Mungu akulipe mkuu wa mkoa hujapoteza kitu ila umewekeza kwa Allah
@WiliamMatondo2 сағат бұрын
Amina
@YohanaRichard-e6p22 сағат бұрын
Asante kwa uungwana wako muheshimiwa.
@justinelukumay530821 сағат бұрын
Mkuu wa mkoa Mungu akubariki Familia yako iinuliwe na Mungu kwa sadaka hiyo Mkuu umewekexa kwa mungu
@amaniromeoswadiq915521 сағат бұрын
Uncle uishi mwaka mingi Allah akutunze mzee wetu
@azzaalhabsi150511 сағат бұрын
Mungu akubariki sana mkuu wa mkoa.akuongezee zaidi ulipo toa.akupe afya njema na wepesi katika kazi zako.
@HajiMwanz-to3vg17 сағат бұрын
Asante mkuwamkoa wa nzamwa mwenyezi mungu akujarie neema baba mlez wa bodaboda mwanza
@SbOm-b7k23 сағат бұрын
Ubinaadamu KAZI, baadhi ya viongozi nanyie mjisomee Kwa huyu muheshimiwa, Mungu akulinde n akubarik
@Princewaweru5 сағат бұрын
Huyu Mzee namheshimu sana tena namkubali tokea akiwa Arusha akifanya kazi za kujenga Taifa salute kwako mkuu
@Vivia-m7g10 сағат бұрын
Asante sana kwa busara zako hon Rc.ubarikiwe sana🙏
@khadejakhadeja971311 сағат бұрын
Jumanne Mulilo kula chuma hicho hawa.ndio watu wa mungu wanaostahili.kuingia.peponi mungu azidi kukupa inani na imani ya binadamu anazaliwa nayo na mwenye rokho chafu anazaliwa nayo hongera mkuu wa Mkowa ❤❤❤
@YohanaMathayo-r7p12 сағат бұрын
Wewe nimekuelewa toka ukiwa Arusha Una hofu ya mungu akuinue sana Amen
@MahmoudMahmoud-v7b21 сағат бұрын
Wewe ni kiongozi wa kweli mungu akulipe
@asiaswaleheКүн бұрын
Mkuu wamkoa mashalla❤
@elizabethkalinga082212 сағат бұрын
Mungu Akubariki RC, na akuinue Zaidi kwa Ungwana, Ulezi, Utu na Huruma ya Kiungu 🌹
@valenakomba768617 сағат бұрын
UBARIKIWE SANAA. HIYO IWE NI SADAKA YAKO KWA MWISHO HUU WA MWAKA. ASANTE KWA UPENDO.❤❤😂
@PascalMsafiri-x1f18 сағат бұрын
Mungu akuongezee mweshimiwa Mkuu wamkowa
@hashimherman3673Сағат бұрын
Mungu akubariki Mkuu wa mkoa wa Mwanza umeonyesha Imani na upendo wa kiimani kwa vitendo ..jazaaka Allah khaira ( Menyezi Mungu akulipe kila la khery)
@nsiamasawe457822 сағат бұрын
Huyu mkuu wa Mkoa bila shaka utajiri wa roho yake ni wa Yanga
@MrishoMindu-zq7mz12 сағат бұрын
Ni kweli ana roho ya kitajiri ya Yanga bw Masawe. Angekua na utajiri wa roho za kule Kaskazini Nyumbani kwa Chama cha Siasa cha Yule bwana. Leo kijana angekua Maskini. Yote kwa yote Mungu ndiye anaye toa utajiri na Umaskini. Yote alisha panga Mungu yatokee kwa njia zake ana zijua yeye.
@samsongechamet53748 сағат бұрын
Amina ,Kiongozi umeonyesha Utu na umeutendea vyema nafasi yako.Barikiwe Mh.
@gideonmwaweza817723 сағат бұрын
Mungu akubaliki
@judithtitomalyeta400021 сағат бұрын
Mhuuu nimehisi mwili kutetemeka mungu akubariki saaana mkuu
@starbonnytz13 сағат бұрын
Pongezi za pekee kwa mkuu wa mkoa. Mungu ambariki sana 🎉
@lucimwica6475 сағат бұрын
Pole sana mkuu wa mkoa.Mungu akujalie Neema ya pekee katika maisha yako na familia yako.Bodaboda sio wastarabu kabisa ni vurugu barabarani.
