Aliyeota amekuwa na hasira na tafsiri yake

  Рет қаралды 5,949

MTAVASSY TV TANZANIA

MTAVASSY TV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Asante kwa kujibu Ndoto,niliota namuona mwananaume tunaetaka kutarakiana akiwa na mke wake mpya walikucheka sana na uyo mwanamke anamnyonyesha mtoto na aliponiona akampa mtoto mwanamme uku akanionyesha kuwa wana mtoto,
@mayasadunia2495
@mayasadunia2495 4 жыл бұрын
Masha Allah
@ayshaswalekh9197
@ayshaswalekh9197 4 жыл бұрын
Shukran shekh 🙏
@faridaismail4041
@faridaismail4041 Жыл бұрын
Assalaam alaykum je ukiota unabishana kikauli namtu mzima alozidi umr ikiwa wot nijinsia moj inamaan gan
@othmanbakari8928
@othmanbakari8928 3 жыл бұрын
Shekh assalaam aleykum mimi nimekuwa nikiota ndoto nne mpaka tano tofautitofauti ndani ya usiku mmoja hasa nyakati za alfajiri huwa naota sana hii inakuwaje?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 жыл бұрын
huwa unaota nini?
@sumaiabebe3443
@sumaiabebe3443 4 жыл бұрын
sheikh nimeota ndani ya nyumba angu muna nyoka nzuri zinaanga nazili nifrahisha sana nika piga moja na mawe ila haikkufa nikaumwa nilimpenda izo nyoka
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
wewe unapambana na jinni wa mmbinafsi aitwa Qaariin na yeye hawezi kuiondoka kwako kwani yeye sio qaariin s suui yaani sio muovu. ila napata shaka ikawa haondoki kwa7bu hamuna nguvu ya kumuondoa
@omanamenmct1600
@omanamenmct1600 2 жыл бұрын
Mm nimeota nimekuwa na hasira nikampiga mama angu eeh mungu nisaidie cjui maana yke nn
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Ulimpiga eneo gani na kwasababu gani ? Humo ndotoni nikijua hayo hayo tafsiri itakuwa bora zaidi na ya uhakika inshallah
@yasobush4834
@yasobush4834 3 жыл бұрын
Shekh Nimeota naswali kwa room,nilitoka kwa jirani wanaswali pia kwa room,tena imam ni kijana mdogo,hapo nje wakina mama wanapika chakula,mara kukatokea kijana akaniuliza kitu,nikakasika na kuenda.
@joycesamwely7896
@joycesamwely7896 Жыл бұрын
Mimi nimeota nipo napika wakaja wafakazi wenzangu ila wakawa wananitizam kwa hasira sana nikawauliza vip akanikunja nilikasilika San kbla cjachukua uamuz nikastuka
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv Жыл бұрын
kuwa makini unahusudiwa na wenzako na hilo inaonyesha hujatanabahi vyema
@koshihadiraabdalla5673
@koshihadiraabdalla5673 4 жыл бұрын
Asalam alaykum maalim nauliza nini maana ya ndoto Babu yangu kafa nimemuota kafa tena
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
Muombee dua inamaana ya kuwa yeye hayuko na hali nzuri kwa M/Mungu basi wewe muombee dua tu na hakuna lingine usije ukaambia tafsiri tofauti ukaamini
@koshihadiraabdalla5673
@koshihadiraabdalla5673 4 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv shukran jazaka llahu khairan
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
muombee kwa Allaahu amsamehe mumbee sana ni mtihani sana kwake
@ayshaswalekh9197
@ayshaswalekh9197 4 жыл бұрын
Shekh mm nimeota niko hotel lkn ile hotel ikabadilka ikawa nyumba ya udongo alafu mule ndani kulkua na limechimbwa shimo milango ikafungwa lkn nilibomoa ukuta nikatoka nje
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
Utafanikiwa kutokamana na matatizo yako na faraja ya maisha utapata na utawashinda mahasidi na maadui pia utakuwa katika maisha mazuri kinyume na maisha hayo unayoishi ya dhiki inshaa Allaahu
@ayshaswalekh9197
@ayshaswalekh9197 4 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv in shaa Allah
@mbokasultan7469
@mbokasultan7469 4 жыл бұрын
Mimi nimeota nipo ufukweni mwa bahari nime pewa sarafu mbili za zamani hiyo ndoto ina maana gani shekhe
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
sarafu ni maneno ya fitrna majungu au kupaizana kimaneno,ila ufukwe kadri ulivyoona ndivyo utakavyopata rizki kwa kiasi hicho
@vailethkilewo2480
@vailethkilewo2480 4 жыл бұрын
Naota nafukuzwa na jitu nisilo lijua nn tafsiri yake shehe
@ayushsaeed1051
@ayushsaeed1051 4 жыл бұрын
Na ukiota ukosha mikono
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
Utapata faraja au kufukuzwa kazi
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 2 жыл бұрын
A aleikum na ukiota una gombana na mwanmke humjuyi umegombana naye au una gombana naye ndiyo nini ?
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 2 жыл бұрын
Alikuwa wa umri gani?
@tatuali1379
@tatuali1379 4 жыл бұрын
Nimeota mama ananiudhiy kipande chaeneo lashamba lake la mikoroshi ,, mimi nikamuulidha mama kwanini umenipatiy mwishoni nikapnekana nimekasilishw nayy mama hakupenda nimuulize ĺile swali .
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 4 жыл бұрын
angalia dunia hii? halafu ndoto pia yaweza kujuza kuwa umemuudhi Mungu fanya toba kwani mama na baba wana tafsiri ya Mungu pia ndotoni na angalia mwenendo wako vyema
@tatuali1379
@tatuali1379 4 жыл бұрын
@@MTAVASSYTv saw mekuelew asant
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 24 М.
Mtu aliyeishi miaka mingi zaidi Duniani
5:28
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 364
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 41 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 16 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,2 МЛН
Understanding the Biology of Mental Illness
8:47
Alabama Department of Mental Health
Рет қаралды 173 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 531 М.
Jinsi ya kumfanya mchawi anase asiweze kuondoka  ( @mtavassy tv Tanzania)
6:28
GairoDC Onlive TV: MASOKO YA MAZAO
3:10
Gairo Online TV
Рет қаралды 20
somo la tano sababu za kuvuta herufi zwnye fat,ha(jifunze kusoma kiarabu)
5:58
Ndoto ya pete iliyokatika na maana zake sheikh Jafar mtavasi
10:02
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 169
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 41 МЛН