBA TU...LEO HII MPAKA CHINO
@JeannetteManirambona-o6m10 ай бұрын
Kweli
@MohamedAhmed-ns5mi10 ай бұрын
Nakubali bro umefunga mdomo laivu
@katabaroonlinetv968810 ай бұрын
Mwijaku kuna wapangaji tumewapangisha nyumba na mtu Katia luku yake mwenyewe na jina la kwake😂😂😂
@stannslousmusau809910 ай бұрын
Am a kenyan but now I believe nyumba sio ya mwijaku,,,h baba amemuweza kweli mpaka ana edit
@SilasChitui-xk2sw10 ай бұрын
Wanaume watanzania na ndevu zao wanapiga umbea mchana usiku, hapa Kenya huwezi kua na pesa na upige kelele, utapigwa risasi💔💔💔
@nelsonmaganya539110 ай бұрын
Uyu H nilikuwaga namuona ana Akili ila kwa sasa naona km vile dishi Alipo sawa😂
@maxpesa881110 ай бұрын
Daa kweli zakuambiwa changanya na zako baada ya mwijaku kuona mambo mazito kajifanya et wife amenipigia😂😂😂
@salumualoyce562010 ай бұрын
"Daaah!" Ni kali kuliko MAPOZI. MAPOZI ina wasanii wakubwa 03 na wenye fans wengie lkn bado inaburuzwa na Nandy ft Kiba. Tulizoea kuona Collabo kubwa kama hii ya Mapozi inashika number 01 trending lkn this time amekikwaa kisiki cha mpingo cha Nandy.
@abdallahmchange137010 ай бұрын
Kitu ambacho hujaelewa alikuwa anauzungumzia wimbo wa harmo X bien X bob Shmurda ndio haujaingia trending
@firdaussheikh481710 ай бұрын
H baba na mwijaku😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇬🇧
@Amourharoub-rf1tc10 ай бұрын
H babaaa nakukubali
@ShelayWamapozi10 ай бұрын
Chawaaaaaaaaaaa we noma kwel unakula uku na uko
@THOMASMAYOGU-vu5ny6 ай бұрын
We mkewake mbona yako hauonyeshi
@GermiaSuala-u9t10 ай бұрын
Video ya nandy ina siku ngapi? Na video ya daimond ya mapozi ina siku ngapi? Mwejako ongea kito Kama muto timamu video ya daimond inakimbia brow
@JanetAhmad-v3h10 ай бұрын
mi nashangaaa
@nishaabdula501510 ай бұрын
Uyu kichaa
@salumualoyce562010 ай бұрын
"Daaah!" Ni kali kuliko MAPOZI. MAPOZI ina wasanii wakubwa 03 na wenye fans wengie lkn bado inaburuzwa na Nandy ft Kiba. Tulizoea kuona Collabo kubwa kama hii ya Mapozi inashika number 01 trending lkn this time amekikwaa kisiki cha mpingo cha Nandy.
@irakozesania168010 ай бұрын
Ile ni nyimbo y Mr blue ten ya Zaman 😅😅😅@@salumualoyce5620
@choggyslyymrisho593110 ай бұрын
Haya angalia na leo
@johnsonchonja403210 ай бұрын
Jamaa ni ndumila kuwili😅😅anakula kote kote
@tigejuma986510 ай бұрын
Mfungulie mlango huyo matako aingie...juu namuona anaingia n kioo kma njiwa...h mama n mpuz mmoja.😅😅
@EdwinJohn-vo8uf10 ай бұрын
Dah😅😅😅😅😅😅
@EDWINKAMANGA10 ай бұрын
Kwer h mama ana akir
@ibrahimhumbotv10 ай бұрын
H baba kama no mkweli kidogo😂😂😂🤣
@hudhaimarajab910310 ай бұрын
Dah huyu H hajiskii tabu 😂
@kefaluminas28610 ай бұрын
Chawa ni chawa tu ata avae suti😂😂😂
@BabaKailahBoy10 ай бұрын
Huyo mweu ata kalia huvio😂tu
@CrementPascar10 ай бұрын
Mwijaku hanaga hakiri inabidi tumzewee
@joycekaguo847610 ай бұрын
H baba kampondaa mond sa iv anaenda kuomba ela ya kula
@YahyaOTHMAN-t4p10 ай бұрын
Huyu sio mzima
@robertphilip38510 ай бұрын
Mwijaku mtata kwl
@chizylove929010 ай бұрын
Hata risiti hana hamna kitu hapo maneno mengi
@stafaentertainment10 ай бұрын
Kwani ume huwa una wekwa jina la mwenye nyumba au la yule anaye hishi ndani??