@imanimulumbilwa605616 сағат бұрын
Pole saaanaaa mkuu wa mkowa wa Mwanza. Pia nakupongeza saaanaa kwa kazi kubwa ulio ifanya kwa kijana wetu huyo.
@MirajiWaziri-hl2hc12 сағат бұрын
Asante sana RC mungu akulipe kwa wemawako
@OmariJuma-w9t3 сағат бұрын
Mungu akufanyie wepesi ktk shuhuli zako za kilasiku ktk uongozi wako nashughulizako za kila siku muheshimiwa mungu akubariki sana
@GeorgeMwita-i8o5 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa kwa moyo huo wa pekee. Ubarikiwe sana.
@barakaleader155011 сағат бұрын
We mkuu WA mkoa Mungu akupe maisha marefu...maana wangekuwa wengine hiyo kijana sijui angekuwa wapi Sa hivi..huenda angeshard nyumbani kwa baba yake aliemleta Duniani..Mungu akuongezee miaka Mingi Duniani umekuja kufanyika Baraka kwa wengine
@MaulidRamadhani-t8b10 сағат бұрын
Mkuu wa Mkoa Mwanyezi Mungu akuongoze were ni manor wa kuigwa na viongozi engine.wewe unajitambua ,were unastahili kuwa kiongozi .Mwenyezi Mungu akuzidishie.
@LeonardChacha-it2pb9 сағат бұрын
Mungu atakulipa Mzee barikiwa sana,
@KiongoziMwandamizi7 сағат бұрын
Huyu mtu ni wa baraka sana👏👏👏
@SelemaniHabibu-n6p20 сағат бұрын
hongela sana mweshimiwa unajielewa
@onesmombele25719 сағат бұрын
Mungu akulinde na uwe kiongozi wetu. Asante sana baba wewe ni mfano wa kuigwa
@rl31909 сағат бұрын
Mkuu wa mkoa hongera!Ubinadamu mkubwa sana kwanza kujali maisha yake kuhakikisha kwamba anapatiwa huduma ya matibabu na baadaye umemuwezesha kufanya kazi kwa kumpa piki piki na hata kugharamia mafunzo yake na leseni ili kuhakikisha kwamba anaingia kazini akiwa mwenye ujuzi.uongozi ni karama.
@davidmsemo88924 сағат бұрын
Mungu akubariki zaidi mkuu wa mkoa
@madinajamada91803 сағат бұрын
Asante baba mungu azidi kukuweka baba angu
@beatricekassanga81297 сағат бұрын
Hongera sana Mh.Mkuu wa Mkoa,wewe ni mzazi.Hakika bodaboda wana la kujifunza.
@dicksonjonathan38457 сағат бұрын
Asante sana, hakika Mungu akulipe kadri ya wema wako
@leobalige70694 сағат бұрын
I wish to have such leaders in this country.
@KhamisNahodah11 сағат бұрын
Upo vizuri kiongozi Mungu asimame na wewe
@HGvv-bh1ig7 сағат бұрын
Mashaallah tukipata 10 km nyinyi viongoz wazur tutafika mbali
@khadejakhadeja971311 сағат бұрын
Khekima sana baba RC kwa kumsaidia kumpa ajira baba❤❤
@joyprintspro38459 сағат бұрын
Mkuu nimekupenda sana, umechaguliwa na Mungu. Ubarikiwe sana...
@khadejakhadeja971311 сағат бұрын
Pole kaka stress hizo mtuu anawaza.nyumbani hajaacha chochote lazma stress❤❤
@HamisMghuna-fj3vz3 сағат бұрын
Huna baya mkuu Allah akuhifadhi we na kizazi chako,
@abubakarjumanne929311 сағат бұрын
Ahsante mkuu wa mkoa wangu kuwa na moyo wa huruma mungu akulinde sana.
@salamasaleh707711 сағат бұрын
Mungu atakulipa zaidi kwa moyo wako kiongozi na viongozi wengine waige huu mfano hongera baba
@SaidSalehe-z3p22 сағат бұрын
Safiii kabisa mkuu 🎉
@BrianBruno-nb8tz18 сағат бұрын
Kwer Mh umefanya jambo jema sana mungu akubariki sana
@SaidiAlly-l1z4 сағат бұрын
Safi sana ccm oyeeeeee
@MichaelMathew-j3f6 сағат бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa. Ubarikiwe na Bwana Yesu!!!
@maswamills31618 сағат бұрын
Duh!!!! Kweli MUNGU anayo Hazina ya watu Wema.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏆🏆🏆🏆🏆💯✔️. MUNGU akubariki Mkuu.Wewe ni mtu na nusu MH.
@EliasCosmas-qp6gn7 сағат бұрын
Asante Sana mkuu wakoa mwanza hakika MUNGU miaka yote❤
@ellsonmkonyi131915 сағат бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa kwa msaada na ujumbe kwa bodaboda
@annamashauri742119 сағат бұрын
Mheshimiwa mungu wa mbinguni akuongezee ulipotoa unaroho ya tofauti sana
@AlbertoEmmanuel-z2i11 сағат бұрын
Mungu akupe maisha marefu umejua vijana tunateseka angeingia mikononi mwaporisi angeisha pikipiki hata asingeipata
@EliusPeter-j7b9 сағат бұрын
UBARIKIWE Sana mkuu wa mkoa mungu akulinde
@MedsonUlendo12 сағат бұрын
Hongera funza kwa upendo
@gaetanomasalu76818 сағат бұрын
Mungu akupatie maisha marefu baba
@SamsonManjerenga5 сағат бұрын
Hongera mkuu wa mkoa umeonyesha kweli wewe ni mlezi wa boda boda.
@Mkumbojl7 сағат бұрын
WEWE ni mfano mwema kwa viongozi, Mungu akubariki na ukuwe mpaka utembelee miguu mitatu
@noorlheyaljabri6024 сағат бұрын
mimguakuhifadhiwewe na familiya yako akuzidishiyeulipopimguza alhamdulilah
@LewisiaNgomo11 сағат бұрын
Mungu akulinde mkuu WA mkoa kumbe akina makonda mupo wengi
@Zuberigangisa-dk9ne12 сағат бұрын
Mwenyeezi mungu akubaliki Sana kiongozi kwa utu wako juu ktk kijana wa bodaboda
@bishweko7 сағат бұрын
❤❤❤❤tunataka viongozi wa aina hii
@hassanshadhly3481Күн бұрын
Hongera Mzee saluti. Umeondoa tatizo
@jacobgeorge37365 сағат бұрын
Barikiwa kiongoz
@soudybaroog275318 сағат бұрын
Apo kwenye sekta sio rasmi umeyumba 😂😂😂😂
@Saidmathayo-uv4gj9 сағат бұрын
Ubarikiwe San baba viongoz wote wa serikali waige mfano unatakiwa uwe rais wa nch hii
@MadgalenaNgowi7 сағат бұрын
Mungu akubariki sana baba
@SaidaMaligwah8 сағат бұрын
Mungu akuzidishi sana
@UstadhiRajabu-n7z21 сағат бұрын
Safi sana mh mkuu wa mkoa mungu atakulipa
@fabianmdachi3560Күн бұрын
ubalikiwe sana mkuu wamkoa mungu atakulipa umeonyesha moyo mzuli sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@jamaldaud-e4dСағат бұрын
Tunataka viongozi wenye ueledi Kama huyu mkuu wa mkoa uishi miaka mingi Sana Allah akuzidishie ulipopungukiwa
@FatumaMamlo-st8pj14 сағат бұрын
Kafanana na magufur kasoro sauti to mashaallah mkuu wa mkoa
@boychidu11 сағат бұрын
HONGERA SANA MHESHIMIWA MKUU WA MKOA ROHO YAKO NIMEIPENDA SANA 🎉🎉🎉🎉🎉
@konzerasokoni177312 сағат бұрын
Powerful... Umetimiza ubinadamu halisi
@khadejakhadeja971311 сағат бұрын
Huuu ndio ubinadamu jamani mungu akulipe baba umewekeza kwa mungu
@WilbroadKaatano12 сағат бұрын
Mungu akubariki sana mkuu
@EmmanuelMaghway12 сағат бұрын
Mungu azidi kukupa hekima, vijana wawe na busara barabarani
@sultanjamesntongolo876413 сағат бұрын
Mungu akuongezee ulipotoa mkuu utu ni bora kuliko pesa
@ajuayekilindi44015 сағат бұрын
Mungu akuongezee pale ulipo toaa
@GideonNzige-k7i11 сағат бұрын
Ubarikiwe mkuu wa mkoa
@hosianajolam869523 сағат бұрын
Tuna shukulu mkuu wa mkoa kwa huluma yako uendelee na moyo huo huo kaka mungu akulinde akupe maisha malefu
@hosianajolam869521 сағат бұрын
@Ndu-wa.uroony2 mbona hata wewe umesoma sana Bado upo nyumbani kwenu fala wewe
@Ndu-wa.uroony213 сағат бұрын
@@hosianajolam8695 tutafutane hosiana kuna jambo nataka tufanye
@emmanuelissack61647 сағат бұрын
Asante kwakuwajali bodaboda tabora tunakupenda na MUNGU akubariliki
@Ezim24456 сағат бұрын
Toka tupo Arusha kwenye kongamano la madereva kwa mara ya kwanza nilimpenda sana huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ni mtu muungwana sana. Mungu ninayemuabudu mm aliye mbinguni akubariki sana
@AnthonyGabrielGwarisanga8 сағат бұрын
YaNi MheshimiWa Said Mtanda Ana Akili sana kama mimi
@bishweko7 сағат бұрын
Ila Gwido unawapenda sana watu wa Mwanza
@JumaPili-l1n9 минут бұрын
Mungu akulinde
@CosterAugust12 сағат бұрын
wewe ni kiongozi mungu akubariki umeonyesha njia, kwetu wa bodaboda tusijisahau tujitahidi kufuata sheria
@renatusblandes11319 сағат бұрын
Kazi nzuri mkuu wa mkoa
@mukwayamalima623912 сағат бұрын
God bless you inabundance!
@AllyKija11 сағат бұрын
Wewe baba mkuu wa mkoa mungu akulinde sana
@AllyKija11 сағат бұрын
Tunataka viongozi km Hawa mungu akubaliki sana wewe mkuu wa mkoa
@enocklutonja3398 сағат бұрын
Mungu akubariki mkuu wangu
@elishamwanjela444312 сағат бұрын
Mungu amtunze mkuu wetu
@KassimLesso12 сағат бұрын
Mheshimiwa Mkuu wa mkoa unafaa kuwa Rais miaka ijayo ,Mungu akupandishe daraja siku Hadi siku
@ramadhanmwandambotuntufye59729 сағат бұрын
Ni wachache wenye huruma kama mkuu huyu, Angekuwa Ditopile angemmalizia kwa risasi, Mungu akupe afya na maisha marefu mkuu.
@Kabeya4107 сағат бұрын
Wewe una jina la kiislam lakini hujui uislam unafundisha nini kumtaja kwa mabaya mtu alishatoweka duniani siyo vizuri we msifu huyo alietenda mema ila usimtaje mtu kwa roho mbaya nadhani ulikua humpendi tu hata kama alifanya ubaya huo ni juu yake na mungu wake we ongelea la huyukuu wa mkoa kwa wema wake umeharibu pilau umetia matone ya mafuta ya taa.. Unaingia kwenye kukosa maarifa utaangamia.
@jichoulimwenguni4723 сағат бұрын
Mungu ni mwema kupata viongozi kama hawa Huwa ni nadra mkuu wa mkoa mungu akubariki kwa moyo wako wa wema.
@noorlheyaljabri6024 сағат бұрын
munguakujaliye umetumiyaubimadam .baba
@JastinLeskar8 сағат бұрын
Unapo mjali mtoto wa mwenzio na MUNGU nay anakulindia family yako ubarkiwe sana mkuu